MWENYE NYUMBA MCHAWI [2] Mwakatobe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 317

  • @officialdanfodio6420
    @officialdanfodio6420 Год назад +19

    Mwakatobe utatuuwa na vicheko all the way from 🇰🇪 kenya asema atamgeuza James delicious 😂😂😂😂😂

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc Год назад +12

    Mganga amenufuraisha atar namfananisha namzee magari sauti yake adi raha❤❤

  • @FaziliSelemani
    @FaziliSelemani 10 месяцев назад +2

    Nice on dubu tupee ❤part 3 mobb love from burundi

  • @FaziliSelemani
    @FaziliSelemani 10 месяцев назад +2

    Dubu na mwakatobe mmeuwapamoja na mwanga na msukule mtatuwa na cheko asaasa dubu na mwakatobe

  • @franciscoatanasiogabriel-zq8zd
    @franciscoatanasiogabriel-zq8zd Год назад +16

    Maneno ya muvi hiii makali sana! Mwakatobe kazi njema! Mozambique ❤

  • @EpsonFelician-qg6sf
    @EpsonFelician-qg6sf Год назад +5

    Mwakatobe umekuja kwa Kasi utakuwa bonge la star mzuri tunakupenda sana kwa Kazi Yako haufeli hata kidogo upo juu kwa Kasi 💯💯😀

  • @SharritheboyMondela-y9r
    @SharritheboyMondela-y9r Год назад +7

    Mwakatobe na juma kijocho wanakuja kasi kinoma wapo vzr

  • @edwadtobias
    @edwadtobias Год назад +6

    nimewakubali sana mwakatobe mzee wakuninginika

    • @JiftiMolin
      @JiftiMolin 5 месяцев назад

      🤣🤣🤣Atari na nusu mwenye nyumba wa motto🤣🤣🤣

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 11 месяцев назад +2

    Npo Mombasa Kenya " napenda xana mwakitobe kwa vichekesho

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 Год назад +9

    😂😂😂😅😅Baba mwenye nyumba we ni mwisho yani❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chaniboy8209
    @chaniboy8209 Год назад +20

    Ametisha sana mganga Juma Jicho😂😂😂😂😂

    • @african_amour
      @african_amour Год назад +1

      😂😂😂😂 believe me 😂😂 that's water 💦😂😂nayey nd amerig nchi ikapata uhuru

  • @SaumuJomba
    @SaumuJomba Год назад +14

    Mwakatobe more love kwako bro❤

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un Год назад +3

    Jumaa jicho nkupenda bure 🇰🇪🇰🇪

  • @calvinemwiya
    @calvinemwiya Год назад +5

    😂😂😂😂🙌🙌 eti uliniponzaa kweny BIG BOSS

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Год назад +4

    Juma jicho ni msenge Ameanza Kujikagua Matakon et niko salama 😂😂😂

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Год назад +7

    Kajicho na mwakatobe muvi imekamilika hahahahaha comedian Tamu atari

  • @JacklineGodwin-h4g
    @JacklineGodwin-h4g Год назад +2

    😂😂😂kwanini ifakara jmn 🙌🙌

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Год назад +11

    Mwakatobe anawezaaa Much love

  • @FaziliSelemani
    @FaziliSelemani 10 месяцев назад +1

    Umeuwa sana tim dubu tujuwane sana nawaombeni sana tim dubu

  • @abdullahtsuma-yl9qc
    @abdullahtsuma-yl9qc Год назад +21

    Nice one mwakatobe tupee 🔥 part 3 mobb love from Kenya 🇰🇪

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 6 месяцев назад +1

    Afu wew Mwakatobe mbona watoka kumlimisha Shujaa wetu wa Movie hii jaman unaroho mbaya wew,Ati ning'inika tu utapelekewa moto 😀🤣😀

  • @ElvinaDadu-hp2ib
    @ElvinaDadu-hp2ib Год назад +9

    Mob love mwakatobe, all da way from kenya

  • @RainatacristianoCristiano
    @RainatacristianoCristiano Год назад +9

    Nakukubali sana mwakatobi🎉

  • @neychuchu_love966
    @neychuchu_love966 Год назад +7

    😂😂 mwakatobe kaambiwa geuka tufanye kazi😂 that's juma jicho🎉

  • @BahatiHumwa-iy4in
    @BahatiHumwa-iy4in Год назад +1

    Daaah mwakatobe ujue unafurahisha sanaaa nakupata nikiwa ushetu Kijiji Cha bugomba b

  • @DeboraJones-d3d
    @DeboraJones-d3d 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂 mwakatobe aisee mauwa yako ❤❤❤❤❤

