poleni sana familia mama watoto Bila kumsahau Mama yangu Mh Rais wangu Samia saluhu na speaker wa Bunge Tulia Acson, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
😂 ahsante mkuu!!!! Watanzania tunatakiwa tujifunze lugha za kimataifa. Sio kugaagaa na kiswahili chetu kila mda. Hadi eti mtu akiongea kimombo tunakwazika na kupaniki, jamani? Nimefrahi kuwaskiliza hao watoto wa marehemu wakiongea kizungu safiii 👍... na katweng juu! 😂. Ni haki yao.
RIP Daktari kiongozi wetu! Ulikuwa mtu wa maana na mfano wa kuigwa. Halafu watanzania tujifunze lugha za kimataifa. Hadi eti mtu akiongea ki-english tunakwazika na kupaniki, jamani? Mwenyewe nimefrahi sana kuwaskiliza hao watoto wa marehemu wakiongea kizungu safiii 👍... na katweng juu! 😂. Ni haki yao kwani? Tuwaache waomboleze kwa amani.
Naona kimombo kwa watoto wa Marehemu imekuwa ni fasheni😂😂. Hawa watoto, wanakifahamu kiswahili viziri tu. Mbona huyo wa kiume millad Ayo TV walimuhoji akiwa kwao Kigamboni. Kuhusu wageni wa nhe, wao ni wachache. Kuna translation equipments, hutumika sana inapotokea kuna watu wachache wa kuhitaji tafsiri
Kwa Upande wingine nadhani wametumia kingereza kutokana na nafasi yake,,kumbuka alikua na nafasi kubwa Kwa Africa,, kikubwa pengine angeandaliwa mkaliman wao waongee kiswahili then kingereza Kwa ajili ya watu wa internationally
Imeanza kuwa common kwa watoto wa viongozi kuzungumza kwa lugha za kigeni. Na hivyo kuondoa ile thamani ya Lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Jambo hili linatwkiwa kutazamwa kwa wivu
Hivi misiba kwa sasa unatumika kuonyesha ujuzi wa kuongea Kingereza.Badala ya kuongea Kiswahili au Kisukuma hivi watanzania huu ushamba wa kutukuza Kingereza utatuisha lini?
Mwisho wa siku mtu Kama huyu anakuja na swaga za kugombea ubunge wakati hajui hata shida za watu wa Hali ya chini huyu mtu unadhani ataenda kuongea Nini na wananchi ambao Asilimia kubwa hawajui kingereza
To be honest tunapotea sana kwani KISWAHILI sio lugha yetu?? kiukweli Jamani mimi nipo Ulaya Miaka 20 but I’ll never allow my kids to forget my language
poleni sana familia mama watoto Bila kumsahau Mama yangu Mh Rais wangu Samia saluhu na speaker wa Bunge Tulia Acson, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
Mzee Kabudi my Daddy ❤❤❤❤ nimekuona nimefurahi sana Allah akulinde
Nao kiswahili hawakiwezi kama Watoto wa Mafuru, Poleni Sana kwa Msiba.
Sasa nikweli inauma lakini kama mtanzania alitakiwa kuongea kiswahili nasio luga ya kigeni
Poleni sana kwa msiba mzito ndugu zangu Mungu awatie nguvu
Kwahiyo hawajui kiswahili
Kiingereza ni lugha tu ya kimataifa. Isiwape shida. Bahati mbaya kama wengine kimewapita. Hujachelewa jifunze tu.
😂 ahsante mkuu!!!!
Watanzania tunatakiwa tujifunze lugha za kimataifa. Sio kugaagaa na kiswahili chetu kila mda. Hadi eti mtu akiongea kimombo tunakwazika na kupaniki, jamani? Nimefrahi kuwaskiliza hao watoto wa marehemu wakiongea kizungu safiii 👍... na katweng juu! 😂. Ni haki yao.
Jmn Baba yao alikuwa mtu mkubwa achen waongee kingereza bn msiba huo umejaa watu wa mataifa mbalimbali
Yani umeongea ka watu Mia hivi watu hukichukilia kingereza ni lugha sijui gani khe
😢😢😢😢😢😢😢😢poleni sana
RIP Daktari kiongozi wetu! Ulikuwa mtu wa maana na mfano wa kuigwa.
Halafu watanzania tujifunze lugha za kimataifa. Hadi eti mtu akiongea ki-english tunakwazika na kupaniki, jamani? Mwenyewe nimefrahi sana kuwaskiliza hao watoto wa marehemu wakiongea kizungu safiii 👍... na katweng juu! 😂. Ni haki yao kwani? Tuwaache waomboleze kwa amani.
