#ZaNdaaaniKabisa
HTML-код
- Опубликовано: 27 сен 2024
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
MOMO nakubali sana
Upumbavu huo mchezaji akisajiliwa hawez kuombwa afunge badala ya yeye kufunga ndo lengo la timu kila mchezaji ajitume afunge
nawew chawa Sasa wew umeyatoa wap hayo mmbeya wew
Ricardo mnyamaaa sana
Hii nchi ina wajinga wengi sana, kwahiyo kila mchezaji kwenye game kubwa aombe bonus yake binafsi inaingia akilini kweli hiyo! Na bado mshahara wake anakula kama kawaida, huyo akwende tu kwakweli
Wachezaji wa kiafrica n ngumu saana kufanikiwa. Yaan mchezaji ameajiliwa alafu anataka alipwe Ili aisaidie timu maajabu
R.Momo Mbona Umetuwacha kwenye Round About
Hafai kuwa mchezaji professional akacheze ndondo anakojipangia
Wewe msenge sana Tena acha kuongerelea Simba
Midia zingine mnajidhalilisha tu.
Kwa hyo alisajiliwa Ili afanye kazi gani ikiwa kutumiza wajibu wake Hadi apewe Hela tena ?
Sasa Momo Kama wewe hapo utatoa hiyo bonas ?
Ili kuheshimiana inabidi tuanze kushitakiana. Ili tuheshimiane
Hela za nn wakat ni kazi yake analipwa mshahala kwa kazi hiyo
Hiyo mikataba ya ndondo ndo waweza omba uongezewe ukiisaidia team...fala huyo mtoto.
Mzeeee wa kuderee yupo kuchomoa betriii
Wewe siyo mtu wa mpira, kaa kimya
Mkuda tu wew
Hapo na ww unachanganya..aamue game yeye kama nani..je hapo alipokuwa alikuwa kama nani..si mtumishi..why aseme apewe bonus
Huna ishu kama mtu umsainiwa unapatana nn nakazi yake kucheza
Wewe ni kiazi tu.
Hakuna wa kiume wa aina yako
Mzee
Wa zandani hizo unazo tuletea ni uwongo yy anaweza kumaliza mechi uwanjani yuko pekeyake haingii akilin
Kama ww unaishi nae Kwa lip yeye kasainiwa kucheza mpira bonasi ziada tuu ww hunastory
Duuuuuh 😲😲😲😲😲
J Lo tenaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Alafu anakwambia ni JUMA LOKALE ndo JR dah momo bhan 😜😜
Kama ndivyo bac naendee mana huo niujinga😅😅😅😅
sasa mbona Morissette Kate katemwa na simba
Unatumwa na nani?
Huu ni uongo wa waz akuna mchezaj kama uyo duniani mnaharibu kipindi kwa kusema yasiyokuwepo
Simba inanipa mawazo mno nitim yangu ila Simba Tim yangu mh!
Wewe muongo mchezaji awezi kusemaivyo wakatiyeyenimchezaji achakupotoshauma
Momo boya kweli eti goli moya
JLo 😃😃😃😃😃😃😃
Momo simuelew sema tu ndo ndugu wa diamond😃😃😃 biashara nying africa zinakufa sababu ya kumchukua ndugu kisa tu ndugu hata kama hana uwezo
Sijawah ona wala kusikia pumba kama hizi
Nyie waongo tu sababu ni watangazaji wa udaku hamna lolote
Yani we mpumbavu sana uamue gemu kwa goli moja alafu unajikuta unaongeeeea boya
Moyaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Wenye akili watakuelewa wapumbavu ningumu sana
Iv nyie wasaf iv mchambiz ni uyu tu kwanza anacho ongea ni upumbavu tu kila siku kumpost yeye au ndo kisa ndugu wachambuz halis amuwaweki mnaboa sana
Yeye kazi yake na analipwa mshahara kwajili ya kumaliza mchezo aendee tu simba tushapita huko kugombana na wachezaji hakuna mchezaji ndani ya kikosi simba wakamtaka wakashindwa kumzuia ukiona wamemuachia ujue simba hawakua na mipango nae morison
Huyu naye ni mjinga tu
Huyo mbeya ingawa anasema sio, story za mtaani au kijiwe.
Wewe mwenyewe wakudere msenge
Kuza midia kwa kuongea unachojiskia.Laik kama wazaz wako wangejua mdomo wako uo ulivo Sidhan ata kama wangekuruhusu kutumia vijiko hom
Kwahiyo kacheza pekee yake
Mpuuzi Hugo na umbea wake
We msenge unatumalizia MB zetu fara wewe
Bora umsikilize juma lokole kuliko huyu jamaa kwani umo uwanjani anacheza peke yake wewe na morison nyote mnapakuliwa
Ongea tu ili uongeze viewers bwana
Huyu muongo huyu hata haogopi dhambi
Wenye mind tutakuelewa wengn wataendelea kucomment matusi
Boya ww wakamate washamba wenzako peleka usenge wako uko
Kwa hiyo mshahara anaolipwa kazi yake?
Sasa yeye aumalize mchezo km nani? Anacheza peke yake? Nani hamjui BM km ni mtovu!!!
Huyu mnafiki TU ajui lolote
Okwa
Ww hayo nimenine2 tunataka vitendo
Benadi molisoni huyò
Wasafi nanyi mnapotea kwa kumrusha mtu mmbea kama huyu.
