Ndio hapo sasa, madhara ni makubwa bado, na pia Kariakoo sio kwamba weekend hakuna watu, weekend hasa Jumamosi Kariakoo ina watu wengi sana, aseme tu kwasababu ilikuwa asubuhi, ingekuwa mida ya mchana ingekuwa hatari zaidi kwasababu watu wanakuwa wengi sana
Waandishi wa habari elezeeni uzembe uliofanyika sio kuelezea watu waliopoteza maisha. Haitasaidia. Inasikitisha Serikali inayojiandai inajali kuruhusu ujenzi na watu kufanya shughuli zao ni uzembe ambao Dunia ya leo. Inatushangaa sana sana. Kwa Technologia hii inasikitisha sana. Waandishi ongeleeni hayo sio wafu
Tunawadharau wanaume sisi wanawake lakini wanaume msaada mkubwa sana 😮cheki hapo wanavoshulika
Mwenyeez Mungu awanusuru wote waliokuwepo humo kwenye hiyo ghorofa iliyoanguka.
mungu awajalie wapone inshaallah
Mungu awajaalie jamani watoke salama .ndugu zetu kwenye hilo jengo eeeh mungu nakuomba uwape guvu na pumzi hao ndugu zetu ...watoke salama
Amina
poleni sana though nimesikia mwaelezea watanzania mi ni mkenya🇰🇪 am very sorry Mungu awafanyie wepesi majeruhi na waliotuacha Mungu arehemu roho zao
Ndo shida... Mkuu wa mkoa anakuja kuongea na waandish wa habari badala ya kuleta greda au timu kuokoa watu... 😢😢😢 Mmmh
Kweli kabisa yaani ukaguzi wa ghorofa zote kariakoo zifanyiwe uchunguzi upya. Ziwe za zamani, ziwe mpya, zote zifanyiwe uchunguzi.
hayo magorofa yote yapimwe bado yana viwango vzuri vyenginevyo tutaumia jamani
Wewe unaongea nini eti madhara si makubwa sana??? Watu wameumia na wamekufa bado unadai madhara si makubwa, au kwa vile haikukuta?
Ndio hapo sasa, madhara ni makubwa bado, na pia Kariakoo sio kwamba weekend hakuna watu, weekend hasa Jumamosi Kariakoo ina watu wengi sana, aseme tu kwasababu ilikuwa asubuhi, ingekuwa mida ya mchana ingekuwa hatari zaidi kwasababu watu wanakuwa wengi sana
Mwenyezi Mungu awape nusura🥺💔
R.I.P poleni sana Mungu awatie nguvu
Jaman
Emwenyezi MUNGU wasaidie nduguzutu watoke salama
Pole kaka Mungu akupe nguvu😢
Lakn hawatoi idadi ya vifo mpk sasa au wote wanaotoka ni wazima😥
Pole sana kk Richi jaman
Aisee pole sana
polen jaman
Kwa huyu madhara makubwa ni yepi au kwa sbb yy hana mwanafamilia hapa?
Poleni sana
Waandishi wa habari elezeeni uzembe uliofanyika sio kuelezea watu waliopoteza maisha. Haitasaidia. Inasikitisha Serikali inayojiandai inajali kuruhusu ujenzi na watu kufanya shughuli zao ni uzembe ambao Dunia ya leo. Inatushangaa sana sana. Kwa Technologia hii inasikitisha sana. Waandishi ongeleeni hayo sio wafu
Duh polen
Allah Kareem kwaja wake
Pole sana
Duu poleni sana
Richad bantazari pole sana
Lakin hamjui ku edit
Jamani poleni sana kaka na watu wote walinusurika na ajili hiyo mbaya
Mbona kama vifo vimeongezeka hatuambiwi
Kwani mnamhoji karibu na kifusi
Tunaambiwa kifo ni kimoja tu
Baltazar🙄🙄
Hamna dogo yakhe 😢
😂😂😂
mungu saidia waja wako 🙏🙏
😂😂 batazar
Mnawaza yule malaya tu😂😂😂
HusnaSoud acha maujinga kwenye hili
Pole sana