  • @RajabuBakari-jg3ft
    @RajabuBakari-jg3ft Год назад +8

    Waoooooh jamani mwakatobe ifakara kwetu mwenzio umenifuraisha sana

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад +7

    Wooow congratulations mwakatobe ❤❤❤

  • @anuarychuma5252
    @anuarychuma5252 Год назад +28

    Kumbe part 2 ya moto ivi 🔥🔥🔥🔥 yaan apo bado ujasema na utasema tu nampak useme😂

  • @alibubamwilomba6262
    @alibubamwilomba6262 Год назад +6

    Mganga Juma jicho + Mwakatobee 🔥🔥🔥🔥

  • @BigJohn-zo5hp
    @BigJohn-zo5hp Год назад +1

    jamaaa mwakatobe akijichanganya aje kilingeni ety aje namafuta hahaaaaa we juma wew

  • @TiffanyAllany
    @TiffanyAllany Год назад +1

    Daaa huyoo mchawi ana maneno Makali 10:05

  • @TiffanyAllany
    @TiffanyAllany Год назад +1

    Daaa huyoo mchawi ana maneno Makali

  • @sadru5710
    @sadru5710 Год назад +2

    Nampelekea moto 😃😃😃😃

  • @FeruziRamadhan
    @FeruziRamadhan 5 месяцев назад +1

    I like dubu kumari to mouch ❤❤ thx mwakatobe

  • @BigJohn-zo5hp
    @BigJohn-zo5hp Год назад +1

    juma bhana ety ye ndo aliyeloga Tanzania tukapata uhuru Tisha xana jumaaaaaaa

  • @MunyaoJulius
    @MunyaoJulius Год назад +5

    Kijana mwamba uyo mgumu na mjasiri yaan nmempenda bure❤

  • @luluforever2859
    @luluforever2859 Год назад +1

    Nimecheka sanaaa 😂😂😂😂hii movie noma hongera nyote mshikiana

  • @georgekaila6193
    @georgekaila6193 Год назад +12

    Watching from Russia 🪆 with love ❤

  • @MpunduMariam
    @MpunduMariam Год назад +4

    Mwakatobe kama mwakatobe unanifurahishaka sana 😂😂😂😂❤🇧🇮🇸🇦

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Год назад +2

    Mwak tobe umetishaaa bt 2nasubr episode 3

  • @TiffanyAllany
    @TiffanyAllany Год назад +1

    Saut ya mganga ni km mzee magarii hiviii

  • @TukusumaAngolile
    @TukusumaAngolile Год назад +2

    Kaka mwaka Tobe nakubali mbea tujuane

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 4 месяца назад +1

    Mwakatobe nakukubali i seeee😂😂😂😂

  • @fabienDC8431
    @fabienDC8431 Год назад +2

    Mwakatobe hiyo keep up Tanzania if Talent.

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Год назад +1

    Khaaa na khalist Tena Mzee wa midabhanguro

  • @JonasJorgeSelemaneSelemane
    @JonasJorgeSelemaneSelemane Год назад +10

    nankubali sana mwakatobe 🇲🇿🇲🇿

  • @maryammaryam7354
    @maryammaryam7354 Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman mchawi umelilimisha hilo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salimaiddy-jk7of
    @salimaiddy-jk7of Год назад +1

    Kazi nzur mno Ila mwakatobe penda sana ww maana nikiangalia move zako stress zote zinaisha maana si kwaivyo vituko vyako

  • @kwaleboy6064
    @kwaleboy6064 Год назад +1

    Mwakatobe yuko vizur sana yuko na kipaji kila filamu akiwepo huwa yapendeza

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +2

    Mwakatobe na juma jicho😂😂😂😂

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Год назад +5

    Mwakatobe mjinga sana. 😂😂😂😂😂😂

  • @jaysondamian9326
    @jaysondamian9326 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 poa sana mwakatobe

  • @evelynoscar5104
    @evelynoscar5104 Год назад +3

    juma jicho msenge sanaa😂😂😂fix nyingii

  • @shebynizedaudi336
    @shebynizedaudi336 Год назад +4

    Nakukubali Sana mwakatobe 💥💥💥

  • @edinarobert6716
    @edinarobert6716 Год назад +2

    Anakudanganya huyo huo mufupa wa kuku kaiba kwangu😅😅😅😂😂😂😂

    • @Khalist_Tz
      @Khalist_Tz Год назад +1

      😂😂😂 sijaiba mbn wanisingizia

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 Год назад +4

    HAhaaa yani JUMA SELEMANI kageuzi Mbwa Jike!!!🤣🤣🤣🤣

  • @saidkadute6560
    @saidkadute6560 Год назад +2

    eti uliniponza kule kwenye bigboss😂😂😂

  • @rubamborocky237
    @rubamborocky237 Год назад +1

    😁😁😁 eti batimbi natiliyo, mukatobe we ni vichekesho,tatizo unahongeya sana.

