KATIBU CCM KILOLO ALIYEUAWA KINYAMA kwa KUPIGWA RISASI - KESI YAKE YAPIGWA TENA KALENDA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • KATIBU CCM KILOLO ALIYEUAWA KINYAMA kwa KUPIGWA RISASI - KESI YAKE YAPIGWA TENA KALENDA...
    Kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Bi. Christina Kibiki inayowakabili viongozi watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo, imeahirishwa tena kwa mara ya tatu siku ya Jumanne Februari 4, 2025 na itasomwa tena tarehe 17 mwezi huu.
    Kesi hiyo ilisitishwa baada ya upande wa Jamhuri unaoongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Atupele Makoga, kuiomba Mahakama ya Wilaya ya Iringa kuongeza muda ili kukamilisha uchunguzi na upelelezi unaohusisha tukio hilo.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 3