MUACHIE NDARO HUYO WAKWANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии •

  • @emmanuelmudaheranwa2263
    @emmanuelmudaheranwa2263 10 месяцев назад +64

    wanamupenda steve na ndaro mugonge like hapa tena tuondoke

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 10 месяцев назад +62

    Hahahhha Aliegundua uyo mchina kapigwa kofi la kwel kwel like apa😅😅😅

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 10 месяцев назад +2

      Sio mchaina muhindi huyo

    • @jayci11-one
      @jayci11-one 10 месяцев назад

      😂

    • @LionCelestin-bm5ei
      @LionCelestin-bm5ei 2 месяца назад

      Nimecheka mpaka basi
      Machozi tele😂😂😂😂

  • @ArnoldJoseph-x3e
    @ArnoldJoseph-x3e 10 месяцев назад +10

    Hamadi kijicho kwanza alafu daa zeti natamani sana kuwaona alafu Steve Mimi ni fan wako sana kutoka kenya

  • @MoisesaidSaint
    @MoisesaidSaint 10 месяцев назад +30

    HAMAD KIJICHO Nataka nione kama akoje

  • @Nicholas1dd4rs8j
    @Nicholas1dd4rs8j 10 месяцев назад +234

    Tangu nianze kucomment mnaninyima like s au amsitaki comment za wakenya😢

    • @jibaba5110
      @jibaba5110 10 месяцев назад +5

      Kucomment sio content we like content....go work on content creation

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 10 месяцев назад +9

      Wa tz hatuna uchoyo chukua Like😂😂😂

    • @kizondekapembwa
      @kizondekapembwa 10 месяцев назад +8

      Unapata faida Gani Sasa kwenye like 😂😂😂😂😂

    • @MwitaMarwa-s6u
      @MwitaMarwa-s6u 10 месяцев назад +4

      Umeridhika

    • @Saidimussa-gs1bs
      @Saidimussa-gs1bs 10 месяцев назад +3

      haya , ufurahi

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 10 месяцев назад +28

    I'm glad watching from Nairobi Kenya🥰

  • @BenemuluBillyado-ji4ze
    @BenemuluBillyado-ji4ze 10 месяцев назад +18

    Hamanikijito nimuone and Fatuma🇧🇮🇰🇪👍👍nawabali sana

  • @hamzaali288
    @hamzaali288 10 месяцев назад +4

    Stevu, Ndaro...haswa Aziza. Nawapenda sana mie. Kipindi chenu kachelewa sana! Stevu chagamuka sana bana. ❤❤ From Moyale Ethiopia.

  • @kingrabi5118
    @kingrabi5118 10 месяцев назад +12

    Number one Nawapenda sana jamani Love from 🇧🇮🇧🇮 to 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @NuruJara
    @NuruJara 10 месяцев назад +18

    Hamadi kijicho nataka kumjuwa from Kenya

  • @AROMAA-KING_KENYA
    @AROMAA-KING_KENYA 10 месяцев назад +46

    Kenyans we are locked 🔐 wapi likes za wakenya

  • @damagemweusi
    @damagemweusi 10 месяцев назад +11

    Aha dah kumbe steve n 😂😂😂😂jameni kwelu kama wa kwanza na umevutiwa na hii angusha like hapa kwa upendo wa @Stevemweusi

  • @OmariRa-by1hh
    @OmariRa-by1hh 10 месяцев назад +15

    Wa kwanz mimi leo. Kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu ❤❤❤😂😂😂

  • @bonifacesyengo5785
    @bonifacesyengo5785 10 месяцев назад +2

    Hamad kijicho- sababu unamtaja sana wewe...yule wa mkuranga ...nko mombasani kenya

  • @MubiriziMoussa-j4f
    @MubiriziMoussa-j4f 10 месяцев назад +5

    Hamadi kijicho ndoo nataka nimuone mana nilishamskia sana mnamuongelea, Kisha fatuma

  • @cyamatareealexis1373
    @cyamatareealexis1373 6 месяцев назад

    Congz congz Steve na Ndaro nawafuwata sana and you are good & smart in your art I love it very much _God bless you Alexis Kigali_

  • @antoinnetealiyerunga3922
    @antoinnetealiyerunga3922 10 месяцев назад +6

    Nawa penda sana from 🇨🇩🇨🇩 of🇺🇸🇺🇸🇺🇸 ❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @gasigwanassor417
    @gasigwanassor417 10 месяцев назад +16

    Imeyisha kuwa International
    Kbx kama nawe ndohivyo unawo nipe like

  • @tulipehoteltulipehotel5490
    @tulipehoteltulipehotel5490 10 месяцев назад +5

    From Bujumbura nataka Amadi Kijico.......

