NAOMBA KIBALI CHAKO - SADIQ TAARAB

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 137

  • @lulumtinge2138
    @lulumtinge2138 2 года назад +9

    Ya kale Ni dhahabu... Mama Samia alikosa subra juu ya huu wimbo👌

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 3 года назад +7

    Wow nilikua naitafuta hii taarab kwa mda mrefu 💞💞💞

  • @takyatupu6839
    @takyatupu6839 4 года назад +4

    Nakuomba nijisifu kama nimekua wako wakome wababahifu mrs mwarab haloooo naomba kibali hny ❤😜😍😍

  • @mohdabdulla572
    @mohdabdulla572 4 года назад +2

    Unaninii penda kikweliii hunifanyii vituko jamanii sadiki mungu akueke

  • @abk1127
    @abk1127 4 года назад +3

    Kila ukiiskiza utadhani ndio waanza kuiskia. Nyimbo ajab👌

  • @faridamandalu7195
    @faridamandalu7195 4 года назад +4

    Sadiq upo vizur kaka napenda kibali maneno shuntu

  • @aishamzee7123
    @aishamzee7123 2 года назад +6

    ASALAM HII NDIO TWAARABU ASILI ZANZIBAR, HOYEEE

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 года назад +4

    Mwenzangu nihurumie,Sikia langu tamko
    Ombi langu liridhie,moyo hauna kificho

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 года назад +2

    Mwenzangu nihurumie moyo hauna kificho
    Ombi langu niridhie sikia langu tamko
    Wacheni niwaambie kilonigandisha kwako
    Alau wazingatie zishe zao chokochoko

  • @bikomboali7342
    @bikomboali7342 4 года назад +3

    nakumbuka ni mdogo apo nshatia kijuu kwapan sa 8 nakwenda chuoni kwa shehe ali khatib mraz mungu amrehem jangombe

    • @ashahaji963
      @ashahaji963 4 года назад

      Ndomaanaake

    • @ashahaji963
      @ashahaji963 4 года назад

      Hahahaaaa watapatatabusana kukitafuta kilonigandisha kwako hahahaa

  • @hawahassan8779
    @hawahassan8779 5 лет назад +8

    Napenda hii nyimboo😍😍😍😍

  • @shenazshiraz1063
    @shenazshiraz1063 8 лет назад +19

    ♬mwenzangu nihurumie, moyo hauna kificho...ombi langu liridhie sikia langu tamko...
    wachie niwambiee kilonigandisha kwako.. ....
    alau wazingatie zishe zao chokochoko....♬
    wakukupinga hayupooooo na wala hatochomozaa..naomba kibali chako nipate kuwaeleza kilonigandisha kwako wao nikawapuuza♬♫♪
    wambea limewasibu hawajui tutokako, choyo chao kwangu tabu wanidadisi mwenzako....lakusema sijaribu niko miguuni kwako nangoja yako majibu nipate kibali chako...♬
    wakukupinga hayupo na wala hatochomoza..naomba kibali chako nipate kuwaeleza kilonigandisha kwako wao nikawapuuza ♪♪♪

    • @amarali7585
      @amarali7585 7 лет назад +1

      Na mm navipenda vipande hivi

    • @alruweihy
      @alruweihy 7 лет назад

      Shenaz Shiraz nyimbo gani hio

  • @haroubjuma5107
    @haroubjuma5107 5 лет назад +15

    Let's us to proud to be Zanzibar God bless Zanzibar's islands

  • @NadhraSule
    @NadhraSule 11 месяцев назад +1

    Huu wimbo kiukweli mashairi yake yametuliya ❤

  • @saidsaleh4086
    @saidsaleh4086 6 лет назад +3

    Mashallah Gameel Giddan wallah... Bayati safi kabisa na ina Kurdy ndani yake.. Shukran l Jazeer..

  • @amalshamis2018
    @amalshamis2018 Год назад +1

    Missing my hubby, I used to sing for him🥰wanipenda kiukweli, hunifanyii vitukooo❤ today 8th Sept,2023.....who is listening with me!😉

  • @fatmaunji1275
    @fatmaunji1275 6 лет назад +7

    Mwenzangu nihurumie moyo hauna kificho😘😘halooooow

  • @mjeuriboyka6702
    @mjeuriboyka6702 5 лет назад +2

    Dah sadiq nilikuona ukitoa burudani pale nyuki bar nilifurahi sana kukuona

  • @sleimbh
    @sleimbh 10 месяцев назад

    Nimeutafuta sana huu wimbo nilimuoma mama Samia anacheza umetulia sana

  • @chukwani
    @chukwani 8 лет назад +7

    moyo wangu mtiifu tuli umetua kwako ,kwangu huna upungufu yote nimekupa help "yasalam old is gold"

