Shekh shafi huwa uko sahihi kwasababu wewe unajitahidi sana kusoma dini yetu kwa undani huna janja janja. Umeongea maneno yakweli kabisaaa, Allah akubariki sana
Ama kweli wakati umefika,hayakuwepo haya marumbano ya sio walii, sharifu, sheikh, vipo vitu muhimu ktk dini yetu , Uma WA kiisilaam ujifunze, kwani akijiita sharifu majina hayo siyapo ! Amir , Karim je kweri ano ukarim, mungu ndio anajua .
Ndugu kusilim ni kwa uwezo wa Allah Taala hivyo usimuite mwenzako mnafiki lkn endelea kumuombea dua Allah Taala Amuongoze na yeye ktk njia ya kweli na uzima.
MAASHALLAH UST SHAAFI UPO SAHIHI YULE FIRDAUS ANAJIVISHA CHEO CHA ALLAH ANAMSHIKA MT KICHWA ANASEMA KUWA INAKUWA HII NI SIFA YA ALLAH YY HANA USHARIFU HATA HIYO MITUME ILIPOPATA DHIKI ILIMUOMBA ALLAH NA ALLAH AKATENDA LKN SI HUYO SHARIFU FIRDAUS ANAENDA KINYUME NA UTARATIBU DINI.
Maashaallah Maashaallah Maashaallah, Alhamndulillah jazaakallahu Khairan,sheikh umemaliza utata .Tusome ili tuondokane na ujinga.Qur'an haikubakisha kitu. ALLAH atupe uongofu na atuongoze.
Maashaallah.shafii namkubali saaana.hata kuwalingania ndugu zetu wakristo yuko vizuri kuliko mazinge.wahadhir wengi wamepoteza umaarufu wao kwa kumsapoti sharifu feki
Ustaadh Shafii hapindishi maneno sichoki kumsikiliza.Dini sio chama cha siasa au mpira useme mie namuunga mkono na unajua shekhe Firdaus ni mganga sio shekhe wala sharifu .Kwenye jambo la dini tusimame na haki kwani Allah atatuhukumu.Shukran Ustaadh Shafii 🎉
@@hazelbrown9299 Yule ni mganga wa kienyeji, halafu muongo sana eti amewah kumuota Mtume akiwa kwenye vita ya uhud, duh halafu eti wamuita sheikh mbona watia aibu sasa.
Daaah katka masheikh hapa tanzania akuna sheikh ninamkubali kama shafii ni sheikh ukimckilz unavyoongea ni unamuelew na nisomo kubwa sn uyu sheikh mungu amuepushe na malazi pamoja na mitian🙏
Maaashallah sheikh wanguu Allah akuongozee ktk kila jamboo bayaaa na husda za wanafkii na mahasid wooote dunianiii Wewe haunaga shakaaa wala ktk fatwa zakoo sio Tajiri lakini wala sio sheikh wa pesa wala sio sheikh wa mitandaoni wala followers Allah akuongozeee😊
ASSALAM ALAYKUM WARAHMTULLAH WABARAKATU VP HALI YKO SHEKHEE SHAFII NIKO SOUTH AFRICA MAFIA ULIKWENDA BALEN AMA NDAGONI POLEE SNA ALLAH AMJALIE NDUGZKO KTK WATU WA KHERY PEPONI INSHALLH NA ALLH PIA AKULIPE KHERY DUNIAN NA AKHERA
HAmissi salmo kutoka msumbiji ni kweli unacho sema shekhe shafii uwo ni utapeli tu masharifu feki dalili za kiyama. Mshaalla nakupenda kwa ajili ya allah.
Maashaa Allah Mimi ni muumin wako ktk msikiti wa mwenge nakujua vizuri huwa kwenye ukweli hupindishi nakumbuka ulikuwa unatuchana live bila chenga, Allah atuongoze sote, kama uko karibu na Kwa mangi apo kunywa Pepsi nikija nalipa😂
Uko sawa, ila nakuomba elezea na kufafanua;- 1. (usharifu) yaani silsalah kutoka kwa mtume (a) inakuwa vipi, (b) nani kasema kuwa huo ndio usharifu? 2. Je mtu kama weee kutoka tz huwezi kuwa sharifu 3. Je ni masharti yapi mtu anatakiwa awe nayo ndo awe sharifu, na hayo masharti nani kayaweka? 4. Nani katika maswahaba aliitwa sharifu katika zama zao? 5. Imaan shaafiy Allaah amrehemu ni katika karne tatu bora na yeye nasabu yake inafika kwa mtime, je ni nani katika wale maimamu wenzake katika zama zake alimuita kuwa yeye alikuwa sharifu?