  • @kingdaenisbkevin
    @kingdaenisbkevin 6 месяцев назад +1

    Hamad kijicho tuna mu taka Sana,wa ku fwata ni dazeti,Danny toka Congo🇨🇩🇨🇩

  • @ksmbradaboubakar3100
    @ksmbradaboubakar3100 10 месяцев назад

    Steve and ndaro na Team zima tunawapenda sana kabisa tunataka tuone Amadi K , pili ajra acheze na weye kwa nini nimemuona kwa clam

  • @eastermbiku2763
    @eastermbiku2763 10 месяцев назад +9

    HAMADI KIJICHO 😂😂😂 NA DA ZETI

  • @Chum.user-di7jg2rn2q
    @Chum.user-di7jg2rn2q 10 месяцев назад +13

    Always make my day ❤❤❤❤

  • @SalumuWembo-fo5rr106
    @SalumuWembo-fo5rr106 10 месяцев назад +12

    ❤ wakwanza Leo Tangu Congo 🇨🇩 leta like 🤣😂

  • @rohosafichumot4842
    @rohosafichumot4842 10 месяцев назад +2

    Stive usually don't disappoint watching from Eldoret Kenya then iwish Bado mfanye collaboration nyingi na wakenya kando na ile ya vini bitee

  • @davidmigoha1706
    @davidmigoha1706 10 месяцев назад +5

    Ilo kofi limepigwa kwelii😂😂😂

  • @InnocentBrave
    @InnocentBrave 10 месяцев назад

    Steve uko very talented bro yani una make clear hadi noma ndaro sikupingi mkali wote familia mlete Hamadi kijicho we wann see 🙌🏿

  • @Mildred-zf9sv
    @Mildred-zf9sv 10 месяцев назад +18

    You always made my day

  • @BenardNjeru-te5de
    @BenardNjeru-te5de 10 месяцев назад +2

    Amadi kijicho,,,,❤❤❤ from Kenya

  • @ManassSleman93
    @ManassSleman93 10 месяцев назад +8

    Wapi kelele za Hamady kijicho weweeeee

  • @raphaelrock7557
    @raphaelrock7557 10 месяцев назад

    kusema kweli hapo kwa kofi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @namukosisamuel879
    @namukosisamuel879 10 месяцев назад +2

    Umetutisha sana na Hamadi Kijicho. Wacha aonekane wa kwanza🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @asifiwekakulek6988
    @asifiwekakulek6988 10 месяцев назад +1

    Natamani sana yaani siku moja nimuone yule ambaye munapenda mwita kwajina la dazeti 😂😅🎉🎉

  • @stanleygichuru4613
    @stanleygichuru4613 10 месяцев назад +6

    Wah! Kama rukimtaja hatutamskia tena Wacha twache kuwachagua. Napenda ukiita mtu Fatima wewe

  • @OMMYDIMPOZ-wn2if
    @OMMYDIMPOZ-wn2if 8 месяцев назад

    Congrats brother 🙏..i say keep it up,wanichekesha saaaana whenever I’m stressed hua napenda kuangalia comedy zako ukiwa na ndaro ..,insha’Allah mungu atakusaidia ufikie ndoto zako katika maisha 🎊 🎉…# 254 🇰🇪

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 10 месяцев назад +2

    Steve ni kusaliti ama kusalimu amri?😂😂😂😂...kama umeskia kusaliti amri gonga like apa#nataka hamadi kijicho kwasababu hua wamsifu sana

  • @BoscoDunia-gb6co
    @BoscoDunia-gb6co 10 месяцев назад +1

    Hamadi kijicho sema Leo niatari nimecheka mbavu zangu zimekwisha jamani 😂😂😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 10 месяцев назад +4

    Hii Generation Niatr Kweli😂😂😂

  • @UsseneBacar
    @UsseneBacar 10 месяцев назад +2

    Mi ntaka made kijicho nimwone kwasababu sijamwona❤❤❤❤

  • @apostlemalcom1837
    @apostlemalcom1837 10 месяцев назад +4

    Amad Kijiicho bro afuatiwe Na faatuma

  • @Allymasoud-j8p
    @Allymasoud-j8p 10 месяцев назад

    So nice, mna furahisha sana but ningependa kumuona Hamad kijicho mukulaangaaaaa😅😅😅😅😅😅

  • @SiayaFinest
    @SiayaFinest 10 месяцев назад +3

    kenya twawapenda sana

  • @NelsonbernardoDaleli-jn6ly
    @NelsonbernardoDaleli-jn6ly 10 месяцев назад +1

