Ustadh shafi endelea kuwaelimisha waislamu mpaka waelewe ukweli uloficha kwa mda mrefu ..Allah atakuhigadhi na kukulinfa InshaAllah kwake yeye pekee ndio matarajio ..na hii itakuwa hoja siku ya qiyamah kwamba palitokea msomi wa kuwafunguwa ummah wa kiislamu macho na kuwaondolea upofu ulificha kwa mda mrefu sana
Salam/kum Shekhe shafi mimi nakufuatilia vizuri mashaa Allah uko na ufafanuzi mziri ila mimi nako na shaka katika ile Hadith alioipokea Abuhuraira inayou tubainisha masiku na viumbwa tukasema ufafanuzi wa hadith viumba ni saba inaonesha vitu ni saba kwa siku saba lakini Quran ni siku 6 Mimi utatawangu uko hapa jee Nabii Adam alikuwa katika mpango ulio umbwa dunia kabla yake walikuwa Majini mbona hakutajwa katika hio hisabu wakati viumbe wote wametajwa mimi nahisi ule ufafanuzi ulikuwa ni utukufu wa siku tu
Wakti huu tulonao kwa sasa unafiq na wanaoutumika unafiq umejitokea wazi kabisa kwa udhalimu wanafanyiwa ndugu zetu wafalastin na InshaAllah Allah azikifadhehesha
Pia kwa upande mwengine ili kuthibitisha pia kwamba sio kila anaeitwa Mpotevu ni kafiri ni kuwa Mwenye enzi mungu amejaalia katika raddi yako hii hii seuzi nyengine (katika mwanzo wa dakika ya sita) umesema kwa هذا عين الضلال huu ni upotevu mkubwa : na tunadhania kwamba wewe hujamkafirisha Sheikh, maana yake: na wewe umelitumia neno Upotevu kwa maana ya uovu na sio ukafiri, kwahiyo tunarudia pale pale: Umefahamu sivyo maneno ya Sheikh na umeyatafsiri kwa mujibu unavyotaka wewe na sio kwa alivyokusudia. Na ikiwa neno *Upotevu* maana yake ni ukafiri tu: basi na wewe umemkafirisha Sheikh, na ikiwa ni hivyo: basi hii raddi unayomrudi yeye ni raddi juu yako wewe mwenyeo pia, yaani kila neno baya linarudi kwako wewe pia.
Mwanzo wa kukosea ni pale ulipolichukuwa neno lake *ambao sio Ashaa'irah na MaaturiidiyyaMaaturiidiyyah wapo katika upotevu* na ukatafsiri kwa kusema kwa tunavyofahamu sisi: wapotevu ni Makafiri, Sheikh hajakusudia unavyofahamu yeye bali anavyofahamu yeye, Sio ili Mtu aitwe Mpotevu lazima awe kafiri, bali kuna upotevu katika Tawheed na kwengine ambae sio Ahlissunnah waljamaa'ah ni mpotevu katika Tawheed, na ama upotevu wake utamfikisha kwenye kufru au hautomfikisha kwenye kufru.
Ustadh shafi ni msomi mtafiti na aliye huru..hivi ndio kila muislamu atakiwa awe hivi uwe mtafiti na uhuru ktk kujifunza Dini yako sio kufuwata kitongotongo ..hii ndio shida kubwa sana ya waislamu wengi sana wanafuwata Dini kitongotongo..iendapo akatokeya msomi wa aina hii inawashangaza watu wengi sana kwa sababu hajawahipo kisikia ukweli km huo ...kwa makusudi kuficha hayaambo watu waendele kufuwata dini kitongotongo
Then Shaafi'iy miongoni mwa ambayo yanathibitisha kwamba tatizo lako nikuyatafsiri sivyo maneno ya Sheikh ni kuwa yeye amesema *Jumhuuri ya Waislamu* (Yaani kundi kubwa la Waislamu) *ni Ashaa'irah na Maaturiidiyyah* maana yake wapo Waislamu ambao sio Ashaa'irah na Maaturiidiyyah, japo kuwa watakuwa wameenda kinyume na Ahlussunnah waljamaa'ah wasiowafuata hao basi bado baadhi watakuwa wapo kwenye Uislamu na wengine ikiwa uzushi wao umevuka mipaka ndio watakuwa wametoka kwenye Uislamu. Na haya mambo nashangaa kuwa unayakosea wewe ilhali tulikupa sura ya ukubwa
Lau inhekuwa Dini ni kiridhisha watu basi hakuna atakaeingia peponi . Huyu ametowa hoja za kielimu na ajibiwe kielimu tu .sio kukashifiwa akisha kila mmoja ataamuwa mwenyewe kwa ufahamu wake ..haina haja ya kukashifiana na kuhikumiana
Tangu alipo radi sheikh Abdulqadir Alahdal ,nilijuwa kama hana msimamo wama salafi kabissa , huyo kachanganyikiwa na kusoma sanaa. Elimu kubwa inaharibu
Sheikh fanya radd kwa Masalafi na wao wanasema Waislamu wote ni watu wa motoni isipokuwa Masalafi. Pia wao hujiita "Firqatu Nnajiah" yaani kundi lililookoka.
