Huyo bacho hamna safari hapo huend angeambiwa kua nabii isaa alitembea juu ya maji angekataa pia kwakua hakumuona ushee wa mchongo huo tena hamnaaaaaa ki2 hapo
@@sahimm4767 kabla hujaanza kuhangaika kujikuta mjuzi soma kwanza elimu ya lugha ya kiarabu nikimaanisha nahwu uielewe vizur kisha usome balagha na uelewe nin maana ya qiaswi katika usulu Al fiqhi ukielewa undani wa fani hizi nakuruhusu uje in box kwangu tubishane kwa hoja au kama upo tayr weka namb yako hapa nikupigie
Assalamu aleykum sheikh muhammad tunakuangalia kutoka 🇶🇦 qatar na umeelimisha watu wengi waliokua katika giza la shirk na sahii wameshika barabara nyeupe ya sunnah walillahi hamd sasa kwa uwezo wa Allah tunaomba utufafanulie urongo wote ulioko kwa maulidi na utusomeshe sunnah .... shukran
Shekh Mohamed nasor bachu mungu akuhifadhi....mm Huwa napenda nione mbele faida utowao hivi Leo nachelewa basi najiona nimepitwa najua tupo wengi wanafatilia video zako mauld haya nguvu Tena kabsa na tumejua hakki alhamdulillah
Shekh Muhammad Bachu Allaah Mtukufu tuna muomba akuhifadhi na macho mabaya ya mahasidi, na shari za wazushi walio zoea kusema uongo na kudanganya watu, na akupe afya njema uzidi kuitangaza da'wa ya Haqqi, Tawhiid na Sunnah, na hawa wasio jua kua wanaburuzwa na kuelekezwa kwenye uzushi na uongo Allaah awafumbuwe nyoyo zao na macho yao waachane na waongo na wakae swafu moja na watu wakweli...
Allah akulipe kheri shekh Muhammad Nasoro Bachu kwa kutumia nguvu na muda wako mwingi kutubainishia haki kwa kweli faida nyingi sana tunapata kupitia hizi darasa
nakupenda shekh Muhammad bachu kwa ajili ya allah ,alipokufa babako mwaka 2014 nilijawa na huzuni km kwamba sitopata tena shekh wa kunifundisha ila saiv nahisi moyo wangu umejaa furaha babako ametuachia zawad
Allah akupe Subra na Thabat Al-akh Sheikh Muhammad.Usirudi nyuma ndugu yangu katika kuibanisha Hakki,Kutangaza Sunna na kukemea Bid'aa na Khurafaat.Allah akuhifadhi ndugu yangu
Brother Muhammad bachu tunakuangalia tukiwa 🇬🇧 tunakupeda sana tuna kutakia dua Allah akulinde na shaar za madhalim kama hawa wana feek wakubwa kamaweye brother yusuf nilikuwa nakufatilia sana lakini naona hatukuwelewi
Allah akuhifadhi hakika wahwa wanavizibo washapigwa muhuri kaziyo kupotosha watu kipitia uongo wa falsafa. Khery allah akuhifadhi na fitna za watu wa bidaa
Pia latina din ya allah wapo wenye mambo yao ilimradi wawakufulishe waislamu yawagombanishe kama ungesoma kiadabu usinge msapoti hata kdg ndugu yangu anakufulisha mambo yakweli yamhusuyo mtume tulomkubali waislamu halafu kwaelmu yako ndogo wamuona yupo sahihi mm ningefurah kama ungemuombea dua kuwa allah amuongoze
SHUKRAN. ILA SHEKHE KUWA MAKINI HAO WATU UNAO WASEMA HAO WANAMATUSI. WASIJE KUKUTOA KATIKA MSTARI .TUNAWAJUA WAKO WAZI TU HATA HADITHI YA MTUME WALISEMA AMEIPINDISHA KUSUDI......WALA HAKUKOSEA SASA HAPO NI MTIHANI ILA TUTAFIKA TU
Alhamdulillah Allah akupe thibaati katika kutetea haqqi na azidishe kher na baaraka katika Hilo Hadi jamii ielimike, kwa hakika unapambana na watu walozama katika kuipambania dunia yao na maslahi yao yahapa duniani na kutumia uongo mwingi wakumzulia mtume!!
