Mafuta ya upako kwenye uislamu!!? SHEIK FIRDAUS AMJIBU SHEIK NURUDIN KISHIK mbele ya MAZINGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 2 месяца назад +20

    Team Kishki tuache Like zetu hapa🤝🤝

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah Месяц назад +1

    Salamu yenyew mtihn kwako vip qur an subh'anallah subh'anallah yarabby

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 2 месяца назад +6

    Huyu mtoto ajirekebishe kuzungumza akumbuke wapo walio mzidi, subhana Allah, Allah amuongoze huyu kijana

    • @propKibali
      @propKibali 2 месяца назад

      Mara hii umeamua kuwakera mashekhe, ulikatazwa na UMEANZA upya!

  • @abdallahmkali3251
    @abdallahmkali3251 2 месяца назад +9

    Inna Lilah Wanna ilahi rajiun kijana Rudi kwa Allah hayo mambo ni kishirikina halafu kuwa na heshma usitukane mashekh utadhalilika

    • @MasoudMganga
      @MasoudMganga 2 месяца назад

      Kama shekhe mwenyewe hanaadabu achaatukanwe

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 2 месяца назад +64

    Subhanall sijawah ona shekh anazungumza mwanzo had mwisho bila ya kutoa aya wala hadith😢😢〔Ya Rabb mlinde shekh kishk na kila baya ili azid kutuambia ukwel🤲〕

    • @hajihaji123-lp5lx
      @hajihaji123-lp5lx 2 месяца назад +13

      huyu sio sheikh ni mganga anayevaa kanzu ili ajiite sgeikh ila hata hiyo salamu aliyoitoa kaikosea

    • @MustafamatelefoneMatelefone
      @MustafamatelefoneMatelefone 2 месяца назад

      Amiin

    • @fahdladen1693
      @fahdladen1693 2 месяца назад +9

      Aya aitoe wapi sheikh kishki kampa chalenchi atusomee sura yasin kama ataiweza hahah tapeli huyu anatakiwa atandikwe bakora mshirikina huyu

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 месяца назад

      @@hajihaji123-lp5lx uko Sahihi 💯

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 месяца назад

      @@fahdladen1693 Mtu anaeleta Uganga na kujitangazia usharifu hua ananiudhi Kuliko hata ngurue maana anautukanisha Uislamu kwa Maslahi yake mwenyewe
      Hata baadhi ya wakristo wanaotafuta Haki anasababisha wauchukkie Uislamu kwa Uongo na utapeli Wa mtu Moja

  • @jagjitalvinder5471
    @jagjitalvinder5471 2 месяца назад +4

    ALLAH AKUONGOZE DOGO WW NIJAIL MURAKAB NA PIA NI MSHIRIKINA WEWE HUNA ELIMU BALI UNAUJINGA FAHAMU BARAKA ZINATOKA KWA ALLAH PEKE YAKE

  • @jumakubili1512
    @jumakubili1512 2 месяца назад +15

    Asalam aleykum, kijana nakusihi kwa ajili ya ALLAH acha kubishana na wakubwa acha kubishana na wakubwa kama kweli unayoyafanya ni kwa ajili ya ALLAH tambua kuwa hapa duniani ni chumba cha mtihani kumsema mtu mtandaoni sawa na kusengenya, kujiondoa na hii dhima mfute mkutane muelimishane, mkiitaka Dunia hakika mtaikosa akhera, muogopeni ALLAH umaalufu wa duniani ni hatari akhera

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 2 месяца назад +2

      @@jumakubili1512 ...uyu jamaa kichwani hamna kitu...ila wanaomfata pia akili zake ni kama yeye

    • @DiniJuma-ib2cz
      @DiniJuma-ib2cz 2 месяца назад +1

      Waleikum musalam....nimependa nasaha yako kaka masha ALLAH

    • @AhmadijumaJuma-fq2td
      @AhmadijumaJuma-fq2td Месяц назад

      Tatizo anamdomo sana vipesa vinamchanganya ukweli unauma alafu uyo dogo kunawatu wanampa kibri sasa kibri kwa binaadamu sio kizri uyo mganga analolote anaenda kufukia vitu usiku mchana anajufanya anaenda kufukua shekhe Gani anapgo zakiganga acha pigo zahajabu wewe muogope mola wako nani akufanyie loho mbaya wew unachanwa ukweli unajifanya unaongea maneno yasiyoeleweka toa Aya na hadithi

  • @NajmaAlly-gt6nw
    @NajmaAlly-gt6nw 2 месяца назад +1

    Subhananllah anllah kusamehe ewe kijana tuachie uislanm wetu mafuta paka ww Quruan yetu inatutosha shekhe kishki hakuzungumza baya lolote zaidi ya kukupa daawa leo hii unamtusi Subhananllah

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 2 месяца назад +13

    Wewe Mtoto Shekh Kishik ni mtu mzima sana kwako huwezi kumjibu vibaya hivyo si adabu na uislam haufundishi hivyo

