PART 2: UPAKO mwachie MWAMPOSA usituletee kwenye UISLAM hatutaki kabisa.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024
  • #nyundotv #Shekhesharif #sheikhkishki

Комментарии • 218

  • @dhakirceyun7901
    @dhakirceyun7901 12 часов назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh wetu kijana kishki Allah akulinde Ameen

  • @mickdad8309
    @mickdad8309 4 дня назад +30

    Mungu akupe maisha marefu we ndio shekhee unaefaa kweny nchi yetu kishki upendagi unafk hakika we ni muislam wa kwel

  • @abdulkarimisihaka2145
    @abdulkarimisihaka2145 3 дня назад +6

    Alhamdulillah namuomba ALLAH atupe umli mrefu wenye manufaa kwetu na kwawaja wake
    ALLAH kuzijidishie shekhe kishik

  • @FrankieFrank-e4e
    @FrankieFrank-e4e 3 дня назад +4

    Mimi ni mkiristor sema nakukubali sana kishiki enderea kusimamia ukweli huu sio uislamu tunaoujua viva kishiki ❤❤❤ one love

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 22 часа назад +2

    ❤ Allah ankibar anatupenda Sana shehe kishki mkweli Sana Allah akulipe❤ Sasa tumewajuwa matepeli kwenye uisilam walahi Allah atawaumbuwa duniani Na aheraa❤

  • @ShabaniMkumba-i9y
    @ShabaniMkumba-i9y 4 дня назад +18

    Shekhe kishki nakuonbea mwenyez akulinde na akupe maisha marefu inshallah

  • @omarbinabou6207
    @omarbinabou6207 2 дня назад +2

    ❤❤Allah akupe maisha marefu Shekh wetu kipenz❤❤

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s День назад +1

    😢😢 mwenyezi Mungu akupe umri mrefu zaidi shekhe wetu unayo ipigania khaki maan wana wake ndo wengi tume angalia mwenyezi Mungu atuongoze Waray

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 3 дня назад +1

    Shukran sheikh kwakukemea ayo mambo ya upotofu mutume wa mungu hajatufuza ayo mambo hayamo katika dini ya uislamu

  • @alawiashrack8482
    @alawiashrack8482 День назад +1

    Uko vzr mashaallah habib

  • @MzamiluMhofio
    @MzamiluMhofio 3 дня назад +1

    Wallah sijaona shehe kama ww nchin hapa au kwa kuwa sijazungunga sana mungu akizidishie umri pamoja na iman uzidi kutulingania maana siai bado wachanga nakupenda sana shekh mung anikutanishe na ww siku moja kabla sijafa

  • @makendemakende
    @makendemakende 2 дня назад +5

    Kishki ndio aliebaki na msimamo ☝😎🎯💯‼️✔️

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r 4 дня назад +6

    ❤❤❤walai sheikh shukran kwa kazi unayo ifanya Allah akulipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy

  • @daudisephu1292
    @daudisephu1292 День назад +1

    Allah akupe maisha marefu yenye faida

  • @DubayReja
    @DubayReja День назад +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah!
    Hii nii neema kubwa
    Kufahamu Suunna

  • @ShamilaAbdul-n8b
    @ShamilaAbdul-n8b 14 часов назад +1

    Yakini zikaelekea kwenye mafuta😢 shekhe toa daawa

  • @rataxtage2896
    @rataxtage2896 День назад +1

    ❤❤❤❤❤❤mi nipo mozambique nakuombeia sheikhe wangu please let gooooo

  • @Ommywhity7
    @Ommywhity7 4 дня назад +3

    Asante Sana shekhe kishiq Mungu akulindee uzidi kuilinda Dini Na kutufungua machoo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AishaKitundu-zr3kv
    @AishaKitundu-zr3kv 4 дня назад +5

    Sheikh kishk allah akulinde inshaallah utuongoze waislam ambao tunababaishwa na hawa watu kisa matatizo yenu alhamdulillah unantuelimisha hatuwaamini allah awagamize asituharibie watoto weth ambao wanakua yaallah

