Movie ni nzuri, kwanza hongera sana kwa kazi, lakini hii movie ni mfupi sana na muna chelewa sana, weeki mbili muna towa moja,sio bizuri, muwe muna fanya siku mbili basi, lakini muna chelewa sana. wanawake kweli ! hawaeleweke! maman sele una roho mbaya sana.
Wallahi hiii movie wah,sasa haya ndio madhara ya kuoa mke mrembo mwenye figure,mwanamke Dinii manake huu ni uhalisia Mtuuu,watu wa nje wanakula Mzigooo Bureeee 😢
jamaanii wanaompenda dogo sele na waigizajii kwa jumla nipenii like zanguu
Kazi zenu nizuri sana ❤❤🎉🎉 from south Africa
Jamani mungu awe pamoja nanyi maana hii ni funzo nzuri kabsa 😢😢 kazi njema🎉
Ebu badilikeni mtu awezi kusubili wik nzima munaweka kipande cha dakika 14 kwel uu upuuz
We umeona kumbe
Dakika 13 mnabowa😏😏😏😏
Kama hutaki unaacha,, unaililiya yako😅
Kweli
Wanakera mno Bana mpk tunasahau😢
Funzo nzuri kweli hila wanawake kweli duuh 😢😢😢😢😢 dogo ceĺe ongezeq hiwe full kdgo n fupi sana
Acha umalaya we mwanamke mungu anakuona unacho mfanyia baba sele😂😮🎉❤😅 yaan wew utakuja uanze kulia wew mpzi Nina????????
Wa kwanza kutoka Kenya ,mbarikiwe nyote mnaoitazama hii video
Sele mwenzi mungu akupe maisha marefu sana mutoto wetu❤❤❤
Yani uyu dogo sele nampenda sn kweli anaweza na anaweza tena
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team mdevu mweusi familly
This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞
Mtoto kama sele mungu ampe nn kwa upendo wake dhati kwa baba ake Kwan ni mtoto wa kuigwa
Mie Wananikhera Cha Kuchelewesha tu Hla Move Ni Mzur Sana❤❤
Wanao ona huyu kaka. Ni mnafiki tuu tugonge like hapo chini🎉
Duh mbn kama Hana huluma❤❤❤
Zubee unaongeaga kwa mikonoo nachekaga sana😂😂😂😂
Mnachelewesha sana jaman
Kazi nzuri sanaa ❤❤❤Natokea Kenya 🇰🇪
Kwel kabisa
@@DaudySostenmlunza yeah
Munguwang weee wanawake Hao wako kbs
😮❤❤❤nice job
Jamani wanaowapenda dogo sele na bulai nipeni like zangu
Amazing talents my brothers and sisters
This kind of woman kidawa lah hasha👐ila sebo😂😂😂
Wa kwanza from 🇹🇿 wapi like zangu jmn 😢
Nawakubal sana stive family
Inapoishia na inapo anzia daah kwel bongo ni bongo tu😂
Daaah jmn huyu kidawa wallah 😢😢😢😢yatakurudia hayo mwenyewe aki
Mnachelewa sana lakini kutoa 🎉🎉🎉🎉🎉
Dogo sele endeleya ku mteteya baba yako🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dogo sele nampenda saana na babake
Mmmmh hii kali jamen ss wanawake duuuuh😂😂😂
Baba sele ungeshika hixo minywele ndoasikie utamu huyuu dada anarohoo mbayaaa kwahivyoo huyo sio mlemavuu siangekua sawa angekuua tuuuu
Jamani ebu musikawie kuyachia muvi yetu bwana ❤🎉
Kaz nzur 🎉🎉
Mm najiuliza uyu mama sele kama ajadanga atailishaje hii familia wakati uyu mumewe kipindi yupo mzima ajamfungulia biashara
Mama Sele una roho mbaya zaidi ya mama Kalobo, dah
😂😂😂😂😂 hyu awezi fikia mama kalobo😂
Kidawa kidawa kidawa nimekuita mara 3 chamoto utakipata😂😂😂😂
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kaz nzur saana🎉🎉🎉
Movie ni nzuri, kwanza hongera sana kwa kazi, lakini hii movie ni mfupi sana na muna chelewa sana, weeki mbili muna towa moja,sio bizuri, muwe muna fanya siku mbili basi, lakini muna chelewa sana. wanawake kweli ! hawaeleweke! maman sele una roho mbaya sana.