    Nnampenda "FATUMA" and Hamad kijicho🇲🇿🇲🇿🤝🤝🔥🔥

  • @Elishanyambele
    @Elishanyambele 10 месяцев назад +5

    Hamadi kijicho tuone sura yake😅

  • @AliceMulahuko
    @AliceMulahuko 3 месяца назад

    Nawa penda sana kwanza stivu from congo🇨🇩🇨🇩

  • @anordeliah5075
    @anordeliah5075 10 месяцев назад +4

    Ilo kofiii lenyewe

  • @estherkassim4523
    @estherkassim4523 Месяц назад

    Hamad kijicho a'm so glad watching your videos lydinahledina from lamu county

  • @JohnBanda-lx7zz
    @JohnBanda-lx7zz 10 месяцев назад +3

    fatuma steve mdogo wangu

  • @clintonokoto-j2k
    @clintonokoto-j2k 10 месяцев назад +2

    Hamadi kijicho 😂😅😅 kwanza akiwa mkuranga alafu Fatuma wewe from Bill Clinton from Kenya 😂

  • @OmariHamissi
    @OmariHamissi 10 месяцев назад +4

    leta Hamady kijicho

  • @MalakiThompsonAkyoo
    @MalakiThompsonAkyoo 10 месяцев назад +1

    Hahahaah! Mi nimekaa mkuranga sana- niweke nimwakilishe Hamadi kijicho barabara -hahahahaa

  • @daxpcomando6385
    @daxpcomando6385 10 месяцев назад +3

    Hamadi kijicho🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @alusach
    @alusach 10 месяцев назад +1

    Amadi kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂all the way alafu utupeleke mkuranga pale 😂😂

  • @AROMAA-KING_KENYA
    @AROMAA-KING_KENYA 10 месяцев назад +3

    Fatuma aanze❤❤❤❤❤

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 10 месяцев назад +1

    😂😂😂 si ndo tunaenda kwenye story dada😂😂😂😂, Hamad kijicho kwa sababu ulimuacha mkuranga kitambo❤

  • @NyenjeMohamed-wm3vf
    @NyenjeMohamed-wm3vf 10 месяцев назад +4

    Leo wa Saba hata like Saba tyuu😢😢😢😢

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 10 месяцев назад +1

    😂😂😂ndaro nawakubali sana mukiwa stve😂unyama 😂😂😂😂😂

  • @JaymoneyTz-s9h
    @JaymoneyTz-s9h 10 месяцев назад +13

    Sisi kama teem stev tunatak kumuona fatuma kwanz

  • @FanuelMhonjwa-fm1oe
    @FanuelMhonjwa-fm1oe 10 месяцев назад

    Ilo Kofi limempata kweli mchina au amjaona😅😅😅fatuma wee mwaaaaaa😅😅😅

  • @OMOBASIJAMES
    @OMOBASIJAMES 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂za mwizi arubaini kakangu Steve unanivunja mbavu jamani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @sammaine98_
    @sammaine98_ 10 месяцев назад

    Da zeti ndo unyamaaa 💯💯💯💯💯 kwasa7 anaonekana kama anakuteteaga kwenye majanga 😂😂😂😂

  • @PatrkFrenk
    @PatrkFrenk 6 месяцев назад

    Iv sitiv ulijulia wap kuchekesha jamanii w noma kuliko msanii yyt tanzania❤❤❤❤❤❤❤

  • @nelsonweche9630
    @nelsonweche9630 10 месяцев назад +1

    Hamadi kijicho ,,, Steve great job

  • @mauroestevao
    @mauroestevao 10 месяцев назад +2

    Amad kidicho badae yake dazeth❤❤❤

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge 10 месяцев назад +2

    Nyie wa jamaa ni hatari sana muna nifanya nizisaabu stress zangu niki watazama tu najiskia furaha 😂😂😂😂

  • @daudimgalla9455
    @daudimgalla9455 10 месяцев назад

    Yan nikiendaga mkuranga kumsalimia mama nataman niulize watu kwa kina hamad kijicho wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mukamaguillaume757
    @mukamaguillaume757 10 месяцев назад

    Muonyeshe Fatima. Apa ni Guillaume toka Congo (DRC)

  • @ericbizoza9782
    @ericbizoza9782 10 месяцев назад

    Fhatuma maana unamtajaja sana from Burundi 🇧🇮🇰🇪

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z 10 месяцев назад +2

    Aanze Hamad kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @daddybenny
    @daddybenny 10 месяцев назад +12

    Steeve bhana huwa unanichekesha sana,naomba unipe namba yako angalao nikupigie ,bro nakukubali sana

  • @tsumaruwa2046
    @tsumaruwa2046 10 месяцев назад

    Steve kaka.. am from Kenya.. na nafatilia sana kazi zako.. Tuonyeshe Hamadi Kichijicho ..
    Naomba tuonane kaka

