Kwa ufupi tu mm ninae asiyepatikana ila mm nikama naendesha mwenyewe!! Sina makubwa sana namm natamani niwe bos mmojawapo asante mwalim joel mungu akubalikii❤🙏
2022 nlikuwa na boss kaa huyo wa kwanza hatukuwai elewana kabisa,, ikabidi niache kazi,, I use too think ako na stress kumbe nlimuelewa vibaya. Asante sana nmebarikiwa na hili somo
Mimi pia Nina boss kama huyo Kila kitu anataka yeye ndo afanye hadi gari likihalibika anataka kutengeneza yeye mwenye😂😂 alikuwa anasababisha hadi wengine wanalia ila badae tumemzoea na badae tumezoeana ila Kuna muda anabadilikaa
Huyo bosi ndio niko nae saiv huyo kwanza. Mwisho wasiku nimemuzoea tu naona Kawaida yake. Mwanzo nilikuwa nagombana nae sana halafu huwa hawaelewi kabisa mshwisho wasiki nimemzoea tu 😂 ila kinacho nishangaza nae hajiwezi hataki nitoke hata kidogo. Ila ubarikiwe sana

Barikiwa sana bro Joel Nanauka
Asante xana br Joel nimejifunza mungu azidi kukubariki 🙏
2022 nlikuwa na boss kaa huyo wa kwanza hatukuwai elewana kabisa,, ikabidi niache kazi,, I use too think ako na stress kumbe nlimuelewa vibaya. Asante sana nmebarikiwa na hili somo
Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana
Nimepata kitu,ubarikiwe sana🙏
Mimi nipo kwenye boss wakwanza nipo ivo
💪
From zanzibar Mr joel
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
✍️☝️
Mimi pia Nina boss kama huyo Kila kitu anataka yeye ndo afanye hadi gari likihalibika anataka kutengeneza yeye mwenye😂😂 alikuwa anasababisha hadi wengine wanalia ila badae tumemzoea na badae tumezoeana ila Kuna muda anabadilikaa
Natamani kukuona una ongea kuliko kusikiliza audio