Shaafi'iy inastahiki utoe clip ya kukiri kukosea wewe kwenye hili unaloongea, Sheikh hajasema kila siefuata Ahlissunnah waljamaa'ah ni Kafiri bali amesema ni Mpotevu, na upotevu unaweza kuwa katika matendo au itikadi, na ikiwa katika itikadi inaweza kuwa ni kiasi cha kukufuru au ni upotevu wa kuingia kwenye madhambi makubwa na sio kufru kama vile waliopinga kuonekanwa Allaah Peponi bila ya kusifika kwa sifa za Viumbe na wakapinga kwamba ataonekana Allaah na hatofanana na uonekaji wa kitu chochote, kwani walioponga hili Wanazuoni wa Ahlussunnah waljamaa'ah wamesema ni Wapotevu lakini hawajawakafirisha, yaani wamesema kwamba kupinga hili ni katika madhambi makubwa. Shaafi'iy umekosea wewe hapa, pia jitahidi: ikiwa maneno ya Mtu yana maana mbili basi chukuwa maana nzuri uache maana mbaya ili uingie katika wenye dhana nzuri kwa Waislamu.
Shekh kwa Nini kubwa , unapayuka utadhani wee hukosri wakati wewye hapo ibara tu unazisoma ovyo makosa ya kinahaui tu . HUNA hata hekma na uslubu wako mbaya sana
Huyu ni Shia,aliyejichanganya na masufi/maghurafi,kama mnavyojua hawa kawaida yao wandugu,wa wakuungana mkono,na huu ndio msiba tuliokuwa nao, tuwaombee Allah awahidi
Huyu sheikh sio mshia ni msuni na wapo masuni wenye fikra km hizi lkn sisi kwa ukosefu wa kutojuwa mambo na uvivu wa kutofanya utafiti ndio tunaongea ujinga km huu
KWANI WEYE AQIDA YAKO NI IPI?! KAMA NI ASHAA’IRA AU MAATURIIDIYYAT BASI KUNA HAJA GANI KUTUMIA MANENO MAKALI KWA SHEIKH USIWAACHE WALIO KINYUME WAJIBU?!
huyu atakuwa ni shia anajificha nyuma ya pazia ya ashaira na tasawwuf...ametoka povu sana aisee.. kila dalili ya maneno yake yanaelekea kwa imamah shia..
@@Zahra_Media255 amiiiiin yarabbi inshaallah sote kwa pamoja hajulikani kamwe katika ilimu wala kitu kingine chochote kile lemba mwanzo wa barabara mpaka mwisho wa barabara kumbe debe tupu kusoma kwenyewe yuwasoma makosa kisha yy yuwainukaje kutoa watu makosa 2 bila ya mpangilio wowote ule
Lau inhekuwa Dini ni kiridhisha watu basi hakuna atakaeingia peponi . Huyu ametowa hoja za kielimu na ajibiwe kielimu tu .sio kukashifiwa akisha kila mmoja ataamuwa mwenyewe kwa ufahamu wake ..haina haja ya kukashifiana na kuhikumiana
Nilikuwa nakuona unataka taqwa ila sasa najua kuwa wataka umaarufu
Acha fikra zisizo ongozwa na elimu. Pinga kielimu
Ustadh shafi endelea kuwaelimisha waislamu mpaka waelewe ukweli uloficha kwa mda mrefu ..Allah atakuhigadhi na kukulinfa InshaAllah kwake yeye pekee ndio matarajio ..na hii itakuwa hoja siku ya qiyamah kwamba palitokea msomi wa kuwafunguwa ummah wa kiislamu macho na kuwaondolea upofu ulificha kwa mda mrefu sana
Masha Allah Sheikh shafii mimi nakukubali upo vizuri.
