🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 106

  • @abdunnurahmedsilim7456
    @abdunnurahmedsilim7456 День назад +2

    Mbona wazee wanashirikishwa sana katika uongozi wa Engineer Hersi... Fuatilieni mtaona namna gani wazee wanavyohusishwa...

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim 2 дня назад +6

    Point kaka

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 2 дня назад +7

    Kumbe kuna muda huwa unaongea point

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 День назад +3

    Waambie wazee ni noma

  • @justinjasson7070
    @justinjasson7070 День назад +3

    Aliyekwambia kuwa hakai nao ni nani???? Sio lazima atangaze, mambo ya kulogana hatutaki tena.

  • @boscomtani1006
    @boscomtani1006 День назад +3

    Kwani Yanga haina kamati ya Wazee? Nadhani ilipaswa ufanye utafiti kabla hujaomgea. Timu kufungwa si ushirikina , na usitushauri mbinu chafu nje ya uwanja. Kama unaangalia mpira kwenye simu we si Mwanasoka inaonyesha jinsi haupo seriousna soka. Unaongea mpira wa sayari ÿako. Rudi kwenye siasa kama mwanzo. Mprìra tuachie wanasoka.

  • @eddomhelela1794
    @eddomhelela1794 День назад +1

    Pamoja

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine День назад +2

    Na kweli baba umeongea point, tatizo wanajifanya wanajua, waambie baba

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 День назад +1

    Bro upo sawa kwA maneno yako weka na kisonzo tutoe na sadaka

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 15 часов назад +1

    Hivi lazima uongee kwenye mitandao kwa nini usimwite mkaongea naye kwa faragha.Hivi kweli unawaaminisha watu kupata ushindi kwa kuongea na marefaree!!!!!

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 День назад +2

    Hapa mi nimekuelewa🎉🎉

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim 2 дня назад +3

    Kweli kaka wazee muhimu na hao ndio wenye yanga yao

  • @songombingo108
    @songombingo108 День назад +2

    Umesema kweli kabisa Musiba

  • @IddiKilomeye
    @IddiKilomeye День назад +1

    Musiba Anachokiongea Nikweli Mtakuja Kumkumbuka Wakati Tumeshaharibikiwa

  • @KhatibuAthumani
    @KhatibuAthumani 17 часов назад

    Mnatuludisha nyumandugu daima mbele nyuma mwiko

  • @samwelizack7393
    @samwelizack7393 День назад +1

    Ebu tuondoke kwenye mpira WA kizamani yuendeshe soka letu kisasa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 День назад +1

    Timu za mizimu zitaishia kuzimu !! Imani hizi zinafanya soka letu liwe la kibongobongo zaidi !!
    Mpira duniani kote ni vipaji !! Kuzoea rushwa hadi kuwaza kuhonga marefa ndio mfumo wa hovyo kabisa.

  • @HaroldTarimo-g6f
    @HaroldTarimo-g6f 5 часов назад

    Wewe acha kujitafugia umaarufu
    Eng Heris anathamini sana wazee na wachezaji wa zamani
    Je umeshindwa kumshauri inbox

  • @LucyMambally
    @LucyMambally 2 дня назад +5

    Hatuhitaji ushurikina kwenye timu yetu.

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 2 дня назад +4

    ira mimi binafsi nimekuerewa sijui wenzangu

  • @DhahiriHamisi
    @DhahiriHamisi День назад +1

    Hio zaman tuliyotumia wazawa tulikuwa tunafika wapi ktk michuono ya caf?

  • @HamadRamadhanKhatib
    @HamadRamadhanKhatib День назад +1

    Hata Mzee mpili amezaraukiwa siku HIZI ni tatizo

  • @rashidmatata
    @rashidmatata 2 дня назад +1

    Broo musiba uko vinzur sana ushauri wako rais hens fanyia kaz mapema

  • @JosephManoty
    @JosephManoty 2 дня назад +3

    umeeleweka Mzee baba

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 День назад

    Peleka ujinga wako huoko soka sio siasa, ndomana ulimtukana KINANA na JANUARI.

  • @MfaumePazi
    @MfaumePazi 2 дня назад +3

    Siasa zilishamshinda

  • @NicksonAlphacapitalGroup
    @NicksonAlphacapitalGroup День назад +2

    Huyu jamaa Mara ingine pumba na fitina

  • @yahyadalali3550
    @yahyadalali3550 День назад +1

    Hao wazee wa kishirikina waliisaidia lin yanga kubeba caf champion league?? Ni pumba TU, ivi ulimpongeza injinia hertz yanga ilipofika fainali ya caf confederation?? Acheni unafiki.