    • @KhalfanMuhala
      @KhalfanMuhala 2 месяца назад

      @@Mariam-ke4og mtu mzima kwinyo yeye kama kila mmoja aangalie yake mbona afatilie mambo ya mtu niumama

    • @Twahirpizza1994
      @Twahirpizza1994 2 месяца назад

      Mwacheni afanye biashara hali ni ngumu sasa hivi hata hao masheikh na wao wana njia zao za kupata mlo sasa hakuna asiyesuka njia za ulaji ili mradi tu asiwadhuru watu kwa hayo mafuta tuu hilo ndio muhimu!!!!😅😅😅😅

  • @ZuweinaSalim
    @ZuweinaSalim 2 месяца назад +2

    Usimzalilishe shekh kishki jmn. Tunampenda sana shekh wetu anatetea sn wanawake allah aksameh

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 месяца назад +31

    Huyu kweli mshirikina, Eti nawaombea kwa Baraka za masheikh wetu,

    • @AGM19697
      @AGM19697 2 месяца назад

      Mambo yake ni tatanishi kweli

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 месяца назад

      @@AGM19697 sio tatanishi hata kidogo
      Kila anaeujua Uislam japo kiasi hivi atakua ameshaona ambavo huyu ni mshirikina waziwazi ukimsikiliza lazima ugundue

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 2 месяца назад

      @@HijaSaid-t6c huo si ushrikina, hujaelewa tu Sema ueleweshwe

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 месяца назад

      @@ahmadSeif860 elewesha tukusikie

    • @edyiddy4711
      @edyiddy4711 2 месяца назад

      ​shehe kuomba kwabaraka zamashehe nishirk au mwenzio ndounatetea

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah Месяц назад

    Subh'anallah kwa usharifu upi mdomo unatokwa na maneno machafu iv mungu akuongoze kijana

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад +20

    Sio vizuri kumuita mwezako mchawi anaroho mbaya shekhe nurdini kishki na ww nani mchawi wewe na yy nani tunaweza kisema mshirikina kishki atujawai kumuona akiuza dawa yoyote na yy awezi kukuonea chuki ww na ana roho iyo ila anaongea kwaajili ya Allah

    • @NtakarutimanaHassan-q9l
      @NtakarutimanaHassan-q9l 2 месяца назад

      @@AminaKassim-ni9wd wewe amina kassim tulia wewe unajuwa nini umesoma wapi kuhusu dini huyo dogo wewe unaona yuko sawa kufanya shirki hadharani nakudhalilisha uislam kuna tofauti gani na mwamposa

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад

      @@NtakarutimanaHassan-q9l ludia tena kusoma uenda ujaelewa nilivyo andika

    • @NtakarutimanaHassan-q9l
      @NtakarutimanaHassan-q9l 2 месяца назад

      @@AminaKassim-ni9wd sawa nimeelewa sasa bi amina samahani kwahilo

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад

      @@NtakarutimanaHassan-q9l aya sawa ndugu yangu bila samahani mungu atuongoze kwenye njia ya hakki waisilamu wote

    • @NtakarutimanaHassan-q9l
      @NtakarutimanaHassan-q9l 2 месяца назад

      @AminaKassim-ni9wd Allahuma amiin yarabi asante kwakunipa msamaha

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 2 месяца назад +2

    { وَمَا يُؤۡمِنُ أَكۡثَرُهُم بِٱللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشۡرِكُونَ }
    [Surah Yūsuf: 106]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina.

  • @rayaabdallah1869
    @rayaabdallah1869 2 месяца назад +3

    الله يهديه امانهدالزمن صار غريب....شي مضحك ومحزن في نفس الوقت...سمعت كم فيديوهات شيك كيشك وغيرهم من الشيوخ الله يبارك فيهم..

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 2 месяца назад +50

    Ndugu yetu huku kwenye uislamu hatuhitaji maajabu ya aina yoyote sisi tunautafuta ucha Mungu. Hayo mafuta pakaa mwenye.

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi 2 месяца назад

      @@mrishongwikwi6448 wasema hvo Labda hujapata mtihani mikubwa,ongea kuhusu ww mwenywe maana waendapi Ni waisilamu

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 2 месяца назад

      @@mrishongwikwi6448 na watu wao sababu uislamu uko mbali na haya

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад +2

      Mlesema wakilisto sasa nanyie hayohapo hataweza yalitabiliwa yalianzia kwetu sawa ila nakwawaisilamu .mtayaona nabado

    • @mrishongwikwi6448
      @mrishongwikwi6448 2 месяца назад +2

      @@PeterMahona-zd3oz Hayo anajifanyia yeye mwenyewe kwa tamaa zake hatana mashikamano na uislamu hata kidogo. Kwanza hatumjui katokea wapi amezuka tu from no where!

    • @Hamima-hf7ld
      @Hamima-hf7ld 2 месяца назад +3

      😂😂😂 aisee kabisaa hatutak upumbuvu kweny uislam apake mwenyewe

  • @F.j84
    @F.j84 2 месяца назад +12

    Allah akuongoze ujiepushe na shirk na kupoteza umma wa kiislam.

