PART 3: Ninyi na machawa wenu munawaibia wanawake wa kiislam njaa imehamia kichwani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 153

  • @nyundotv
    @nyundotv  Месяц назад +9

    ASANTE KWA KUFUATILIA RUclips CHANNEL YETU PIA AHSANTE KWA KUTAZAMA VIDEO HII PIA TUNAOMBA USISAHAU KU SUBSCRIBE 🙏🙏

    • @TpPt-do5vg
      @TpPt-do5vg Месяц назад +1

      Mimi nasema hakuna sharifu hapooo matapel tuuu Hao kishki huko vizuuri Sana

    • @FatumaZuberi-ln1cl
      @FatumaZuberi-ln1cl Месяц назад

      Mashaalah❤❤❤ mashaalah❤❤

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv Месяц назад +14

    shekh toa dozi vijana tupo pamoja na wewe wanazalilisha dini yetu from mozambique❤❤❤❤❤❤ shekh kishk

  • @SophiaAhmeddodo
    @SophiaAhmeddodo Месяц назад +10

    Masha Allah Allah akujaalie mwisho mwema pamoja na kizazi chako na waislam wote dunian.
    Allahumma ameen

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi Месяц назад +5

    Shekhe wetu Nurudin kishk tunakupenda huwa unapenda sana kusema ukweli waswahili wanasema sema kweli japo utaangamia sema kweli japo inauma ❤💓💓💓💓💓 quruan inatukinga sana endapo ukiamin kwa iman thabit tena kuna duwa za kulala ukisoma mwanga akija anakukuta uko macho hali ya kuwa umelala

  • @Nigh337
    @Nigh337 Месяц назад +11

    ❤❤❤❤Tunakupend shekh wetu

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx Месяц назад +4

    Mashaaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤ameen 🙏 ❤️ 💖 ♥️ 💕 💓 🙏 ❤️ 💖 allah akbar allah atujarie mwisho mwema inshaallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤shehewetu allah akuride

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db Месяц назад +4

    ❤❤❤🎉🎉🎉wallah sheikh unawaambia ukwel wanaudhalilisha uislam wetu ghadhabu ya allah haitawaacha salama

  • @jumaswalehe5085
    @jumaswalehe5085 15 дней назад

    ❤❤❤ sheikh kishki allah yuko p1 na ww hawa watu hakuna wanachojua ktk uislam bali njaa2 inawasumbuwa.

  • @shafiiobama409
    @shafiiobama409 Месяц назад +2

    Assalam aleykum.... Ahsante sana shekhe wetu bora kwa mawaiza bora.... kule wanatangaza mafuta... hawatoi hata haya moja inayowaelekeza watumie hayo mafuta.... ndungu zangu waislam tuepukane na shirki... tumche mwenyez Mungu... matatizo yetu yasitupelekee kumuhasi muumba wetu.. tuifate Quran inavyosema... waadha assalaam aleykum......

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il Месяц назад +5

    Wape daa'wa manyau nyau waelimike 😂😂😂shekhe wetu......# salute

  • @NaimaUssi
    @NaimaUssi Месяц назад +3

    Allah akuhifadhi sheikh wetuu kipenziii

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 Месяц назад +3

    Subhaanallah.. Allah akulinde na kila sharri na chuki za Matapeli wanaojiita Waislam kumbe ni Matapeli..

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d Месяц назад +4

    Mashaallah this is true 😢😢😢 mashetani wenyewe wanatuogopa sisi lkn wao wanashangaa kwann sisi binadamu twawaogopa wao 😢subhanallah

  • @MaujinvitaMauji
    @MaujinvitaMauji 26 дней назад

    Allah akupe umri mrefo wenye kheri binafsi nakwelewa from msumbiji

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Месяц назад +3

    Allah huma ameen akuhifadhi sheikh wg Nurdini Kishki

  • @iddyjuma6043
    @iddyjuma6043 Месяц назад +6

    Shekh Allah akuzidishie maalim wesema ukweli unauma japokua unauma

  • @Rahmaismail-y9u
    @Rahmaismail-y9u Месяц назад

    Msiba kwakweli ALLAH akuhifadh nahamukubwa yakukuletea mwanangu umsomeshe wallah ata sijui naanzia wapi ila namuomba allah aniwezeshe nilitimize hili inshallah nakupenda sana kwaajili ya ALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Abuuhurayrahsaalim
    @Abuuhurayrahsaalim 29 дней назад

