Inauma sana! Kuna viongozi wanatesa wanyonge kama hao. Wakati rais anahangaika kutatua kero za wanyonge huku wengine waliopewa nafasi wanafanya kinyume. Hivi Huyu Rais atashika lipi aache lipi? Viongoz wanapewa nafasi ya kumsaidia lkn mkishakalia kiti mnakuwa Mbogo Taifa halijengwi na kiongozi mmoja bali na viongozi wote na wananchi Wa Taifa husika. Ahsante Millard Ayo kwa kumulika Jamii na kutupa picha kamili iliyoko kwenye jamii yetu
Mh raisi huyo masai anatia huluma sana mpaka machozi kunitililika kana kwamba mimi ndo mwenye hao ng'ombe hebu chunguza hilo jambo lake uone ukweli wake ukowapi ujue namna ya kumusaidia .mh raisi tunakupenda sana sisi wananchi wako .kutokana na utendaji mzuri unao unaofanya juu ya nchi yako. We love you baba.
Mzee wangu mm ni muislamu ww ni mkristo lakini licha yakuwa na tofauti ya ya dini ila hili limenigusa.na kwenye maandiko ya mtume wetu muhammad (s.a.w) yanasema duwa yamwenye kudhulumiwa hairudi hata kama nikafiri.mwisho wa kunukuu.pole sana mzee ninakuonea huruma mzee wallahi ninatamani niwe kiondozi leo nikusaidie ila ninahakika raisi wetu nimsikivu lazima atatenda haki raisi wawote raisi wawanyonge pole baba nimeguswa na Allah atakusaidia utapata haki yako ww na wenzako imeandikwa kwenye qur'aan tukufu ya kwamba ""baada ya dhiki faraja"" pole baba ww nimfano wa baba yangu kwaumri ulio nao ninakutaki mwisho mwema wa kesi na Allah yuko pamoja naww na wenzako kwa ujumla haki itatendeka aamin.
Yupo mungu ndugu yangu ukijiuwa utapoteza hakizako na utakuwa umemkosea mungu mungu anaenda kuku fungulia milango mingi ndugu yangu mpaka utashangaa mwisho waakilizetu mungu anaanzia hapo
Haya nizaidi ya maumivu.. nimeangalia tu mwenyewe nimejikuta nalia muda wote. . sisi wamasai kitu tunakitegemea Sana Kama msaada wetu Ni ng'ombe kwani ndo chakula, na inayotupatia pesa za matumizi na Ada za shule. Sasa kumdhulumu mtu ng'ombe wake Ni Kama umemchukulia kila kitu chake😭😭 look baba ameachwa adi na wake zake umefika sehemu anawaozesha wanae bila kupenda 😭😭😭 .. pls mamlaka husika tunaomba mtoe sauti kwa hili, inaumiza sana Kama haya Mambo yakiendelea.. ukifkiri kwa upande mwingine unaona kua yawezekana wakawepo wengine wamenyanyashwa Ila nguvu ya kuendesha kesi hawana so wanaamua tu wanyamaze . .. Pls Mheshmiwa Rais JP.Maguful naomba utututazame jamii yetu ya wafugaji😭💔💔😭😭
Pole sana Ndugu,pole sana. Rais amekusikia na atakusaidia,pole sana Mtanzania mwezetu,pole sana,Mungu yupo,haki yako utapata,wala usijiue au kujidhuru kwa namna yoyote ile.
I felt his pain you all know how hard it's for a simple person in Africa. He sold his kids jesus have mercy. The person responsible for his pain he will have more pain in life. For the cry of children sold and sleeping empty stomach.
Yaani, inauma sana tena sana😭 ila Mungu yupo na ataukumu apa apa duniani agheira itapita esabu tu na haki ya mtu ailiki utapata tu aki yako insha Allah dah!
Kabla ya kumuona Rais awaone vioongozi wa ngazi nyingine kabla ya Rais kwasabsbu wanafanya kazi chini ya Rais pia wameteuliwa na Rais kwenda kumuona Rais kabla ya kuwaona wawakirishi wa Rais ni uchonganishi
@@edesmwanakulya6453 unasema awaone viongozi wengine wakati ameshawamaliza kuwaona hiyo dhulma itaisha lini kwa viongozi Wa cgini wakati wanalipwa mishahara kila mwezi?
