Jaffar bay Sio mimi (kifimbo cheza)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 165

  • @ESTERPASCAL-n5p
    @ESTERPASCAL-n5p 2 месяца назад +3

    mi mkristo lakini kwa hii nyimbo waniache wiislamu halali yangu

  • @ashuu7972
    @ashuu7972 Год назад +3

    MashaAllah nakupenda Jaffar bhai waimba vizuri...upo juu ❤😊

  • @atibz4570
    @atibz4570 3 года назад +6

    Hongera Sana kwa wimbo mzr kma huu mwenyez mung akulipe her kwa shair lako zur kma hili hongera San

  • @HamadKhamis-o2k
    @HamadKhamis-o2k Год назад +4

    Naipenda sn hii nyimbo acha tu najisikia mwenye furaha

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 года назад +3

    Aisha Oman siyo mm nyimbo kamili na maneno matamu ww huigizi taarabu nifani yako mashaalla alopewa kpw

  • @mershackeydaniel7362
    @mershackeydaniel7362 Год назад +2

    Kwa rajuu au gymkhana zenjibar oyeeeeee bure unajisumbua

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 года назад +5

    Vishindo vingi sikutenda mambo
    Wewe hukuwa wala hutokuwa
    hahahaha asante Jafary

  • @anwargohil6854
    @anwargohil6854 4 года назад +7

    Talent ya mtu inatoka moyoni na ikitoka hakuna kinachozuia kua kizuriii basii tuu binaadamu na yetu mioyoo dhaifuu.... lafudhi zimeenyooka Masha Allah ya binaadamu sio madogoo kwa kweli.... Aliopewa Amepewaaa na ilishaandikwaa ...🔥🔥🔥🔥

  • @alihamisi8440
    @alihamisi8440 2 года назад +3

    Wimbo unaitwa wasiwasi sina,kaimba eshe mohd akiwa na muungano cultural troupe,umeuweza mashaallah. Upo juu

  • @muminmohamedahmed2453
    @muminmohamedahmed2453 4 года назад +3

    Langu kubwa kushukuru,yenu namuachia mungu,wala sifanyi kufuru ingawa nnamachungu,matusi hayanidhuru

  • @AishaSaeed-i6k
    @AishaSaeed-i6k Месяц назад

    Hatariii sana enzi hizo za kifimbo cheza ❤❤❤❤❤

  • @mohdmuhammad143
    @mohdmuhammad143 5 лет назад +7

    Hadi raaha bismillahi mashallah nice song naipenda hatari no one like u jafar mashallah

  • @tmarkturn
    @tmarkturn 5 лет назад +5

    Nimeisikia leo hii nyimbo Leicester,nimeipenda sana Mashaa Allah.ninatamani unitumie.

    • @zinahattas9906
      @zinahattas9906 4 года назад

      tuma namba yako ya simnikutumiye nyimbo ya jaffar

  • @rayanamrsshariff5777
    @rayanamrsshariff5777 3 года назад +2

    Hata Kama nina mawazo yanaisha wallah moaka nacheza hasa huku mwisho 🤩🤩🤩🤩

  • @rashidhabib1445
    @rashidhabib1445 4 года назад +4

    Wonderful🔥🔥🔥🔥..
    "Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani🎵🎼🎙🎤🎧" mambo ya pwani ayoo💯

  • @nureyna629
    @nureyna629 6 лет назад +26

    Kupendwa ni damu yanguu, utamaliza mafushoo, nimekuzidi mizunguu, nimekutowa kijashoo, lililobaki kwa watu kuniteta🤣🤣

