MSHTAKIWA MWENZAKE SABAYA ACHOMOA BETRI, AOMBA ULINZI KWAKE, ASEMA ALIKUWA MATEKA WA SABAYA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 186

  • @nellymmbando6971
    @nellymmbando6971 2 года назад +1

    Aisee kwel. Wee ni msomi storry yotee. Umepiga. Kwa kichwaa duuuh🙌🙌 salute broh

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 года назад +16

    Kaka Mashaallah Iko siku nitafika arusha na nitakutafuta kaka Inshaallah ,mm Niko kisiwa Cha pemba Karibu sna kaka kwetu Inshaallah,

  • @mpirabure7822
    @mpirabure7822 2 года назад +2

    Wewe jamaa ni hatari sana maongezi yote hayo ulikariri hahaha smart and genius presenter

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 2 года назад +17

    Kweli ww muandishi msomi🙌🙌🙌

  • @allyjzayumbajuma1405
    @allyjzayumbajuma1405 2 года назад +3

    Huyu jamaa is more than genius hapaswi hutangaza kwny viji block kama hivi anatakiwa apate kazi BBC

  • @jumamohamed7720
    @jumamohamed7720 2 года назад +7

    We jamaa ni hatari 🔥🔥

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 года назад +1

    Hongera sana Mwandishi Msomi.., Matumaini yangu siku moja nikuone BBC

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 года назад +7

    Mashallah big up muandishi msomi🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 2 года назад +2

    Kweli uko vizuri, unatiririka utadhani wewe ndiye Watson, hongera sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +7

    Kiloba skole baba Maashallah Allah mkubwa umekaliliyote hayokichani daa hichokipaji kabisa unacho unampizani wenginewataiga ila hapo kwako stop❤️❤️

    • @whimsymaverick3057
      @whimsymaverick3057 2 года назад +1

      Huyu kijana ni hatari hamna mfano. Hiki kipaji Cha kushika mambo si cha kawaida

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад

      @@whimsymaverick3057 Sana yani sijawahi onawalakusikia Mungu mkubwa Sana

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 года назад

      Iyo mutu imesoma.iko byeee

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 года назад +2

    Mwandishi wa habari msomi wa Tanzania nzima

  • @careenmsuva5648
    @careenmsuva5648 2 года назад

    sabaya kichwa kimekuwa kama cha kuku😅😅😅😅😅😅

  • @natashaschlegel3238
    @natashaschlegel3238 2 года назад +1

    Mtangazaji makini sana. Keep it up 👏🏼

  • @philipombwambo6345
    @philipombwambo6345 2 года назад +1

    Uko vizuri kijana

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 года назад +4

    Mwandishi msomi🔥🔥🔥

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 года назад

    huyu jamaa ni professional kuyakumbuka yote hayo

  • @israeleliah7163
    @israeleliah7163 2 года назад +4

    Anasema alipo kua peke ake kwenye gari aka kimbia na kuliacha kundi la sabaya,still anasema akawasiliana na sabaya akiwa dar baada ya kitenguliwa inakuaje watafutane tena wakati mwanzo alimkimbia,huyu jamaa anajaribu kulipiza kisasi kwa sabaya Ila kwenye maelezo ana jichanganya Sana

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 года назад +12

    Tunaomba musimuweke gereza moja na hao wengine watamnyonga

  • @deviskaliare5420
    @deviskaliare5420 2 года назад

    Ahsante sana mwandishi msomi

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +8

    Kijana atakuwa ameshauliwa sana au amejishauli sana ameona kupambana Serikali ni hatari sana akaamua kusema ukweli safi sana

  • @oslojob5688
    @oslojob5688 2 года назад +3

    Umetisha Dana kurumbwa uko vizuri

  • @prophetaivan
    @prophetaivan 2 года назад +3

    Very smart and passionate presenter.

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 года назад +6

    Mtangazaji nimekukubali sana una kipaji

  • @bettywatongo5471
    @bettywatongo5471 2 года назад +2

    Mungu akutunze mtangazaji

  • @faustinemalilo1513
    @faustinemalilo1513 2 года назад

    Jamaa anajua kuwasilisha sana

  • @bahatikarume3203
    @bahatikarume3203 2 года назад

    Mtangazaji safiiii!