@@kkhalifairumba2932 Tena hawa Viongozi wa ngazi za chini ndo wanaotindinganya mambo🤔tena me napendekeza wachapwe viboko maana hawajui wanachafua serikali.
Aisee nimejikuta machozi yananitoka,,....ukiona baba mtu mzima kama huyu anatoa machozi .....aisee nimekosa maneno ya kusema, pole baba Mungu akusaidie.
Usikat tamah mapema bab yang we endel kumlia mungu wako hatakusaid tu usijl mweny mungu hakupe tumain ya kupat ngombe wako rais wetu hatakusikiza na hatakusaidia mim nakuaombe kwa mungu hawez kurudisha family yako na watoto wako huweze kuludi kweny maisha yenu yeny fuhar na aman ombaa mlilie mungu wako 😭😭😭😭😭
Moja kati ya wakuu wa mikoa ambao wakomakini wanatekeleza majukumu yao vizuri na kumsaidia Raisi pasipo kumshirikisha au kumsumbua kwa matatizo madogo madogo kama haya mhe AllyAppy tatizo ni kwamba viongozi wengi wana tamaa wanapenda rushwa ,dhuruma Happy anasimama kama mfano
pole sana mzee.... Kushika Mifugo ya watu kwa muda wote huu sio haki, huyu mzee ameteseka, kulia kwake hadharani ni ushahidi tosha kwamba amepitia mateso mengi. Rais JPM amekusikia
This us more than pain jaman Apewe haki yake ameniliza, ikumbukwe wamasai kula kwao kuendesha familia ni mifugo yao lakin pia Masai ajui kusema uwongo ebu fikir watoto 40 wake sita atawaudumiaje, Mungu atusaidie sana mm ni mgumu wa kulia lakin kwahili nimemshindwa kuvumilia hiv leo akamuua kuvunja chungu walio kula mifugo yake watamezwa wote ile kitu aina mchezo ila Mungu nisamehe maana tayar mm ni mkristo
Hii inch hii nasema hii inchi mdomo wangu koma lkn hii inchi hii.. Mdyo maana mungu anakuwa mgumu sana kutoa maamuzi kwenye maombi kwa sababu anatujua kabisa miyoni mwetu 🙏
Millard nimelia Sana Sana Sana nimepiga magoti hiki kilio cha huyu mlemavu nae ameniwazisha mengi Sana ninavyoomba Rais wetu atayapokea haya maombi ili awatetee hawa wanyonge. Ee baba namuombea RAIS wetu mema ya nchi ili atetee hawa wanyonge Amina
Daahh..so hurt...nilichokisikia pia kilichoniuma xn 😓😓watoto kuuzwa...halo walioshiriki katik ng'ombe kuwapoteza na kutofany hadilifu mungu anawaona hii ni dunia tu,,,am done😓😓
Pole sana naamini suala hili wahusika wameliona na wanalifanyia Kazi. Msaidieni huyu Mzee maana haki ipo upande wake kulingana na hukumu zote zilizotolewa
Duniani kumjaa dhuruma .. haki ipo kwa Mungu tu kikubwa usikate tamaa mzee wangu.... Usifikirie kukatisha maisha yako kisa tu mali wamekunyanganya ..ipo siku utapata zaidi ya hao ng'ombe wako.
Duh😥nimeumia Sana kumuona mtu mzima kama huyu akidhurumiwa mali yake mpk inafikia kuwauza wanae ili alipe madeni😫😭😭 rais wa wanyonge hebu fanya kitu mana hii imeniuma mpk nikatamani Mimi ndoningekuwa baba magufuli ili niwaoneshe hawa watu wanaotumia vyeo vyao kuwanyanyasa wananchi wasio na hatia
Kumuona baba km huyu analia ni maumivu yaliyopitiliza,jamani waziri wa mifugo msikie huyu baba.Wote tulio comment humu tukumbuke kumuombea huyu baba, kwa maombi ya wote sisi Mwenyezi Mungu ameshasikia tayari.Jipe moyo baba,Mwenyezi Mungu alijua unaweza vuka hili jaribu na hakika umeshavuka.