  • @RamaMariam-y1x
    @RamaMariam-y1x Месяц назад

    Subhanaallah yan kumbe hata qur’an kusoma hujui sheikh inna Lillah wainna ilayhi raji’un

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 2 месяца назад +13

    huyu kijana katumwa kuudhalilisha muislam lakini mm nasema Allah atawadhalilisha na hao aliomtuma kuudhalilisha uislam

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 месяца назад +1

      @@saidjuma4547 katumwa na nani 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @joezeno8
      @joezeno8 2 месяца назад

      @@mamachris6811katumwa na Mazinge

  • @mamamagambomagambo8391
    @mamamagambomagambo8391 2 месяца назад +4

    Wewe mtoto ebu muogope mwenyezi mungu tena ata sikwiti shekhe kwasababu ni thambi kumpa cheo cha ushekhe mshirikina

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 месяца назад +4

    Shubhaaaaanallah!
    Kumbe lichawiiiii,ndim,majani ya mbaaz,chumvi ya mawe,
    Mwanga huyuu

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 2 месяца назад +15

    Allah Awape nguvu waislam wote wanapigania hakizao ususani Palestina na wate wanao pambana nao kila siku ,Na Awalipe pepo wote waliokufa shaiid

    • @AGM19697
      @AGM19697 2 месяца назад

      Duuuh ktk dini yenu kumbe mtu anapata pepo kirahisi hivyo? Kwa mtu mwingine kuwatamkia tu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 2 месяца назад

      Amiin Yarabi Aamiin

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t 2 месяца назад

      @@AGM19697 kwa uwelewa wako wewe kafiri

  • @shabanhassan9224
    @shabanhassan9224 2 месяца назад +5

    Hapa hamna sheikh kambisaaa ,yaaan hyu na yule kiboko ya wachawi hawana tofauti, na pia hana elimu kwa jinsi ya laghafudh yke yakuongea tu qur-an haimo kichwan mwake

    • @is-hakaibrahimu9333
      @is-hakaibrahimu9333 2 месяца назад

      Kwel kwny sehem ya R anawek L lafudhi yake sio kwa mtu aliesoma quran

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 2 месяца назад +3

    Mbona mnachanganya dini na vitu vya ajabu na mnaudhalilisha uislam plz muogopeni mungu,jee kweli amehifadhi quran

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 2 месяца назад +8

    Hizo ndimu na shindano na chumvi kwa mtu asiyevijua anaweza kutishika lakini kwa sisi tunaoviona kwenye dua mbali mbali ni vitu vya kuwajenga watu imani tu ili wakuone una maajabu lakini havina msaada wowote na hata hiyo dua mtu mwenyewe anaweza kujiombea si lazima huyu

  • @husseinmchomolo5271
    @husseinmchomolo5271 2 месяца назад +2

    Aache upuuzi, atafute Rizki kwa njia ya halali aache kutapeli watu, Uislamu hakuna Upuuzi huu

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 2 месяца назад +3

    Tumuombe Allah atujaliye khatima njema na mwisho mwema ila kibri kilimtoa Iblisi Laanatullah ktk Rehema za Allah tuogope Allah

  • @bakarimahmoud8120
    @bakarimahmoud8120 Месяц назад

    NI kweli, tutawafuat mguu kwa mguu hadi mashimoni subhannaalh

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 2 месяца назад +6

    Alhamdulillah kwa neema ya Uislamu❤❤❤

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 2 месяца назад

    Usimgeuzii Uyo ushirikina wako SHEKH NURDIN Ni Shekh wa Qor an na Sunna Allah Amuhifadhi

  • @robbywilson224
    @robbywilson224 2 месяца назад +56

    Huyu dogo Anatakiwa kujua Mdomo uliponza kichwa😢Bado mdogo sana kielimu Na kiumri Ngoja tuone mwisho wake

    • @mussamtupa
      @mussamtupa 2 месяца назад +6

      Kweli mdogo ila Shekh Kishki kamkosea huyu asinge yasema haya
      huyu kama mdogo wake ilitakiwa kabra hajamsema hadharani
      ilitakiwa amwite ili amuelekeze maeneo ambayo anao anakosea

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 2 месяца назад +7

      Dr Sule alikua kma hvyo mwisho akadhihiri ni mushrk

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 2 месяца назад

      @@mussamtupa kumbukeni ilikuwa na hutuba Ile acheni aseme sababu asiposema mamb haya yatazid sio hao tuu

    • @robbywilson224
      @robbywilson224 2 месяца назад +3

      msilete Siasa Na uchawa vitu vyote vitapita Lakini imani Ya Dini itakuwepo"unazani huyu dogo anavyomjibu shekh kishk ndio sawa? Na anavyoongea tu unamuonaje? Ni mkweli au Tapeli?🤷‍♀️

    • @abduliashiru9394
      @abduliashiru9394 2 месяца назад

      Yaaani Allah atuongoze kwanini anakua ivi alafu swala la Elimu uyu jamaa Kishki ampati hata robo.