  • @fikedyngulwa9320
    @fikedyngulwa9320 2 года назад

    Huyu muandishi mzuri sana

  • @rahimchilumba9708
    @rahimchilumba9708 2 года назад

    muandishi noma sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +9

    Inauma Sabaya unateseka Sana ni basitu Mungu afanye wepesi yaishe utoke

    • @maxmilianjoseph8065
      @maxmilianjoseph8065 2 года назад +1

      Hajafikia hata robo ya mateso alowafanyia watu na Bado

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      Hanifa hivi husikii au unajifanya kiziwi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +1

      @@leokamil6284 HILO NDIO TATIZO LA WATU KASIKIA LAKINI ANA COMENT UTUMBO.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      MUNGU GANI ATAMPA UWEPESI HUYO MBWA SABAYA?? MUNGU ATAMPA WEPESI WATSON KWA KUSEMA UKWELI SIO HUYO MBWA SABAYA 50 + 30 = 80 DADEKI.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@salimmalaka256 Mi nadhani hawa sijui walikua wakipewa kula na huyo jamaa,yaani hawataki kuona ukweli ambao upo wazi hao ni sawa na jongoo yaani

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 2 года назад +3

    Watetezi wa Sabaya mnasemaje hapo??😂😂😂

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +11

    huyu jmaaaa amekalili au anasoma hapo mbele mbona km anakalili mambo mengi sana

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 2 года назад +1

    Sabaya anakula uzee wake akiwa kijana baada ya kuchezea ujana wake

  • @Immamachengo
    @Immamachengo 2 года назад +2

    Mungu wa Danielle Yuko kazini sabaya mungu atafanya muujiza amen

    • @mofatv5565
      @mofatv5565 2 года назад +1

      Mnamtetea muuaji mnajua nyie huyu acha Avenue alichokipanda

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      @@mofatv5565 KWELI BROO

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +1

      MIUJIZA NDIO HIYO KESHAPIGWA 30 ANGOJE MINGINE 50 IWE 80.

    • @felixhaule7071
      @felixhaule7071 2 года назад +2

      Mungu wa Daniel hatetei Majambazi kama Sabaya acha ujinga

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 2 года назад

      Muujiza wa nini?kuua watu au?

  • @stevenjogoo4196
    @stevenjogoo4196 2 года назад +10

    Yaani hata kama hatuna akili.hawa wote ni majambazi

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 года назад +3

    BBC swahili hamumuoni huyu mwandishi jamani huyu sio wa kua muandishi wa viji TV online ni kumkosea

  • @barakakings
    @barakakings 2 года назад +8

    Mfalme Suleiman aliomba Hekima,viongozi na watawala wengi siku hizi Wana jisahau Sana na kutumia akili zao,hayo ndio matokeo take.

  • @stellanchagwa5297
    @stellanchagwa5297 2 года назад

    Napenda unavyotoa taarifa

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 года назад +5

    Kupitia kwaresma hii BABA wa mbinguni ukatende jambo juu ya wanao

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 2 года назад +6

    nilijua unasoma ila nimegundua kwamba umeelewa unachokisema

  • @lordsmenas3267
    @lordsmenas3267 2 года назад

    MUNGU amsaidie SABAYA

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 2 года назад

    Dahh..kwa maelezo hayo ya Watson Sasa napata picha kwann wakili alimkataa..sababu sio maslahi sababu Ni kuogopa kuchomoa betri

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 года назад +3

    Mbowe kaachiwa yuko kazini kumumaliza Sabaya

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 2 года назад

      Acha wafu wazike wafu wao mbowe ametokea wapi hapo

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 2 года назад

      Mbowe anahusika vipi hapa we Mwehu??

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 2 года назад

      Aliyemfunga Sabaya ni Serikali au ni Mbowe?? tumia akili.

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 2 года назад

      Kichaa wew

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад

      @@stephanomoses7694 kichaa ni wewe usiyoyaona yanayoendelea kwa sasa. Mbowe anaimba tu hana visasi. Rohoni mwake madudu ya visasi yamejaa.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 года назад +4

    Serekali imlinde huyo kijana asijeuawa

  • @esthernakawule7009
    @esthernakawule7009 2 года назад

    Thx 4 da show 🙏

    • @InfinixTechnology
      @InfinixTechnology 2 года назад

      Asili.haipotei.hats.baba.take.alitesa.watu.uzuri.anayashuhudia

  • @davidpaschal5363
    @davidpaschal5363 2 года назад +1

    Mi wa 2

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 года назад +3

    Mungu mwema atamsaidia Sabaya hilo tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      Mungu atamtendea aliyotendea wengine

    • @asiabakari2768
      @asiabakari2768 2 года назад +3

      Nimajambaz hasa huyo mdg mweusi alinipokonya pesa na kofia akaitipa mtoni

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 года назад +1

      @@asiabakari2768 sasa jambazi anapokonya kofia na kutupa mmmmh!!!!!!Asaia Bakari msangi