Pole kwake mhusika!Lkn MTU wa kufuatilia hili kwa karbu ni mbunge kama naye kashindwa atakuwa ni mzigo!Pia kuna ngazi kadhaa b4 kwa Rais, mahakama zinapotoa hukumu ofisi za wakuu wa Wilaya zina mandate ya kutoa order ya m2 fulani kulipwa ama kukamatwa kwa mali hivyo ni vema angepitia level hizo!
Pole mungu akutie nguvu usikate tamaa mungu yupo pamoja nawe Daah mpaka nimeumia kwa kweli.
Kama machozi ya huyu mzee yamekugusa kama mimi tujuane
Atakutetea In sha Allah nimtetezi má sha Allah
Binaadamu sio watu
Kweli kuna miungu watu humu duniani? Mzee anatoa machozi kabisa Raisi tunaomba msikie baba huyu
Inauma sana! Kuna viongozi wanatesa wanyonge kama hao. Wakati rais anahangaika kutatua kero za wanyonge huku wengine waliopewa nafasi wanafanya kinyume. Hivi Huyu Rais atashika lipi aache lipi? Viongoz wanapewa nafasi ya kumsaidia lkn mkishakalia kiti mnakuwa Mbogo Taifa halijengwi na kiongozi mmoja bali na viongozi wote na wananchi Wa Taifa husika. Ahsante Millard Ayo kwa kumulika Jamii na kutupa picha kamili iliyoko kwenye jamii yetu
Ayo TV Mungu awazidishie wafanyakazi wote mnapambana sana kutuhabarisha
Allah akbar, mwenyezimungu akupe subra,na akufanyie wepesi upata hitajio lako inshaAllah.
Amin
Duuuh! Maisha haya jamani mungu yupo amsaidie baba huyu like my father at
Ooh my God am feel so painful.😥😥😥 Dhulma ya Allaah msaidie hyu mzee wa watu ameniliza pia mimi
Kama machezo ya huyuu mzee hayatamuacha mtu salama Gonga like tujuane
Mh raisi huyo masai anatia huluma sana mpaka machozi kunitililika kana kwamba mimi ndo mwenye hao ng'ombe hebu chunguza hilo jambo lake uone ukweli wake ukowapi ujue namna ya kumusaidia .mh raisi tunakupenda sana sisi wananchi wako .kutokana na utendaji mzuri unao unaofanya juu ya nchi yako. We love you baba.
😭😭😭😭Masikin pole sana baba Mungu akufanyie wepes
Amin
Naamin kwa jinsi raisi wetu asivyopenda vitu vya kona kona, kwenye hili hatamwacha mtu salama! Natamani kujua mwisho wake! Hongera Ayotv
Nimelia kwasababu nimefeel Kama baba angu 😭😭😭😭😭😭😭 ,pole Sana .
Daaaaah pole
Pole sana ndugu yangu jamani mimi huyu amenigusa kwani mimi pia mtoto wa mfugaji ombi langu serikali imsaidie huyu mzee
upendo Enock Duuuh kweli
upendo Enock vip mama
@@jacksonmesaya3145 salama
Mzee wangu mm ni muislamu ww ni mkristo lakini licha yakuwa na tofauti ya ya dini ila hili limenigusa.na kwenye maandiko ya mtume wetu muhammad (s.a.w) yanasema duwa yamwenye kudhulumiwa hairudi hata kama nikafiri.mwisho wa kunukuu.pole sana mzee ninakuonea huruma mzee wallahi ninatamani niwe kiondozi leo nikusaidie ila ninahakika raisi wetu nimsikivu lazima atatenda haki raisi wawote raisi wawanyonge pole baba nimeguswa na Allah atakusaidia utapata haki yako ww na wenzako imeandikwa kwenye qur'aan tukufu ya kwamba ""baada ya dhiki faraja"" pole baba ww nimfano wa baba yangu kwaumri ulio nao ninakutaki mwisho mwema wa kesi na Allah yuko pamoja naww na wenzako kwa ujumla haki itatendeka aamin.
