NONDO ATUPWA COCO BEACH NA WATEKAJI, ZITTO ASIMULIA “AMEPIGWA, ANA MAJERAHA, ATAELEZA AKIPATA NAFUU”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 19

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Час назад

    Pole sana Nondo.Mungu ni mwema atakulipia watesi wako na kuwaangamiza kwa mapigo manne.

  • @RichardBituroMakole-l4x
    @RichardBituroMakole-l4x Час назад

    AT kumbe ni moto soka cdm hadi Leo wanajuwa alikokwenda lkn hamna lolote.
    Muda mwingine walijuwa wameua.lkn Mungu ana jambo.nch siyo salama,
    Kusijekuapo. Mapandikizi hapo hosptl.yakaharibu hari ya hewa

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s 31 минуту назад

    Pole sana

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 2 часа назад +1

    DUNIA TUNAPITA

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 Час назад

    Mungu tunakuomba ulirehemu taifa lako. Macho yako yanaona kila kitu. Yanaona hata kile ambacho sisi watoto wako hatuwezi kuona! Tunaowategemea wako kimya basi wewe hautajamaza kwani unaweza kufanya yale ambayo sisi hatuwezi kuona

  • @makende82
    @makende82 2 часа назад +1

    Duh

  • @HamidJuma-h8w
    @HamidJuma-h8w 28 минут назад

    Yote haya yanatokea halafu huyo anaeitwa raisi kanyamaza kimnya yaan hana habari haswa na wananchi wa vyama pinzani

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 часа назад

    Lait mtu angejua kesho yake angeachana na ya Dunia amtafute MUNGU KWA gharama yeyote.

  • @HIDACHAPILE
    @HIDACHAPILE Час назад

    Wajinha nyie polisi wamkamate wamhoji

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 часа назад

    Dah😭😭😭😭😭

  • @KimarioMtumishi
    @KimarioMtumishi 2 часа назад

    😪😭😭😭😭

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 Час назад

    Nondo hana kosa ila alikosea kwenye mazishi pale Tanga alikuwa kimbelembele kuzomea waziri wa mambo ya ndani bwana Hamad Masauni.... Kwanza wote waislam pili Nondo ni mdogo sana kwa umri kuzomea kiongozi japo..... Sijui uislam unasemaje kuusu hili...

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 Час назад +1

      Likikufika utajua namna ya kukosoa

    • @peterjohnson167
      @peterjohnson167 Час назад

      @@maureenlilykiwia1515 Mweneweye natafakari kwa nini na kosa gani kafanya Nondo ili asulubiwe.... Hadi sija liona kosa na ndio maana yangu labda alicho kifanya Tanga ndio sababu...

    • @RichardBituroMakole-l4x
      @RichardBituroMakole-l4x Час назад

      Kuzomea si kosa,kuna watu wanazani hayatawafika.lkn kuna kiyama,

    • @emmylightbrian2497
      @emmylightbrian2497 Час назад

      Wewe nae unaongea pumba sasa udini unahusikaje

    • @peterjohnson167
      @peterjohnson167 55 минут назад

      @@emmylightbrian2497 Sio udini bali nauliza uislam umasema nini mtu mwenye umri mdogo kushambilia wakubwa..