Alafu wee dada watu unaowahoji unatuongezea manabii wa stive tuu naona kila mtu akimaliza umalaya wake anakuja kuwa padtor nabii huu niujinga sana sauti ta mungu unaijua wewe
mbona anajisifu sana Mungu anisaidie nimuamini huyu mtu ,seems like made up stories ni kama Ana nguvu nyingine na sio Mungu , anasema yeye sio maarufu ?sasa anataka umaarufu how ?Kama Mungu yupo pamoja nawe huitaji kutafuta umaarufu utakuwa mnyenyekevu na hutahitaji kujionyesha au umaarufu atakukweza mwenyewe watakutafuta wakuhoji sio wewe kutafuta kwenda kwenye vipindi uhojiwe ?nina mashaka
Nampenda Mtumishi huyu, sana
Maana nilimsikia akisema mambo. Ya rohoni
Mungu akubariki mtumishi ,umeletwa wakati sahihi kuiambia tz dhambi yake itubu
Ameeen hakika
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI TENGWA ndiyo MUNGU a nawatu wake anazungumza nao
Ame3en
Yesu ni halisi sana, nguvu zake ni dhahiri
Aaaah huyuu mtu ni tapeli sana na kaibia watu mwanza maeneo ya nyakato nashaangaa eti nabii kwa sasa mmmmmh saawa
Muogopeni mungu huyu sio wa Vitambaa Wala mafuta ,anakemea dhambi nchi itubu
Alafu wee dada watu unaowahoji unatuongezea manabii wa stive tuu naona kila mtu akimaliza umalaya wake anakuja kuwa padtor nabii huu niujinga sana sauti ta mungu unaijua wewe
Umemfatilia au una kashifu tu unadhani huyu Ni wamafuta au Vitambaa ,kaleta ujumbe tutubu tz inaenda kupigwa na mungu ,uovu umezidi
Abibo wewe sababu uko mbali n'a Mungu ndio maana auwezi sikiya sauti ya Mungu ao mtu akisema nimesikiya sauti ya Mungu auelewi
Mwenyezi mungu akurehemu
mbona anajisifu sana Mungu anisaidie nimuamini huyu mtu ,seems like made up stories ni kama Ana nguvu nyingine na sio Mungu , anasema yeye sio maarufu ?sasa anataka umaarufu how ?Kama Mungu yupo pamoja nawe huitaji kutafuta umaarufu utakuwa mnyenyekevu na hutahitaji kujionyesha au umaarufu atakukweza mwenyewe watakutafuta wakuhoji sio wewe kutafuta kwenda kwenye vipindi uhojiwe ?nina mashaka
So abati?
Ahahahahahaaaa hahahaaa haaaaahahahahaa siku hizi wakiristo wengi ni waelewa mbona
Nampenda Mtumishi huyu, sana
Maana nilimsikia akisema mambo. Ya rohoni
Ameen hakika ubarikiweeeeee