  • @jonathanzayumba2350
    @jonathanzayumba2350 2 месяца назад +1

    Shekhe baazi ya mashekhe hawataki utamke neno UPAKO lina watetemesha hilo neno mimi niseme wewe endelea na kazi yoko uliyojaliwa na mwezi Mungu

  • @mohammadswaleh6900
    @mohammadswaleh6900 2 месяца назад +4

    Dogo janja janja huyu takua mwanafunzi wa Dr.Sulle,Kwanza Shingoni umevaa nn?Mbona kama mganga?mapete ya majini.Kwenda tapeli ww!! Nenda muhimbili kama kweli.. Allah Akufedheheshe ya Rabbi

  • @TEROTV-zj2vs
    @TEROTV-zj2vs 2 месяца назад

    Ndugu yangu muogope Allah mtukufu ndugu zetu wa kike mna wadhalilisha sana katika viwanja na hakuna haki ya kufanya hivyo mwanamke amepewa hashima Kubwa sana katika uislamu leo Mnawadhalilisha kwa madai ya kuwafanyia visomo
    Tumche Allah waisilamu

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 2 месяца назад +5

    Kumbe ww ni mchawi ee mungu anakuona na utajikaanga ww mwenyewe mungu anakuona unaanza kumtishia maisha mwezako sio vizur Allah atamlinda tu

  • @Mati-e5c
    @Mati-e5c 2 месяца назад

    Inna lillahi wewe ni mushriki Acha ushirikina kwanza kaa chini usome dini kwa usahihi zaidi kwenye tauhidi kama ni muislamu na kama umetumwa upake matope uislamu basi in sha Allah Allah hatakuachia upoteze watu.

  • @athumaniKazua
    @athumaniKazua 2 месяца назад +9

    Kishki Allah akupe subra wallah ni mtihani huu Allah atunusuru kweli tupo kwenye dk za nyongeza za Allah hebu watu turudini kwake jamani eeh

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 2 месяца назад

      Ka
      Kabisaa

    • @athumaniKazua
      @athumaniKazua 2 месяца назад

      @@kadijaa7771 yani inasikitisha sana wallah ALLAH atusaidie jamani

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 месяца назад

      Amiin 🤲

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 2 месяца назад

      @@athumaniKazua kweli na watu wamuogope Allah subhannahu wa taala

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 2 месяца назад

    TATIZO SI USHARIFU MASHEIKH WENGI WAMEVA VILEMBA LAKINI HAWAKO SAWA WANAOGOPA IZARA ALLAH ALIAHIDI LAZIMA UKWELI UDHIHIRI URONGO UJITENGE MALIPO NIHAPA AKHERA NI HESABU NDIO KIYAMA KISIMAME UWO MSHIRIKINA MDHULUMAJI HUU NDIO WAKATI WENGI TUTAOGOPA NA KUSHANGAA ❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 2 месяца назад +5

    Subhanallah Mwenyeez Mungu atunusuru na shari za walimwengu.

  • @Black_cheeter
    @Black_cheeter 2 месяца назад +1

    Huyu dogo hana akhlaaq za kiislamu kabisa na uwongeaji wake tu inadhihirisha kadhdhaab na mwisho wa siku anafundisha uchawi Subhaanallah!

  • @UmmyLubna-rp6rv
    @UmmyLubna-rp6rv 2 месяца назад +30

    Kijana vzr ukaendelea kusoma na Zaid somo la TAWHIID.utafaham vzr aina za shirk.ww upo ktk shirk.

    • @bilalhassan2109
      @bilalhassan2109 2 месяца назад

      Yukijana unaku zidi ilimu, Quran Allah ana sema ni Shifaa na Rehma kwa muumin.leo sisi sote tukiwa na muomivu tuna kimbilia panadol hali Quran tume acha. Kuna baadi ya mashekh wanatumia kauli si ya mtume mtume aja tumia matusi kwa maswahaba zake muache husda huyu ame wazidi ilimu nakupatu mfano nabi Musa na Qidry kisa Suratil Qaf .

    • @muduboy726
      @muduboy726 2 месяца назад +1

      @@bilalhassan2109 ni Quran ndo shiffa na rehma ama ni maji ??

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 месяца назад

      ​@@muduboy726 jee kutumia panado ni shirki au sio shirk

    • @OmanOman-bm1lr
      @OmanOman-bm1lr 2 месяца назад

      @@adamhashim3352 bora umuulize maana wanakera hao wanao mjaji shekhe firdausi wote wachawi na mahasidi

    • @alibachirofficial3939
      @alibachirofficial3939 2 месяца назад

      @@UmmyLubna-rp6rv dawa hospital 🏥
      Ni haramo piya sababu wanawofanya nimakafiri ila nye mnakubali.
      Nazama zakale azikuwepo hospital.
      Kwenye dawa Kuna vitu vinge wanavio changanya ndaniyake.

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 2 месяца назад +1

    We mshirikina Allah atakupatiliza chunga ulimi Dunia inakushughulisha

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 месяца назад +5

    Majani ya mbaazi na chumvi ya mawe da adeek! Noma sana. Namkubali sana huyu mwamba. Mtu ajichanganye aone.