  • @nishawangaiwangai9765
    @nishawangaiwangai9765 3 дня назад +2

    Shekh kishki hapendi ujinga katika dini Masha allah allah atupe mwicho wema in sha allah 🙏

  • @AthumaniMasudi-o6m
    @AthumaniMasudi-o6m 2 дня назад +1

    Allah akupe maisha marefu shekh kishiki

  • @SHARIFUMOHAMED-u5e
    @SHARIFUMOHAMED-u5e День назад +1

    Baraka llahu fiika yaa sheikhe

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 4 дня назад +7

    Barikiwa sana shekhe we ndo muislamu wakweli

  • @bobaiddi9599
    @bobaiddi9599 2 дня назад +1

    Alla akujalie umri mrefu shekhe kishk

  • @OdenialoniNgusi
    @OdenialoniNgusi День назад +1

    Alhamdulillah yapendeza kuona mafundisho yenye nguvu na uwepo wa Mora uwe juu yako wengine hao wanatfta pesa na kutapeli tu Ila Mora yupo upande wako

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 дня назад +6

    Maa shaa Allah! Kishki kaanza kuwaradd MASUFI....
    TUNAMUOMBA ALLAH AKURUDISHE KATIKA MANHAJ YA AHLUSUNNAH WAL JAMAAA...!!!

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani 4 дня назад

      Kuna mafungamano gani kati ya kufanya biashara ndani ya msikiti na usufi .

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 4 дня назад

      @@ZogoMtaani Mmmh! hyo sijui...
      I think hata masufi wanajua kuwa hauruhusiwi ila wanakaza ubongo tu!

    • @dottomoshi8324
      @dottomoshi8324 2 дня назад

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xhujui halafu una comment

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 дня назад

      @@dottomoshi8324 Sijui nini?

  • @tnumber7556
    @tnumber7556 2 дня назад +1

    Swadakita sheikhe wetu

  • @bashirbaristo7294
    @bashirbaristo7294 3 дня назад +2

    Very true sheikh Kishki. MashaAllah Ajaab

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 4 дня назад +7

    Asante sana shekhe wetu mungu akulinde kale katoto nikahuni mungu atamdhalilisha

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 4 дня назад +2

    Allah akuhifadhi sheikh Nurdini Kishki Wallah umeni furahisha umeongea ukweli wa haki lillah Allah akulinde na shari za wanadamu na majini MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 4 дня назад +3

    S ❤A ❤ W alhamdhulillah mm nashkuru mungu kunipa nafsii yakumuamini yeye na mtume wetu SAW ❤ na vitabu vake 😢 na ndungizangu wengine mungu awaepushe na fitnaa hizi inshaallah 😢

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 3 дня назад +2

    Shegh wangu uko vyema sana njaa hao zinawasumbua sana hao

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me День назад +1

    Sheikh Allah akuhifadhi hao ni mtihani wameuharib uislam na cha kushangaza wanapata sapot kutoka kwa masheikh wakubwa uchawi mtupu al akhy ungana na salafi musafishe uo uchafu hao ni ndugu na manaswara wanayoyafanya mwamposa ndio hayo hayo wanawaangusha wanawake kwenye mikutano yao kwa kuwamwagia maji ya upako

  • @AhmednoorJama
    @AhmednoorJama 3 дня назад +1

    Sheikh Nurdin ALLAH akulinde,akuhifadhi na kukupa umri mrefu ili undeleee kuwaumbua hawa wanaotaka kuichafua dini ya ALLAH

  • @omarymbwana9798
    @omarymbwana9798 4 дня назад +3

    Allah akulipe kheri shekh Nurudin Kishki

  • @JumaRashidi-g4g
    @JumaRashidi-g4g 3 дня назад +1

    Mashaallah shekhe kishk Allah akujaalie uzima tuendelee kupata elmu Toka kwako

  • @HusseinLilacho
    @HusseinLilacho 3 дня назад +2

    piga nyundoo hzoo shekhee

  • @ABDIKASIM-qe4lc
    @ABDIKASIM-qe4lc 21 час назад +1

    Tupe elim shekhe

  • @rataxtage2896
    @rataxtage2896 День назад +1

    Allah akujalie na akupe ngovu allah aminina usijali na fitina za watu na allah akupe sobraha!.