    😭waaalaah sheikh kishki Allaah akulipe,NI kweli waisilaamu hawaendi kwa watu sahihi Bali huendekeza ushirikina..... Khaswaa Allaah awajaalie watambue kuraan inaumuhimu mkubwa ktk maisha yao

  • @RukiaIssa-p1j
    @RukiaIssa-p1j Месяц назад +1

    Mashallah mashallah sheikh wetu Allah akulipe kher wallah Allah akujaalie afya na umri uzidi kutuelimisha

  • @modyworldmody4297
    @modyworldmody4297 28 дней назад

    Shaikh masha Allah tupo pamoja.... Vita dhidi ya madajali....

  • @ELOGERUHIMBASA
    @ELOGERUHIMBASA Месяц назад +5

    Upo sahihi sana ManshaAllah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @leilaekesa3394
    @leilaekesa3394 28 дней назад +1

    Mashallah Shukraan Shukraan sheikh ❤❤❤❤❤❤

  • @AshiunaBukende
    @AshiunaBukende Месяц назад +3

    Allahu akbar atakuhifadhi sheikh kwa faida unazotupa

  • @ismailchilonga2878
    @ismailchilonga2878 Месяц назад

    Mwenyezi mungu akulinde shekh upendelee kusoma ukweli daima

  • @hawa6052
    @hawa6052 Месяц назад +1

    Tupo pamoja Shekhe wetu usihofu chochote Allah yupo na wasema kweli

  • @ShawwalSRamadhan
    @ShawwalSRamadhan Месяц назад

    Sema haq na umtegemee Allah usiogope na vitisho vyao vya vichomi Allah yupo pamoja na wanao muamini!!

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 Месяц назад +1

    Njaa mbaya sana. Waislam tuwe na subra tusiendekeze dhiki itatupeleka pabaya. Sheikh Kishki upo sahihi kabisa.

  • @HassanIsmail-ix8lf
    @HassanIsmail-ix8lf 14 дней назад

    Shekhe allah akusimamie zaid

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia Месяц назад

    Allah wakbar ARAHIMANI akujalie umri mrefu iliuzidi kutukumbusha Ameen

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid Месяц назад +2

    ❤ Sheihe wetu mashaallha ❤❤

  • @rahemahamisi3558
    @rahemahamisi3558 25 дней назад

    Swadaktaaa
    Allah akuhifadhi

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 28 дней назад

    Tupo pamoja Allah akufungulie kila la kheri

  • @AkibaruRamadhani
    @AkibaruRamadhani 28 дней назад

    Mda mwingine tutumie nguvu huyu jamaa anaejiita katumwa namungu tumkamate tupite nae asante shekhe tuko pamoja

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 29 дней назад

    Wanaoteteaa Uuupiga jiii wanajdhalilishaaa sanaaa Sjategemeaa mtu kama Mazingee anakuja kujizalisha kumteteaa SHARIFU MIYAYUSHOO ,,

  • @SamiraAdam-k6s
    @SamiraAdam-k6s Месяц назад +1

    Maa shaa Allaah
    May Allaah Subhana Wa Taala grant you a long useful life in this World and the Hereafter.
    (Jamee3an)
    Thank you very much yaa akhiy.

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil Месяц назад +1

    Wambiyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Masharifu fyekiiiiii

  • @hawa6052
    @hawa6052 Месяц назад +1

    Shukran mpendwa wetu sheikh wetu

  • @Users2523
    @Users2523 Месяц назад +1

    Allah akuzidishie kheri shekh wetu.

