Mchungaji.kiukweli na kuombea.kwa Mungu akupe matukio mengi zaidi na zaidi wanangu wakuwe.wakutane na mafundisho mazuri kama haya yana nibariki na kujifunza na kuibadilisha maisha yangu jamani Mungu akuongezea maisha marefu ubarikiwe sanasana tena sana maisha yanyongeza

Pastor ubarikiwe Sana hili somo kiukweli limenibariki na kuna vitu naenda kuvifanyia kazi Kwanzia sasa🙏🙏🙏
Namleta mama. Yangu Roza anaumwa miguu ,apone kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth
Namshukuru mungu kwa sikukumi hii ambao tumehudumiwa mungu akuongezee mahali ulipopungukiwa
Namleta mwanangu Mercy ,naye pia awekwe wakfu kwa Imani ,anampenda Mungu ,azidi kumtegemea na kumpenda zaidi
Nazidi kuona miujiza ya Mungu katika maisha yangu
Amen
bwana yesu asifiwe
Amen
Amen