    • @alikiloko1974
      @alikiloko1974 2 года назад +1

      kijasho kinamtoka chururuuu😂😂😆😆

    • @FifiUrembo
      @FifiUrembo 3 месяца назад

      Maneno kuntu haswaa wapi mke mwenza

  • @mozaabdallah2395
    @mozaabdallah2395 6 лет назад +6

    hii nyimbo naipenda yaani sijui nieleze vipi,yaani kaimba kwakweli hongera zake

  • @salimahmed6312
    @salimahmed6312 4 года назад +2

    Nakupenda sana uliimba vizuri sana 💓💗💞

  • @muhidinsaidsalim3080
    @muhidinsaidsalim3080 6 лет назад +9

    Sawa kaka umenimaliza Fanya kazi2 nice I love

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 5 лет назад +35

    2020 anyone???💋

  • @jumazamani982
    @jumazamani982 6 лет назад +9

    Sio mm bure unajisumbua
    Zenji mojaaaa iyooooo dah kwetu kuzuri

  • @aishabakari9259
    @aishabakari9259 4 года назад +2

    Kalipenda langu umbo...😚😚😚 niacheni nitanue mie

  • @wardaomar3001
    @wardaomar3001 5 лет назад +7

    hii nyimbo inanitoa stress zote ina maneno matamu

  • @abdulrashidi9110
    @abdulrashidi9110 6 лет назад +5

    maashaallah ...japhar naomba utuekee mja hufungi rizki ya Ahmed mgeni ni zaid ya nyimbo

  • @salmaoman6347
    @salmaoman6347 5 лет назад +5

    Kumbe ndio huyu kaimba Mashaallah

  • @neziali6992
    @neziali6992 7 лет назад +12

    Naipenda sna hii nyimbo snaaaaa 👏👏👏

  • @ahmedwar.f.f5517
    @ahmedwar.f.f5517 5 лет назад +2

    Mkongwe nyimbo ino inkaza hamba tembo hasikiliza nyimbo ino najona hamba nyiwa juu ya kinena mkongwe nakona laha hasa mmakunduchi mie

  • @soudjumah5529
    @soudjumah5529 3 года назад +8

    Good song of all time, Fantastic

  • @khairathothman6377
    @khairathothman6377 7 лет назад +7

    uko juu my classmate

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 года назад +1

    Jaffar Bay nyimbo mnae inanikosha nafsi yangu huna mpinzani ww wanaiga tuu👍

  • @mansourahmzinga5061
    @mansourahmzinga5061 6 лет назад +4

    Sio mimii' sio mimii' unajisumbua vishindo vingi si kutenda mambo' Wallah umenikuna kumoyo lop u my best Jafar bay

  • @hemedhemed5673
    @hemedhemed5673 6 лет назад +10

    From muscat oman .zenjibar ilove you brother

  • @abdallaamour8658
    @abdallaamour8658 4 года назад +3

    Nice song
    Love you znzbr

  • @shamsahussen1059
    @shamsahussen1059 5 лет назад +5

    Mashaallah umeimba wew Kweli nyimbo nzuri

  • @rashidalijuma3569
    @rashidalijuma3569 5 лет назад +1

    Namie naona Unakidicho unapenda uonekane peke yako usiku unakesha macho
    Hiki ndicho hiko sicho unamsimamo gani
    Kila kizuri kiwe kwako
    Hiyo roho yako ya korosho imepinda ichemshwe ikaangwe
    Alopewa keshapewa
    Nice over beauty song inashika namba za sifa tumuachie mungu ubaya huo alopewa amepewa

  • @fatmamwasabu1992
    @fatmamwasabu1992 2 года назад

    Siichoki wallwahi... Vishindo vingi si kutenda mambo👌

  • @nuweyrahmohamed1557
    @nuweyrahmohamed1557 4 года назад +8

    2021 ?????🥰🥰🥰

  • @lightnessayub8687
    @lightnessayub8687 7 лет назад +26

    Wallah siichoki hii nyimbo 🎶

  • @faal6234
    @faal6234 5 лет назад +5

    Mola wangu atamilipiya
    Nyimbo nzuri sana

  • @haroubjuma5107
    @haroubjuma5107 4 года назад +6

    Who listing this song???2020

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 6 лет назад +6

    I'm very happy you're nice song in zanzibar nice old is gold thanks jaffar bay

  • @nabilyussuf4058
    @nabilyussuf4058 5 лет назад +1

    Bai sina la kusema kwako...MashaaAllah kupendwa ni damu yng Mama watatu mwenyew....lilobak kwa watu kumiteta