@@sakinajuma1135 Hayo maneno yako itawekwa mizani siku ya kiyama. Tuone itakupea faida ama utanufaidisha ustadh Mohamed BACHU. Endelea na hio ujasiri kama hunaakili ama utafute yeye uombe msamaha kabla hujaondoka duniani
NATUNAOMBA UWE MVUMILIVU MAANA MPITO UNAOENDA NAO SIO MWEPESI MAUDHI MATUSI KEJELI NA KILA BALAA WATAKUZULIA ILIMRADI UTELEZE TU .NIWACHACHE WALIO KUBALI HILI WEMGI WAMECHAGUA SEHEMU YA KUPENDWA TU HAWASEMI HAYA. WE VUMILIA ALLAAHU NDO ATAEKULIPA UMEFIKISHA NAYE NDIO SHAHIDI
Wallah Allah awape nguvu ww pa1 na al akh Ali Abubakar ili muendelee kuiendeleza sunnah sahih ya Mtume. Wala musije mukarudi nyuma."Afe mwanakufa kwa ajili ya haki na abaki hai mwnye kubaki hai kwa ajili ya haki....mpka mwsho wa Aya". Allah atawalipa inshallah
Wallai shekh atuna uwezo wa kukushkuru mana ilm unayotupa nikiielezea naeza kufuru pia,walai mungu akuzidishie.kumbe lkw twadanganywa thuuuu machozi yakaribia kunitoka pia kwa maskitiko
Akizunguuka mwenyewe maiti wakati wa kuonyshwa si watu watakimbia sn hapo , ebu masheikh tuongeeni visa vya ukweli , tumewajua ss watu wa maulidi mtabaki pekeenu , na ALLAH atusamee kwa bida'ah tuliotukifanya ya maulidi
Muhammad bachu rudi tena ktk historia ya maimam khasa wa madh-hab nne,pia Rudi ktk آداب الاختلاف Pia tafakari sana kuhusu bilisi n jinsi anavyowatembelea wanaadam khasa wanaosoma حُبُّ الشُّهْرَةِ
Yusuf diwani nilikua nampenda Sana kipindi sjabainikiwa zaid na haqi, hakika anaufasaha mzur katika kubainisha mambo, namuomba Allah amfahamishe haqi na aiendee kwa uzur, na ufasaha wake uwe katika kutetea haqi aachane na bidaa na uongo.
Shekhe Muhammad hii kazi ya kubainisha haqqi kutokana na baatwil ziliomo ndani ya barzanji usi katishwe tamaa na wajinga wasaka tonge wanao kutukana, bali iendeleze na ukijua kua watu wengi wana elimika na kuujua ukweli na kuachana na mazushi haya ambayo yalisha watia ulemavu...
Tumekuelewa vizuri kuhusu kitabu cha Barzanji... ALLAH (s.w) atusamehe.. Kwa sasa tunakuomba utupe muongozo kuhusu kusoma Khitma.. Je inajuzu au haijuzu..
watu wa bidaa huitwa masheikh wakubwa na watu wa aina yao ila.kwa.watu ya sunnah wao ni dalili tu hawapendi upuuzi. hata kama.ataitwa sheikh ni bure kwetu kabisa maana hawa huchanganya mauongo sana hawaeleweki hawa
Ndugu yangu Mohammad tunakuelewa sana kwa tunaotaka haqi ALLAH akuongoze na akuhifaadhi HUYU YUSUF DIWANI TWAMJUA NI MWENYE KUTAWALIWA NA MATAMANIO YA NAFSI YAKE , MTU MUIGIZAAJI TWAMJUA
Alhamdulilah Al Hatimy kupata kamili yake ameshindwa kujitetea yeye wala Mwenye barzanji Hii ndio Daawah Salafia Makali kuwili . Tunaomba akae Atulie sasa .👌
Maskitiko makubwa kuona ndugu waislam wanaojigamba kwa elimu ya dini ya kislam, wantusiana na kudharauliana katika majukwa, kisa na sababu ni "Maulid". Jee haya maulid ndio dini? Ama yule asie kuwa Muslim akaona tabia kama hii, ataweza kukaribia? Ndugu nawanasihi nyote wawili, kama munasoma Qur'an tofauti na waislam wengine , endelea na ugomvi, na lau Qur'an ndio hiyo moja, basi acheni kutukanisha uislam. Kwani nyote mkali wanafunzi na hakuna moja wenu aliemzidi mwenziwe. Mtanisameh kama nimetumia lugha isio ya sawa.