Yupo mungu ndugu yangu ukijiuwa utapoteza hakizako na utakuwa umemkosea mungu mungu anaenda kuku fungulia milango mingi ndugu yangu mpaka utashangaa mwisho waakilizetu mungu anaanzia hapo
Sijawahi ona masai analia kwanza hawajuagi uwongo jamani nimesikia uchungu
Yaani mbele ya ng'ombe lazima Alie Bora hata angekuwa mtoto labda asingelia hayo machozi.
For sure dada hii imewagusa wengi, na sisi wafugaji tunaonelewa Sana! Ng'ombe 311 sii mchezo
Blandina Mnyinga kweliii kabisa
@@godfreymahavile4688 yap!!!
@@amosikabalata6381 poleni Sana moja ya chamamoto za maisha
Haya nizaidi ya maumivu.. nimeangalia tu mwenyewe nimejikuta nalia muda wote. . sisi wamasai kitu tunakitegemea Sana Kama msaada wetu Ni ng'ombe kwani ndo chakula, na inayotupatia pesa za matumizi na Ada za shule. Sasa kumdhulumu mtu ng'ombe wake Ni Kama umemchukulia kila kitu chake😭😭 look baba ameachwa adi na wake zake umefika sehemu anawaozesha wanae bila kupenda 😭😭😭 .. pls mamlaka husika tunaomba mtoe sauti kwa hili, inaumiza sana Kama haya Mambo yakiendelea.. ukifkiri kwa upande mwingine unaona kua yawezekana wakawepo wengine wamenyanyashwa Ila nguvu ya kuendesha kesi hawana so wanaamua tu wanyamaze . ..
Pls Mheshmiwa Rais JP.Maguful naomba utututazame jamii yetu ya wafugaji😭💔💔😭😭
Pole Sana baba Mungu akutie nguvu na akusaidie upate haki yako
Pole,Mbal na rais hata Mungu kakusikia,msubr akufanyie njia
Magufuli muone baba huyu anavyo teseka na maisha alio nayo sasa naomba msaidie juu ya mifugo yake aipate asante gonga like
Pole sana Ndugu,pole sana. Rais amekusikia na atakusaidia,pole sana Mtanzania mwezetu,pole sana,Mungu yupo,haki yako utapata,wala usijiue au kujidhuru kwa namna yoyote ile.
Amaa kweli,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
I felt his pain you all know how hard it's for a simple person in Africa. He sold his kids jesus have mercy. The person responsible for his pain he will have more pain in life. For the cry of children sold and sleeping empty stomach.
Rose Grminder ameeeeennn
Presedent do something😭😭😭
Yaani, inauma sana tena sana😭 ila Mungu yupo na ataukumu apa apa duniani agheira itapita esabu tu na haki ya mtu ailiki utapata tu aki yako insha Allah dah!
Pole Sana shujaa pamoja na mahakama kukupa haki bado hukupewa haki. Wamekudanganya Rais wetu haingiliagi maamuzi ya mahakama.
Pole sana ndugu yangu. Mungu akupiganie
Mheshimiwa Rais Tafadhali hebu Muone huyu Raia wako
Mm ninahasira sana
Kabla ya kumuona Rais awaone vioongozi wa ngazi nyingine kabla ya Rais kwasabsbu wanafanya kazi chini ya Rais pia wameteuliwa na Rais kwenda kumuona Rais kabla ya kuwaona wawakirishi wa Rais ni uchonganishi
@@edesmwanakulya6453 unasema awaone viongozi wengine wakati ameshawamaliza kuwaona hiyo dhulma itaisha lini kwa viongozi Wa cgini wakati wanalipwa mishahara kila mwezi?