  • @fatmamwasabu1992
    @fatmamwasabu1992 2 года назад

    Kupendwa ni damu yangu utamaliza mafusho... Heeee umeniua mjomba

  • @aliabeid5122
    @aliabeid5122 5 лет назад +2

    Utamaliza mafusho hahahaha ahsante Jaffar

  • @aminakhamis8540
    @aminakhamis8540 2 года назад +2

    Wimbo mzur Sana wa tarbu

  • @neziali6992
    @neziali6992 7 лет назад +5

    Nakukubali sna my dear miss you 😚😍😚

  • @queenking0122
    @queenking0122 4 года назад +3

    Dec 2020 anyone ??❤️❤️

  • @saidaabdalla5098
    @saidaabdalla5098 4 года назад +4

    Nzuri MashaAllah

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 лет назад +18

    unajua kuimba sauti yako inakwenda hasa na mahadhi ya muziki wa taarab hasa kwa hizi nyimbo za kale

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 лет назад +6

    "Hukuwa. Wala hutokuwa!"😎

  • @hamzaselemani9578
    @hamzaselemani9578 3 года назад

    Nyimbo.pambeeeeeee tamaa hitakua kijitia kwy mkumbo

  • @somakhamisi4614
    @somakhamisi4614 5 лет назад +3

    Ubaya auna posho 👌

  • @munatisaidi4449
    @munatisaidi4449 6 лет назад +4

    Kalipenda langu umbo😀

  • @abdallaallhajimzee7728
    @abdallaallhajimzee7728 6 лет назад +8

    inapendeza sanaaaaaa

  • @kambiboy715
    @kambiboy715 4 года назад +2

    Hahaaaa! tamaaa itakuua tamu iyo kama chungu ungeitemaaa!

  • @likedatshorty
    @likedatshorty 5 лет назад +5

    Mimi ni kifimbo chezaaa mekutoa jeuri yako moyoni mekubeza hicho ndo kilema chaakooo. Na kizuri wapenda kiwe kwakooo. Santeeee

  • @joharimkiwa1517
    @joharimkiwa1517 7 лет назад +11

    Sio mimi jamani naipenda sana

  • @mwaka308said7
    @mwaka308said7 3 года назад

    Ayeeeeee!.....yaaani wacha tu

  • @khamisali6098
    @khamisali6098 7 лет назад +5

    jafar ukoo juuuuuu i love it.........

  • @halimanabir2380
    @halimanabir2380 6 лет назад +7

    Sina haja ya kulipizaa atanilipia mola wangu

  • @sophiamasilamba2677
    @sophiamasilamba2677 4 года назад +1

    Agost 2020 nani anasikiliza???

  • @galayagalaya48
    @galayagalaya48 6 лет назад +2

    Mhh imenikuna iko poa pambeeeee

  • @rizikigharib4867
    @rizikigharib4867 6 лет назад +8

    pambe sana watajijuuuu

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 3 месяца назад

    Kama hujuwi uliza mabwana wako nimewapiga nachini 😂😂

  • @kambiboy715
    @kambiboy715 4 года назад +1

    Hahaaa! Mimi ni kifimbo cheza

  • @mwagosultan2227
    @mwagosultan2227 7 лет назад +13

    Naipenda hii taarab sijui naipataje msaada please

    • @eddysalim6105
      @eddysalim6105 4 года назад +1

      weka ss mbele ya neno youtube halafu search itakuja link ya kudownload basi rahisi tu nyimbo unakuwa nayo

  • @fatumamohammed7118
    @fatumamohammed7118 6 лет назад +2

    Mashaallah jafar umeitoleleaa hiii

  • @issasorenza1493
    @issasorenza1493 4 месяца назад +1

    2024 anyone?