Sasa hii itakua majibizano kwasbb mazinge, na sheikh maulana wapo pamoja na firdausi lkn sheikh shafi na mwaipopo wapo pamoja na sheikh kishki sasa tusubiri mengi.
kuna namna ya kumwambia mtu kwa mujibu wa Din na sio kumuniaka ndo alichokosea shekhe kishki alitakiwa am amfate amuonye na kama atakuwa mbishi ndo atuambie kwenye vyombo vya habar vzur na atuambie kama nawaambia wauumin kwa sababu nimeshamfuata nikamwambia lakn hajanielew ndo maana nimeamua niiweke wazi mpka wauumin mskie ndo alitakiwa afanye hvyo but shekhe shafii uko vzur hongera
Nakukubali sana sheikh wangu kwa kutufungua katika dini yetu ya haki Mungu hakuweke sheikh wangu Inshaallah
Mashallah shekh shafi nastafidi kwako leo kwa Ilmu hini lazma watu wa some waache kutapeli zisomo Zina mipangilio yake kabisa mtumi kusomesha s.a.w
Umetisha sana shek shafii mashaalha chukua mauwa🎉
Shekh shafi huwa uko sahihi kwasababu wewe unajitahidi sana kusoma dini yetu kwa undani huna janja janja. Umeongea maneno yakweli kabisaaa, Allah akubariki sana
Ama kweli wakati umefika,hayakuwepo haya marumbano ya sio walii, sharifu, sheikh, vipo vitu muhimu ktk dini yetu ,
Uma WA kiisilaam ujifunze, kwani akijiita sharifu majina hayo siyapo ! Amir , Karim je kweri ano ukarim, mungu ndio anajua .
@@AllyKipende Shaffi anaeleweka vizuri sana
Mimi ni mkristo na nimchungaji ila shafii namkubari sana toka miaka zaidi ya 10 nyuma namfatilia sana mungu azidi kumpigania
@@IreneEmmanuel-uv8vm mashaallah
Mnafiki wewe
@@IreneEmmanuel-uv8vm ss wenzio tulipohona anasemakwer tulibadili dini kwa kusikiliza ulimi wake ww bado tu
Sheikh shafii ALLAH akuzidishie kheri kwa ufafanuzi wako mzuri kwa hawa masharifu feki
Ndugu kusilim ni kwa uwezo wa Allah Taala hivyo usimuite mwenzako mnafiki lkn endelea kumuombea dua Allah Taala Amuongoze na yeye ktk njia ya kweli na uzima.
Shukrani sana sheikh shafii umeongea maneno kuntu Allah akuhifadhi
ALHAMDULILLAH (INSHAA ALLA MWENYEENZI MUNGU SUBHANNA WATTAALLA ATUFANYIE WEPESI AMEEN)THANKS
Shekhe shafii mashaallah nakukubariii Sana Allah akulinde yaan wewe na kishk nk ambao awafishi uwovu
Nilikua nasubiri interview yako sheikh shafi s.s.p points masha'allah
@@Kuminamoja1995 mm nilikuwa nasubiri huyu tuu nijiridhishe kwa Saba anafafanua na tunamuelewa wengine wote wanapigia mikelele tu
Kweli masha'allah shafii ndo mwalimu wa kujivunia kabisa
Bonge moja la sheikh maneno mazuri sana inshallah mwenyezi mungu akupe mwisho mwema
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Shafii
UstAdh shafii tunakupenda kwa ajili ya Allah 🤲 lnna lillah wainna illaih Rajiun.pole sana UstAdh shafii kwa msiba
Mazinge ameshakua mjanjamjanja njaa mbaya sana anajifanya hili halijui dahh!! Allah amfungue sheikh wetu Mazinge,SHAFII ALLAH amjaalie mwisho mwema
Ostadh Shafi Allaah akuthibishe katka haqqi mim nakupenda kwa ajili ya Allaahutaalaa sababu unajitahid kunyoosha
ALLAH ATAKUFANYIA WEPESI KATIKA MAISHA YAKO KWA HAKI HII ULIYO ONGEA
Wewe ndio Sheikh mwenyezi MUNGU Akuifadhi 🫀😭💬nakupenda sana kwa ajili ya Allah subhanahu Wa TA'ALA
MAASHALLAH UST SHAAFI UPO SAHIHI YULE FIRDAUS ANAJIVISHA CHEO CHA ALLAH ANAMSHIKA MT KICHWA ANASEMA KUWA INAKUWA HII NI SIFA YA ALLAH YY HANA USHARIFU HATA HIYO MITUME ILIPOPATA DHIKI ILIMUOMBA ALLAH NA ALLAH AKATENDA LKN SI HUYO SHARIFU FIRDAUS ANAENDA KINYUME NA UTARATIBU DINI.