Huyu ndiye mwalim wangu namuelewaga sana Hufafanua kitu kwa mapana Wengine maneno tuu kama sıasa tu Dini ni dalili na sio mantik ett ett ett ... laaaaaaa
Kuna wenye maskio lakini hawasikii kwayo, wajinga wengi hawako hapa kwa kutaka kujua wako hapa kwajili ya ushabiki, ALLAH akuhifadhi Simba mwana wa Simba, wewe ni msema kweli wapige vimondo washirikina wakome.
Sasa haya kweli yaonesha wazi niuongo mm mkenya kweli na sina helmu lkn kwahili sijakubali katu, ati mtu ajitie kwenye mji wa kaburi basi hajafa duh kweli Muhammed bachu upo sahihi kwa hilo
assalam alaykum kwakweli mi sijapenda mnacho kifanya mumeacha wasiokuwa waisilamu mumegeukana wenyewe kwa wenyewe mimi binafsi nimeanza kupoteza imani kwenu.shukran Allah atuhifadhi na atuongoze sote
Hakuna malumbano ni kubainishiana haki , acha uislam usafishwe na madudu mengi ya ajabu yaliyoichafua dini yetu kwa muda mrefu ili hata hao wasiokuwa waislam wakija waukute mazingira yamenyooka hata kulingania unatakiwa uanze na familia yako kwanza ndo utoke nje, kwa hiyo acha tuwekane sawa sisi wenyewe kwanza ndo tuwaangalie wasiokuwa waislam
WATU WA MATUSI WANABADILI HOJA KSMA KAWAIDA WAKISHINDWA UTETEZI KIELIMU BADALA WAACHE WANAMTUMA SABAASIBUL QUBRA BW.MATUSI HUYO. SHEKHE USIYUMBE KATIKA HOJA ACHANA NAYEYE AONGEE PEKEYAKE. DILI NA HII SHUBHA TU YA MAULIDI YA DIWANI WANATAKA KUKUPOTEZA MALENGO
Hekma ni kukutana ana kwa ana sio kwenye mitandao wasio wa dini yetu wanatuona waislamu wa ovyo Wala hatusapoti njia munazotumia kuelimishana munatuharibia dini
Hamna malumbano hapo ni kuelimishana tu acha mashekh wasafishe mazingira ukweli ubainishwe watu wajue ukweli ibaki kwao wenyewe kufuata haki au kuendelea kupotea maana hali ya uislam imefikia pabaya sana kiasi ambacho mpaka mambo ya shirki yanaonekana ni ktk dini pia, Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema
Sheikh Muhammad Nassor bachu. Allah akuhifadhi
MashaAllah sheikh bachu allah akuhifadhi akupe umli mrefu wenye manufaa 🤲
MashaAllah Sheikh Muhamad Bachu , From China tunakupata vizur sana na tunakuombea kwa Allah azidi kukupa ufaham mkubwa zaid ktk dini na Akuhifadhi
Shukran ndugu Allah akupe umri na Afya
Allah akuhifadhi Ustadh Muhammad bachu
Huyo bacho hamna safari hapo huend angeambiwa kua nabii isaa alitembea juu ya maji angekataa pia kwakua hakumuona ushee wa mchongo huo tena hamnaaaaaa ki2 hapo
Sasa naona haina maana kulumbana mashehe
Kwa room ? Ama kwa box