Sele nakupenda sana watoto wawe kama wewe❤❤❤
Kweli kabi
Kweli kabisa
Movie nzuri lakini munachelewesha sana.jilekebishe😢😢😢
Leo mm wa ngapi kwani😂😂😂
3 bora 😂😂😂
Wa 0😂😂😂
Movie nzuri ila mnachelewesha sana mwendelezo hadi tunasahau tulipo anzia 😮😮😮😮
Mwendelezo 😂😂😂❤❤
Mnachelewesha sana kazi
Essa é uma mulher imperfeita sem sentimentos
Kidawa acha hasira za haraka uiiiiii😢😢😢😢😅😅😊
❤❤❤❤ nimeipenda ila fupi brother
Oy we kidawa punguz bana
DAH MBONA WANA MTESA BABA SELE
Kabisa waweke épisode nzima kila siku mbili mimi nimecoka n'a hiyi filamu
Mnachelewa sana Hadi mnapunguza utamu
Nzur sana ❤❤
Huyuuu kibaraka mnafikii kweli anauma kote kote
Kidawa iko siku utatesekaaa sanaa
Wallahi hiii movie wah,sasa haya ndio madhara ya kuoa mke mrembo mwenye figure,mwanamke Dinii manake huu ni uhalisia Mtuuu,watu wa nje wanakula Mzigooo Bureeee 😢
Kwahio tusioe wenye mizigo?
Waaa kidawa una tabia mbovu
Mr Rama ❤❤❤
Ndogo lik km unamkubl weus famili😊
Haya toeni next month ❤❤hiyo nyingine
Kazinzuri sana Mr steven mweusi
Kazi nzuri😮
Mnaichelewesha sana
Jmn si uje upone sasa jm 😢😢 mwanamke anakunyanyasa sana aseee fanya upone
Nice movie ❤❤❤🎉🎉
Mapenz bwan 🎉🎉🎉😢😢😢😢❤❤❤
Jmaaa anaakua mnyonge sanaaa apone bhn haraka dah
sema huyo dada atapata shd sana mbelen tu
Movie nzuri ila mnacherewesha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kweli
😂😂😂😂jamani inahuzunisha sana
Ila madevu ya punguze kipenz mbona uko smart ukiyapunguz kipenz
mnachelewesha xana jmn
Mwanamke unaroho mbaya wewe mmmmh badilika kabla hufa hujaumbika😢😢😢😢😢
Mwizi kaibiwa😂😂😂
Hawezi kukupandiya wakati alikupaga mimba mbili,
Jaman mpaka nishaisahau
Mama sele iyi niduniya 😅😅
Movie nzuri xema dkk chache movie fup mno
Kindao tafadhali Bana juu... Naumia😂
Mmeweza sana watu wangu❤
Asee huyu dada. Ila km ndug zake Wapo wangeanglia namna jmn so painful 😢
Ivi huyu ni baba mzazi kweli wa baba sele au movie yuu🤔
Achanei kuchelewesha movi nyinyi movi unafuatiliy mpaka unachok jaman
Limwanamke lisenge
Yan mwanamke akikulisha kidogo tu atakusimanga ad wanaume mbarikiwe mnatulishaga wala amtusemi
Kwelii wabarikiwee sanaa aiseeeh
Wallahi mtihani Kwa kweli,Mungu atuongoze na ndio maisha ya kweli ambayo watu Wanayapitia
Hatulike ubaya wanakawia sanah af wanatoa kidogo
MUNGU awaariki wanaume wanaohudimia jaman ni kibali
love story❤😂❤ sitaowa
❤❤❤😊
❤❤❤
Waaaa wanawake wakiwa kama huyu dunia itaisha 😢
Uyu dada mchawi kabisa
Kipindi kitamuu lakini muda,wakati, sekunde,,,kisha itachukuwa wiki mbili hivi ndio tuone wah,,,heri basi iwe ndefu kiasi
Good work but it's too short bana🙄
Jamani eee ni fupi but mnachukua mda sana mpaka tunasahau tulipoanzia tafadhali fanya hima
Jamani punguzeni mda mturushie japo baada ya siku mbili twasubiri paka twachoka
Wakwanza leo maua yangu❤
😢😢😢😢
Kazi nzuri sana tatizo mwachelewa saana kiposti tatizo nini ?
Sema matako ya kidawa duuh yamelegea kinoma
Ongera kwa kazi ila munazingua sana munakawisha kazi jamani👍
❤❤❤❤❤❤❤toeni