    • @AGM19697
      @AGM19697 2 месяца назад +1

      Sasa mbona kama uchawi huo?

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 2 месяца назад +1

      Ndionuchawi huo

    • @RahimuAlmasi
      @RahimuAlmasi 2 месяца назад

      atafanya nini uyo em mwambie kuna mimi nampiga akaroge kama hajapotea mwenyewe mapematu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 месяца назад

      ​@@RahimuAlmasimwanga huyo mbona bila chenga

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 2 месяца назад +1

    allah sw akuzinduw acha shirk muabudu allah sw .

  • @jamalijamali6820
    @jamalijamali6820 2 месяца назад +13

    Hili jitu nijishirikina kueni macho ndugu zangu

    • @BabuAli-w8p
      @BabuAli-w8p 2 месяца назад +1

      Hana lolote uyo usilamu upo mbali

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 месяца назад

      @@BabuAli-w8p ndio hivo Sasa hivi watu wanatuchafulia Dini yetu sana kwasababu ya uganga wao
      Cha kuashangaza
      Watu wanawaamini haliyakua ni Matapelli
      Hivi kwanini watu wanaacha kujifunza Dini yao kisha wanaweka nyoyo zao kwa Matapeli!!
      Hii inatokana na kutomuuamini Allah na kumtegemea vilivo
      Eti Sharifu yaani Allah awape usharifu washirikina!!
      Kwanza hakuna mchamungu anaejitangaza Kwa watu huu ni wizi

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 месяца назад

      Ushirikina ni nn

  • @mickdad8309
    @mickdad8309 2 месяца назад +1

    Ww tapeli malaya ww na mungu akupe raana hapa dunian mbaka akhela ndoman shekhee nureedin kishikhi anawambiaga ukwel uwo utaperi raana ww

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 2 месяца назад +17

    utapeli wizi Na. Uongo mungu anawaona

    • @DRSWALEHONLINETV
      @DRSWALEHONLINETV 2 месяца назад

      Achakuhukumu

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 2 месяца назад

      ​@@DRSWALEHONLINETVAna hasadi huyo.

    • @Fadhilahemedy
      @Fadhilahemedy 2 месяца назад

      Huyu mganga huyu kasomea uganga anatumia dini kufanyayake

  • @abduliabdallah9197
    @abduliabdallah9197 2 месяца назад

    Hayo kiislamu yanaitwa maji ya baraka na siupako ,shekhe mungu akupe neema

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 2 месяца назад +3

    Sasa hayo mapete ya nini hata mtu anaogopa Ina maana unaweza kumfanyia ubaya kutokana maneno yako unatumia mashetani huo ni ushirikina

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 2 месяца назад +2

    Kishki wewe ni Shekh hivyo baadhi ya watu wasikuvunje moyo na utalindwa na mungu pekee.

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 месяца назад +4

    Acha jazba na matusi, wewe sio sharifu bana, kikubwa tunafuata dini inasemaje ili uwe sharifu lazma uwe na nasaba na ukoo wa mtume, kama unatao tiba toa tiba kwa kutojihusisha na usharifu

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 2 месяца назад

    Me ni mpenz mtazamaji na mskilizaji to Allah Kareem 🤝

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 2 месяца назад +4

    Wachawi wanzakujionesha live Tanzania. Inchi yakipuuzi sana.

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 месяца назад

      @@oswardjaphal-cd6np Wallahi huu ni msiba kabisa Mtu anashindwa hata kumuogopa Allah kwa sababu ya tumbo
      Halafu sio kila anaevaa kanzu kua ni Shkh
      Mtume wetu hakufundisha Uislamu Wa hivi
      ALLAH ATAWAULIZA WASISAHAU

    • @nimbetebwangabwa8521
      @nimbetebwangabwa8521 2 месяца назад

      Wa2 wanashka hela.ila we shka adabuyaco tz cnchi ya kipuuzi,,

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 месяца назад +1

      Matapeli wengine wanaita eti vifaa vya kiroho
      Utapeli mtupu

  • @binuqaasha675
    @binuqaasha675 2 месяца назад

    Duh, sheikh una pete 4 vidoleni.. hongera sana kishki Kwa kumnyoosha huyu.. ana Kila dalili za ushirikina

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 2 месяца назад +8

    Baadhi ya Watanzania mna midomo michafu sana. Kama unaona hakufai, pita zako kimya kimya. Huna haja ya kumtukana au kumuita mchawi. Hajakuroga, hajakutukana, na wala hajakulazimisha kumuangalia. Siye twampenda sana. Hana ubaya na mtu, wala na wewe, unamchukia kwa sababu zako binafsi. Mwenyezi Mungu awasimamie muwe miongoni mwa wenye hekma. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @Rukaka_jr
      @Rukaka_jr 2 месяца назад +2