@@xwalhinanurdin5679 wewe wa ukweli toast ushuhuda wako kutokana na vitabu vya dini. Kwenye hadithi na qur_an. Ili uwe sheikh kweli
@@sahimm4767 kabla hujaanza kuhangaika kujikuta mjuzi soma kwanza elimu ya lugha ya kiarabu nikimaanisha nahwu uielewe vizur kisha usome balagha na uelewe nin maana ya qiaswi katika usulu Al fiqhi ukielewa undani wa fani hizi nakuruhusu uje in box kwangu tubishane kwa hoja au kama upo tayr weka namb yako hapa nikupigie
Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair
Mashaallah Sheikh letu Muhammad Nassor Bachu Allah akuhifadhi
Assalamu aleykum sheikh muhammad tunakuangalia kutoka 🇶🇦 qatar na umeelimisha watu wengi waliokua katika giza la shirk na sahii wameshika barabara nyeupe ya sunnah walillahi hamd sasa kwa uwezo wa Allah tunaomba utufafanulie urongo wote ulioko kwa maulidi na utusomeshe sunnah .... shukran
Mmmmh
Swadakta 💯
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Wa Alaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh Akhii
Ameen
Swadaqta Sheikh
Alhamdulillah
JazakaAllaahu'khayran
sisi kazi yetu ni kusikiliza point. Asante kwa kutumia platform hizi kueleimisha ummah.
Allah akuhifadhi sheikh muhammad Bachu endelea hivyo hivyo kuwarudi masufi
Tunakupata vizuri Sana sheikh letu ALLAH azidi kukupa afya na nguvu ili kuuwekea wazi Mambo umma
ALLAAH AKUHIFADH SHEKH MUHAMMAD NASSOR BACHU
Kwa room ama Kwa box
@@ustadhsirajabouddini1889 ndugu yngu ww wjiita ust alafu unajibu nn hapa??
Shekh Mohamed nasor bachu mungu akuhifadhi....mm Huwa napenda nione mbele faida utowao hivi Leo nachelewa basi najiona nimepitwa najua tupo wengi wanafatilia video zako mauld haya nguvu Tena kabsa na tumejua hakki alhamdulillah
TOSHA kwa barzanji kuanzia leo. Mungu anisamehe yaliyopita
Ameen
Mbona humalizii yaliyopita si ndwele tugange yajayo.😂😂😂
Hivi ndio inavyotakiwa mtu akijuwa haqqi anaachana na mazoeya, Allah akuongoze zaid
@@aliybecka5169 sote Inshallah
Maashaallah tabarakallah
Allah amuhifadhi muhamad bachu tunakupenda Sana shekhe wetuu tunakupenda Sana upo vizuri
Shekh Muhammad Bachu Allaah Mtukufu tuna muomba akuhifadhi na macho mabaya ya mahasidi, na shari za wazushi walio zoea kusema uongo na kudanganya watu, na akupe afya njema uzidi kuitangaza da'wa ya Haqqi, Tawhiid na Sunnah, na hawa wasio jua kua wanaburuzwa na kuelekezwa kwenye uzushi na uongo Allaah awafumbuwe nyoyo zao na macho yao waachane na waongo na wakae swafu moja na watu wakweli...