  • @FurahaAngetile-m4w
    @FurahaAngetile-m4w День назад +1

    Ila binadamu tunashida kweli mnatoka mmeshiba magimbi huko mnakuja kuongea pumba ww umekuwa nani mpaka ukatoe Sheria hizo

  • @dotomanda-h9q
    @dotomanda-h9q 2 дня назад +2

    Kuhusu lawazee hilo nisawa unaloongea ila lakucheza na marefa hilo wazo siyo nzuri maana ukishinda kwamarefa matokeo yake utabaki kulalamika Kama makolo wanavyolamikaga wakikutana nawajua mpila kama Yanga wakiwafunga utasikia refa kapewa hela kwakuwa wanaona wanavyonunuwa wawo nawengine wanafanya hivyo

    • @nsajigwamwakalinga3591
      @nsajigwamwakalinga3591 День назад

      Yaani hapo mm nimemuelewa Moja tu la wazee basi hayo mengine hajui analosema kwasababu wazawa ni watu wakulizika sana na Leo hii tunawaona wanaocheza vizuri sababu ya wageni

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 17 часов назад

    Mambo ya wazee wazee wanapenda uchawi uchawi si tunataka mpira sayansi

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 2 дня назад +3

    Kwani we nn

  • @IddiKilomeye
    @IddiKilomeye День назад

    Chondechonde Injinia Tunaumia Sana Wanachama Na Mashabiki Hapo Yanga Kuna Kitu Wasikulize Wanaokushauri Usipuuze Hii Sio Yanga Tunayoijua Pia Kwa Mkapa Pameshaharibika Hapafai Kwa Yanga Kwa Taarifa Mechi Za Makundi Zote Kwa Mkapa Tutapoteza Usizarau Ushauri

  • @omarytexesunauwababa4587
    @omarytexesunauwababa4587 Час назад

    Sipiriyani musiba ni muoga sana wazee aliwazarau viongozi wetu wa serikali leo unashauri yanga wewe kweli

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 2 дня назад +1

    Na nyinyi mnaongea sn banaa! Acheni Hersi apige kazi. Kipindi timu inafanya vzuri misim mitatu hamkusema habari ya wazee. Ww ndio huoni lakn wazee wapo na wanakaa na timu znz na bara. Unataka mawazo yako ndio yafuatwe, unapiga kampeni kwa Lameck Lawi, kwendraaaa

  • @OmaryBopary
    @OmaryBopary 9 часов назад

    Sasa wote watapewa kazi gani

  • @bahatimlingi491
    @bahatimlingi491 2 дня назад +2

    Wew nawe umeanza kuzingua mbona wazee wapo

  • @eliudbrown5
    @eliudbrown5 День назад

    Hizo timu unazotaja na wazawa zilitufikisha wapi kwenye soka la kimataifa

  • @johnsonsebastian3248
    @johnsonsebastian3248 9 часов назад

    pumbavuuuuuuuu

  • @ZachariaMwakiposa
    @ZachariaMwakiposa День назад +1

    PELEKA UGANGA WAKO HUKO

  • @BigBrother-im3ec
    @BigBrother-im3ec День назад

    Hata timu kubwa zinafungwa,,,kwan wanaocheza uwanjani ni wazee?.mpira ni mchezo wa wazi.mbona ujayasema ayo wakati timu inashinda.

  • @AyubuMohamedi
    @AyubuMohamedi 2 дня назад

    Ulianza vzr , huku mwisho umekosea, nan kama baka ?

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 День назад

    Sasa unajuaji kama aongei nao au adi atangaze watu wanapenda vikao

  • @nsajigwamwakalinga3591
    @nsajigwamwakalinga3591 День назад

    Mwecheni hersi nyie toka zamani mlikuwa wapi yanga toka wameingia hao vijana imefika fainali ya shorikisho imefika robo fainali kavu huko nyuma ilikuwa wapi uwe unachanganua mambo mzee lawa zee hilo sikupingi kuna busara na mambo mbalimbali waze wanayo hekima,ushauri kwa viongozi hapo nisahihi ila hayo mengine baki nayo mwenyewe wachezaji wakiveni wamekuja kuamsha wazao ujue hilo

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 6 часов назад

    Kuna kaukweli ila wazee mbona hawajatupwa jmn na msimu jana wakapewa adi mechi yetu na watani 😢😢 ama mnataka achukue wazee nchi nzima?? MANGALU NI NANI mbona simjui ama achezi ligi yetu

  • @BigBrother-im3ec
    @BigBrother-im3ec День назад

    Azisha timu yk mzee,,kama unataka ayo.

