PART13:KIJANA ANAEMILIKI JOKA LINALOTEMA PESA AELEZA ALIVYOLALA MAKABURINI SIKU 7/NILIFUKIWA SHIMONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 83

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 2 года назад +5

    NIWE MKWELI HII MAJITU 🤗STORY NAIPENDA KULIKO YA DA JOYCE

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Wewe ulikuwa mjinga. Ulitakuwa uanxishe biashara, ujenge majumba. Nakazalika. Lakini sikulaumu kanisa. Wewe ulikuwa limbukeni wa pesa. Halafu ilikuwa unavailable Sana starehe kiliko kuxadilisha maisha yako..

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 2 года назад +1

    We nae si alikwambia mweusi

  • @kamagaissa4561
    @kamagaissa4561 2 года назад

    Kaka shebby muache msimuliaji unapo mkatisha unaondoa radha ya story

  • @happyperson3016
    @happyperson3016 2 года назад +4

    Huyo mganga ndiye alikuwa anakufanya ukosee masharti ndio aendelee kukuingiza deep into satanic covenants

  • @habibasadick8263
    @habibasadick8263 2 года назад +1

    Mhiiii mungu n mwema atulinda shetani baba wa uongo

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 года назад +4

    Nyoka amegomea uduma🤣🤣🤣

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 2 года назад +1

    Yan leo tumewahi kusikiliza mm na ndugu mtangazaji wengine wapo wap

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 2 года назад

    Uyo nyoka anywi maji yeye zaidi yakula dudu na unga, allooooo hatari sana

  • @florencechebet7167
    @florencechebet7167 2 года назад +1

    Hatariii!!!!yaani wewe uko mkali sana ndugu yangu sijui nije Tanzania nikutafute unioe 🔥😅

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 2 года назад

      Njoo nikuowe mimi ni zaidi yake

    • @thebeautifulone7982
      @thebeautifulone7982 2 года назад

      Huyu kwa vitu ambavyo amefanya kama hajakombolewa atakuachia swara mbaya sana!

    • @florencechebet7167
      @florencechebet7167 2 года назад

      @@thebeautifulone7982 mimi naogopa sana nyoka na mganga huyu jamaa lazima akombolewe mara mia moja

    • @florencechebet7167
      @florencechebet7167 2 года назад +1

      @@hasanipoy3976 kweli...naja

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 2 года назад +4

    Jaman njooni mzigo umeletwa

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 2 года назад

      🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Je mpaka Leo bado uko na huyo nyooka au nyooka keshaondoka?.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Yule alikuwa ni Jini siyo nyooka.

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад

    Tunajifunza kutoka kwako

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 2 года назад

    Ningekua mimi nikitoka naipiga plasta

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 года назад

    Daah hatari sanaa

  • @robbytz4243
    @robbytz4243 2 года назад

    Kaka tunaomba uendelee kutuwaixhia stor hvhv

  • @rashidissa8587
    @rashidissa8587 2 года назад

    Nyoka ndio alikuwa Boss wako

  • @irakozeashantyashanty5602
    @irakozeashantyashanty5602 2 года назад +1

    Jamani uyu kaka anamaswali mpaka anabowa nusu story nu sumaswali

  • @smakas7391
    @smakas7391 2 года назад

    Sheby yule muuza msukule imeishia wapi mbona kimyaa

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    We mtangazaji oñgelea swala la Pete, hiyo mujimu.

  • @lydiaedwin6911
    @lydiaedwin6911 2 года назад +1

    Watu mnakesha jaman kuvizia kote nimekuwa wa 537 😍😍

    • @ayushsaeed1051
      @ayushsaeed1051 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣Pole

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 2 года назад +1

      Sheby hii story kaipatiaa kwel sema kwenye maswal Sasa hapo ndo anafel but he is good

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 года назад

      @@ayushsaeed1051 😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 года назад

      @@Teacher_01 💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿

  • @saidiissa8729
    @saidiissa8729 2 года назад +1

    wakwanza ku commnt

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Uuuuwiii kisigino na Mavuzi ya Marehemu tena khaaaa

  • @rashidissa8587
    @rashidissa8587 2 года назад

    Uyu jamaa naye anaroho ngumu ananyonywa na nyoka mpaka kumwaga shahawa.. Duhh !