Upo sahihi sana Sheikh Shafii ulamaai wengi hawakuwa Ahlu Sunnah
بارك الله فيك يا شيخ
شكرا أختي الفاضلة بارك الله فيك وسدد خطاك
@@SHEIKHSHAFIIBASALIM اللهم آمين يارب العالمين
Mungu atuhifadhi na atuongoze inshaAllah Aamiin yasikitisha 😢 hii fitna mbaya
Salam/kum Shekhe shafi mimi nakufuatilia vizuri mashaa Allah uko na ufafanuzi mziri ila mimi nako na shaka katika ile Hadith alioipokea Abuhuraira inayou tubainisha masiku na viumbwa tukasema ufafanuzi wa hadith viumba ni saba inaonesha vitu ni saba kwa siku saba lakini Quran ni siku 6
Mimi utatawangu uko hapa jee Nabii Adam alikuwa katika mpango ulio umbwa dunia kabla yake walikuwa Majini mbona hakutajwa katika hio hisabu wakati viumbe wote wametajwa mimi nahisi ule ufafanuzi ulikuwa ni utukufu wa siku tu
Wakti huu tulonao kwa sasa unafiq na wanaoutumika unafiq umejitokea wazi kabisa kwa udhalimu wanafanyiwa ndugu zetu wafalastin na InshaAllah Allah azikifadhehesha
Pia kwa upande mwengine ili kuthibitisha pia kwamba sio kila anaeitwa Mpotevu ni kafiri ni kuwa Mwenye enzi mungu amejaalia katika raddi yako hii hii seuzi nyengine (katika mwanzo wa dakika ya sita) umesema kwa هذا عين الضلال huu ni upotevu mkubwa : na tunadhania kwamba wewe hujamkafirisha Sheikh, maana yake: na wewe umelitumia neno Upotevu kwa maana ya uovu na sio ukafiri, kwahiyo tunarudia pale pale: Umefahamu sivyo maneno ya Sheikh na umeyatafsiri kwa mujibu unavyotaka wewe na sio kwa alivyokusudia.
Na ikiwa neno *Upotevu* maana yake ni ukafiri tu: basi na wewe umemkafirisha Sheikh, na ikiwa ni hivyo: basi hii raddi unayomrudi yeye ni raddi juu yako wewe mwenyeo pia, yaani kila neno baya linarudi kwako wewe pia.
Waaleikum slamma
Basalome ziangalie na coment zangu uzijibu na ulinganishe
Ukiona mtu akiongeya akaza menu hua ana machungu tabasammm😅
Huyu anatufa Kiki anajiona ako na ilimu zaidi ataka kuzungumza kila anachokiona katika kitabu na kumkosowa kila anamtaka
Mwanzo wa kukosea ni pale ulipolichukuwa neno lake *ambao sio Ashaa'irah na MaaturiidiyyaMaaturiidiyyah wapo katika upotevu* na ukatafsiri kwa kusema kwa tunavyofahamu sisi: wapotevu ni Makafiri, Sheikh hajakusudia unavyofahamu yeye bali anavyofahamu yeye, Sio ili Mtu aitwe Mpotevu lazima awe kafiri, bali kuna upotevu katika Tawheed na kwengine ambae sio Ahlissunnah waljamaa'ah ni mpotevu katika Tawheed, na ama upotevu wake utamfikisha kwenye kufru au hautomfikisha kwenye kufru.
Wewe kijuhayl nenda ukasome tena hizo ibara zisikusokote
السطور ميتة لا تتكلم إلا بأستاذ
Hata hueleweki punguza jazba😂
Una elimu gani ya kushindana na sayyid swaleh al ahdaly
Ni kweli Madh Hab ya ashaairah ina kauli nyingi
Shekh nilikuona wa maana lakini HUNA mpango wowote ni sawa na Bachu tu , mmekosa adabu za elimu
Kimewaramba wenyewe
Wewe unataka umaarufu sheikh wangu tulia roho yako sasa unataka kushindana mpaka na masharifu maulamaa
Ustadh shafi ni msomi mtafiti na aliye huru..hivi ndio kila muislamu atakiwa awe hivi uwe mtafiti na uhuru ktk kujifunza Dini yako sio kufuwata kitongotongo ..hii ndio shida kubwa sana ya waislamu wengi sana wanafuwata Dini kitongotongo..iendapo akatokeya msomi wa aina hii inawashangaza watu wengi sana kwa sababu hajawahipo kisikia ukweli km huo ...kwa makusudi kuficha hayaambo watu waendele kufuwata dini kitongotongo
Then Shaafi'iy miongoni mwa ambayo yanathibitisha kwamba tatizo lako nikuyatafsiri sivyo maneno ya Sheikh ni kuwa yeye amesema *Jumhuuri ya Waislamu* (Yaani kundi kubwa la Waislamu) *ni Ashaa'irah na Maaturiidiyyah* maana yake wapo Waislamu ambao sio Ashaa'irah na Maaturiidiyyah, japo kuwa watakuwa wameenda kinyume na Ahlussunnah waljamaa'ah wasiowafuata hao basi bado baadhi watakuwa wapo kwenye Uislamu na wengine ikiwa uzushi wao umevuka mipaka ndio watakuwa wametoka kwenye Uislamu.