      Apotoshe afu umuache

    • @tiemahajimuindi8017
      @tiemahajimuindi8017 2 месяца назад +1

      Ushirikina na utapeli haya mambo ya maji / mafuta ya upako

    • @bilalhassan2109
      @bilalhassan2109 2 месяца назад

      @@YasminaMkali Asalam aleikum. Unajua sharifu ina takikana awe mu arabu lakini ikiwa ana rangi ya ki Africa aa huyu mchawi wa Afrika ni wachawi. ikiwa tiba ya quran leo ni uchawi Subhanallah. Leo ao mashekh zetu wametupa tiba ya Quran.leo wana kimbilia India kwa Allah atu nusuru . In Sha Allah Allah akupushe mbali na ma Hasidi

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw 2 месяца назад +2

      Njooni Kwa yesu mtaokolewa

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 месяца назад +1

      ​@@GeraldMswazi-bp2kwDuh! Huko ndiko kwenye upotevu hassa,kwa roho mtakavitu

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 месяца назад

    Acha kiburi kijana mche Allah kijana kishki hawezi kukuonea wewe wivu yeye mwenyewe Allah amempa rizki yke

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 2 месяца назад +2

    Hayo matilio unayoyataja ni fani ya uchawi kwe kweli

  • @MuslimBakar-uf6xd
    @MuslimBakar-uf6xd 2 месяца назад +1

    Wewe mmachinga hujui ata kiswahili mnapenda tuu mushikeshike wari wa watuuu mshawah kuend sehem x mkajitia kutoka dawa mkakamatwa mnamtoto wamtu mnamshambulia

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 2 месяца назад +3

    Dogo anajishuku sana uzuri sio msomi dini ni usomi sio kubahatisha huyu amedanganya watanzania kwa mda sana this round hatoboi

  • @SalhaAlly-g5r
    @SalhaAlly-g5r 2 месяца назад +2

    innallillah wainnallah rajiun allah atunusuru jsmani

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 месяца назад +6

    Hongera mwamposa mdogoo

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂Mjinga Saaaaaana

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 месяца назад +1

    Mungu atakuumbua hapahapa duniani

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 2 месяца назад +3

    Ndio maana dini yetu ili uepukane na watu kama hawa lazima ukae chini usome bila kusoma unafeli na jahannam makazi yako huyu kijana ameharibu mda wake akitembea n wazee kuwachangashia pesa Leo amedanganywa akapewa vilemba akakosa elimu hata mazungumzo yake hayana maana kubweka tuu

  • @KasimuMussa-uy5pr
    @KasimuMussa-uy5pr 2 месяца назад

    Duuuuh innalillaah wa innaaa ilaihi raaji uun huuu ni msiba. Umeona wapi shehe wa upako

  • @jamalijamali6820
    @jamalijamali6820 2 месяца назад +3

    Hili ni jinga ukilitizaza limekaa kama chawi lizushi hamna kitu huo upumbavu wake akapeleke huko

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 2 месяца назад +1

    Acha kuharibu uislaam we kijana na tamaa shiriki hajawahi kumuacha salama mtihani sana

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 2 месяца назад +3

    Swala la kutumia maji ktk uwisilam ipo kutumia miti ipo shida wengi wetu hatutaki kusoma tunakaa kudhani tu hichi akifai hichi akifai

  • @aleyslaim4935
    @aleyslaim4935 2 месяца назад +2

    SHEIKH KISHKI Kawaambia ukweli ndio mana mmekusanyana

  • @DaudMoche-rl4cg
    @DaudMoche-rl4cg 2 месяца назад +4

    Kumeanza kuchangamkaaaa😂😂

  • @MadinaSeif
    @MadinaSeif 2 месяца назад

    Mbona usiende ma hospital ukaponye watu nasio mitaani Allah anachukizwa sana nahii uhuni kwenye dini yetu, tazama watu wanavo teseka uko maradhi mengi, Sheikh kishiki, ALLAH AKUIFADH SHEIKH WANGU nyinyi mkipotea watu kama nyie WALLAH etu tazama mpaka ustz manzigi, et nayeye nimesikitika sana dini inako elekea

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 2 месяца назад +7

    Hata ibada inaonekana amna humu

    • @clyvanboss
      @clyvanboss 2 месяца назад +1

      @@khalifawapili1799 akuna ibada hpo k😂😂

    • @TwahayusufuMaziku
      @TwahayusufuMaziku 2 месяца назад +1

      Hungary hawaswali tunawainqnkwenye mihadhara ya magaharibi ikifika ndo kwanza wanaanza kutoa majini

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t 2 месяца назад +2

    Mashekh WA bara pesa mbele Iman kesho

    • @BofuMlanzi
      @BofuMlanzi 2 месяца назад

      Da!! Umoumo. Pesa ndio dini zao.

  • @abuibra
    @abuibra 2 месяца назад +4

    Kazi kubwa Mapete kibao joho bonge la tasbihi kitu kitu kilemba miwani 😂😂😂umependeza lakini elimu 0%0 Kazi kubwa hii.