  • @RisasiRisasi-uj8fk
    @RisasiRisasi-uj8fk 3 дня назад +2

    Shekh kishiki nimekuelewa ahsante kwa kutuelimisha dini ya kweli

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 4 дня назад +4

    ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU❤

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 4 дня назад +2

    Mtoto Yule kama anaonqozwa na watu wazima nyuma yako mwenyezi munqu amuonqoze inshaallah mkamilifu ni Allah ahsante Sana kipenzi sheikh wetu Allah atuweke uzidi kutupa elimu

  • @KabebeMazambi-w9u
    @KabebeMazambi-w9u День назад +1

    Naam wakomee makafiri ☝️☝️☝️

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 3 дня назад +2

    Mashaalha mungu akuzidie ilimu

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 4 дня назад +5

    SHEKH KISHKI SIMAMA USIOGOPE WAAMBIE UKWELI MM NAENDELEA KUMUOMBA ALLAH NDIYE MPONYAJI NA QUR_ANI YAKE NDIO TIBA BORA ALHAMDULILLAH

  • @hippmanismail9420
    @hippmanismail9420 3 дня назад +1

    Allah SWT akulinde Sheikh Kishik

  • @ThekraJanga
    @ThekraJanga День назад

    Allah S.w..akulipe sheikh kishki

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 4 дня назад +2

    Allah akulipe sheikh wangu

  • @tikob8484
    @tikob8484 4 дня назад +2

    Sheikh kishk mungu akupe uumli mrefu sheikh wangu

  • @SaraBashiru
    @SaraBashiru 3 дня назад +1

    Safi sanaa simama imara kutetea dini 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 4 дня назад +5

    Naam shekh,,swadakta

  • @abubakaranwar337
    @abubakaranwar337 4 дня назад +4

    Sheikh kishiki mwenyezimungu kulinde Mimi nakupenda sana wewe ni mtu mkweli

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 12 часов назад +1

    Safisana shekh kishk mchane mjinga huyo asituletee ushenzi yani rukanae tupopamoja nawe kwa uwezo wa rahmani.

  • @NtuyenaboAssuman
    @NtuyenaboAssuman 2 дня назад +1

    Assalam Aleikum Warhamatullah, Watu hawa wamedjalib kuingia kwetu Rwanda na Dawa zawo za FK tukawatowa mbaya sana

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 4 дня назад +9

    Mazinge analeta uhuni namuweka pembeni siwec tena kuxikilixa mawaidha yake anatupoteza waislam

    • @rizosharama2991
      @rizosharama2991 4 дня назад

      We kichwa chako hakina uwezo kumuelewa Mazinge ..

    • @paulkamula9117
      @paulkamula9117 4 дня назад

      Huo wakati wote haukujua mazinge ni muongo..

    • @paulkamula9117
      @paulkamula9117 4 дня назад

      Wote ni hali moja uislamu ni ushirikina...

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 4 дня назад

      Sina uhakika ila muhuni yuledogo et anatunia ndimu60 kumuangamixa maanayake ni nini!!!?!???!

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 4 дня назад

      Hakielewi vp wanatuletea mambo gan

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 4 дня назад +4

    Vyuo vya maulidi ndio vinatuletea mabalaa ktk dini, Alhamdulillah kwa kuwakimbia, eti Masharifu utapeli mtupu.