Dah wala sio huyu tuu watu wanateseka sana hukoo😥mungu wasaidie hawa watu maana viongoz wetu bongo wanaangalia matumbo yao tuu😔
@@kkhalifairumba2932
Tena hawa Viongozi wa ngazi za chini ndo wanaotindinganya mambo🤔tena me napendekeza wachapwe viboko maana hawajui wanachafua serikali.
jamani mwenye kuweza kumsaidia amfikie raisi , this is painfull
Aisee inauma saana yan unazurumiwa hv hv. Pole sana mzee hao ng'ombe wako watarudi rais wetu hachekag na watu kama hao.
Aisee nimejikuta machozi yananitoka,,....ukiona baba mtu mzima kama huyu anatoa machozi .....aisee nimekosa maneno ya kusema, pole baba Mungu akusaidie.
Jamani pole sana mzee, Rais atakusaidia naamini hivyo maana ni mtetezi wa wanyonge
Magufuli. Nakuaminia. Na. Makonda. Mpo wapi. Majaliwa. NawAaminia
Kesi. Imeisha apo mifugo yako utaipata. Raisi wetu. Tunamuaminia
@@said306nyatu9 sana sana mtetezi wawanyonge atamsaidia hakika
Mheshimiwa Tafadhali wewe ndie Baba yetu mtetezi wetu.hebu muone Raia wako hebu mfute machozi yake.
Kabisa yaani
Daah pole sana baba mungu akupe wepes rais tuomba usikie kilio cha huyu baba
Daaah inauma San
Rais wetu msaidie uyo ndugu hap wauni wachache wameuza ngombe zake ban
Leo ndiy maraa ya kwanza kuona Masai mtu mzima analia
😭😭😭😭😭😭😭😭
Yani kweli masai alii bure bure inauma
@@sakinat2527 Ni kweli kabisa
Dah Masai analiaa aisee,, pole babaangu,, 😭😭😭
Daaaah Mungu amsaidiee serikari iweze kuingilia Kati swala Hilo mtanzania mwezetu aludishiwe Mali zake
Yoh daddy don’t cry 😢 it’s painful God finish them this son of. Babylon put them to shame haki not fair 😢😢😢
Pole mzee. Nenda kwa waziri mifungo na uvuvi. Mheshimiwa mpina atakusaindie
Pole mzee wangu haki itatendeka umesikikaa
Usikat tamah mapema bab yang we endel kumlia mungu wako hatakusaid tu usijl mweny mungu hakupe tumain ya kupat ngombe wako rais wetu hatakusikiza na hatakusaidia mim nakuaombe kwa mungu hawez kurudisha family yako na watoto wako huweze kuludi kweny maisha yenu yeny fuhar na aman ombaa mlilie mungu wako 😭😭😭😭😭
pole sana mungu tazama haki zawatu hawa watawala hawa wasiojua haki zawatu
waziri fanya kazi yako sio mpaka raisi aangaike!
Dah mpaka na mimi nimelia jamani msaidie huyu mzee haki ya mungu machozi ya huyu mzee hayatowaacha salama
😢😢😢😭😭😭pole baba Mungu ndiye hakimu imeniuma sana na hao watoto jamani 😢😢😢😭😭😭
Moja kati ya wakuu wa mikoa ambao wakomakini wanatekeleza majukumu yao vizuri na kumsaidia Raisi pasipo kumshirikisha au kumsumbua kwa matatizo madogo madogo kama haya mhe AllyAppy tatizo ni kwamba viongozi wengi wana tamaa wanapenda rushwa ,dhuruma Happy anasimama kama mfano
Mungu yupo na ww Rais wetu akatujibu tu Inshaallaah watanzania wote tupo naww
pole sana mzee.... Kushika Mifugo ya watu kwa muda wote huu sio haki, huyu mzee ameteseka, kulia kwake hadharani ni ushahidi tosha kwamba amepitia mateso mengi. Rais JPM amekusikia
This us more than pain jaman Apewe haki yake ameniliza, ikumbukwe wamasai kula kwao kuendesha familia ni mifugo yao lakin pia Masai ajui kusema uwongo ebu fikir watoto 40 wake sita atawaudumiaje, Mungu atusaidie sana mm ni mgumu wa kulia lakin kwahili nimemshindwa kuvumilia hiv leo akamuua kuvunja chungu walio kula mifugo yake watamezwa wote ile kitu aina mchezo ila Mungu nisamehe maana tayar mm ni mkristo
Mungu uliye hai upo , yaone Haya. Mtendee huyu mwanao ajue upo.