  • @HabibaMussa-mf3ny
    @HabibaMussa-mf3ny 2 месяца назад +1

    Asalaam alykum,tafadhali maomba umche allah kwa kaulizako

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 2 месяца назад +4

    Upo vizur sharfu.
    Watu hawajui tu

  • @nikrahayubu-sz3pw
    @nikrahayubu-sz3pw 2 месяца назад +2

    Nasemaje kwa maneno yake hyu kijna ni mwanga nasema na sheikh's kishik ALLAH amkinge na hasi ya hyu na wenginee mtt mdg utapotea kama walivyopotea wengii jishauwe kijana

  • @AbdulHakim-e4q3b
    @AbdulHakim-e4q3b 2 месяца назад

    Allah akbaru kama kweli umekusudia kumkafu kishke umekosea sn kishke ni shekhe mkubwa sn kuliko unavyo dhania umekosea sn kishke ni mtu wa Kur Ani ivyo kumtukana kishk ni sawa na kuitukaana Kur an

  • @AllyBakiri
    @AllyBakiri 2 месяца назад

    Ebu tumuige kiongozi wetu mtume muhammadi hayatatokea haya nampaka yanatokea haya watu wengi wapo katika maslahi yakidunia

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 2 месяца назад +1

    WEWE ACHA UJINGA NA UONGO NA UZUSHI NA UTOTO NA HUNA LOLOTE WEWE NI MPOTOSHAJI. SHARIFU MAVI

  • @mubarakkambi4530
    @mubarakkambi4530 Месяц назад

    Huyu ni mganga tena wa kienyeji kama mnabisha mtaona ndugu zangu...!! Maan kashaanza kudhihilisha kwa mdomo wake ...! Nakuwatisha watu wanaomuongelea et atawanyoosha..muogope allah

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 2 месяца назад +2

    Huyu Allah anisamehe ila anakaa mchawi Pete za nini ama ni wanafunzi wa sulle wajua baada ya sulle kuja n issue ya majini Pete nyota ndo haya yote yameibuka ,,,,Tena ati kwa baraka za masheikh wao ,,, subhanallah tumuogopeni mungu na tusiende kinyume na dini

    • @DRSWALEHONLINETV
      @DRSWALEHONLINETV 2 месяца назад +1

      Hâta nabii suleimani aliivaapete

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 2 месяца назад

      @@DRSWALEHONLINETV Sasa wewe unalinganisha nabii wa Allah na tapeli vp alfu wanakuja hivyo na mambo ya kichawi kumbe wapiga ramli

    • @RashidiNgabuja
      @RashidiNgabuja 2 месяца назад

      Mvueni kwanza hizo pete alfu ndio tuongee nae mm simuelew

    • @DRSWALEHONLINETV
      @DRSWALEHONLINETV 2 месяца назад

      @@hassanWanjiku kijana elim ndogo huwa ni simu sikila sheikh anajua elim zote kuvaaa pète hakuna uharamu unaweza nipa dalili yakuharamisha pète?

    • @DRSWALEHONLINETV
      @DRSWALEHONLINETV 2 месяца назад

      Harafu nakuuliza ramli nilugha gani?

  • @yusuphkijangwa3147
    @yusuphkijangwa3147 2 месяца назад +1

    Huu ni mtihani wallah, waislamu tuwe macho

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 2 месяца назад

    Mimi kama mimi siko kumlaumu sheikh kishki wala sheikh Sharifu, Kila mmoja kaeleza alivyoeleza amefahamika, lakini kuna watu wamekomet kitu wasichokijua wanafanya huu mzozo uzidi kuwa mkubwa, Lakin mimi nasaidia kutoa jibu kwa mmoja aliesema Sharifu anajijua, Ndio sharifu anajijua, kuwa hujui uliza, Sharifu ni wale wote wanaotokana na kizazi cha Mtume Muhammad s, a, w, na kizazi cha mtume bado kipo kinaendelea, ukitaka ndio hivyo hutaki ndio hivyo, na la pili Sharifu linakuja kama jina mtu hakatazwi kujiita sharifu, kwani mtume aliusia Kuwaita watoto wetu majina mazur, sasa hakuna haja ya kutukanana kusema na vibaya wote ni waislam tuachen makelele

  • @zanzibartour2501
    @zanzibartour2501 2 месяца назад

    Asalamaalekum shekh sisi waislam tunataka ushahud wa quran na hadith

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 месяца назад

    Masheikh wa maji ya upako na mafuta ya upako , ndio mwaacha waislam wanaritadhishwa na kuitwa waislam wachawi , mwayatoa wapi mmb hayo , TANZANIA bana hakuuishi vituko kila kukicha ,ALLAH atuongoze

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 2 месяца назад

    Watukufu Waislam hakuna Sharifu wa namna hii katika Uislamu ila huyu ni tapeli anayedhulumu mali za wanyonge hana Hiqma hana Busara katika kuongea na haongei kama mtu aliyesoma Qurani.. Amkeni Matapeli siku hizi wanakuja kwa njia nyingi.. Ishaallah MwenyeeziMungu atulinde na atukinge na hasad..