Maashaallah Maashaallah Maashaallah, Alhamndulillah jazaakallahu Khairan,sheikh umemaliza utata .Tusome ili tuondokane na ujinga.Qur'an haikubakisha kitu.
ALLAH atupe uongofu na atuongoze.
MashaAllah Allah akujaalie uwe mwenye kusimama na haki InshaAllah. Allah barik InshaAllah
Mwalimu Allah akudjaliye n'a maisha marefu. Unaelimu ya dinih yetu
mashaallah allah akulipe sheskh shaffi kwa kuongeya ukweli❤❤❤❤❤❤
We shafii we ee mungu akuweke Bingwaaa umetisha sana
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu pole sheikh wetu kwamsiba uliyo kupata inalilahi wainailehi ilyeihirajihun Allah ampe maiti wetu kauli thabit AMIN
Amiin
SHEKHE SHAFI HAPO NIMEKUELEWA ALLAH AKULIPE KWAKILA KHERI NDUNGU YANGU PASUWENI HUYU SHARIFU WAMCHONGO MWENYEWE HATA KUSOMA ALIFU HAIJUI PUMBAVU ZAKE
Sheikh shafi I love him this guy hachezi na masuwali huyu ni juzi for talking
Mashaallah Allah akulipe kheri,umesema kweli sheikh wangu
Baraka Allah Ustadhi Shafii ume ondoa utata
Safi sn Sheikh Shomari umemaliza Allah atuongoze sote inshaallah
Maashaallah.shafii namkubali saaana.hata kuwalingania ndugu zetu wakristo yuko vizuri kuliko mazinge.wahadhir wengi wamepoteza umaarufu wao kwa kumsapoti sharifu feki
Ustaadh Shafii hapindishi maneno sichoki kumsikiliza.Dini sio chama cha siasa au mpira useme mie namuunga mkono na unajua shekhe Firdaus ni mganga sio shekhe wala sharifu .Kwenye jambo la dini tusimame na haki kwani Allah atatuhukumu.Shukran Ustaadh Shafii 🎉
Mashallah Allah hongera zako shekhe nimekuelewa vizur sanah Allah akuhifadhi
Shekh shafii umenyoosha maelezo vizuri sana ,wakuelewa ataelewa asielewa ni yeye mwenyewe tu.lakin kiukweli umetisha san
Shukran sana sheikh Shafiii
Allah awalipe kwa Elim kubwa ww Shafi na kishk tumeelewa vizur mkosawa
Tulikusubiri sana kumbe umefiwa pole sana shekh shaf
Ahsante
Jazzakallahu khayra Sheikh wetu ume nifurahixh ukweli ume udhirisha Yani Sheikh wetu mpendwa Nurdeen kshk alisema ya ukweli
Nakupenda shekh shafii Kwaajiri ya allah
Mashaallah,namsubri na mwamba Wang Shekher wangu kipenz shekher othman maiko Micheal atasemaje katika hili maan sjamuona
@@AsnatyMshamu Duh na Othman Michael kumbe ni sheikh mbona wanichekesha sana ndugu yangu
@@azizisulay6005 kumbe ni nani? Hebu naomba unifafanunulie Sheikh Othman Michael ni nani?
@@hazelbrown9299 Yule ni mganga wa kienyeji, halafu muongo sana eti amewah kumuota Mtume akiwa kwenye vita ya uhud, duh halafu eti wamuita sheikh mbona watia aibu sasa.
