RAIS SAMIA AMTANGAZA MZEE WASIRA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA, AONGOZA KURA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 10

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 12 дней назад +2

    Haya sawa asanten tunapitapita tu kutizama😂😂😂😂🙇🙇🙇

  • @RamlaIssah
    @RamlaIssah 12 дней назад

    Mama yupo vizuriii

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 12 дней назад +2

    Sasa hiyo demokrasia gani? Jina la mtu mmoja mnaletewa halafu mnaenda kulipigia kura kisha mnasema mkutano mkuu huu umemchagua fulani wapi na wapi......Ccm inahitaji kujipanga yenyewe kabla haijapangwa.

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 12 дней назад

      Ccm chuo kikubwa kuijuwa ccm itakugharimu miaka mia

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 12 дней назад +1

    Wekeni watu waliobado na MB za kufukiri kuliko hawa waliochoka wabaki kama washaudi tu.

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 12 дней назад

    Mzee wasira angepumzk jamani mnataka watu wazimie kwenye viti jamani

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 12 дней назад

    Yaani mie namkumbuka magufuli alisema wazee wapuzike Sasa Mama anawaleta wazee sijui wanasaidia nini du

  • @mandlasakhile9109
    @mandlasakhile9109 12 дней назад

    Nukta 42 anyways, sawa

  • @Niika870
    @Niika870 12 дней назад

    Duuuu😂😂😂😂😂

  • @RubabaTv
    @RubabaTv 12 дней назад +1

    Hii ni Hatari asee 😢 ruclips.net/video/Qc79qrW423Q/видео.html