    • @asiabakari2768
      @asiabakari2768 2 года назад

      @@neemaloy889 unajua alikuwa anasifa sana tulikutan club

    • @asiabakari2768
      @asiabakari2768 2 года назад

      @@neemaloy889 nilivaa kofia Kali nzur San si msingizii huyo kijan kwakwel 😀nilimuogopa sana

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 2 года назад

    Duh kwakweli ni mambo mengi ya kipuuzi yalikuwa yanafanyika aisee

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 года назад +1

    YASITOKEE YA MTWARA, KUUA ILI ILI USHAHIDI USITOLEWE WOTE, MLINDENI HUYU KIJANA ATOE USHAHIDI NA UKWELI HUU HADI MWISHO,

  • @stevenjogoo4196
    @stevenjogoo4196 2 года назад +8

    Sabaya utakoma kudhulumu watu

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +2

    dunia ina mambo meng sana

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 2 года назад

    Haki anazofanyiwa sabaya wangefanyiwa watuwote hakuna mtuu angekuwa jela

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 2 года назад +1

    Huyu kijana kama alichosema ni kweli inaonekana alikuwa anatumwa tu bila yeye kujua anatumwa kutimiza uhalifu.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад

      sasa hapo uhalifu upi aliiufanya wakupeleka pampu garage ama kupelekwa garage ili kupata ukweli wa bai ya pampu ?

  • @martinkredo7103
    @martinkredo7103 2 года назад

    Bro uwe unaandaa makala tuwe tunasikia sauti nasio unatusimulia Kaka Babu mkombe

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 года назад +4

    Unakula ulichovuna! Km ulithulumu

  • @juliethgervas3194
    @juliethgervas3194 2 года назад +1

    Kweli mwandishi msomi👮🏾

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 2 года назад +8

    Ili swala mbona lipo wazi uyu mjomba alikuwa mpigaji

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 года назад +1

      Alikuwa mtu hatari sana sio kdg

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 2 года назад

      Acha kuhukumu mtoaji hukumu ni Mungu pekee, sisi sote tu wadhambi.

    • @manjaruu1575
      @manjaruu1575 2 года назад

      @@firdausqutty2067 uelewa wako mdogo wapi nimehukumu?

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 года назад +1

      @@firdausqutty2067 Linaeleweka kila mwanadam anamapungufu yake mdau ila huyu jamaa sio upigaji wa mali na pesa tu alikuwa anaumiza watu kukata maskio watu bila hofu ya Mungu huyu ndie aliefyeka shamba aliojitolea Mbowe akawalimia bustan ya mboga mboga kila aina ya mboga mboga akawapa kina mama wa Hai ili wajipate kipato chao yeye akaja na kikundi chake akafyekelea mbali kbs alitumia cheo chake kufanya yote hayo upo?

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 2 года назад

      @@manjaruu1575 kama wakwako ulivyokua mfinyu, na kama unauhakika alikua mpigaji basi mlikuanae pamona

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +5

    ila hapa kuna ukwel unafichwa, et akatoloka kutoka kwenye gari na wakat alikuwa kafngwa pingu, na baday akapgiwa cm achukue bag aende nalo dar, ina maan kwann walimfunga pingu na kumweka kwenye gari baday hawakufatilia lolot jmn hap kun cotradct kdgo

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 года назад

      Umeona ee yaaani Mungu yupo kazin

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 года назад

      @@neemaloy889 huyu dogo kuna kit anakijua ndo maan sabaya kaona anajitetea mwenyew kahic anaweza kuchomoa betri

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@martinmaryogo3676 hiyo ni gang ya kutenda uovu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      Martin aliporudishwa kwenye gari alifunguliwa pingu sikiliza kwa makini.Inaonyesha walimfunga ili kumshtua yule mwenye gereji aone ni Polisi .Walitumia hiyo kama gea ya kumtisha mwenye gereji.Wewe husomi tu iyo game ukaunganisha story

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      @@neemaloy889 KIZIWI WEWE.

  • @paulzabron4377
    @paulzabron4377 2 года назад

    Kaka ya leo sijaona

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 года назад +1

    Ajieleze vizuri alitoroka then akawa na sabaya tena kila kitu huwa kina mwisho

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 года назад +1

    Mchongo tu mbowe yuko nje atafanya kila kitu

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 года назад

    Kwelinwewe msomi unasikiliza na unaelewa

  • @jacksonmanyalu7036
    @jacksonmanyalu7036 2 года назад +1

    Mbona hasemi kila walipokuwa wanafika supermarket ninapofanyia kazi walilazimishwa kuimba nyimbo za dini wakati Sabaya akipiga gitaa na yy analazimisha watu msalimie huyu shikamoo mjeshimiwa hata kama ni mzee??