Daaah katka masheikh hapa tanzania akuna sheikh ninamkubali kama shafii ni sheikh ukimckilz unavyoongea ni unamuelew na nisomo kubwa sn uyu sheikh mungu amuepushe na malazi pamoja na mitian🙏
Wajua shekh kishki alitoa tu mwaidha kuhusu masharifi feki watu wakajishuku lkni ww ss umeweka wazi kazi nzuri kabisa
Safi sana shekh yule tapeli mpaka aache cjui na hawa wengine cjui sharidu majini wanatuharibia sana dini hawa
Umeongea shekhe Shafii nimeridhika. Masharifu feki waache mara 1
Maaashallah sheikh wanguu Allah akuongozee ktk kila jamboo bayaaa na husda za wanafkii na mahasid wooote dunianiii
Wewe haunaga shakaaa wala ktk fatwa zakoo sio Tajiri lakini wala sio sheikh wa pesa wala sio sheikh wa mitandaoni wala followers
Allah akuongozeee😊
Nakuelewa shafii
@@Mbwanaadam-m2v lazma umuelewe maana majini ya meshawamaliza akili!
@@JeanMuzaliwa-bs6qhMchungaji wako kakumezesha ujinga ili uendelee kutoa Sadaka😂😂😂😂
@kassimrajabu7805 ww Muhammad kakopotosha milele!
Kweli kabisa umeona mbali ❤❤❤❤Lovely ongera umesimama ktk kweli
Sheikh ma shaa Allaah sema kweli
Masha Allah
Inna lillah wainna illahi rajiun pole sanaa sheikh wg Shafii Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu
Allahuma amiin
Inapotokea kadhia ndani ya dini ya Allah kweli wewe inakua mstari wa mbele kukemea, Allah akuhifadh
TUKUBALI TUKATAE SHEKH SHAFI HUWA ANANYOOKA SANA kTK INTERVIEW ZAKE WALA HATAFUNI MANENO NI KWELI TUPU ALLAH AKUBARIQ .
Simulizi weye kiboko ,bado unazunguuka tu kaka uchoki Masha'Allah, kazi nzuri
Duh
@shafiishomari2Allah akuhifadhi ustadhi.
Amiina 328
Shukrani sheikh shafi
Allah akupe afya njema, Sheikh Shafii
Hehehe ndugu MWANDISHI unazidi kupwaguka leo upo kwa Ustadhi Shafii. Pole Shekhe Shafii kwa msiba. Allah amrehemu ndugu yetu.
Shafi mungu akubariki akufungulie rizik amin
Nlkua nasubir sheikh shafii aongee,,, mashaallah,,kakako mazinge amepotea jamn
😂😂😂😂😂😂😂eti kakako mazinge ameshapotea
Assalam alaykum shekhe pole kwa kuondokewa na mdogo wako
@@PendosaidiDonald ahsante kaka
ASSALAM ALAYKUM WARAHMTULLAH WABARAKATU VP HALI YKO SHEKHEE SHAFII NIKO SOUTH AFRICA
MAFIA ULIKWENDA BALEN AMA NDAGONI
POLEE SNA ALLAH AMJALIE NDUGZKO KTK WATU WA KHERY PEPONI INSHALLH NA ALLH PIA AKULIPE KHERY DUNIAN NA AKHERA
Mashallah akosahihi
Sh ALLAAAH akulipe na akupe mwisho mwema
Ttz letu elimu ndogo hatujui hatujasoma na kusoma hatutaki na kuelezwa ukweli hatutaki kukubali tubadilikeni waislam tuacheni mauzauza
Mashaallah shekhe
MashaAllah ❤❤❤❤❤
HAmissi salmo kutoka msumbiji ni kweli unacho sema shekhe shafii uwo ni utapeli tu masharifu feki dalili za kiyama. Mshaalla nakupenda kwa ajili ya allah.
