MBUNGE ALIYETUHUMIWA KUIBA MADINI, AJITOKEZA HADHARANI, AMTAJA MWANAE..!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии •

  • @miundombinu1635
    @miundombinu1635 Год назад

    Dah yani mzee wetu allh akulinde nakuchafuliwa hujaanza juzi wala jana kwa sisi tunao kujuwa hakuna aliye pita kwako akalalamika naimani utashida allh yupo nawewe na ubuge hukuomba uliyombwa tunalijuwa hilo mzee wetu

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 5 лет назад +2

    Hongera Sana mbunge wawanyonge Allah atakuepusha na husda zao piga kazi baba mtegemee Allah S w t kwa kila kitu

  • @stanslauslawa4777
    @stanslauslawa4777 5 лет назад +2

    Umeongea vizuri mh mbunge umenyosha sana maelezo nimekuelewa 100%

  • @jumannetoronto5996
    @jumannetoronto5996 5 лет назад +3

    Huyu mzee wetu hana tabia hiyo ata sikumoja wanamchafua tu huyu mzee ni mlezi wa vijana wengi wanyonge ambao walisha jikatia tamaa ya maisha yeye akawasaidia nyakati tofauti tofauti kwaiyo anae endelea kumchafua mungu anamuona mzee huyu hana figisu yoyote na wanao mpa figisu mungu awalani mara 100000

    • @elizawallace2971
      @elizawallace2971 4 года назад

      Ccm ndiyo tabia yenu kuchafuana maana hakuna msafi kwenye hicho chama

  • @jumannepaskary3182
    @jumannepaskary3182 4 года назад

    Ulinisaidia sana pale ulipo niamini tukafanya kazi pamoja mungu akubariki Sana akupe afya njema na mwisho mwema

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 8 месяцев назад

    Kwanza huna ubaguzi mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo babaangu

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 года назад

    Mzee Wa Sonling nakukumbuka sana.. Huyu mzee kwa wale tunaomjua. Kwenye Spare za piki piki Enzi zile hebu tujuane.. Miaka ya 2008/2010. Wakiwemo wafanyakazi wake akina Shaibu Hamza Jaffari hussen Imani Moshi nawengine kibao

  • @salumkilala8679
    @salumkilala8679 5 лет назад +1

    Safi mzee chapa kazi.

  • @mjige9088
    @mjige9088 5 лет назад +1

    Hiyo ni siasa tu mbunge huyu hahusiki na hayo kabisa- na mzee anajua kujieleza vizuri sana na anajiamini

  • @shibilitimedia3312
    @shibilitimedia3312 5 лет назад +1

    Mnamchafua bure huyu Mbunge namwaamini sana kazi zake zinajulikana.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 8 месяцев назад

    Hakuna anaeweza kukuchafua mungu atakulinda na kukutunza kila fedheha ya mtakatifu ni ushuhuda binti nawe cheza na upepo pambana mpaka kufa usiogope

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 4 года назад +1

    Huyu mzee hana tatizo hata kidogo. Yuko sawa.

  • @davythomas3550
    @davythomas3550 4 года назад

    Mzee nyang'hwale shida maji , umeme , barabara

  • @zachariadaudi2068
    @zachariadaudi2068 5 лет назад

    Poleni sana nyamigogo

  • @eliankya3272
    @eliankya3272 5 лет назад +2

    du uyu mbunge mbona afahamiki jamani

  • @cosmasjohn8831
    @cosmasjohn8831 4 года назад

    Mzee tengeneza miundo mbinu nyangwale hakuna mabarabara na maji

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 3 года назад

      kazi ya mbunge sio kutengeneza barabara hio kazi ya tarura

  • @SaimonieliasMteleka
    @SaimonieliasMteleka 9 месяцев назад

    Ww Acha unafiki ludisha makao makeup ya wilaya ya nya'hwle kijijini nyag'hwale

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du 9 месяцев назад

    Unahuska dam nzito kuliko Maj janja janja hio

  • @SaimonieliasMteleka
    @SaimonieliasMteleka 9 месяцев назад

    Unatakiwa ujiuzulu kwamaana una udine mwingi mno kwetu umtutenga katika kijiji chetu kwanza

  • @eliasgalila8589
    @eliasgalila8589 4 года назад +1

    Madini una chimba kila siku, Umeme wa mgao lkn umeshidwa kusimamia mradi wa maji, barabara ya Bukungu na ligembe.

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 3 года назад

      hio sio kazi ya mbunge we kichwa maji

    • @eliasgalila8589
      @eliasgalila8589 3 года назад

      @@patrickKitambo ni kazi ya nani bwana mkubwa?

    • @eliasgalila8589
      @eliasgalila8589 3 года назад

      @@patrickKitambo Punguza hasira na jikite kwenye hoja

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 3 года назад

      @@eliasgalila8589 mbunge kazi yake ni kusemea wananchi na kuwakilisha malalamiko yao mahal husika ila watendaji ni serikali either serikal kuu tanroad au serikal za mtaa, tarura... Kupitia wizara husika.. Wew ulitaka afanye nin kuhusu hizo Barabara mbovu? Ulitaka atoe fedha zake mfukon? Pia. Mbunge sio msimamzi wa miradi ya serikal Ila ni kama muwakilish tu kufuatilia kujua mwenendo wa mradi wasimamiz wapo

  • @samwelshilungu4370
    @samwelshilungu4370 4 года назад

    Mchanga wa mto wa namba tano, huwa unaubeba unaupeleka wapi? Na kwa makubaliano gani na wanakijiji na serikali ya nyamikonze?

  • @cosmasjeremiah9032
    @cosmasjeremiah9032 4 года назад

    Huyo mzee alichukua kweli mtoto wake ndo yy anawabeba

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 года назад

    Binadamu siyo wema,wanacheka nawewe kiunafiki,kumbe mioyo yao imejaa hila,jihadhari nao,watashindana lakini hawatashinda

  • @jumannepaskary3182
    @jumannepaskary3182 4 года назад

    Huyu mzee nitamkumbuka mpaka naingia kaburini

  • @renatusdeogratias2108
    @renatusdeogratias2108 5 лет назад

    Nilikuwa simjui hila huyu mzee anaonekana Hana shida na mtu wanampakazia

  • @angelinasimchimba705
    @angelinasimchimba705 4 года назад

    Huyu mzee hata hajulikani kabisa

  • @JPrime-tu3ux
    @JPrime-tu3ux 5 лет назад

    kaka kasuuuuu