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад

    serkal mnashindwa kudili na wahalifu wanaibia raiya na wanauwa kilasiku na madereva wanao sababisha ajali kwa uzembe mnashikilia vijana wasio na hatia

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 года назад +1

    Mkisikia waandishi wenye taaluma yake ni huyu sasa... sio juma lokole na libabalevo

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 года назад

    👏

  • @stevenjogoo4196
    @stevenjogoo4196 2 года назад +2

    Sialimtoroka jamani

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 года назад +6

    Mabingwa wa kukataa kuwa Sabaya hakutenda aliyetenda yupo wapi ?.Kuna watu waliokuwa wanasema Sabaya kaonewa na Serekali je kwa maelezo hayo mmesikia ushahidi huo?

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 года назад

      Kwani yesu alipo uwawa huku pata KUSOMA alitolewa ushahidi? KAMA MTU KACHOKA KUSUMBULUWA KAMA PETRO LAZIMA ATASEMA NDIVYO SIVYO KWANI MAHAKAMA YA KIGOGO WANA FATA USHAHIDI AU HAKILI ZAO ZITAKAVYO? KUNA USHAHIDI WA SAMIA KUMTETEA STEVE NYERERE ASISUMBULIWE NA MADAWA YA KULEVYA MAHAKAMA IM EFANYA NN? KAMA UNA TAFUTA USHAHIDI WA HAKI? MBOWE ALISEMA HAZARANI KWANINI RAIS ANALINDWA NA LEO WASHA MUUA LKN WA EFANYA KIKI WAKA MUACHIA MBONA HUSEMI UNAINA USHAHIDI WA ADUI YAKO SABAYA

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@jenyyusuph4973 Acha kumfananisha Yesu na huyo muovu wewe .Sina la kukwambia kwani ndipo akili yako ilipokwamia imeganda.Umeandika maneno mengi ila hayana maana Nonsense.Hakili zao ndio nini Mahakama ya Vigogo ipo wapi?kweli wewe umebeba kichwa hewa ni hasara tupu unachanganya mavitu hata hayaeleweki hasara kwa Taifa 🙌

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@jenyyusuph4973 Tafadhali nenda shule kwanza hujui kuandika

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 года назад

      @@leokamil6284 uzuri ume elewa

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 года назад +1

      @@leokamil6284 ndio ni mahakama ya kigogo siyo ya wana nchi ni mahakama ya familia ya kigogo KIFUPI wa tz wamehoji tume HOJI tu nataka kujua ninani aliye muhakikishia lisssu maguful HAPONI kwakua mahakama sio ya wana nchi ni ya kigogo waka nyamaza jibu makosa ya sabaya no makubwa kuliko aliyekua anatoa siri za serkali kama sio unafiki? Makosa ya sabaya ni makubwa kuliko kosa la samia kuwa Linda VIJANA wanaojihusisha na madawa ya KULEVYA balaa MAKANISANI misikiti bara barani mateja wanatusumbua unafiki TU WA KUZUNGUSHA MANENO HANA KOSA SABAYA KUBWA KULIKO HAO WENGINE SANA ALISHIKA MAJVAZI YAO JAZIBA CHAFU WENZAO WAO ZAKUZOEA UOVU

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 года назад +1

    Hakuna mkamilifu ktka dunia hii, kila mtu anadhambi, na mtoaji hukumu ni Mungu pekee, haya mengine yanafanywa kwa mamlaka na sheria za nchi, ila hata hao wanaohuku nao watahukumiwa mbinguni.

  • @challengechallenge856
    @challengechallenge856 2 года назад

    Huyu chalii Kuna siku alipigwa makofi kwa sababu ya kunuka miguu na sabaya pamoja na walinzi wake

    • @jamesjoseph6825
      @jamesjoseph6825 2 года назад

      Wasiomjua sabaya wanamtetea😆😆😆😆😆

  • @vanderjoe2551
    @vanderjoe2551 2 года назад +1

    Mmh

  • @yusuphalexander7727
    @yusuphalexander7727 2 года назад

    daaaa siku ya kufa nyani miti yote huteleza jamanii

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 года назад

    Duuh mpeni ulinzi huyo kijana

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 года назад +6

    Chamoto atakiona mbwa huyu katesa sana watu

  • @houseofbeatytv9682
    @houseofbeatytv9682 2 года назад +2

    Upo vizur kaka wewe ni mwandishi

  • @rhamlaally6930
    @rhamlaally6930 2 года назад +4

    🤣🤣huyo dogo aache uongo yn hapo arusha yeye ndo alikuwa chawa wa sabaya na kumtaftia mademu, anagombana na watu ovyo kisa n mtu wa sabaya