بارك الله فيك وزادك الله علما
Allah akulipe kheri shekh Muhammad Nasoro Bachu kwa kutumia nguvu na muda wako mwingi kutubainishia haki kwa kweli faida nyingi sana tunapata kupitia hizi darasa
Fantastic shekh Mohamed
Mashalla, Muhammad bachu, mungu azidi kukupa hekima ya kuweka sawa makosa yote yanayofanywa na ndugu zetu wakiislamu ,,,amin
Allah akujaaalie afya njema Muhammad bachu
Mashaallah nikiona tu video yako moyo wangu unakuw a na furaha sna
Mashaallah shekh nakukubali mno
Allahumma barik alaihi, allahumma hifadh lahu
Assalaam alaikum Al akhii Muhammad Nassor Bachu,Allah akupe umri na afya tuzidi kufaidika, amin
nakupenda shekh Muhammad bachu kwa ajili ya allah ,alipokufa babako mwaka 2014 nilijawa na huzuni km kwamba sitopata tena shekh wa kunifundisha ila saiv nahisi moyo wangu umejaa furaha babako ametuachia zawad
Allah akupe Subra na Thabat Al-akh Sheikh Muhammad.Usirudi nyuma ndugu yangu katika kuibanisha Hakki,Kutangaza Sunna na kukemea Bid'aa na Khurafaat.Allah akuhifadhi ndugu yangu
Mashallah Allah akuhfadhi
Brother Muhammad bachu tunakuangalia tukiwa 🇬🇧 tunakupeda sana tuna kutakia dua Allah akulinde na shaar za madhalim kama hawa wana feek wakubwa kamaweye brother yusuf nilikuwa nakufatilia sana lakini naona hatukuwelewi
Allah akuhifadhi hakika wahwa wanavizibo washapigwa muhuri kaziyo kupotosha watu kipitia uongo wa falsafa. Khery allah akuhifadhi na fitna za watu wa bidaa
Assalamu alaykum shehe tunakuelewa vizuri allah akupe nguvu uwamalize awa wazushi na uzushiwao
MUNGU awalinde na awazidishie ilmu zaidi ili mtufikishie na sisi tunaopotwezwa na masheikh wa twariqa
Hujasoma wewe kwo wewe uamuona mohammad bachu yupo sahihi mwenzio yupo kazin huyo nimuwakilushi wa majasusi wakiingereza huyo
@@kilulamofi7926 heee jasusi akapiganie dini ya Allah?
Pia latina din ya allah wapo wenye mambo yao ilimradi wawakufulishe waislamu yawagombanishe kama ungesoma kiadabu usinge msapoti hata kdg ndugu yangu anakufulisha mambo yakweli yamhusuyo mtume tulomkubali waislamu halafu kwaelmu yako ndogo wamuona yupo sahihi mm ningefurah kama ungemuombea dua kuwa allah amuongoze
@@kilulamofi7926 Allah akuongoze wewe kwanza
Amena yaarabbal aalamiin nawewe allah akuongoze
Walah mashehe wa maulid hamna hoja mmeshikwa pabaya shekh nasor ww kidume mungu akuzidishi elimu yenye manufaa utuelimishe
SHUKRAN. ILA SHEKHE KUWA MAKINI HAO WATU UNAO WASEMA HAO WANAMATUSI. WASIJE KUKUTOA KATIKA MSTARI .TUNAWAJUA WAKO WAZI TU HATA HADITHI YA MTUME WALISEMA AMEIPINDISHA KUSUDI......WALA HAKUKOSEA SASA HAPO NI MTIHANI ILA TUTAFIKA TU
Allah akupe maisha yenye saada
Alhamdulillah Allah akupe thibaati katika kutetea haqqi na azidishe kher na baaraka katika Hilo Hadi jamii ielimike, kwa hakika unapambana na watu walozama katika kuipambania dunia yao na maslahi yao yahapa duniani na kutumia uongo mwingi wakumzulia mtume!!
Wallahi unaelimisha umma na Allah akulipe pakubwa majaliwa
Mkurupukaji tu huyu, amka ndugu.
@@sakinajuma1135 Hayo maneno yako itawekwa mizani siku ya kiyama. Tuone itakupea faida ama utanufaidisha ustadh Mohamed BACHU. Endelea na hio ujasiri kama hunaakili ama utafute yeye uombe msamaha kabla hujaondoka duniani
Shekh wanyooshe insha allah
Mashaalla sheikh.
Mungu anisamehe kujiingiza kwenye shikr ya barzaj
Allah akulipe heri nyingi. SISI TUKO PAMOJA NA WEWE EWE MUHAMMAD. KARIBU SANA KIBITI.
