Msafara wa JPM baada ya kutua Zanzibar kushiriki maadhimisho miaka 56 ya Mapinduzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2020
  • #JPM #Zanzibar #Miaka56Mapinduzi
    Rais Dk John Magufuli amewasili kisiwani Zanzibar kushiriki maadhimisho ya miaka 56 ya mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Amani jumapili hii.

Комментарии • 5

  • @salehhamadi6070
    @salehhamadi6070 4 года назад +9

    Kuna gar iyo imekaa kama komvoyi nyeusi haikosi kwenye msafara WA JPM achia kama na weye umeiyona achia like yako

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 года назад +2

    Hatar sn JPM Yupo juu

  • @ferozmohamed4117
    @ferozmohamed4117 3 года назад +1

    Will always miss you Chuma 😭😭😭

  • @evangelismchannel8810
    @evangelismchannel8810 3 года назад +1

    Nimemisi hizi purukushani za magari ya mkuu wa nchi...!! Miss you magufuli

  • @stivuchenje2653
    @stivuchenje2653 4 года назад +2

    Zenjy imedamsh