🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 49

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 дней назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @MukamaKili
    @MukamaKili 7 дней назад +2

    Hongera sana TAL. Kilichofanyika ni somo kwa wapinzani wenu kuhusu Katiba. Kama Bwana Yesu alizuia risasi zisitambye ulipo ubongo wako na moyo wako that's good

  • @annaniasamuelmgawe1698
    @annaniasamuelmgawe1698 7 дней назад +1

    Congratulations Tundu Lissu......make chadema great again.

  • @AlfonceBundara
    @AlfonceBundara 7 дней назад +1

    Hongera sana Tindu lisu na John Heche Mungu awabariki sana awasimamie awape nguvu na hekima katika uongozi wenu awape ulinzi mkubwa

  • @cmmbungi1914
    @cmmbungi1914 7 дней назад +4

    John mnyika ni bonge la Katibu Mkuu, kwanza mtulivu mweredi na bonge la mtaalamu

  • @unclejamaltv9336
    @unclejamaltv9336 7 дней назад +3

    All the way from Kenya I'm team Tundu Lissy,.. congratulations Mr chairman

  • @mcmwitatv1951
    @mcmwitatv1951 7 дней назад +3

    Ila Lema Mwambaaa sana wakti akipokepokea Kura alikuwa anazikandamiza zionekana ndogo Boni Yai yeye anaweka Mlima Wengi wakajua Mbowe kapita 😅😅😅

  • @SaidShaban-p9v
    @SaidShaban-p9v 7 дней назад +1

    HongerA mheshimiwa lisu ombi langu jitahid Sana kupambana na ccm pigania katiba mpya mkuu tupo nyuma yako kwa maombi yetu kwa allah

  • @MartinaGitagno
    @MartinaGitagno 7 дней назад +1

    Hongereni sn kwa,uchaguzi mzima,

  • @ottomap-u2i
    @ottomap-u2i 7 дней назад +2

    Leo ndio mara ya kwanza kuona mkuu naye kavunjika guu.

  • @Said32613
    @Said32613 7 дней назад +1

    Kadi ya chadema naipata wapi

  • @IvanRaphael-hh6zz
    @IvanRaphael-hh6zz 7 дней назад

    Mh. Mbowe umeonyesha ukomavu mkubwa, somo umefundisha. Uliandaa uchaguzi huu vizuri sana!

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 7 дней назад +1

    Haya sasa mko wapi wafu wa Mboweeeee,,,kitu limeangukaaaa

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 7 дней назад +1

    Nimefurahi sana kwa kweli,Tundu anafaa

  • @MussaAidan-r2v
    @MussaAidan-r2v 7 дней назад +2

    Leo nitafute chakula kizul nikipendacho nile nifurahie ushind wa lisu

  • @nestor384
    @nestor384 7 дней назад +2

    Sasa hivi naweza kuchangia CHADEMA

  • @azadadel-g4e
    @azadadel-g4e 7 дней назад

    Mbowe ulitakiwa usome alama za nyakati mapema, ungeng'atuka. Mara nyingi watu wanaotaka mabadiliko huwa hawanaga sababu, na hawaangalii kiasi gani ume sacrifies maisha yako kwa ajili yao au taasisi unayoiongoza

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 7 дней назад

    Wale waliokuwa wakiapa Mbowe kushinda wameaibika kabisa.😊😊

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx 7 дней назад

    Lissu @ Heche majembe ya Chadema lazima pachimbike nawaaminia sana Hawa watu Hata bungeni ni noma

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 7 дней назад +2

    james mbowe wapi

  • @ThePrinceUva
    @ThePrinceUva 7 дней назад

    Ningekuwa mimi nasoma matokeo, ni hesoma matokeo ya Odero, af Lissu, ndo Mbowe, ili kuwapanikisha watu

  • @EnjoyadelaAdela
    @EnjoyadelaAdela 7 дней назад

    Vp odero jaman

  • @UmmyAbdy
    @UmmyAbdy 7 дней назад +1

    ❤🎉

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 7 дней назад +1

    SIO ULE UPUUZI WA JUZI KULE DODOMA
    HUU SASA NDIO UCHAGUZI

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 дней назад

    Usitudanganye fisiemu hawana viongozi wananunua chadema

  • @mnyamababavannessa8561
    @mnyamababavannessa8561 7 дней назад +1

    Hello

  • @MosesMwakatumbula
    @MosesMwakatumbula 7 дней назад +1

    Chama kimekomaa

  • @azadadel-g4e
    @azadadel-g4e 7 дней назад

    Navyomjua Mbowe, Lisu kazi anayo

  • @YahyaNuru-v7d
    @YahyaNuru-v7d 7 дней назад +1

    Huu ndo uchaguzi

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 дней назад

      Wenje yupo njiani kwenda mahakamani kukata rufaa

  • @MarryMasinga-w6n
    @MarryMasinga-w6n 7 дней назад

    Ccm mbele kwa mbele hata wawe majembe hawamzidi kasmu majaliwa

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth 7 дней назад +2

    Hata mke wake hakumpigia

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 7 дней назад +1

    Nilikuwa nafuatilia matangazo haya kupitia channel ya TBC. Kama kawaida nikashuka sehrmu ya kuandika ili nitoe ya moyoni. Loh! Nikakutana na neno, kikwetu: "comments switched off." TBC wanaogopa nini au ni mambo gani ya kiufundi yaliyosababisha wapate mfadhaiko huo! OK. Asante sana CHADEMA kwa fundisho kuu na la mwaka kwa taifa letu na hususani kwa vyama vya kisiasa vingine, ingefaa vijifunze tunu hii toka CHADEMA. Tuache uchawa. Uchawa si dili!

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 7 дней назад

    HIKI CHAMA KITAKUFA ITACHUKUA SIO MIDA MREFU

  • @Musaloitu
    @Musaloitu 7 дней назад

    🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏👍👍👍👍✍️✍️🙏👍👍📖📖✍️✍️👍

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 7 дней назад

    MOYO WANGU KWA ODEROO😂

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 7 дней назад

    Mbowe piga makofiio