NATUNAOMBA UWE MVUMILIVU MAANA MPITO UNAOENDA NAO SIO MWEPESI MAUDHI MATUSI KEJELI NA KILA BALAA WATAKUZULIA ILIMRADI UTELEZE TU .NIWACHACHE WALIO KUBALI HILI WEMGI WAMECHAGUA SEHEMU YA KUPENDWA TU HAWASEMI HAYA. WE VUMILIA ALLAAHU NDO ATAEKULIPA UMEFIKISHA NAYE NDIO SHAHIDI
Kila Nimuonapo huyu sheikh nafurahi sana kwaajili ya Allah,
Bismillah..... 🎥🎥
Tunafrai wote
Wallah Allah awape nguvu ww pa1 na al akh Ali Abubakar ili muendelee kuiendeleza sunnah sahih ya Mtume. Wala musije mukarudi nyuma."Afe mwanakufa kwa ajili ya haki na abaki hai mwnye kubaki hai kwa ajili ya haki....mpka mwsho wa Aya". Allah atawalipa inshallah
Allah Azidi Kukpa Elimu insha'Allah
UnaAkili Sana Brother
Wallai shekh atuna uwezo wa kukushkuru mana ilm unayotupa nikiielezea naeza kufuru pia,walai mungu akuzidishie.kumbe lkw twadanganywa thuuuu machozi yakaribia kunitoka pia kwa maskitiko
Haya tunasubiri muendelezo mpaka wanyoooke hawa
MAASHAALLAH Tabaraka LLAH. Kijana ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuhifadhi,endelea kuibanisha Haqqi bila kujali lawama ya wenye kulaumu.
Akizunguuka mwenyewe maiti wakati wa kuonyshwa si watu watakimbia sn hapo , ebu masheikh tuongeeni visa vya ukweli , tumewajua ss watu wa maulidi mtabaki pekeenu , na ALLAH atusamee kwa bida'ah tuliotukifanya ya maulidi
Muhammad bachu rudi tena ktk historia ya maimam khasa wa madh-hab nne,pia Rudi ktk
آداب الاختلاف
Pia tafakari sana kuhusu bilisi n jinsi anavyowatembelea wanaadam khasa wanaosoma
حُبُّ الشُّهْرَةِ
Mauwongo kweli haya mchana kweupe Wanataka kutudanganya😂😂😂
Allah Awawafikishe haqih ienee
Yusuf diwani nilikua nampenda Sana kipindi sjabainikiwa zaid na haqi, hakika anaufasaha mzur katika kubainisha mambo, namuomba Allah amfahamishe haqi na aiendee kwa uzur, na ufasaha wake uwe katika kutetea haqi aachane na bidaa na uongo.
Sheikh Nasser Basho mpaka leo sauti ya ukweli ni mahubiri mazuri
Twafurahiya darsa zako mashallah
Sheikh we ni mwamba kama alivyo Sheikh qaasim mafuta na masheikh wengine mnatuelekeza vzuur sana
BAADH YA MADRASA ZETU MTU ATACHAPWA KAMA HAJAHIFADHI BARZANJ LAKINI SIO KUHIFADHI QURAN
Kweli kabisa atachapwa bakora kama hajui kughani halafu hajui ata maana yake
سبحان الله
الحكمــــد لله على نعمة الإسلام والسنة والعقل السليم
hahaha hatari
Hiyo madrasa yako wewe usifananishe na zawenzio
@@allytwalibjr.6431 Andika vizuri ww
Shekh kwa kweli ufafanuzi wako ni mzuri na uko wazi na ushahidi katika vitabu. Mwenye akili na atafakari.
Allah akuzidishie penye mapungufu.
MashaaAllah step by step hatuna haraka twaskiza Kwa Makini,tutoe vizibio Kwa sikio tuilimike zaidi.
Maashaallah 🙏🏾 I'm proud to be muslim
Shekhe Muhammad hii kazi ya kubainisha haqqi kutokana na baatwil ziliomo ndani ya barzanji usi katishwe tamaa na wajinga wasaka tonge wanao kutukana, bali iendeleze na ukijua kua watu wengi wana elimika na kuujua ukweli na kuachana na mazushi haya ambayo yalisha watia ulemavu...