  • @tomstevesofficial
    @tomstevesofficial 4 месяца назад

    ,,😂😂😂 steve hapo mwisho imenichekesha🤣....keep up ...nataka kuona hamadi Kijicho mimi😂

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 10 месяцев назад +1

    Fatuma jamani jina langu ❤❤❤❤😂

  • @LionCelestin-bm5ei
    @LionCelestin-bm5ei 2 месяца назад

    Amadi kijicho na dazeti
    Ila nimecheka sana kwenye iyi scene😂😂😂😂😊😊😊

  • @nelsonaseka6351
    @nelsonaseka6351 10 месяцев назад +1

    Walai Steve ni mginga kweli anapiga muindi😊😂

  • @cyamatareealexis1373
    @cyamatareealexis1373 6 месяцев назад

    Nnapenda nimuone kwanza Hamad Kijicho rafiki yako sana 😂😂

  • @JumaNgolo-rx4zg
    @JumaNgolo-rx4zg 9 месяцев назад

    Steve na ndaro nakubali sana ningependa tumuone dazeti

  • @KELLYIRAKOZE-k6v
    @KELLYIRAKOZE-k6v 9 месяцев назад

    Tunataka😂 amadi kijicho from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @DenisMukundi-sj9lc
    @DenisMukundi-sj9lc 10 месяцев назад +1

    Tuletee Fatuma. Tumuone na yeye alivyo jibeba😂🎉

  • @ericanodoriano1012
    @ericanodoriano1012 10 месяцев назад +2

    AMADI KIJICHO From Mukulanga 💪

  • @sibomanamertus-dw6sc
    @sibomanamertus-dw6sc 9 месяцев назад

    Naw apenda sana ,from Burundi

  • @JosephOsanya-ik7bk
    @JosephOsanya-ik7bk 10 месяцев назад +1

    Safi l am akenyan nawapenda sana

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 10 месяцев назад +1

    Hamadi kijicho the legend 😂😂

  • @StiveKasereka-i8n
    @StiveKasereka-i8n 10 месяцев назад

    Braza tuoneche malikinjicho minatokeya Congo 🇨🇩

  • @sharonpink6293
    @sharonpink6293 10 месяцев назад +1

    Hamadi kijicho from mkuranga ukae❤❤❤

  • @rehemamadembwe8890
    @rehemamadembwe8890 10 месяцев назад

    😂😂😂😂Ndaro mungu anakuona kwakwel. Unapenda kumuonea stev

  • @MislayMark
    @MislayMark 8 месяцев назад +1

    A mislay watching from kenya 😊

  • @MikaelAmr-g1l
    @MikaelAmr-g1l 10 месяцев назад

    Amad kijicho kaka ndio tuanze kumuonea mana una mtaja sana

  • @viaurfk
    @viaurfk 10 месяцев назад +1

    Mjmi namtaka kumuona hamadi kijicho...unapenda sana kumusema

  • @shugunderitu8999
    @shugunderitu8999 10 месяцев назад

    Hamadi kijicho, i love him already😂😂😂😂

  • @elongabazibuhe
    @elongabazibuhe 10 месяцев назад

    Hamadi kijicho watoto wangu wataka kumuona from DRC

  • @agneskagendi
    @agneskagendi 10 месяцев назад +1

    Tuonyeshwe Hamadi kijicho bwana Ndaro

  • @HamiduSule-y2f
    @HamiduSule-y2f 10 месяцев назад +1

    I'm from Saudi Arabia 🇸🇦 me natama sna tumuone Hamadi kijicho

  • @OlivierNduwayo-bm3qg
    @OlivierNduwayo-bm3qg 10 месяцев назад

    Mie nataka kujua siku yak ya ndoa😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @lydiahboyani2275
    @lydiahboyani2275 3 месяца назад

    Huyu Hamed kijicho ameyapitia 😊😂😂😂😂😂

  • @Ronicakeddy_254.
    @Ronicakeddy_254. 10 месяцев назад

    Uanze na Amadi kijijo natamani kuona ukali wake na hilo jicho moja tu alafu ufatie Dazeti mwisho Fathuma 😂😂😂😂😂😂

  • @KamaliElius
    @KamaliElius 10 месяцев назад

    Am glad to watch this video, too funny😅😅

  • @Abdulaziz-tb1gd
    @Abdulaziz-tb1gd 5 месяцев назад +1

    Awa ndio makomedian tanzania nzima hakun wengine tafuta mote huwakuti km hawa

  • @leylalatif6991
    @leylalatif6991 10 месяцев назад

    Mwanamke mzuri sna.ana macho mazuri

  • @willfredodoury7330
    @willfredodoury7330 10 месяцев назад

    Steve nmependa sana movie zako am from Kenya