  • @wilbertshilinde7223
    @wilbertshilinde7223 День назад

    Unashindwaje kumsajiri huyo mangaro ukampereka pale yanga yaan uongee kwa vitendo sàbab wew si ndio kakuvutia

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 День назад

    Haki ya Mungu kweli unashauri kununua waaamuzi hii sio s 6:32 awa kabisa

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q День назад

    Sio al hilali mabigwa wa CAF

  • @HAPPYNESSKORROSO
    @HAPPYNESSKORROSO День назад

    Acha Imani za ajabuuuu kaka kama ni ushauri Sawa lakini vingine hivyo muogope Mungu hahahaha.

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief 2 дня назад +1

    Huna mpango wowote

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 2 дня назад +1

    Huyu nani kwani nayeye. Kila siku kushauri tuu 😂😂😂😂😂😂

    • @mullamtupa9116
      @mullamtupa9116 День назад

      Aumjui basi ww utakua mgeni kwenye jiji

  • @EvansTewele-q5o
    @EvansTewele-q5o День назад

    Hio mizimu ndo inacheza toa ushetani

  • @zulfikarhirji3996
    @zulfikarhirji3996 День назад

    Nakushauli Baki tu kwenye siasa huku hakukufai kabisa chukua ushauli wangu.

  • @wilbertshilinde7223
    @wilbertshilinde7223 День назад

    Hakuna unalolijua Kaa kimya

  • @BashiruMchelenje-zs3fs
    @BashiruMchelenje-zs3fs День назад

    Timu ya yanga haikuanzishwa na wazee, ukiwa na ushahidi utatuambia wakati timu inaanzishwa hao waliyoanzisha wakatihuo walikuwa na umri wa miaka mingapi? Ilituamini.

  • @MfaumePazi
    @MfaumePazi 2 дня назад

    Hao ndiyo nyuma ya mzee magoma

  • @AyubuDickson
    @AyubuDickson 17 часов назад

    Kwan hili limetokea wap

  • @RizikiNisilu-p5o
    @RizikiNisilu-p5o День назад

    Tumekuelewa mzeze

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 15 часов назад

    Hakuna club inajali wazee kama yanga tatizo siyo wazee, tatizo nikolo wanatuwangia bigtime vipigo mala nne mfululizo vimewafanya kolo watuwangiye usiku mchana, sasa wazee wenyewe kama hao akina kurujuani🤣🤣🤣

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q День назад

    Siasa zimemshinda amehamia kwenye mpira

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 13 часов назад

    Asikimbilie kwenye Mpira huyu jamaa alikuwa chawa wa marehemu fulani kazi yake ilikuwa ni kuwasema vibaya wengine tu

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 День назад

    Ushauri wako wa kucheza marefa haufai. Hakuna timu isiyopoteza duniani. Unatucjangamya tu

  • @songombingo108
    @songombingo108 День назад

    Nimecheka sana😂😂😂😂

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 7 часов назад

    TATIZO LA HUYU ANACHANGANYA PUMBA NA POINT HUMO HUMO

  • @Omary-p3e
    @Omary-p3e День назад +2

    Huo broo ni ushamba mpira biashara

  • @JumaNelson-f2s
    @JumaNelson-f2s 2 дня назад

    Me mwenyw skujui ata, af Kwan sis tumekoxan nawazee wetu, we mbwa ww. Ko ata man city n wazee fara ww

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 День назад

    Kwani wazee hawakuwepo wakati tunatembeza bakuli? Hakuna timu isioppteza bana

  • @BigBrother-im3ec
    @BigBrother-im3ec День назад

    Umetoa tsh ngapi?,unapiga tu kelele,wewe ndio unatoa ela ya usajili?.

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 9 часов назад

    Kwani si kuna baraza la wazee na linatambulika kikatiba nae anawajua na anawaita wanaongea shida iko wapi?

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 2 дня назад

    Kwani sisi halitosis?
    Hayo maneno ya wazee usituleteehapa

  • @festohchiffy6383
    @festohchiffy6383 2 дня назад

    Asa ulichelewa wap kusema point mara marefa mara mizimu wachawi tushike lipi tuache lipi

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 2 дня назад

    Spirian unatoa kwenye reli !! Unataka kutuletea siasa za magazeti! Wewe kama ni mwanachama mwenye weledi nenda klabu ukazungumze unayozungumza!