  • @mahmoudjuma3825
    @mahmoudjuma3825 28 дней назад

    ❤❤❤ MashaAllah Asante sheikh

  • @Dhawani-t8s
    @Dhawani-t8s Месяц назад

    Jamani mnakoelekea nikubaya muitane muongee muyamalize ingekuwa vizuri zaidi kwa maono yangu tu lakini haya yanayo endelea ni kuvunjiana heshina masheikh tunao wahishimu wengine wata waafiki wengine watawadhihaki wallah nakupenda sana Nurdini kishki kwa ajili ya Allah imani yangu kubwa ipo kwako mumtengeneze kwa kumuita kama mulivowaita wengine waloenda kinyume na dini na ye mumuite au uongozi wake na hasipo elewa akaendeleza kiburi ndipo mumuonye kwa sauti tuko nanyi masheikh wetu

    • @abuuidrissa9540
      @abuuidrissa9540 29 дней назад

      Hamna kitu mjinga yule ngoja apigwe rraddi

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv Месяц назад +1

    sadakta shekh inasibitika kutoka kwa mtume sw.kuwa mashetani ukimbia isomwapo suratul bacara allah akulipe mazuri dumia na ahera allahumma aaaamini

  • @AllyMpemba-r7e
    @AllyMpemba-r7e Месяц назад

    Shee kishiki tumuombee sana dua

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 Месяц назад +1

    AHSANTE SHEIKH KUSHKI,muache mazinge aendekee kutafuta dunia na kujaza tumbo.

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t Месяц назад +4

    Nakama yeye ana sema kweli na simnafiqi aende muhimbili kuna watu wengi wakiwemo wakristo na waislam akafanye hiyo duwa au hayo maji au MAPETE yake yote ayachukuwe akaponyeshe watu

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 Месяц назад +3

    Wape ukweli kishki hao njaa inawasumbua.

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 Месяц назад

    Waeleeezeeeeeeee hao matepeli mashkh njaa wamejaa ktk mitandao wizi wamejaa laana za dhulma usiku na mchana wanadanganya watu hawana imani

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Месяц назад +1

    Mazinge njaa mbaya.Umemfundisha huyu dogo janja kuwaibia watu kupitia dini.

  • @RamadhanMohamed-uj5is
    @RamadhanMohamed-uj5is Месяц назад +6

    Hakuna shekh Shariff hakuna aliye chaguliwa na Allah kuombea wenzake dua wewe una matatizo gani na Allah usijiombee dua mwenyewe

  • @FatumaZuberi-ln1cl
    @FatumaZuberi-ln1cl Месяц назад +1

    Mashaalah mashaalah❤❤❤❤❤❤❤mashaaalah❤❤❤

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga Месяц назад

    Tunakukubali shehe kishki

  • @hashimujumanne9570
    @hashimujumanne9570 Месяц назад

    Ukweli ni kwamba mim si mtu wa madh hebu ila shkh nurudin kishik ni roll model wangu nampenda kwa ajili ya allah nataman ck moja nikutane nae

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 9 дней назад

    Wasanii wamejaa wanaidhalilisha dini Allah awakandamize hphp duniani

  • @mahmoudliwali1919
    @mahmoudliwali1919 Месяц назад +1

    Mashaallah sheikh kishk

  • @MohammediJChambo
    @MohammediJChambo Месяц назад

    بارك الله فيكم.

  • @allyfwady123
    @allyfwady123 19 дней назад

    We mwenyewe mpiga dili,na mtu kujisifu kwamba unajua kila kitu,,kwa taarifa yako elimu alioitoa Mungu huku dunian sidhani hata thuluthi Kama unayo ,acha kujigamba , dini mnaifanya Kama ligi za mipira ,

  • @hashimuhatibu9470
    @hashimuhatibu9470 Месяц назад +1

    Tanga mbn kimya na Mombasa haya mambo yakemewe Allah awalipe kher mashekh wanaojitoa kukemea haya mambo ya kuiga

  • @HuseniAbuu
    @HuseniAbuu Месяц назад

    shekh Kuna mmoja alikuja huku kwetu namaji asema aliyachota mito Saba

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 18 дней назад

      😂😂😂😂 na watu wakakubqli maaana alipochota alikuwa pekeyake walahi mungu atunusuru

  • @EchaIssa-w7e
    @EchaIssa-w7e Месяц назад

    AMANI IWEKWAKO EWE SHK KSK MUN,GU AKUWEKE SEHEMUSALAMA❤❤❤❤

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 Месяц назад +1

    Mashallah 🎉🎉

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga Месяц назад +1

    Asalaam aleykum warahmatulayi wabarakatuh❤❤❤

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 Месяц назад +2

    Assalaamu a'laykum warahmatullaahi wabaraqatuh

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 29 дней назад

    Huyu sheikh msenge saaana

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v Месяц назад

    Kishki anasema kweli coz hanaga njaa huyuuu wengine njaa nyingi ndy maaana wanauza upako wameona mwamposaaa anafaidi daaaaaahhh

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Месяц назад

    Inasikitisha kuona sheikh mkubwa kama kishki khutbah nzito anatusomea vitabu vya waganga

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 Месяц назад

    mashaallah tabarakallah

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y Месяц назад

    Yesu Kristo alikufa kwa ajili Yenu...