    • @NuruJumanneHamimu
      @NuruJumanneHamimu 4 дня назад

      Maulidi imekufanya nn achaa mambo yakiuwahabii , maulidi imehusianann hapooo mauli Azimisho ya mazz yamtume na kumrehem kosalake nn achen kufatakumbooo

    • @BakariHassan-p6z
      @BakariHassan-p6z 4 дня назад +1

      Muongoooo ​@@NuruJumanneHamimu

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 4 дня назад

      @@BakariHassan-p6z 😁😁😁 jamaa Muingo.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 4 дня назад

      @@NuruJumanneHamimu mimi si wahabi na wewe kataa maulidi, nyinyi na Maswahaba nani anampenda Mtume (s.a.w) ?

    • @saidsheha1336
      @saidsheha1336 4 дня назад +1

      ​@@NuruJumanneHamimuww ndo unafuata mkumbo mana mnajifany mnaielew dini kuliko nyinyi man mnafany uzushi

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il 4 дня назад +1

    Faman shuq shuq fahuwa yy......na walivyoibuka Mpk huyo anae semekana ni shekhe wa mkuu wa mkoa ............#🎉❤🎉umewaweza manyau nyau wote😂😂😂mabrouq

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 3 дня назад

    Shekhe Nurdin uko sahihi na ukweli utadumu uongo utabainika muda siyo mrefu

  • @allysalim7638
    @allysalim7638 2 дня назад

    Tunasimama na Sheikh kishki washirikina na matapeli hwana nafasi katika uislamu

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 4 дня назад +4

    MAZINGE NDIE MWALIMU MKUBWA WA MATAPELI HUWAFUNDISHA HAWA VIJANA KUFANYA UTAPELI. NAKUMBUKA MWAKA WA 1994-1995 ALIWAHI KUJA MOMBASA KENYA NA KATOTO KIMOJA AKIITA SHEKHE SHARIFU. ALIO ONGEA UZUSHI MWINGI NA UONGO WAKUTUNGA KUMUHUSU YULE MTOTO NA KUTAPELI WAISLAMU WA KENYA PESA NYINGI SANA. ALLAH ATAWAFEDHEHESHA MADHWALIM WOTE

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 4 дня назад

      EWAAA MWAKA HUOHUO MIAKA1996 ALIKUJA MWANZA TANZANIA PIA NA ICHO KITOTO WALIJIZOLEA PESA SANA KWENYE MIHADHARA😢😢😢

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 4 дня назад +1

      ​@@ramahkesh9360kishehe Sharifu😂

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 4 дня назад

      @@aishamuhammad7785 ewaaaaaa🤣🤣🤣

    • @MohamedJongo-n9e
      @MohamedJongo-n9e 3 дня назад +1

      MAZINGE KASHAPIGA HELA HAPO NAE HAELEWEKI

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 3 дня назад

    allah akuhifadh

  • @JamalAmr-nn9pm
    @JamalAmr-nn9pm 3 дня назад +1

    Hawa akina mazinge nao sijui njaa mtume wetu anasema mwisilamu tuombe mwisho uwe mwema Leo tunashangaa kuona waisilamu Leo tunageuka kama walakole hata Mimi sijasoma sikubaliani ujinga huu

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x 4 дня назад +1

    Hawa masharifu nimatapeli ndio walikua chanzo chakuritadi waisilam nyamwage rufiji shekhe kishk anajuaa

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 3 дня назад

    Kishkiiiii Utapigwa Mawee sanaaa Unagusaaa Mipango ya Watuuu Utagombana na Mashekhee wengiii Sanaa

    • @faudhiaamour1914
      @faudhiaamour1914 3 дня назад

      Kheri kupigwa mawe kuliko kuacha uislamu udhalilike waislam wapotoshwe kheri kuilingania dini ya Allah sw isimame na kuzilinda Sunnah za mtume wetu Muhammad s a .w hata mm Niko radhi kupigwa mawe kwa ajili ya Allah sw na mtume wake s.a w

  • @SHARIFUMOHAMED-u5e
    @SHARIFUMOHAMED-u5e День назад

    Wape Elim sheikhe

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 12 часов назад

    Shekh mchane tena atukome kabisa hizo habari zake hazipo ktk uislamu

  • @SalimHassan-d4s
    @SalimHassan-d4s 13 часов назад

    Kishki yale ni maji ya dua. Hayana shida. Acha kufananisha maji yale na makafiri.