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 День назад

    Nunu jezi changia timu, siyo kutwa maneno na chazi yako hiyo ya miaka 47 iliyopita.

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 День назад

    GSM(A) 🐸 🐸 2 - 0 GSM(B)
    BAHASHA KIBOKO YAO

  • @AniphaKalonge
    @AniphaKalonge 2 дня назад

    Hayo ndo maoni lakini sio hayo ya kwanza

  • @MasoudHamad-n8s
    @MasoudHamad-n8s День назад

    Ww mzee ww unaongea ukweli sana

  • @Omary-p3e
    @Omary-p3e День назад

    Msilete swala la wazee wakati mnafikila sio

  • @Stewart-l6t
    @Stewart-l6t День назад

    Hili nalo linaongea nini mbona silielewi

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba День назад

    Hacha wewe. Mbona Yanga inawahezhimu wazee na aliwapa mechi yao,

  • @johnsonsebastian3248
    @johnsonsebastian3248 9 часов назад

    wewe kama unanipenda yanga nenda ofsi kwake

  • @JoshuaMwambene-h5j
    @JoshuaMwambene-h5j 2 дня назад

    Kina mzee Magoma 😂😂😂

  • @kibiritizuberi9361
    @kibiritizuberi9361 2 дня назад

    Ujumbe umetosha tulia sasa

  • @NeemAmianaMramiFamily
    @NeemAmianaMramiFamily 2 дня назад

    Kwani wewe hujawahi kuaona wazee wakiwa karibu na Rasi wa YANGA
    Huyu nae vipi kama anataka kuchonganisha watu wa YANGA huyu au anataka uongozi nini

  • @saidykumbilo
    @saidykumbilo День назад +1

    Musiba umeanza kutaka kutuvuruga tunakujua vzr hao wanaokusapoti hawakujui kabisa

  • @alfredbomani8047
    @alfredbomani8047 2 дня назад

    Mlhpuuzi usiturudishe . Una matatizo makubwa yasiyotibika. Upup I u tuuu

  • @SwadakatYusuph
    @SwadakatYusuph 2 дня назад

    Tulia baas usilefushe maneno ashakuelewa

  • @eliudbrown5
    @eliudbrown5 День назад

    Pumbafu kabisa,

  • @AniphaKalonge
    @AniphaKalonge 2 дня назад

    Hakuna Cha wazee kumbe tunashabikia mizimu uwiii maoni yako ndo hayo 🤣🤣🤣

    • @tanzanitetv
      @tanzanitetv 2 дня назад

      Wewe Aniphakalonge ni kati ya watz wachache wajinga,aliyekwambia wazee ni mizimu ni nani? Kwa hiyo ww baba yako akikushauri unamuweka kwenye kundi la mizimu?wewe kama ni ke basi ni hasara tu

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 2 дня назад

    Bora ww umeamua kuwaambia ukweli

  • @HenryJames-b1b
    @HenryJames-b1b День назад

    Wewe kama unajua waliko wapeleke kwny Tim yk wazee wengne kumbe wajinga ndo maan una akili uwez ajir makipa wa nje njo udake na kipara chako

  • @MarkMahela
    @MarkMahela 2 дня назад

    Wewe usifungwe wewe nani kwani yanga ni MUNGU

  • @MarkMahela
    @MarkMahela 2 дня назад

    Umeanza kupotea njia unaongea sana tukuachie wewe sasa yanga

  • @007-h9m
    @007-h9m 2 дня назад

    Musiba ni NG'OMBE KABISA😅😅 KAACHA SIASA IMEKUA NGUMU

    • @tanzanitetv
      @tanzanitetv 2 дня назад

      Wewe na baba yako mzazi ng'ombe ni nani?

    • @007-h9m
      @007-h9m День назад

      @tanzanitetv wewe ni ng'ombe njoo ukamuliwe

  • @BarakaMboyi
    @BarakaMboyi День назад

    Wakina magoma wako wengi unapoongelea marefa unamaanisha nn hizo Imani za kishirikina hatutfiki🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉😢

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 2 дня назад

    Huna lolote ww

  • @MarkMahela
    @MarkMahela 2 дня назад

    Wewe usifungwe wewe nani kwani yanga ni MUNGU