Na haya mambo nashangaa kuwa unayakosea wewe ilhali tulikupa sura ya ukubwa
Lau inhekuwa Dini ni kiridhisha watu basi hakuna atakaeingia peponi .
Huyu ametowa hoja za kielimu na ajibiwe kielimu tu .sio kukashifiwa akisha kila mmoja ataamuwa mwenyewe kwa ufahamu wake ..haina haja ya kukashifiana na kuhikumiana
Yaani kelele hizo zote kumbe unataka tu kuwatetea Mashia… Eti walikuwa ni madhehebu ya Imamia.. Hata ukificha tunajua Imamia inamaanisha Mashia..
Kwani mtume alisema tuwe Ashaira 😂
@@sleemhamoud4394 mtume alisema tufuate yale tuliyoamrishwa tuachane na yale tuliyokatazwa!
Wewe si msufi kijana kwanza una paparuka sana kkk
Ansema jamaa wetu kumb masufi na mashia ni moja tu
Duh kuweni wachamungu,makelele yamitandaoni yasikushuulishe
Tangu alipo radi sheikh Abdulqadir Alahdal ,nilijuwa kama hana msimamo wama salafi kabissa , huyo kachanganyikiwa na kusoma sanaa.
Elimu kubwa inaharibu
WEWE HIVI SHAREF SWALEH NI MWENZAKO? MBONA UNAONESHA WAZI KUWA WEWE NI SHIAAAAAA
Hawa jamaa yaonesha wamerushana pesa 😂😂😂😂😂
Jibu hoja za sheikh shafii kama unaweza siyo kuleta propaganda za hovyo
Sayyid Swaleh Al Ahdaly ako sawa; ASHA3IRAH NA MATURIDY ndio aqeeda sahihi peke yake
the closest ni madh-had ya ATHAR ALMUFAWIDH Ya Imam Ahmad Bin Hambal (mawahabi wanaichafua aqeeda yake)
ambao hawajambo katika Tashayyu3 ni Zeydiyahh, ALLAH AWAONGOZE NA ATUONGOZE NA SISIS KWA JUMLA
Shia muovu ww
Sheikh fanya radd kwa Masalafi na wao wanasema Waislamu wote ni watu wa motoni isipokuwa Masalafi. Pia wao hujiita "Firqatu Nnajiah" yaani kundi lililookoka.
Shaafi'iy inastahiki utoe clip ya kukiri kukosea wewe kwenye hili unaloongea, Sheikh hajasema kila siefuata Ahlissunnah waljamaa'ah ni Kafiri bali amesema ni Mpotevu, na upotevu unaweza kuwa katika matendo au itikadi, na ikiwa katika itikadi inaweza kuwa ni kiasi cha kukufuru au ni upotevu wa kuingia kwenye madhambi makubwa na sio kufru kama vile waliopinga kuonekanwa Allaah Peponi bila ya kusifika kwa sifa za Viumbe na wakapinga kwamba ataonekana Allaah na hatofanana na uonekaji wa kitu chochote, kwani walioponga hili Wanazuoni wa Ahlussunnah waljamaa'ah wamesema ni Wapotevu lakini hawajawakafirisha, yaani wamesema kwamba kupinga hili ni katika madhambi makubwa.
Shaafi'iy umekosea wewe hapa, pia jitahidi: ikiwa maneno ya Mtu yana maana mbili basi chukuwa maana nzuri uache maana mbaya ili uingie katika wenye dhana nzuri kwa Waislamu.