juliana mmbaga amen
Amina
Mwnyez mungu hakuzaa wala hakuzaliwa ss hyu masai mtafutien babaake ila ng'ombe zake mrejeshen jaman cry forever
Mungu hakuza wala Haku zaliwa SURATUL IKHLAS
Poleni sana rais wetu ni msikivu naamini haki itatendeka
Subhannallah
Daaaah poleh xnaaaa mzee mungu yupo atakuxaidia
Hii inch hii nasema hii inchi mdomo wangu koma lkn hii inchi hii.. Mdyo maana mungu anakuwa mgumu sana kutoa maamuzi kwenye maombi kwa sababu anatujua kabisa miyoni mwetu 🙏
Jamani ukiona mzee kalia mbele ya nchi ujue laana zinashuka mwenyezi mungu tusaidie
Millard nimelia Sana Sana Sana nimepiga magoti hiki kilio cha huyu mlemavu nae ameniwazisha mengi Sana ninavyoomba Rais wetu atayapokea haya maombi ili awatetee hawa wanyonge. Ee baba namuombea RAIS wetu mema ya nchi ili atetee hawa wanyonge Amina
Daahh..so hurt...nilichokisikia pia kilichoniuma xn 😓😓watoto kuuzwa...halo walioshiriki katik ng'ombe kuwapoteza na kutofany hadilifu mungu anawaona hii ni dunia tu,,,am done😓😓
pole mzee magufuli kasikia
Umejitahidi lalashe kujieleza
Mungu akusimamie upate haki yako
Chozi lako halijadondoka bure Baba😭😭 pole sana
Subuhanallah. pole saana mzee wangu.
Machoz yamenitoka jaman😭😭
Wallah tena amenitoa machozi kweli
Kiteto kuna machafu sana rushwa unyanyasaji wa hali ya juu. Ngoja ninyamaze kwanza.
Pole mzee
Ujumbe unaumiza sana,
Powerful message!
Hii haijakaa vizuri imenifanya nimelia ameozesha watoto kisa pesa ya riba dunia huna huruma ww
Oooh my God nilikua nafikiri ni kenya tuu haina haki jameni saidieni mzee aki
Pole mzee aisee nimelia daaaa
Kiteto home kbs ❤️pole mzee raisi atakusaidia inshaalah
Ukitak ujuwe kama viongozi wetu wengi ni madhalim ona vitu kama hvi
Inasikitisha sana yaa sisi kwa sisi tuna nyanyasana kwasababu ya vyeo vyeo ambavyo wanyanyaswaji ndio tuliowaweka mungu atunusuru
Mungu akupiganie babaangu
Mungu musaidie huyu Baba ! Kiukweli nimeumia Sana naona kama vile nimetendewa mimi
Sad sad sad....uonevu huu na unyanyasaji huu...hakika hakika...Kama Mungu aishivyo....