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf Год назад +2

    Hahahaha daaa mwakatombe anajuaga kunifurahisha

  • @AsmaKhamiss
    @AsmaKhamiss Год назад +4

    Juma jichooo😂😂😂

  • @mbwelamedia3469
    @mbwelamedia3469 Год назад +1

    😂😂😂😂 unajua mwakatobe Ni mwehu sana 😂😂😂 Kaz nzr kk tall mnyama

  • @LaulianLucas-yc6og
    @LaulianLucas-yc6og Год назад +2

    😂😂😂😂mganga na mteja ake sasa mitandao kimoja kweli wachumba

  • @bernardojeronimomaeve
    @bernardojeronimomaeve Год назад +4

    Nakukubali sana mwakatobe from Moçambique

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 Год назад +2

    ,,😂😂😂😂du hi Kali mwakatobe utaia😂😂😂

  • @fahadykajugus
    @fahadykajugus Год назад +1

    Je umeangalia snake queen ww ilipofikia ni patam sana

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад +3

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nimechekaaa sanaaaaaa

  • @Bintsalum
    @Bintsalum Год назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 imenibidi nicheke2 ❤❤❤ yaani motoooo❤❤❤❤❤

  • @BrayoohLyttah
    @BrayoohLyttah Год назад +2

    Jumma jicho kizungu hicho😅😅😅

  • @noticiasemvoz-sg9qy
    @noticiasemvoz-sg9qy Год назад +8

    Mozambique 😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 like zango

  • @mchokozi045
    @mchokozi045 Год назад +1

    Mim ndio nililoga mpaka taifa likapata uhuru dadekiii😅😅😅😅

  • @oluodokabaka5293
    @oluodokabaka5293 Год назад +3

    Mganga kapelekewa moto.. 😂😂..

  • @nuhujuma2530
    @nuhujuma2530 Год назад +1

    Nice mwakatobe nuhu from songwe,

  • @MaurinhosaidelucaisSaidelu-h6x
    @MaurinhosaidelucaisSaidelu-h6x 2 месяца назад +1

    Kazi mzuri mwakatobe

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Год назад +3

    We matango nyanya, mganga ana tatoooo 😂😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 11 месяцев назад +1

    Duu mwakatobe mungu anakuona

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 Год назад +2

    James delicious umefikiwa😂😂

  • @ناصرالمطيري-م6ع
    @ناصرالمطيري-م6ع Год назад +1

    😂😂yuwa washwa ana amu ya kukunwa ana neng'eneka yuwataka kupelekewa moto😅😅mchumba tu zuchu

  • @Harima865
    @Harima865 Год назад +1

    Ila mwakatobe khaaa 🙌🙌😂😂😂😂😂

  • @MjuniPaul
    @MjuniPaul Год назад +2

    We matako😂😂😂😂

  • @husnaabdullah3009
    @husnaabdullah3009 Год назад +1

    Mwakatobe unanimaliza 😂😂😂 yn hiyo mistar unayo ondoka nayo so pw😂

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 Год назад +1

    Kwakwel mwakatobe unajua kuchekesha mi neno yako

  • @JoycePeter-b1c
    @JoycePeter-b1c Год назад +1

    Nice xanaa mwakatobe🎉🎉🎉

  • @lawrencekipsang2887
    @lawrencekipsang2887 Год назад +1

    Namkubali sana hidden bwoy penda wewe
    Bure napenda wimbo yako ya mbwaa wewe nakuchikia

  • @rahimudunia
    @rahimudunia 9 месяцев назад +1

    Mupovizuli kinoma😢😢😢😢😢😢😢

  • @StephanoCdaniel
    @StephanoCdaniel Год назад +3

    Mwakatobe piga kazi mzee wa maokoto😂😂

  • @oddofzzer-il6lk
    @oddofzzer-il6lk Год назад +1

    unajitahid sanaaa mwaka mganga😂😂😂

  • @oddofzzer-il6lk
    @oddofzzer-il6lk Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ Tuendeleeeeeeee

  • @AnnahLusia-bz3lc
    @AnnahLusia-bz3lc Год назад +2

    Eti James Delicious😂

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +1

    Mganga mwakatobe napenda sna movie zeny umo emo

  • @FalesnestoryBilago
    @FalesnestoryBilago Год назад +2

    Mwakatobe wajua aisee🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @habibuhanifa1090
    @habibuhanifa1090 Год назад +1

    😂😂😂yani mwenye nyumba wa hivi dah mbavu zangu

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Год назад +2

    Nakupa mboo mboga zamajani🎉

  • @Dennismwirigi-i2p
    @Dennismwirigi-i2p Год назад +1

    bado hujasema.. na utasema . ... mbaka usemeee

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Год назад +3

    Otimbi natimbilio 😂😂😂😂😂

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys Год назад +1

    Bado haujasema na Utasema, Mpaka useme 😂😂😂😂😂😂

  • @esther-yt5or
    @esther-yt5or Год назад +2

    Daaah nzuri saana hii

  • @bensonchevose
    @bensonchevose Год назад +2

    Akianani mwakatobe unanifraisha na misemo yako bwanae

  • @tuombemamila1364
    @tuombemamila1364 Год назад +1

    Juma jicho 🤣🤣🤣 umenivunja mbavu

  • @ManuelIsildo
    @ManuelIsildo Год назад +1

    Mwakatobe nakubaly sana kaz yako