Misufi asa miongo hiiiiiiiii
Hawa tunaenda nao sambamba mpka watakapokubali kubadilika
Mashaallah
Mashalaah Alhadulilaah rabili'alamin,,,,,hizi ndo faida Sasa hamn mtu anapenda Moto
Acha uyahudi
Tumekuelewa vizuri kuhusu kitabu cha Barzanji... ALLAH (s.w) atusamehe..
Kwa sasa tunakuomba utupe muongozo kuhusu kusoma Khitma.. Je inajuzu au haijuzu..
Labda sheikh Yusuf Diwani hakujuwa hicho kitaabu almunjidi inamachafu kama hio kwa dini ya uislamu
watu wa bidaa huitwa masheikh wakubwa na watu wa aina yao ila.kwa.watu ya sunnah wao ni dalili tu hawapendi upuuzi. hata kama.ataitwa sheikh ni bure kwetu kabisa maana hawa huchanganya mauongo sana hawaeleweki hawa
Part 2 akhy
Sheikh Muhammad bachu nimekufuata lakini nikuombe mawasiliano kwanjiaya WhatsApp
Kwahiyo nitumiye namba yako
Naomba Al-hatimy na Diwani watuambie barzanji ametoa wapi story hizi tafadal
Ndugu yangu Mohammad tunakuelewa sana kwa tunaotaka haqi ALLAH akuongoze na akuhifaadhi
HUYU YUSUF DIWANI TWAMJUA NI MWENYE KUTAWALIWA NA MATAMANIO YA NAFSI YAKE , MTU MUIGIZAAJI TWAMJUA
Ulamaa RUclips hongera kwa kuwa umkamlka jnc unavyojhc ww na majahl wanaokufata mmkamlka wenzenu tunamapunguf
Yussuf Diwani sii shekh eti ni mganga wa kienyeji
Wala msihangaige nae naende akagange watu uko
Hahaha😁😁😁😁😘
Hapo ni kweli😂😂😂
Muislamu ni ndugu wa Waislamu
Alhamdulilah Al Hatimy kupata kamili yake ameshindwa kujitetea yeye wala Mwenye barzanji Hii ndio Daawah Salafia Makali kuwili . Tunaomba akae Atulie sasa .👌
Mnatuchanganya sisi tusiosoma.
MA sheikh mnachukiana sana, mnagawa waislam. Kwanini msikutane mkajadili kuliko kuwapa faida wasio penda Uislam
Maskitiko makubwa kuona ndugu waislam wanaojigamba kwa elimu ya dini ya kislam, wantusiana na kudharauliana katika majukwa, kisa na sababu ni "Maulid". Jee haya maulid ndio dini? Ama yule asie kuwa Muslim akaona tabia kama hii, ataweza kukaribia? Ndugu nawanasihi nyote wawili, kama munasoma Qur'an tofauti na waislam wengine , endelea na ugomvi, na lau Qur'an ndio hiyo moja, basi acheni kutukanisha uislam. Kwani nyote mkali wanafunzi na hakuna moja wenu aliemzidi mwenziwe.
Mtanisameh kama nimetumia lugha isio ya sawa.
Hahahahahaha nafurahi sana, wewe unaongea na kutoa elimu kwa watu, na hawa jamaa wanaongea na kutumia uongo na pumba.
Hahahahaha
Shehe safisha safishaaaa wamezidi kitambo tulikuahatulali sababuya vigomavyao kumbe walikuawanatudanga sasahivi watuache. Tukeshe kwamengine na si maulidi.
Jamani raha humu Sana hongerazako vigoma dah
Huyu ndiye mwalim wangu namuelewaga sana
Hufafanua kitu kwa mapana
Wengine maneno tuu kama sıasa tu
Dini ni dalili na sio mantik ett ett ett ...
laaaaaaa
Hawa watu wa maulidi wafanya biashara
Hahahahahahaha
Natamani nijifunze dini kupita ustaadh mohd bachu
Alimkidhi maanayake nini?