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 2 дня назад

    Mimi ni mkirito uwa nakukubali shehe

  • @mwaminkalikwera5038
    @mwaminkalikwera5038 3 дня назад

    Mungu azidi kukulinda

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 4 дня назад

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah ukweli unaaumaa waaambie ukweli mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah wape ukweli wape ukweli haaaoooo wanafki wakubwa

  • @japharyjuma-j6w
    @japharyjuma-j6w 13 часов назад

    Huyu ndiye shekh pekee aliyefanikiwa kunifanya mimi nikaacha harakati zakuhitaji kuwa mwanamziki hakika huyu ni miongoni mwa wanazuoni ninaowapenda saana

  • @getajo1153
    @getajo1153 3 дня назад

    Sharifu wangu wa Kongowe anazidi kutrend! 😂😂 nimepita pale leo ndo kwanza kunatapika... Maisha haya bana...

  • @OmarMuhammad-h7l
    @OmarMuhammad-h7l 4 дня назад

    Allah akuhifadhi waambie ukweli

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 4 дня назад +1

    Mazinge ni chawa

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 дня назад

    😅😅 ata waislam wakina mwamposa wao sai wow

  • @khalfanali5719
    @khalfanali5719 4 дня назад

    Asalamu Aleykum sheikh kishki mpe naswaha Mazinge ndie anae changia huyo kijana kutapeli watu

  • @RamadhanBakari-xz7bu
    @RamadhanBakari-xz7bu 3 дня назад

    Shekh wali mtetea babu wa loliondo sasa hivi babu yuko wapi shekh tuko pamoja piga 🔨

  • @AliTax-bp4xc
    @AliTax-bp4xc 4 дня назад

    Mungu akuongoze utueleze ukweli na uwazinduwe waliohafilikaa

  • @BilaliKasim-v6d
    @BilaliKasim-v6d 3 дня назад

    Mwenyew uliwai kuwa na mazing akikupigia domo msktn wakukubali kisha watoe sadaka Acha roho kubwa mangapi umeyafanya mbn umewasomea dua watu lakin majibu chwee

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 4 дня назад +1

    Mwambiye kweli japo chungu asituchafuliye uislamu mjinga mmoja mshirikina mkubwa

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 3 дня назад +1

    Tuitetee Dini Yetu ya Islamu na tuwafichue wanafiq wanaotaka kutuchafulia Dini yetu..

  • @SwaleheRajab
    @SwaleheRajab 4 дня назад +1

    Uyu kijna akija mtaan kwangu fimbo

  • @BilaliKasim-v6d
    @BilaliKasim-v6d 3 дня назад

    Kweli mashekh sasa wamekuwa wanafiki kishiki mwenyew nimnafik huombea watu dua nakujikusanyia mapesa kibao wivu tu

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 3 дня назад +1

      WAFUASI WA mafuta ya upako dawa ishawaingia

    • @yusuphntisi
      @yusuphntisi День назад

      Ulichokiandika unakielewa kweli😢

  • @jamaljuma-jw4pz
    @jamaljuma-jw4pz 4 дня назад +2

    Mimi pia sina elimu ya kuunga mkono upande wowote ila nahitaji kwa za kukaa kitako kama ninavyokaa kitako kuangalia mpira au wanasiasa ili kjifunza kwanza dini yetu tukufu ili ALLAH atupe uongofu

  • @Bless-b.DL-babyofficial8769
    @Bless-b.DL-babyofficial8769 2 дня назад

    Kuna wakati uliwai kuzungumzia kuusu afande sele mimi nimekua mtu wakwanza kukataa ambayo uliosemaga kama mtaa soma duwaah baada ya week mbiya afande sele atakua amefari ila mpaka sasa afande yupo. Anyway kwahili ambalo umeongea kuusu hili Aisee wenye KHakili wameskia HAKUNA UPAKO KWENYE UISLAAM