    • @AGM19697
      @AGM19697 29 дней назад

      Amina, Wanapaswa kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 29 дней назад

      @@AGM19697 Unajua kwanini yesu kristo aliuwawa(mateso) ni kusawazisha(suluhu) ya dhambi...Unapomkosea Mungu na unamkosea mwanadamu ambayo inapelekea mtu kulalamika kumwambia Mungu kwanini.. Lakini kwa vile yeye anayelalamika mwenyewe ni mwenye dhambi ili afunge malalamiko...Mungu atamtazama Yesu Kristo kwanini huyu hakutenda dhambi bali ameteseka kwa sababu ya hao wenye dhambi..... Yesu aliteseka alitukanwa, alipigwa, alikufa, alijaribiwa na shetani n.k yote mabaya. ...Ili Mungu aonyeshe haki kwa...YESU ANAKUPENDA.....
      Maandiko yanasema Yesu kristo alijaribiwa katika yote bila dhambi..mf wa malalamiko soma jinsi habil anavyomlalamikia Mungu baada yake. kifo (Mwanzo 4:10).
      Waebrania 2:17 Kwa hiyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema na mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye *upatanisho* kwa dhambi za watu.
      Waebrania 2:17
      [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 29 дней назад

      @@AGM19697 kama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu.... Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu.
      Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.

    • @ammagreat9550
      @ammagreat9550 28 дней назад

      Hakuna topic ya Yesu hapa. Vipi wewe. Umekurupuka wrong place. Hakuna kufa kwa dhambi za mtu. Hiyo ni Imani potofu. Ina maana wewe unaweza kufa kwa dhambi za jirani yako?

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 9 дней назад

      Haujaulizwa wala haujaalikwa

  • @YusuphMashaka-o3k
    @YusuphMashaka-o3k Месяц назад

    Allha akuhifazi

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 9 дней назад

    Professor wa ma-professor bw Mtume SAW

  • @HajiAlly-jp7wz
    @HajiAlly-jp7wz 29 дней назад

    Mashallah

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 Месяц назад +1

    Sheikh Kishik hawa wakuwaeleza ukweli, wamekuwa wakiishi kwa tamaa ya dunia na utapeli

  • @allyfwady123
    @allyfwady123 19 дней назад

    We unajikuta Ni Nani labda, unamaanisha mtu ambaye hajahifadhi kur an hawezi kumuomba Mungu akajibiwa ,Ni wew na kikosi ndio mnajibiwa, acha kujiona we ndio unajua Sana na unakubalika Sana na Mungu , Mungu Hana akili Kama zako ,kuijua na kuhifadhi kur an ndio watakaoingia poponi , kwamba wewe unamjua Mungu sanaaa, huo Ni ushamba ,

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga Месяц назад

    Mazinge nikafri sio muislam njaa imemponza ananjaa mazinge jamani

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t Месяц назад

    Waambie ukweli kadri ya allah atakavyo kuwezesha wanao jifananisha na makafiri

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Месяц назад

    إقرأ
    من أمر الله
    لا تقرأ من أمر لا

  • @RamadhanMohamed-uj5is
    @RamadhanMohamed-uj5is Месяц назад +1

    Njaa imezidi wengine wanasema wana pete za bahati kwanini unauza dawa hata mikoani kwanini usivae Pete zote au uwavalishe ndugu za wake zake watajirike wanajifanya too much know

  • @HajjiNguvuze
    @HajjiNguvuze 23 дня назад

    Mbona mna tuangusha waumini wenu kwanini mnashindwa kukaa shura mkafundishana mpaka mujioneshe mitandaoni

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 9 дней назад

    Matapeli jahilun nawasanii na njaa zao MMungu awaangamize Yarrab!!

