FANYA HIVI ☝️ KUTIBU NA KUZALISHA KUKU WA KIENYEJI KWA WINGI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 16

  • @Liliankavishe-e5u
    @Liliankavishe-e5u 3 дня назад

    • @Liliankavishe-e5u
      @Liliankavishe-e5u 3 дня назад

      Dada asante xana unaelimixha vizuri xan

    • @Liliankavishe-e5u
      @Liliankavishe-e5u 3 дня назад

      Dad nilikua nauliza ivi unaweka kiaxi gani cha vitamini kubwa yakuku kwakuku zako we we kweny maji

  • @longinochristopher5247
    @longinochristopher5247 6 месяцев назад

    Asante

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 11 месяцев назад

    Ahsante sana Dada

  • @delphinusbashara9571
    @delphinusbashara9571 10 месяцев назад

    Namshukru Sana video zako zinaelimisha Sana

  • @ThomKavishegospeltv.555
    @ThomKavishegospeltv.555 11 месяцев назад

    Madam Mimi nakukubali sana! maelekezo yako Mimi ni mfugaji chipukizi najitahidi ila ugonjwa wa kulemaa miguu kwangu umekuwa mtihani mgumu, nimejaribu kuwapa DCP yakutosha lakini bado wanapata hiyo shida; sijui wewe unawapa nini dada yangu. Kavishe Rombo Kilimanjaro.

  • @Grace-og9wl
    @Grace-og9wl 11 месяцев назад

    Asante dada

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      🙏🙏♥️♥️

    • @volontekamabu8200
      @volontekamabu8200 11 месяцев назад

      Jambo maman ! nashukuru sana sana, mimi ni mufugaji toka Congo DRC Ila kuna mambo mengine uki ongea luga ina ni changanya

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 месяцев назад

      @@volontekamabu8200 Pole sana utaelewa pole.pole🙏♥️♥️

    • @modestakessy5899
      @modestakessy5899 10 месяцев назад

      Dada nakufatilia sana una mafunzo mazuri kiukweli. Hio ya kuachisha vifaranga nitakutumia na naamini nitafanikiwa kabsa