Pole sana naamini suala hili wahusika wameliona na wanalifanyia Kazi. Msaidieni huyu Mzee maana haki ipo upande wake kulingana na hukumu zote zilizotolewa
Hii kitu inauma sana pia inatia sana uchungu mkumwa sana Mungu mtie nguvu aweze pata haki yake na aweze kurudi katika maisha yake ya sikuzote
Inauma sana kuna watu wanatumia nafas walizopewa kuumiza wanyonge kutoka ng'ombe 300 mpaka 0 pole sana mzee
😢😢😢😢😢😢😢inaumiza sanaaa Mungu atakuonekania baba yangu
Kilio cha mtu mzima ujue kina jambo. ..Pole sana baba Mungu atakupgnia ..Rais usichoke kuwatetea wanyonge
so painfully it hit me like ooh those tears.... jmn kuoza watoto apate hela😭😭😭😭
Inauma sn
So sad
maskin huyu mzee mungu amsimamie, nchi hii dhulma imetawala, binaadam wamekosa imani
Duh mmmmmh
Millard barikiwa sana
Pole sana mzee wangu
Pole San baba uaijali Allah yu pamoja na wew na jembe ataku kusaidia
Imeniuma sana 😭😭😭😭
Kesi imeisha iyo baba yamaza kulia atakusaidia magu ni jembe awezi kukuacha mungu akutie nguvu katika hili🙏🙏🙏
Nahisi kama hyu ni my really father...i feel painful in my heart. 😂😂😂😂😂
Sasa unacheka nini nijambo la kucheka hilo?? Km kweli umeumia hebu jaribuni kutumia emoji zenu vinzuri
@@niaanthony9588 nahis hajaelewa maana ya iyo emoj ndiomaana wengi huzichanganya
kwakweli hiikazi
@@niaanthony9588 Huyu kweli hafahamu hizi emoji.
@@Siasia209 mpuuzi uyu a nacheka nini
Duniani kumjaa dhuruma .. haki ipo kwa Mungu tu kikubwa usikate tamaa mzee wangu.... Usifikirie kukatisha maisha yako kisa tu mali wamekunyanganya ..ipo siku utapata zaidi ya hao ng'ombe wako.
Watoto 42 duh 🙄🙄🙄🙄🙄 ila pole Sana mzee wangu mungu atakulipia jmn
Hivi huyu rais si anawasaidizi jaman mbona wanampa mzigo mawazir wako wapi
Wakitumbuliwa wanachanganyukiwa
Tunakula ng'ombe unaweza kuta za dhurumaa daaa
Mungu akupiganiye inauma
duh mtu mzima yuwalia kwa uchungu 😢😢inshallah nguvu yko utaipata
Dah mungu mkumbuke uyu mzee anateseka sana atakufa kabla ya mda wake jmn dah hivi kwann watu kma mashetan??
Mungu yupo atakufanyia wepesi
Pole sana Mzee Mungu atakutetea
Yesu wangu kuitoa hiyo
Daa! Uongozi ni kazi ngumu sana.
Mpeni ngo'mbe wake jaman ongopen dhuruma, 🙄 MUNGU AWE MSIMAMIZI WAKO IN SHALLAH
Mambo
OOh, pole sana mzee. Jameni mzee huyu asaidiwe kupata ngombe zake. Naumwa sana nikimuona huyu mzee akilia machozi. Kweli anaumwa zaidi.
Duh😥nimeumia Sana kumuona mtu mzima kama huyu akidhurumiwa mali yake mpk inafikia kuwauza wanae ili alipe madeni😫😭😭 rais wa wanyonge hebu fanya kitu mana hii imeniuma mpk nikatamani Mimi ndoningekuwa baba magufuli ili niwaoneshe hawa watu wanaotumia vyeo vyao kuwanyanyasa wananchi wasio na hatia
Daa inauma sana pole sana ndugu zetuuu
Pole sana mzee ni tumaini langu haki yako utaipata.
Kumuona baba km huyu analia ni maumivu yaliyopitiliza,jamani waziri wa mifugo msikie huyu baba.Wote tulio comment humu tukumbuke kumuombea huyu baba, kwa maombi ya wote sisi Mwenyezi Mungu ameshasikia tayari.Jipe moyo baba,Mwenyezi Mungu alijua unaweza vuka hili jaribu na hakika umeshavuka.
😭😭😭😭pole sanaa ila haki ya mtu haipotei muombe mungu utapata haki yako 😭
Pole kwake mhusika!Lkn MTU wa kufuatilia hili kwa karbu ni mbunge kama naye kashindwa atakuwa ni mzigo!Pia kuna ngazi kadhaa b4 kwa Rais, mahakama zinapotoa hukumu ofisi za wakuu wa Wilaya zina mandate ya kutoa order ya m2 fulani kulipwa ama kukamatwa kwa mali hivyo ni vema angepitia level hizo!
Inatia uchung jamn Mungu amsaidie hy bab jaman