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s 28 дней назад

    Kabisa Qura'ani tukufu ndiyo kila kitu na dawa zilizo azina shaka kwa athumani maiko kwani wengi tumetulia na ndoa zetu na ndugu zetu tunasamehana kwa mawaidha yake kwisha anamalizia ukuumwa kunywa dawa na muamini Allah shekhe wetu durudini kishik tunakupenda na unaongea kwa ajiri ya waislam na wale wanaopinga waache na wasituongopee

  • @RmoShamte-h9f
    @RmoShamte-h9f Месяц назад

    Allah atuongoze kwenye mwisho mwema

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 Месяц назад

    Yule sh wamko wa dar naye anamsifu yule sharifu feki kwasababu kapewa hongo

  • @OmaryMgomba
    @OmaryMgomba Месяц назад

    Wote nawaona mkosawa. Mimi najua hekima nabusara nikuitana wote nakuonyeshana Dalili wapi umepata hii nae aonyeshe wapi imekatazwa hii nawe uonyeshe. Lakini kamamnaongele kwenyemembarizenu tu? Aaa mnaogopana nasisi hamtufundishi Bali nyinyi mnatafuta umaarufu na makundi tu. Sisi hatujui niazenu ila mungu ndie anaewajua.

    • @SalimHamza-w4f
      @SalimHamza-w4f Месяц назад

      Hakuna dalili hapo wewe unatapeliwa acha ujinga hakuna kitu kinaitwa upako katka uislaam

    • @SalimMahaba-od9zz
      @SalimMahaba-od9zz Месяц назад

      Acha ujinga sheikh ametumia qur'an kuleta dalili hauoni ama

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 28 дней назад

    mazinge Ali msema sana mwamposa Sasa ime kuwaje

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 Месяц назад

    Serikali pigeni vita matapeli akina sharif au tunasubiria yatokee maafa kama ya kenya kule shakahola kwa makenzi???

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Месяц назад

    Shekh kishki tupo na ww kupiga vita hawa matapeli wanaojipachika vyeo feki kwa kudanganya watu

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 24 дня назад

    WAPE DAWA MADHWALIMU WAKUBWA TENA SHEKHE TUMEAMBIWA MAFUTA WANAYONTUMIA YANADALILI YA MAJI YA MAITI NA MAFUTA YA NGURUWE 😅😅😅

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 9 дней назад

    Mashkh wa hakh wanapigwa vita

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Месяц назад

    Masha-allah

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 Месяц назад

    Wafrika kwa nn atujitambui wenzenu CHINA ujinga kama huu akuna kuzungumzia dini watu wapo viwandan wanapiga kazi

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 Месяц назад

    Katika Dalili za wasomi Una Bali unacho kifanye unaibua ushabiki kwani msomi ilitakiwa muita ukaongea nae lakini ilo ujafanya

  • @abubakaryomary8059
    @abubakaryomary8059 Месяц назад

    Panashoti kichwan 😁😁😁

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 29 дней назад

    Uislamu, majini na uganga ni ndugu.

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 Месяц назад

    Umezungumza ukwele kabis hao watapeli hawawaamirishi watu wawamche mungu

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 Месяц назад

    Naomba namba zako

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 Месяц назад

    Kishk tumia hekima kutoa dawa.
    Soma suratunnahli aya ya mwisho

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t Месяц назад

    Sio kwamba hakusoma tu hata hekima yoyote hata kwenye utapeli wake

  • @AraphatKannonyele
    @AraphatKannonyele Месяц назад

    Wapo kibiashara ao wanadharlilisha dini yetu

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx Месяц назад

    People tumaelewe jmn usharifu sio huu unaonekana Leo hii kinachoonekana ni biashara.kwa maana halisi Kuna nchi watu wanaimani kweli kweli na wao hawana usharif isipokua wanatibu kupitia na vitendo fungueni hapa kwenye RUclips Kuna mtu anaitwa Dr Al mala Kurdistan mtapana mifano hapo

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d Месяц назад

    Allahu AKBAR

  • @Hassanali-sq2dm
    @Hassanali-sq2dm Месяц назад

    Ila kweli mabachela wanarikod wanawashk Wana Ake dah kufru hii

  • @BradothAdm
    @BradothAdm Месяц назад

    Wambie njaa zinawasumbua hawataki kufanya biashara wanadili na matatizo ya watu