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 2 месяца назад +1

    Achana na hayo mambo ya kishirikina wewe acha ubishii kwenye dini njaaa itakupeleka pabaya Allah akuzinduwe in sha Allah

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 2 месяца назад +2

    NAKUPENDA KWA AJIRI YA ALLAH SHEKH KISHK NAWE UNA MAPUNGUFU YAKO ALLAH AKUSAMEHE ILA UMEKUWA KIPAUMEBLE KATIKA KUILINDA HADHI NA HESHIMA YA UISLAM
    ALLAH AKULINDE
    MTUME S.A.W PIA ALISEMWA ALICHUKIWA ALITUKANWA SO WATAKAOMFATA WAJUE WATAKUTANA NA MADHILA MENGI IKIWEMO KUKATALIWA NA WATU
    MKONO KWA MKONO HADI PEPONI INSHAALLAH

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 2 месяца назад

      Hata kiboko ya wachawi alisifiwa mno mwanzo

  • @hassanandnabil7243
    @hassanandnabil7243 2 месяца назад +1

    Sheikh wangu kueni na heshima na hekima / penye itaneni muekane sw co kupigishana kelele kwenye viriri/ M S W hajatufundisha hivyoo ... msichafue dini ya M/ Mungu nyie ndie ya kutuelimisha co ya kutupotesha

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv 2 месяца назад +1

    Ushirikina tuu.
    Kwenye kuwa maarufu pia ni uongo ni mwaka tuu maana miaka miwili+ nyuma ulikuwa huongei hivyo pia ulikuwa unahangaika kujitafuta. Tunakujua.

  • @AgeCare-w2h
    @AgeCare-w2h 2 месяца назад

    Katika vitu ninavyo penda wawe navyo wanaume wa kiislam kwanza Iman,elim,ujasiri na nguvu.hili la nguvu hili huwa natamani wote wawe mabondia kama sio wanajeshi au walenga shabaha watu kama Hawa ni kuwatandika bakora hawarudi uhuru umezidi Kila siku yanazuka mapya

  • @abdisalat6497
    @abdisalat6497 2 месяца назад

    Hayo mapete yananitia shaka. Usiwe unatumia majini halafu unasingizia Mungu. Yaani unatumia majini kuwatibu watu halafu unasingizia nimeyaaomea kisomo. Hii dunia ya sasa haieleweki.

  • @seifabdi9248
    @seifabdi9248 2 месяца назад

    UPAKO, UCONMAN , UTAPELI , USANII, HAKUNA KWENYE UISLAMU. JAMAA TAFUTA KAZI YA HALALI TUWACHE UTAPELI! NA KUDANGANYA WATU NA KULA PESA ZA WATU

  • @AbdulwakilShaban
    @AbdulwakilShaban 2 месяца назад

    Subhaana Allah Atuhifadhi Yani mtu hajasoma anajiiita sharifu

  • @ashanassoro6492
    @ashanassoro6492 2 месяца назад +2

    Utaamka saa 9 usiku umpige sheikh kishki vitu, nasemaje wewe mchawi huna la kumfanya sheikh kishki Allah yupo pamoja nae atamrinda Allah atuepushe na wachawi kama ww

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 месяца назад

      Masheikh wote wasunnah wanapaswa wasimame kwa pamoja kutetea itikadi sahihi ya Uislamu ili isionekane Ni msimamo wa sheikh Fulani Bali ndio usahihi wa dini ya Allah mtukufu

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 2 месяца назад +1

    Mimi sioni ajabu kama mungu alisema tumuombe atatujibu. Hata maji ukiyaombea bila kumjaribu allah inaweza kupata taafifu kwa mgonjwa atakaye kunywa na kunawa wanazuoni wengi wakubwa Imani zao ndogo na Dua zao ni zile zile. Mtu anaumwa ugomjwa wa jini Dua Ile Ile anaumwa maradhi mengine Dua ni Ile Ile kwa hiyo majibu yanakuwa hamna unabaki du Fulani kaniombea Dua kubwa Lak ni matokeo chanya. Is huyu sharifu awe na adabu huyo nurudin ni mwanazuoni mkubwa SI vizuri kumjibu kama uko kijiweni Tena kilabu Cha pombe za kienyeji jifunze kuwa mstamilivu kwa kila jambo

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 2 месяца назад

    Kweny dina ata enzi za mtume Muhammad ba mitume mengin hatukuwahi kuwasikia kuna mafuta ya upako .jmn tumuogopeni Allah kwann analotesha watu kwa maslabi yake mwenyew. Bora aendelee kusoma dini vzr sana yy bd mdg sana anqmdaaa wa kutoshaa kusoma sira ya bwa mtume Muhammad sw pamj quran tawhid na lugha ya kiarab.

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 месяца назад

    Muislam wa kwanza kumsikia akisema hajakamilika, na haukumu wengine. Safii Sheikh wape dozi.

  • @cavanindimbe1670
    @cavanindimbe1670 2 месяца назад +1

    Kwani sheh mkuu wa Tanzania kazi yake nn watu kama hawa wanachafua uislam

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 2 месяца назад

    Yaarabby mkinge kishki na majini waki bina Adam kama hao yani uyo kijana nimchawi nani mshirqina wazairi maneno yake yamedhirisha kuwa yy hana cha usharifu bali ana tukanisha uislamu Allah atamdhalilisha siyo mbali mjinga sanaaa