Sifa na utukufu ni kwa Mungu 🙏 Barikiwa sana Baba dickson MUNGU azidi kukifinyanga chombo chakee kwa ajil ya utukufu wake 🙏🙏 Mama Qj akiona hii atafurahi sana mwanae kabadilika Sanaa
Uwiii Yesu ni mwema sana, baba naendelea kukuelewa sana, amependeza mnooo! Kumbe ni yanki hivyo siku amefika nilimshuhudia kwa macho alionekana ni mzee😂
Ameen namtukuza Mungu... Kwa ndugu zangu kumjua Yesu. Yohana 17:3 Mungu akubariki Pastor kwa kazi yako njema.
Mungu akubariki sana songa mbele nakutabilia utakua mchungaji mkubwa katika jina la yesu kristo
Waoo na mshangilia Mungu kwaajili yako bishop kwakukubali kutii sauti ya Mungu🙏
Mungu azidi kukutunza na Huduma hii
Sifa na utukufu ni kwa Mungu 🙏
Barikiwa sana Baba dickson
MUNGU azidi kukifinyanga chombo chakee kwa ajil ya utukufu wake 🙏🙏
Mama Qj akiona hii atafurahi sana mwanae kabadilika Sanaa
Nimebaki nashangaa namna Mungu anavyo kutumia pastor Yan ni mda mfupi Qj anaongea Kwa ukomavu juu ya neno la Mungu
Amen Mungu aendelee kukutunza quality Joseph umtumikie zaidi
Amen haleluya mtumishi wa Mungu Jesse amependeza. Kazi yako ni njema baba
Hili ni swala kubwa sana
Glory To God 🔥🔥
Utukufu kwa Bwana kwa Yesu kuzuri jmn
Uwiii Yesu ni mwema sana, baba naendelea kukuelewa sana, amependeza mnooo! Kumbe ni yanki hivyo siku amefika nilimshuhudia kwa macho alionekana ni mzee😂
@@catherinedismas8477 Ana miaka 40 huyu
@@kabigumila uwiii na umri kumbe nimemzidi?? Kweli shetani ni mwonevu, ashukuriwe Bwana Yesu aliyetuokoa.
Baba yangu askofu wewe ni zaidi ya mzazi na mlezi. Nafurahi kulelewa nawe.
@@catherinedismas8477 Utukufu wote kwa Bwana Yesu
Askofu hilo tangazo nalo likoje nimeona kama tangazo la bia au?
@@BenjaminKabebo Umeshaambiwa ni interview ya RICK MEDIA, wao ndio wanahusika na hilo tangazo, sisi tumechukua interview kwao tu
@@kabigumila amen nimeelewa askofu
YESU Ni BWANA,,MUNGU akubariki mchungaji,,,tumepata. Mchungaji. Kijijni kwetu,,,nimefurahi mno. hongera Kaka Jose,,,, MUNGU anakuwazia mema.