Wakenya wahofia kodi kupanda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 июн 2024
  • Mafuriko makubwa yaliyoshuhudiwa nchini Kenya pamoja na mfumuko wa bei ya chakula, unaendelea kuathiri uchumi wa nchi hiyo. Huku serikali ya Rais William Ruto ikajiribu kutafuta suluhu ya misukosuko hii, mapendekezo ya nyongeza ya ushuru kwenye bidhaa muhimu yamezua wasiwasi na ghadhabu miongoni mwa wananchi.
    / trtafrikasw
    / trtafrikasw
    / trtafrikasw

Комментарии •