Umeeleweka Shekhe Shafii
Sheikh umejitahidi lakini firdaus ni mwenye makarama Masha Allah
Tatizo ni aqidah siwezi kulaumu
Mwenye karama hasemi wewe ni uchamungu wake, matapeli hao mnawaita wana karama wanaibia waislam
Wanaitafuta dunia kwa kuuza maneno ya allah
Kama ana karama, afanye tiba bure maana karama ni ya Mwenyezi Mungu
ɦɑɳɑkɑʀɑɱ yɛyѳtɛ, ɳiuɓɑʀɑɱɑki2 ɦuѳ... ɑʆʆɑɦ atuongoz
Umepotea Ndugu. Rudi kwenye Njia njema
Asante Sheikh Shafii Bora umesema Sharif uyo kwioo😂kumbe ni katika wanaoganga nakutoa mapembe na mizim Mhh🥺Astaghfirullah Allah atuongoze Wataka kujinasibisha na Mtume wakat uyo mtume mwenyewe hawamjui sifa zake mtume hakuwa mshirikina😢ukoo wamtume umetalasika bwana wasituletee magen
Haya maneno ni mzuli sana ningependa yazungumzwe kwa kingeleza ili duniya ijuwee
MaaShaaAllah
Hongera sana sheh sharif
Sheikh shafii kama una wake watatu naomba nafasi ya nne nikuozeshe mwanangu from Pemba
Shekh Shafii Unajuwa Upo sawa
TUNAWAITAJI MASHEKHE. WADIZAINIYAKO MUNGU AKUTUNZE
Simulizi unapenda kusimuliwa maswali kama yote😂😂
Maashaa Allah Mimi ni muumin wako ktk msikiti wa mwenge nakujua vizuri huwa kwenye ukweli hupindishi nakumbuka ulikuwa unatuchana live bila chenga, Allah atuongoze sote, kama uko karibu na Kwa mangi apo kunywa Pepsi nikija nalipa😂
aisee hapo upo sawa mzee hyo fldaus ni mgaga wa kienyeji hafu ni mtoto wa zinaaa hyo
Assalaam alaikum nakuomba sheikh shafiii uandae somo ,kuna hawa wapagani wanajiita,wachokonozii uwaandalie somo ,juu ya upotoshaji wanaousema mitandaoni.
Kwanza uyu sharifu gani ata Qur'an hajui
Shafii shomari pango❤❤
Safi sana shekh Shafii
Nakukubali
Swadakta uislam hakuna mafuta ya UPAKO
Halafu mnamuita shk firdaus 😅hamna Sheikh pale Sheikh ukwaju😅
Asalam alekiu mtangazaji umechapia
Mashaalah
Tumekuelewa jembe letu 🎉🎉
Uko sawa, ila nakuomba elezea na kufafanua;-
1. (usharifu) yaani silsalah kutoka kwa mtume (a) inakuwa vipi, (b) nani kasema kuwa huo ndio usharifu?
2. Je mtu kama weee kutoka tz huwezi kuwa sharifu
3. Je ni masharti yapi mtu anatakiwa awe nayo ndo awe sharifu, na hayo masharti nani kayaweka?
4. Nani katika maswahaba aliitwa sharifu katika zama zao?
5. Imaan shaafiy Allaah amrehemu ni katika karne tatu bora na yeye nasabu yake inafika kwa mtime, je ni nani katika wale maimamu wenzake katika zama zake alimuita kuwa yeye alikuwa sharifu?
Naam sheikh Wang hapo upo sahihi saana
Shekhee shafi nampenda sana anaongeaga poit
Uyu ndiye shekhe ambaye ana elimu na aongezi neno wala apunguzi neno.
Bismillah
Asalaam aleykum.Nisaidieni no ya ustadh SHAFII tafadhal.
Umeongea ukweli shehe
Ila sheikh Firdausi kasema HAYA MAFUTA YANGU SIO MAFUTA YA UPAKO
Mazinge,Habshi Na sheikh wa mkoa bado sijawaelewa
Safi sana ustadh shafi wabomoe hao wahuni
Sasa hii itakua majibizano kwasbb mazinge, na sheikh maulana wapo pamoja na firdausi lkn sheikh shafi na mwaipopo wapo pamoja na sheikh kishki sasa tusubiri mengi.
WAHADHIR WENZIO WANANGALIA SANA TISA 9 NA WENGINE TUNAZO HABAR ZAO WANASOMEA HUKU WAKIMUINGILIA MWANAMKE MAKUSOMA DUWA
HUYO FIRDAUS HATA KUSOMA SURAT FAT'HA HAJUI KUSOMA VIZURI KTK ALHAMDULILLAH YY KASEMA ALAAMDULILAH. ALAFU KAMTISHIA SHEKH KISHKI KAMA ATALETA UBISHI ATAMPIGA KITU KWAIVO NI WAZI HUYO ANATUMIA MAJINI
kuna namna ya kumwambia mtu kwa mujibu wa Din na sio kumuniaka ndo alichokosea shekhe kishki alitakiwa am amfate amuonye na kama atakuwa mbishi ndo atuambie kwenye vyombo vya habar vzur na atuambie kama nawaambia wauumin kwa sababu nimeshamfuata nikamwambia lakn hajanielew ndo maana nimeamua niiweke wazi mpka wauumin mskie ndo alitakiwa afanye hvyo but shekhe shafii uko vzur hongera
Sheikh umeongea kabisa asietaka kuelewa ni yeye tu mwenyewe na chuki zake ila ukweli umeuongea Sheikh watu tu hawataki kuelewa haki