  • @lazarimanal3415
    @lazarimanal3415 3 дня назад

    Huwezi kuamini isipokuwa mwenyee Akiliiii

  • @Sostere98
    @Sostere98 День назад

    Hii mode ya kuongea mnaitoa wap, si muongee kawaida tu Kaz kuwaiga waarabu tu😂

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 День назад

      Umeelewa au hujaelewa kilichosemwa

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 3 дня назад +1

    Na sheikhe huyu kishki ata tukanwa ata pingwa kwa sababu si mtu wa maulidi subiri uta sikia ma sheikh wa kubwa wana unga mkono kale ka bwana mdogo

  • @fay9687
    @fay9687 3 дня назад

    Allah kasema haita simama qiyama mpaka tufuate mila za makafiri ndio hizi sisi tunawafuata kina mwamposa na manabii wa uongo

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 2 дня назад

    hAsalam aleykum,Tunaomkubali na kusimama na sheikh katika hili tuweke like hapa kuonyesha solidarity na sheikh Nordin Kishki na kukwaza na utetezi usio wa kiislam wa akina Walid na Mazinge.

    • @AsiaMsenga
      @AsiaMsenga День назад

      A allaykum tupo pamoja kwa ajili ya Allaah

  • @jaggerjack30
    @jaggerjack30 День назад

    Njaa umehama tumboni kwenda kichwani

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 3 дня назад

    Huyu mazinge sio yule alikuwa ana sema mtume wakwanza alio njega hôtel ni mwanposa haya sasa mbona anatetreya mabo ya mwamposa au kule kwa mwamposa alikuwa hapate hela huku anapata hela 😅😢😢

  • @YohanaNyerere-f2j
    @YohanaNyerere-f2j 21 час назад

    Hakika uislam ni ukweli na uwazi.

  • @dottomoshi8324
    @dottomoshi8324 2 дня назад

    Sasa sheikh Zubeir bakwata msimamo wake ni UPI akiwa kama kiongozi wa juu

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 День назад

    Mafuta ni utapeli
    Waisilamu nao mmeanza utapeli wa kutumia mafuta
    Jamani matapeli wako kote kote,

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v 4 дня назад

    Mwamposaa unakubarikaa karibiaa nchi nzimaa alafuu wewe ndy sheikh unayeheshimikaaa sanaaa wallah wabillah watallah
    Ilaa kwenye kuupinga huoo upako na unakataaa haliakua munaita upako na kwenye qurani yetuu hakuna
    Unazinguaaa acha njaa nawe ushaanza angalia pesa sasa siku hizii😢😢😢

    • @allysaid5800
      @allysaid5800 4 дня назад +6

      unajua unachokiongea au umelewa

    • @Alithoya-qr7di
      @Alithoya-qr7di 4 дня назад

      Amekurupukwa kutype badala ya kuskiza kwanza​@@allysaid5800

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 дня назад

      @@allysaid5800uyu mmoja wa wafuasi wa mwamposa wala usimshangae

  • @sharifuteacher5025
    @sharifuteacher5025 4 дня назад +1

    ETI WATU WANASEMA HUYU SHEKEH WA MJINI SIJUWI AWAJASOMA KUA MTUME MWENYEWE KATOKA KATIKATI YA JIJI KUU LA MAKA ITAKUWA KHALIFA KISHI KUTOKA KARIYAKOO

  • @user-ke7nb9rs5i
    @user-ke7nb9rs5i 16 часов назад

    Wew endelea kutegemea majini😂😂😂

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 4 дня назад

    Na lishehe lingine liko linampepelea kabisa UPUMBAVU huu unaletwa kwenye uislamu

  • @Abu.mucyo7
    @Abu.mucyo7 2 дня назад

    Warekebishe matapeli