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 6 лет назад +2

    nyimbo nzur km ww aisha moh'd

  • @SubiraMohamedy-ev9ed
    @SubiraMohamedy-ev9ed 8 месяцев назад

    Kilonigandisha kwako wao nikawapuuza🥰

  • @Addinjr8774
    @Addinjr8774 3 года назад +4

    2021 asili haipotei🔥🔥💧

  • @nassrasuleiman630
    @nassrasuleiman630 2 года назад +2

    Naomba kibali chako dear

  • @abdoumohamed7095
    @abdoumohamed7095 6 лет назад +2

    nyimbo safi inatuliza moyo sana shukram Bwana SADIQ Mr LEZANGLE

  • @kifropu
    @kifropu 6 лет назад +1

    Bin seif shukrani Sana kwa mziki Safi Sana kama hizi

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 года назад +4

    Mashallah nasikiliza leo 15/03/2022

  • @omarysauti4273
    @omarysauti4273 5 лет назад +1

    Asnte san kwa kazi nzur

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 лет назад +11

    Zanzibar beautiful island of Africa

  • @fadyaothman6024
    @fadyaothman6024 5 лет назад +2

    Ni rukhusa tafadhal, niwapashe yaliyopo..... wakukupinga hayupo Amour wang

  • @yusufabdul7036
    @yusufabdul7036 7 лет назад +7

    this is my feverite song in sadikis music

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 5 лет назад +9

    Leo tarehe 18/12/2019. "Naomba Kibali Chako"

  • @ramadhannassib2755
    @ramadhannassib2755 7 лет назад +3

    Wakukupinga hayuko nawala hatochomoza.swadakta mapenzi mubashara

  • @khamidamamy5705
    @khamidamamy5705 6 лет назад +3

    wambea limewasibu hawajui tutokapo cheo changu kwao tabu wanidadisi wenzgu

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 Год назад

    Rahaaa wahllahi best song ❤

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 2 года назад +3

    I'm proud to be zenj

  • @kinyutatonha8831
    @kinyutatonha8831 7 месяцев назад

    mwenzangu nihurumie moyo hauna kificho ombi langu liridhie sikia langu tamko jamani enzi izo ndio ilikuwa ndio maneno tulo tukitongozea ayo yaani mwanamke unamuimbia taarabu kwa kumbembeleza

  • @AllyNjimbo
    @AllyNjimbo 5 месяцев назад

    Hii ninyimbo nzr sn jmn naipenda sn

  • @fatmasaleh5413
    @fatmasaleh5413 5 лет назад +3

    Naipenda sana zanzibar

  • @mapishinanaima3791
    @mapishinanaima3791 6 лет назад +5

    Nan askiza hii 2018 km mie 😍😍

  • @ummysaidyriyami2298
    @ummysaidyriyami2298 7 лет назад +4

    nakuombaaa nijisifuuu kwamba nime kua wako

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 6 лет назад +2

    HAITHAM WAKUMPINGA YUPO BD 2 HUJAMUONA UCMDANGANYEEEEEE

  • @bikomboali7342
    @bikomboali7342 4 года назад +2

    Bin Seif naomba nyombo hii pleas

  • @adamsuleiman3897
    @adamsuleiman3897 2 года назад +4

    2022 are you there guys?!!!!!!!!!

    • @zakiaikuki
      @zakiaikuki Год назад +1

      2023 still feel in love with

  • @zainabashraff8754
    @zainabashraff8754 6 лет назад +2

    MashaAllah Namkubali sana SADIQ

  • @AllyNjimbo
    @AllyNjimbo 5 месяцев назад

    Sadiq anjua jmn

  • @aishamzee7123
    @aishamzee7123 2 года назад +2

    Taarabu maridhiyaaa

  • @LeylaMohamed-zw1mu
    @LeylaMohamed-zw1mu 7 месяцев назад

    I like this song it's very nice

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 8 лет назад +17

    Jamani taarabu ina raha zake..inakutoa stress.. "naomba kibalichako...

  • @machanorajab1468
    @machanorajab1468 4 года назад +3

    Wacheni niwambiye kilicho nigandisha kwako

  • @SalehKhamis-fb8kc
    @SalehKhamis-fb8kc Год назад

    Old is gold❤

  • @haithamjuma6686
    @haithamjuma6686 7 лет назад +3

    waaachie niwaambie kilongandisha kwako

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 лет назад +11

    beautiful island Zanzibar

  • @yusufabdul7036
    @yusufabdul7036 7 лет назад +3

    pambeee tu sana

  • @aishamzee7123
    @aishamzee7123 2 года назад +2

    Marhabaaaa

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 года назад +1

    ♨️♨️♨️♨️🚀🚀🚀🔥🔥🔥🔥

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 2 года назад +3

    nitachelewa kupona

  • @hamzayussufhamza2686
    @hamzayussufhamza2686 6 лет назад +2

    naomba kibali chko no nzuri

  • @khadijabakari-d8s
    @khadijabakari-d8s Год назад

    Woyooooooooooooooooo❤❤❤

  • @typhahbae7502
    @typhahbae7502 5 лет назад +5

    2/1/2020😍❤️

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 8 лет назад +3

    wakukupinga hayupo na wala hachomoza..