Hio heasing inapotosha 🙆🏽♂
Kuna wenye maskio lakini hawasikii kwayo, wajinga wengi hawako hapa kwa kutaka kujua wako hapa kwajili ya ushabiki, ALLAH akuhifadhi Simba mwana wa Simba, wewe ni msema kweli wapige vimondo washirikina wakome.
Ushoga umeenea umekaa hubishina tu wa waislmu na wenzako limganinei ya Swa mmbo yamejaa tele machafu pigani huo ushoga ulio ngia
Wewe elimu yako ya dini ya uislamu iko chini sana,nenda kasome upya usituvuruge kwa kutulazimisha tukufuate kwenye giza.
Punguza kibri Shekh.
Daawa haipendezi kwa njia unayo tumia
We mganga unasemaje diwani
Hahahaha dah jamani raha Sana humu mpoga ramly nasikia mzee wanyota hahahaha
Watajifunza kupitia HUMU. Munakasha hawataki wanaogopa hawa. Bidaa haishindi Sunna
Kit
Sasa haya kweli yaonesha wazi niuongo mm mkenya kweli na sina helmu lkn kwahili sijakubali katu, ati mtu ajitie kwenye mji wa kaburi basi hajafa duh kweli Muhammed bachu upo sahihi kwa hilo
assalam alaykum kwakweli mi sijapenda mnacho kifanya mumeacha wasiokuwa waisilamu mumegeukana wenyewe kwa wenyewe mimi binafsi nimeanza kupoteza imani kwenu.shukran Allah atuhifadhi na atuongoze sote
Hakuna malumbano ni kubainishiana haki , acha uislam usafishwe na madudu mengi ya ajabu yaliyoichafua dini yetu kwa muda mrefu ili hata hao wasiokuwa waislam wakija waukute mazingira yamenyooka hata kulingania unatakiwa uanze na familia yako kwanza ndo utoke nje, kwa hiyo acha tuwekane sawa sisi wenyewe kwanza ndo tuwaangalie wasiokuwa waislam
Allaykum salaam, sioni kosa kwa wasio waislam kutothamini uislam, ila ukweli lazima uwe wazi. Utawezaje kuhubiri kwa uongo
Silazima ww upende ila lazima haqq ibainishwe endapo imefichwa
@@badrudinsalum3139 kweli
@@alybinmana6197 kweli
Mzee wa Raddi
WATU WA MATUSI WANABADILI HOJA KSMA KAWAIDA WAKISHINDWA UTETEZI KIELIMU BADALA WAACHE WANAMTUMA SABAASIBUL QUBRA BW.MATUSI HUYO. SHEKHE USIYUMBE KATIKA HOJA ACHANA NAYEYE AONGEE PEKEYAKE. DILI NA HII SHUBHA TU YA MAULIDI YA DIWANI WANATAKA KUKUPOTEZA MALENGO
Huna jipya ww
MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE UTOKE UKO ULIPO TOKA UJE KWENYE HAQ
Hekma ni kukutana ana kwa ana sio kwenye mitandao wasio wa dini yetu wanatuona waislamu wa ovyo Wala hatusapoti njia munazotumia kuelimishana munatuharibia dini
Ehee sasa NDIO Tunataka namna Hii kuwekwa wazi kwasababu hawa wanaosoma hawajui Majanga haya YALIYOMO ndani yake. Yaanikwe yoyoteeeeee
Watu wa maulid mpo kama mashia kwa kweli naona siku hizi mmeanza kuwakataa Allah akunusuruni na uzushi na karibuni kwenye sunnah
Naona sasa mnalumbana mashehe hivi simtawapa nafasi maadui
Hamna malumbano hapo ni kuelimishana tu acha mashekh wasafishe mazingira ukweli ubainishwe watu wajue ukweli ibaki kwao wenyewe kufuata haki au kuendelea kupotea maana hali ya uislam imefikia pabaya sana kiasi ambacho mpaka mambo ya shirki yanaonekana ni ktk dini pia, Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema
Muhammad bacho ajibiwa kisawasawa