  • @nabwamzeeloo8863
    @nabwamzeeloo8863 6 лет назад +8

    Wajua imba

  • @ukhtimwana8462
    @ukhtimwana8462 6 лет назад +2

    Unajuwa jafari hongera

  • @fahashmohd6102
    @fahashmohd6102 5 лет назад +6

    Love The Song👌👌❤️

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 года назад +1

    Teinnaa 💃💃

  • @mwinyiusiali-gd1hx
    @mwinyiusiali-gd1hx 9 месяцев назад

    Good tarabu , Jafar bahi .

  • @husnachande804
    @husnachande804 5 лет назад +3

    Tyeeeeenaa

  • @twalibumohamedi2494
    @twalibumohamedi2494 6 лет назад +4

    Hatareeeeeee!

  • @abdulswaleh7599
    @abdulswaleh7599 3 года назад

    Hii nyimbo haichoshi kuskiza wallah

  • @saidamabibi2739
    @saidamabibi2739 7 лет назад +6

    sio Mimi bonge LA nyimbo

  • @nouramzeysf2158
    @nouramzeysf2158 4 года назад +7

    Love from Comoros 🇰🇲❤️

  • @yosamyahya1506
    @yosamyahya1506 6 лет назад +14

    jamani mwenye hii nyimbo naihitaj

  • @aloyceemanuel659
    @aloyceemanuel659 2 года назад

    Safi sanaa

  • @saidaabdalla5098
    @saidaabdalla5098 6 лет назад +5

    Wewe Hukua Wala hutokua

  • @mudumbaya5265
    @mudumbaya5265 4 года назад +1

    tamu iyo kama chungu angeitema

  • @makmakmoimba6105
    @makmakmoimba6105 6 лет назад +5

    Ahsante sana jaffar

  • @raihasalim7316
    @raihasalim7316 8 месяцев назад

    Nice song ❤

  • @fadhiliazuberi568
    @fadhiliazuberi568 Год назад

    Lahaaaa kamaninini

  • @meswalehmwinyi8471
    @meswalehmwinyi8471 2 года назад

    2022 anyone? 💕🥰

  • @besttanzania
    @besttanzania 8 месяцев назад

    Maashaallah

  • @nezryallyan6344
    @nezryallyan6344 5 лет назад +3

    Mwaaaaa

    • @mwajumajuma3334
      @mwajumajuma3334 5 лет назад

      jamn sina la kusem kuhusu jaffary napend san huu mwimbo😍😍😍

  • @sitikhamis7978
    @sitikhamis7978 6 лет назад +7

    Kuomba ckuzoea naona tabu mie

  • @siriamiri8229
    @siriamiri8229 3 года назад

    UnanikiumbushaEshe mohamedi wa Muungano taarabu

  • @aminaali7383
    @aminaali7383 2 года назад

    Jafar hapa umeiba bwana

  • @khaulaal-baalawy6918
    @khaulaal-baalawy6918 6 лет назад +7

    Bismillah Mashalla

  • @adamngaula1218
    @adamngaula1218 6 лет назад +5

    bonge la nyimbo

  • @rayanamrsshariff5777
    @rayanamrsshariff5777 3 года назад +1

    Huwa bairudia hata mara 10 nikiingia humu

  • @besttanzania
    @besttanzania 3 месяца назад

    maashaallah

  • @meenaalii5046
    @meenaalii5046 6 лет назад +14

    sina haja ya kulipiza atanilipia mola wako

  • @salmakhamis4600
    @salmakhamis4600 7 лет назад +4

    Roho yakoo yakorosho alopewa amepewa wimbo pampeeee naomba alonayo hii nyimbo anitumie whatsaap

  • @nuweyrahmohamed1557
    @nuweyrahmohamed1557 4 года назад +3

    ❤❤❤❤heart touching

  • @MayasajkhamisKhamis-br9zz
    @MayasajkhamisKhamis-br9zz Год назад

    Kwa rah zang sio mimi

  • @saidaabdalla5098
    @saidaabdalla5098 6 лет назад +3

    Waaah