Kusoma irabu yenyewe huzipati kisha watoa watu makosa mzuka mmoja ww juwa Kusoma irabu kwanza kisha ndio uinuke kutoa makosa
Jama na mukubali sana brooo nikiboko ya masheikh wanaojipenda ... Huyu hakuna mwanazuoni tz kumushinda
Ww huna ujualo Swaleh Ahdal ako sawa sawa mia fil mia labda ww ni swakka huna ujualo nenda ukasome ilmu vzr na shekhe lako anaitwa nani
Abulhasan ashi arii
Ni ahlusunnaa waljamaa
Na sio suufii
Unatoka mapovu kwa kipi kwani
Shekh kwa Nini kubwa , unapayuka utadhani wee hukosri wakati wewye hapo ibara tu unazisoma ovyo makosa ya kinahaui tu . HUNA hata hekma na uslubu wako mbaya sana
Kosoa kiarabu chake tukuone
Wanapingana wenyewe wenyewe wanachuoni wa Ahlul sunna Wala jamaa Washasema kuhusu makundi hayo
Mawahabi ndiyo ahlul sunna waljamaa? Unachekesha sana
Kisha mbona wamjibu ww na umeambiwa usipoteze mda wakujibu mzuka ww shafiii huna shekhe ww katafute shekhe wako kwanza huna asili ya ilimu ww mzuka
Mimi nina shangaa kunawatu wanasema huyu mtoto ni sunniy na wakati aqida yake iko wazi kabisa kwamba ni shia. Au kwakuwa mnaona hajavaa joho jeusi?
Huyu ni Shia,aliyejichanganya na masufi/maghurafi,kama mnavyojua hawa kawaida yao wandugu,wa wakuungana mkono,na huu ndio msiba tuliokuwa nao, tuwaombee Allah awahidi
Ni shia huyu sana tena ukifatilia masheikh wa kisalafy bas utajua ni shia huyu
Huyu sheikh sio mshia ni msuni na wapo masuni wenye fikra km hizi lkn sisi kwa ukosefu wa kutojuwa mambo na uvivu wa kutofanya utafiti ndio tunaongea ujinga km huu
KWANI WEYE AQIDA YAKO NI IPI?!
KAMA NI ASHAA’IRA
AU MAATURIIDIYYAT
BASI KUNA HAJA GANI KUTUMIA MANENO MAKALI KWA SHEIKH USIWAACHE WALIO KINYUME WAJIBU?!
huyu atakuwa ni shia anajificha nyuma ya pazia ya ashaira na tasawwuf...ametoka povu sana aisee.. kila dalili ya maneno yake yanaelekea kwa imamah shia..
@@faizbash8664
NI KWELI ANATUTIA SHAKA
MASUFI KWA MASUFI UNANYUKANA ALLLAH AWAONGOZE WOTE WAMEKOSEA MZUNGUMZAJI NA ALIOKOSELEWA WOTE WAMEKOSEA
Huyu ni shia
MASUFI NA MASHIA MAMA MMOJA
Sheikh, wewe aqeeda yako ni gani?
Shekh Swaleh ameteleza ,ubinadam umempitia
Hapana si ishu ya ubinadamu.sheikh swaleh anaonekana ni mtu mwenye taasubi na kibri. Alikuwa akisema kwa kujiamini kumbe naye hana ajualo
Ww watoa watu makosa umesoma wapi kwanza shekhe lako ni nani hujulikani kamwe kwanza mlemba mkubwa 2 huna lolote lile njoo usomeshwe ujue ilimu ni nn
Ahsante shkh maneno mazuri
jazaaka llah khayra
@@Zahra_Media255 amiiiiin yarabbi inshaallah sote kwa pamoja hajulikani kamwe katika ilimu wala kitu kingine chochote kile lemba mwanzo wa barabara mpaka mwisho wa barabara kumbe debe tupu kusoma kwenyewe yuwasoma makosa kisha yy yuwainukaje kutoa watu makosa 2 bila ya mpangilio wowote ule
Wapendwa wasikilizaji wamesikiza uzuka wako , au ulikuwa wataka ujulikane na channel yako .😂 Zuka hili .
Hapo umegonga sipo wewe hufiki hata wakia ya elimu ya swaaleh al ahdaly kabisa katafute kiki kwengine
Ahsanta sana ndugu yangu wacha kumuingia swaleh ahdaly mm mwana funzi wa ustadh said haniingii kabisa
@@habibumuhammad730 wewe unayako binafsi hasira zako unazimalizia kwenye comment