    • @juliemsimbe502
      @juliemsimbe502 2 года назад

      😆😆😆 alikuwa anahisi km yupo na mwanamke 😅

  • @suzaynnekenyagah1438
    @suzaynnekenyagah1438 2 года назад

    Ke🤔 mazito

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 года назад

    Nyoka mwenye kiburi daa

  • @mikabaylon1756
    @mikabaylon1756 2 года назад +1

    Namba za simuuuuu

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 2 года назад

    Nyoka aligomea show

  • @majidalharthi4774
    @majidalharthi4774 2 года назад +2

    Jamaa una mrekodi huyu jamaa lakini wanaongea pembeni wana haribu mazungumzo ya huyo jamaa

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 2 года назад +3

      Ni kosa la mtangazaji Mwenyewe kwani yy ndiye anapaswa kuwapa miiko ya kazi yake. Hao wanaoongeaongea yy anawalipa baadae Lakini wanamwaribia kazi ya kurekodi kipindi. Kila mara wanaongea ongea lakini mtangazaji wala hawapi somo

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    Alikuwa anawivu.

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 года назад

    Nipo

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 года назад

    Wacha ikae maana ni mateso makubwa. Kuishi na kulisha nyoka..mara usiguse maji utaoga vipi!..sababu ni kutafuta pesa..kwani wanaokosa pesa hufa? Hawafi n'go...wapo wanaishi tu kwa nguvu za Mungu. Hata tuko na machokora wanaishi kwa kula jalani.na kuombaomba pesa barabarani lakini wapo tu wazima. Siwezi taka kujiunga na mambo kama hayo wacha ikae..Mungu anajua.

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 2 года назад +1

    One

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 года назад

      Mzigo nimeusaka huu mm jmn...haya team hammamu tupo🤳na weifayaa ya bule

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +4

    kumbe hawa matajiri wasituine sis ni wajinga kisa hatuna pesa, kumbe wengine wana majoka ndan wanaokota pesa tu bila hata jasho ni kunyonyesha majoka tu bac pesa hii hapa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад

      Wanakutesaga 🤣

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 года назад

      @@Mpakauseme sana yan

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 2 года назад

      Wakikusumbua wewe masikilizishe hii story

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 2 года назад

    Kuna watu wanazungumza hapo nyuma

  • @salisali3738
    @salisali3738 2 года назад +1

    Pesa una zipata lakini cha moto unakiona kisingino na mmmmmh

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 года назад +2

    kiukwel pesa ya shetan sio yan ukipewa masharti unapopata pesa kuna ck unajikuta unasahau au kudharau baadhi ya vitu, yan cjui kwnn, mm najua sana nishawahi kupitia haya mambo kwel pesa unapata sana lkn ukijichanganya kidgo hahahahaa utakoma hutabak na ktu,

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 2 года назад +2

      Kwa nn utupi na wew story yako wakat sheby Alisha kutumia namba

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 года назад +1

      @@Teacher_01 hahahahaaa we zuuu ww ivi unafikir kila mt alopitia mikasa yake anaweza kukubali kuhojiwa hapa?? wapo weng sana lkn hawawez binafic sitakaa nifanye ivo, ila ogopen sana pesa ya shetan nitam km hujakosea ukikosea adhabu yake utajuta kwann ulienda huko

    • @angelmlay4173
      @angelmlay4173 2 года назад +1

      Nipe Mimi stori yako

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 2 года назад +1

      @@martinmaryogo3676 jaman Martin maryogo alafu Kama nakujua vilee itakuwa nilishakulaga pessa zako.. 😂😂😂🤫🤭

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 года назад

      @@Teacher_01 hahahahaaaaa jmn kumbe ni wengi mmekula pesa zangu eeee hata ww mmmmmmh,

  • @victoriavalenci441
    @victoriavalenci441 2 года назад

    Mtangazaji unaboa

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 года назад

    Leo wa 413😅😅

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 года назад

    Hakuna cha shetani au uchawi kinachodumu.

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 2 года назад +1

    nilijua atakosea masharti same story always

    • @juliemsimbe502
      @juliemsimbe502 2 года назад

      Hizo ndo kazi za shetani yaan lazima Kuna cku utakosea tu anakupumnaza mwnyw unajikuta umekosea

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 2 года назад

    naam

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 2 года назад +1

    ❤️❤️❤️❤️🎁 to you alawi

  • @nagibtimimi6027
    @nagibtimimi6027 2 года назад

    😀🤣 mpaka kunyonyeshwa🍌

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 2 года назад +1

    Wa kanza leo

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 2 года назад

    Mwendo wa kulamba tu