Afadhali hata ya juma lokole kuliko wewe,acha ushubwada
Kaka uyu kiongea hajui kabisa ,umekuja kufanya nn interview
Hahahaha et zandaaani
Muongo mkubwa wewe,na naanza kuona hii radio kama kijiwe cha wauza kahawa.
Hicho unachosema ni uongo mweupe.mnaharibu tasinia ya habari kwa kusema uongo kwa jamii.
yaani mwanaidi dawa yako ni kupeleka posa kwenu tu wallah maana hamna namna
Inabidi ufanye hvyo.
Mfyuu
Momo mchezaji ameajiliwa ili iweje? Kama Ni hivyo Simba wako sawa kabisa
Momo,,,
Sasa kwa nini atake bonus peke yake? Ujinga tu,,,basi km mpaka aahidi pesa kwanza ndio acheze,,,huyo sio mchezaji, wamuache tu,,asituletee shida baadae
nimesoma comments zote humu nikagundua kabisa mashabiki wa simba mwaka huu walio wengi wana matatizo ya akili na saikolojia maana sio kwa matusi haya dah ila poleni sana wana msimbazi 😂😂😉
Kaka wewe muongo
Mpira wa Tanzania ni upumbavu mtupu
Uongo mtupu
Uzushi na upuuzi tu huo,Simba haina mtu special kiasi cha kutengewa special bonus eti kawahakikishia ushindi...very stupid information ever🚽🚮
🤣🤣🤣watu povu linawatoka kwan jamaa yule mzima🤔🤔
🤣🤣kuna watu wana toa mapovu huku 🤣🤣wali mshangilia sana makoloooooooo
Yeye kazi yake na analipwa mshahara kwajili ya kumaliza mchezo aendee tu simba tushapita huko kugombana na wachezaji hakuna mchezaji ndani ya kikosi simba wakamtaka wakashindwa kumzuia ukiona wamemuachia ujue simba hawakua na mipango nae morison
Mi Yanga ila unalosema si kweli, Morrison kaamua match 2 ngumu...ile ya ugenini na hii ya orlando
Upumbavu mtupu
Ivi izi za ndani uwa ni za Simba tu tena mbaya mbaya tuu?? Mbona hatusikii za Yanga?? Kuna bias kwenye hicho kipindi
Momo nimmbea ulisema simba wanamsajili nabi ukaingia chaka,huna za ndani wala za nje unadanganya watu
Kama ni kweli ndo alitaka hivyo basi hafai.....acha aende huko akeweka masharti...
Ubwehge huo unaoueleza
Vp
Acha ufala na ww mchezaji apewe mechi hio hio moja apewe bonus na wenzake then apewe bonus yake peke ake haingiii akilin au ana kulamba matako nini ndo Mana umekuja kuongea utumboooo
Hizi bonasi zitolewe kazi ya mpira imekuwa kama mpiga debe stand
Punguza miemko umaarufu unakuja tu yani wew umeongea na uyo mweu alafu unatuletea ujinga wa uyo mjinga unapoajiliwa na tim unaajiliwa uli kuisaidia tim sasa tena eti nikiamua gem mnanipa shilingi ngapi utadhania kakodishwa siyo mchezaji kamili wa tim
Yaani mchezaji umsajili umlipe halafu akupangie leo ili nicheze kweli nipewe bonus zaidi.duh halafu mwenyewe anaona muhuni yupo sahihi.je waajiri nao waseme hatukulipi kule huruhusiwi.jamaa anakataa ukweli kwamba yy mbea. Halafu hajui km za ndani zipo kotekote ila wadau tunazijua za huku na huku yy anajimwaga na upande huu akiongelea moja upande wa pili lzm aichanganye na upande A na moja kwa saba. Raha yake inafahamika hatuna waandishi na wachambuzi wa michezo
Uo umbea mwongo wewe...kwani yy ndo alikuwa mganga wa timu, na ndo kitu ambacho simba haitaki kama ni bonus ni kwa wachezaji wote, basi angecheza mwenyewe.
Hahahahaaaa Juma lokole lako ilooooo
Wapumbavu sana Ninyi Koo ukimjengea mchezaj tabia hiyo itakuwaje kwa wengine hatuna mda huo
Jamani nilikua siamini maneno yaraisiwetu mamasamia sasanimeamini hatasisiwanaume kweli wambeya sana
Huyu jamaa mjinga sana mshahara wa mchezanji unakazi bonasi ni kujickia
Wewe wacha uwongo kwani anacheza pekeake hata aamua
Ww muongo acha kutunga tunga co ya kweli
Kenge jinga sana huyu
Kazi umbea tu mkeo wanamgonga nigeria
Makofi ya nyani eeeeeeh
Sas mchezaj anaombaje Hela mnamshabkia wakat ND Kaz yake,,?
Pumbavu sana
UMEONGEA FACTS BRO
MPIRA WA HAPA TANZANIA MASHABIKI TUMEKUA KAMA OMBAOMBA TU THAMANI YETU NI YAKUITWA KWENDA KUUJAZA UWANJA TU!" NA IKITOKEA TUZO BORA YA MASHABIKI PAPO HAPO NDIO WATAWAONA WAMAANA ILA KINYUME NA HAPO UJINGA MTUPU.
Mbona pcha ya dhamani
Kwenye hili mimi ni mpumbavu
Huo ni uongo tuuu huna lolote wewe
Chukua iyo