Your parents are the only people who will be sincerely proud of your progress. Look at the pathetic comments of the ones complaining on the language
Jamani kusema za ukweli tu mimi na ukubwa wangu babangu alipokufa sijakuwa na moyo wa kuzungumza na macho makavu hivi!
Eti jamani mbona hawana uchungu hata kuvaa kilemba tu kichwani angalau kwa siku zile tatu mwee uwiiii ukiuliza msomi wananiuzi kwa mzazi hapana
Naona kimombo kwa watoto wa Marehemu imekuwa ni fasheni😂😂. Hawa watoto, wanakifahamu kiswahili viziri tu. Mbona huyo wa kiume millad Ayo TV walimuhoji akiwa kwao Kigamboni. Kuhusu wageni wa nhe, wao ni wachache. Kuna translation equipments, hutumika sana inapotokea kuna watu wachache wa kuhitaji tafsiri
We nae hujui kama apo kuna wageni wametoka nchi tofaut ndo maan wanaongea eng
Wengine hatelew munajisumbua
upo sahihi hapa. nibtanzania sasa kiingereza cha ninii😊
Nadhani msiba huu tusio jua kingereza hautuhusu apunzike kwa amani tu mbunge
Kwa Upande wingine nadhani wametumia kingereza kutokana na nafasi yake,,kumbuka alikua na nafasi kubwa Kwa Africa,, kikubwa pengine angeandaliwa mkaliman wao waongee kiswahili then kingereza Kwa ajili ya watu wa internationally
Duu 😂@@Yassinseleman
May be kwa sababu kunawatu wa WHO kutoka mataifa mengine ndyo maana wamerumia English kuweka usawa wa watu kuelewa
Kwa hiyo kumbe Ndugulile hakuwa mutanzania.
Alikuwa wa Canada 😅😅
Inawezekana wamezaliwa au kukulia majuu labda kuleta msawazo ili wananchi wake wa jimbo wajue wanachoongea hao watoto wangewapa wakalimani
Imeanza kuwa common kwa watoto wa viongozi kuzungumza kwa lugha za kigeni.
Na hivyo kuondoa ile thamani ya Lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Jambo hili linatwkiwa kutazamwa kwa wivu
Hivi misiba kwa sasa unatumika kuonyesha ujuzi wa kuongea Kingereza.Badala ya kuongea Kiswahili au Kisukuma hivi watanzania huu ushamba wa kutukuza Kingereza utatuisha lini?
Unajuaje kama hakukulia nchini? Pia usifikiri kiswahili ni rahisi kwa kila mtu kujieleza. Ni vema kuepuka kuwa hasi kwa wengine - negative perception.
Walioko humo wote wanajua kimombo? Wajomba, mashangazi, majirani n. K
Mwisho wa siku mtu Kama huyu anakuja na swaga za kugombea ubunge wakati hajui hata shida za watu wa Hali ya chini huyu mtu unadhani ataenda kuongea Nini na wananchi ambao Asilimia kubwa hawajui kingereza
Alafu wanasema.eti.watoto.wa.maskininwasome Degree ya kiswahili .alafu watoto.wao.wanasoma.lugha ya sokomla.kupqtq ajira
Huyo mtoto kwanza hata machungu na baba yake hana huyo
Kiswahili
Walizaliwa ulaya?
Ana watoto wawili tu?nauliza jmn
Ndio wawili
😂😂😂 wawili babu we jaza dunia
upo sahihi hapa. nibtanzania sasa kiingereza cha ninii
To be honest tunapotea sana kwani KISWAHILI sio lugha yetu?? kiukweli Jamani mimi nipo Ulaya Miaka 20 but I’ll never allow my kids to forget my language
Mimi sijui Kingereza niseme tu mbele yake nyuma yetu
Jamani mbona Kiswahili chetu ni kizuri tuuu, poleni watoto kwa msiba wa bb
Tutjuaje wamekwenda shule ?
Tuenzi lugha yetu ya kiswahili jamani tunaoabudu lugha za kigeni shida ipo wapi?
Kalagabaho!!
Watanzania amkeni ,akuna mbunge hata mmoja anayemsomesha mwanae shule inayoongea kwa kiswahili ,wanatufanya wajinga sisi
Kwani haobwatito hawajuwi Kiswahili?
Hakuwa na.mke
Inawezekana sio watanzania hao na hata ubunge mlimpaje huyu watu wa kigamboni
Wale wa st. Kazuma tupooo? Eti name natamani watoto wangu waongee kimombo
Kuongea kingereza mbele ya msiba mbele za watu huu ushamba 😅😅😅
Viongoz cku iz mpo dar au Dodoma hatuwaelew