  • @hasinahamza6752
    @hasinahamza6752 8 лет назад +4

    boss mbona hunitumii tena,,,

  • @LeylaMohamed-zw1mu
    @LeylaMohamed-zw1mu 7 месяцев назад

    I like this song

  • @aminamkamba1922
    @aminamkamba1922 4 года назад +2

    maneno matam kabisa hayo

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 8 лет назад +1

    Thanx unatufurahisha sana!

  • @haithamjuma6686
    @haithamjuma6686 7 лет назад +4

    wakukupinga hayupo nawala hatachomoza naomba kibali chako nipate kuwaambia hahahhahahha

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 года назад +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤💯

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 8 лет назад +7

    nilkuwa naitafuta hii thanks jamani..

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 6 лет назад +3

    CHUKWANI NAKUPA BGP SWSW PALE PALE

  • @nayfinrubby7683
    @nayfinrubby7683 8 месяцев назад

    2024 ...where are u Guy's..?

  • @DullahAdam-i7d
    @DullahAdam-i7d Год назад

    Nice song

  • @ZahraZahra-rd9fc
    @ZahraZahra-rd9fc 6 лет назад +2

    Bin Sefu mm nataka unitumiye kwenye wasp utaweza kana

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 6 лет назад +2

    unaitafuta vp umeipata mmm!

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra 7 лет назад +1

    nimeitafuta sana hii thanx @bin seif

    • @myawena9746
      @myawena9746 6 лет назад

      mussa kadir Na mm jmn nataka

  • @fatumafey9256
    @fatumafey9256 5 лет назад +3

    Mashallah imenigusa

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 года назад +1

    💖💕💖💕💯💖💕💖💕😍

  • @mohamedbarry6305
    @mohamedbarry6305 3 года назад +3

    ❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿

  • @ramadhanimshahara986
    @ramadhanimshahara986 5 лет назад +2

    Mia mia

  • @eshemohd7467
    @eshemohd7467 2 года назад +2

    Nic

  • @rahmaapop6481
    @rahmaapop6481 6 лет назад +3

    Hahaaa sinalakusema

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 8 лет назад +6

    nyimbo za burudisha taarab wapiiiiiii

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 3 года назад +3

    😎

  • @mohamedissa3779
    @mohamedissa3779 6 лет назад +2

    Old is gold.....tunaipata safi xana ndani ya Bahrain.Kama vipi nirushie whatsapp zote tu +973 33667856

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 Год назад

    ❤❤❤❤🇦🇪🇦🇪

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 5 лет назад +2

    Duh

  • @beastmasteraloha7214
    @beastmasteraloha7214 8 лет назад +2

    be happy

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 Год назад

    ❤❤❤❤

  • @mohdali7612
    @mohdali7612 6 лет назад +2

    co cr ckuizi vibali feki ndivyo vitolewavo Ilo mulijuwe wenye kuvitaka

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 5 лет назад +2

    wacha we

  • @eshaal-bakry5502
    @eshaal-bakry5502 3 года назад +3

    So

  • @chaamuhmimi9965
    @chaamuhmimi9965 5 лет назад +1

    14/01/2020

  • @bikomboali7342
    @bikomboali7342 5 лет назад +1

    ya kale dhahabu

  • @SA-xi4vo
    @SA-xi4vo 7 лет назад +2

    Sina kificho

  • @luaynabahan4350
    @luaynabahan4350 8 лет назад +1

    B

  • @mohamedtwalib773
    @mohamedtwalib773 Год назад +1

    Hahaaaaaaaa

  • @massoudsaid7520
    @massoudsaid7520 8 лет назад +3

    burdaaa nyumbanini nyumbani

  • @EbambeWakilongo
    @EbambeWakilongo Год назад

    Mbona wewe ni muhongo sana

  • @ummysaidyriyami2298
    @ummysaidyriyami2298 7 лет назад +5

    maneno matam

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 года назад +6

    Mwenzangu nihurumie,Sikia langu tamko
    Ombi langu liridhie,moyo hauna kificho

  • @JamilaSalvi
    @JamilaSalvi 6 месяцев назад

    Old is gold❤