Ndugu mtaalamu wa kuku wa kienyeji Mimi nakupata Toka Zambia ndio awamu yangu ya kwanza kufuga kuku wa kienyeji kwa wingi baada ya kuanza kukufuatilia ninao 120 nataka nisonge mbele sana , tatizo langu kuku wameacha kutaga mayai wote mara ambapo mvua zinanyesha,dawa yake nini nataka wazaane sana maelfu.
Hongera Sana ndugu. Yawezekana ni baridi maana wkt baridi utagaji upungua, pia angalia kama Wana undergo diarrhea. Pia wape Madini la mifupa na ongeza kiwango cha protini ktk chakula
Mimi nafuga kuku WA kienyeji,sasa inashida moja ,kuku wakimuwa na kufikia miez minne ,au sita wanakuwa wanakufa ghafla ,nimeambiwa na mtaalamu ni codiosisi na taifodi lilnanisumbua Sana ili swala,huwa linaambukiza kutoka kwenye mayai?
Apo uwe unawapa DAWA tu. Kwa uo umri magonjwa ayo hayaambukizwi kwa MAYAI. typhoid ya MAYAi uwapata vifaranga...zingatia usafi na dawa za coccidiosis na typhoid aya magonjwa yanatibika .TUMIA alovera mara kwa mara

Asante kwa elimu nzuri na je?mtu akitaka vifaranga wa mayai anapateje maana sumbawanga tunaitaji sana
OK naomba tuzidi kuwasilia ndugu tutakujibu tuone tunawasidiaje
Za kazi,,, samahani eti chanjo nzuri ya ndui kwa vifaranga ni ipi kati ya kumchoma sindano na kuweka dawa kwenye macho
Zote zipo Sawa hutegemea tu mazingira uliyopo
@@AGALUSTV sawa nashukuru
Ahsante maana leo nimeshindwa kumhudumia kifaranga mpaka akafa,nilimuosha na maji ya baridi.
Mmmh😭😭pole sana
Asanteh kwa masomo mazuri nimekuelewa vifaranga wangu wana siku tata ila wamenyanyua mabawa tatizo ni nini,
Coccidiosis iyo wape dawa ya uo ugonjwa
Asante sana kaka
Tupo pamoja sana ndugu
Great
Thank you
Asante kwa elmu
Barikiwa pia✍️🙏🏿
Asante kaka
Barikiwa pia endelea kubaki na agalus tv 🙏🏿🤝
Asante.Niliona ukimuosha na kupangusha na spirit kidogo halafu kumpaka liquid paraffin husaidia.
Yes ni nzur pia
Kuku kuanza kutoka mgongo na utumbo nafanyaje?
Sehem ya haja kutoka kwa nje?
Samahani vifaranga vyangu napitia chachu yakua vinatoka magoya chini yatumbo so dawa yake ni hipi au kwa ushauri zaydi nini nifnye
Kawaida ndugu japo vp chakula unawapa special au
Glucose ni hii tunayokunywa watu au ipo special kwa ajili ya kuku
Hii hii yafaa pia
Mimi nafuga kuku WA kienyeji,sasa inashida moja ,kuku wakimuwa na kufikia miez minne ,au sita wanakuwa wanakufa ghafla ,nimeambiwa na mtaalamu ni codiosisi na taifodi lilnanisumbua Sana ili swala,huwa linaambukiza kutoka kwenye mayai?
Apo uwe unawapa DAWA tu. Kwa uo umri magonjwa ayo hayaambukizwi kwa MAYAI. typhoid ya MAYAi uwapata vifaranga...zingatia usafi na dawa za coccidiosis na typhoid aya magonjwa yanatibika .TUMIA alovera mara kwa mara
Sasa hiyo dawa unaitumiaje??
Matumizi ya dawa ndugu yetu ni kadiri utakavyoelekezwa toka kwa aliyekupatia iyo dawa dukani✍️🙏🏿
Kuna wakati vifaranga wanachezesha mdomo kana kwamba ana kiu sana wakati maji yapo hiyo inasababishwa na nini
Anainua na shingo yaani kama anainyoosha ivi uku mdomo Ukiwa wazi kama ana Uta hewa au
Ndio
Fuatilila video hii apa ya ugonjwa wa kuku kupumua kwa mdomo
ruclips.net/video/p0-uYjlt94o/видео.html
Mbona ujibu
Uliuliza nini ndugu
@@AGALUSTV asante kaka nimekuelewa
Barikiwa sana tupo pa1
Navifaranga wa siku mbili nimekutana na hii hali
Pole Sana ndugu. Ila tu naamin umejifunza kitu
Kuku kuamuka Leo wavaa koti
Apo uleaji wa vifaranga HADI miez 2 naona ni shida kwako