  • @derevamsomi
    @derevamsomi 2 года назад

    hiki sio kichwa ni kacompyuta ...tunajua mahkaman watu hawarecord umeyaweka kichwa...UNAJUA

  • @pauronatanaeri1961
    @pauronatanaeri1961 2 года назад

    Kweri nimeamini wario jera siwote wanakosa wengine wasingiziw

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 года назад

    HAKI NA UKWELI VITAKUWEKA HURU DAIMA. BORA UMEMRUDIA MUNGU NA KUSIMAMIA UKWELI

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 2 года назад

    Toa namba yako tukupe sadaka

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 2 года назад

    jamaa aliota kiburi!

  • @zeldamlay4276
    @zeldamlay4276 2 года назад

    Sasa ilikuwaje alale kwny kota wakati alienda Dar kumuona baba mdogo? Kama aliagizwa apeleke begi si angelitoa na kuondoka? Kwanini alale hili jambo kwake litakuwa gumu kwake! Mungu akamuonekanie tuu jamani

    • @yusuphhugugu9759
      @yusuphhugugu9759 2 года назад

      Malipo nihapa hapa Duniani analipwa kwa alichokitenda

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 2 года назад

    Hawa ndio waaandishi wa habari jamaa hasomi seehem kakaliii yotee UPO VIZURI sana

  • @christinanyoni937
    @christinanyoni937 2 года назад

    Mwisho wa ubaya ni aibu

  • @innocentpaul9105
    @innocentpaul9105 2 года назад +1

    Sasa kama alikimbia baada ya kutolewa wenge ilikuaje Tena ukakubali utumwe ulete begi dar mmhhh Kuna kitu hapo katikati sio bure

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 года назад

      Kabisa

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 года назад

      Kesi ni inamrorongo mrefu hii du🤔Allah arete wepesi palipokua pagum

  • @majigedaud9790
    @majigedaud9790 2 года назад +2

    Michongo tu

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 года назад

    ATAFUTIWE SEHEMU YAKE MAALUMU, UKWELI NI HAKI JAPO UNAUMA KWA WATENDA UBAYA NA WAONGO

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 2 года назад

    walio uwa mtwara vp

  • @sefaniakalinga3456
    @sefaniakalinga3456 2 года назад

    Atavuna Alichokipanda

  • @stevenjogoo4196
    @stevenjogoo4196 2 года назад +2

    Hapotu ni maelezo ya kuthibitisha ukweli. Kwani sabaya hana hana wasaidizi

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 года назад

    Wababe wengi wamepita sio Huyo dogo tu sema limemkuta!

  • @emanuelpoul2972
    @emanuelpoul2972 2 года назад

    Wwx

  • @abopicsissa2774
    @abopicsissa2774 2 года назад

    Nadhifu

  • @agnesdidas2790
    @agnesdidas2790 2 года назад

    Duuu

  • @elibarikkivuyo8428
    @elibarikkivuyo8428 2 года назад

    H I'm

  • @jenniphermwakasita6830
    @jenniphermwakasita6830 2 года назад

    Huyu jamaa ni muongo anasema alifungwa pingu na baada yake alimtoloka inakuaje amletee begi dar vile vile haiombe makama urinzi kwamba Sabaya ni mbaya sijamwelewa kabisa

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +3

    hahahahahaaaa et n mtu hatar sana, kwan sabaya anataka kumfanyeje tena huko, itakuwa hyo watson anajua ukwl ndo maan anaomba ulinz sabay anajua anawez kumwaga ubuyu wote wa ukwel hahahahaaa

  • @deograsmbilinyi1214
    @deograsmbilinyi1214 2 года назад +1

    Yaani wewe umekuja kuona mgonjwa dar imekuwaje ukalale huko? Si angekabidhi begi na kuondoka?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 года назад

      Hii kesi hata haieleweki ina utata mwingi mno, kwa nini hana maslahi na Sabaya na anatumika hivyo? Amepewa pump wakati hata gereji ilipo haijuwi?

  • @asiamuhammad8718
    @asiamuhammad8718 2 года назад

    Mi nahisi huyu dogo tamaa imemponza

  • @abopicsissa2774
    @abopicsissa2774 2 года назад

    Nadhifu