Prince unafanya kazi nzuri na kubwa kukuza lugha ya lingala na kiswahili Kwa wana Afrika mashariki, binafsi naomba tafsiri ya wimbo wa General Defao "Famile kikuta"
yaaap, karibu sana ndugu, ombi lako tuna lipata, next week tuta ileta. tunakuomba tu ku subscribe na ku share na wandugu wengine ili kazi yetu isonge mbele.
From TANGA region naomba escart ya extra music together with djodjo ngonda ya wenge BCBG imfikie mwanangu wakweli chalii papaa masanja Silvester kashula a man from mabawa
@@princebockson5299 hii nimeishare kwenye group letu la muziki wa dansi Hua ananismbua sana nimta fsirie hiyo nyimbo, kwakua ninaelewa lingala kidoogo, sasa kama mtu ulie jitoa ni tukisapoti tuu uletw vitu ufike mbali
Kati ya nyimbo kali na nzuri alizoziimba au kuzitunga Werrason hii ni moja wapo 💪😄
naitwa Sylvester kutoka tanzania, naomba nipigie nyimbo ya ferre gola - marathon
Nostlagie.
Prince unafanya kazi nzuri na kubwa kukuza lugha ya lingala na kiswahili Kwa wana Afrika mashariki, binafsi naomba tafsiri ya wimbo wa General Defao "Famile kikuta"
Ufafanuzi was shalai extra musical naitwa meshack mzumbwe
mzumbwe homeboy kabsaaa karibu Mbalizi kaka
Dimka Rumba Matano- Kenya...Fan of Wenge Musica Depuis Carnivore à Nairobi...Je remarcie bcp.
Tunaomba tafisiri ya Julia yake Kofi Olomide ❤❤ tupa nawewe pamoja hatukuachi mm january kutoka 255
48 heures geccco tafsiri hiyo nyimbo jb mpiana mwana Agnes's lusambo geofrey juma senka from tunduma Tanzania papa ya bana
Kazi Nzuri kaka,mi naomba tafsiri ya wimbo Filandu kutoka ktk album hiyo hiyo (Pentagone), I'll feel so happy!.
Naitwa omari rashid niko handeni tanga nakupongeza sana kwa tafsiri za lingala naombanyimbo ya wenge muzikakalai buinge
Tafsili na Ex musika na Bakanja misebo yarubina Bakanja.Naitwa Heney Abel kutoka TANZANIA nakupenda sana
Napenda au naomba tafsiri ya nyimbo ya Jb Mpiana inayoitwa Elga iko kuenye album ya ball de match.
safi sana hii papaa prince bockson, mimi nitaomba tafsiri ya Grace a toi Germain ya JB MPIANA.
Nyimbo ya awilo longomba yamoto pamba tafasiliyake kiswahili.
Nakusikiliza vizuri naitwa Eldrick Gongo la mboto
Ayub Mchinja ....Arusha town...show babkubwa
karibu sana ndugu,
Naomba nyimbo ya wenge b c b g filandu
naitwa Ibrahim Saidi naomba unitafasilie nyimbo ya extra musica patience
Naitwa adolf Niko kyerwa kagera Tz, nimependa sana
Tafisiri wa wimbo wa ndizo izo wa wenge Musica bcbg
Kipindi chako kizuri sana tena sana huu wimbo wewe acha tu
Naitwa omar niko tanga tz nomba wimbo filandu ya wenge bcbg
Jina yangu daudidau tunakupa vizuri tukiwa hapa isirii barabara ya 12th nairobi 🇰🇪 kenya
Naomba wimbo wa wenge bcbg filandu
Nakukubali sana pribce
Nimekukubali prince bockson kwa kazi nzr
Naomba tafsiri ya wimbo wa pepe kale poumon paka bouge
Naomba wimbo wa koffi olomide Affair detat.
Njoo Na PENTAGON yote.
DIZOIZO etc...Tukumbuke Ujana Wetu in 1990s.
Tunaomba tofasiri ya wimbo wa koffi olominde
Jina la wimbo andrada
Naomba tafsri pheuser ya koff
Naitwa Hamisi kutoka Tanzania. Naomba tafsiri ya wimbo rosine wa aurlus mabele
My name is Clovis..napenda wenge musica..nisayidiye translation y "ptocès mambika".merci
Naomba tafsiri ya nyimbo ya la verite
Naitwa mwarabu wakigoma naomba wimbo was mbutarikasu wowote
Naomba tafasiri ya kaukoko kolobo ya Papa wemba
Stephano Gumbo prince naomba Will mutu
Safi sana...mimi naomba la tempete du desert wenge bcbg
Naomba utofasiri wimbo wa defeo,
Upo vizuri sana brother. Ila msizifungie sasa tuna shindwa ku Download
Nimependasaana hiitafisli tupewimbo wa mama Amy. Wakofi
Naomba tafri ya wimbo wa djodjo ngonda
Safi papa naomba tafsiri ya pesa position ya madilu
Prince iko tamu sana
Hongera sana bro & naomba nidondoshee kitu suprise kapangala toka kwa bon chic bon gere Wenge Music BCBG
Bockson niaje pande zako?aiseee naomba siku nishushie albamu ya Luciana la nouvelle generation pls
yes karibu sana naiweka kwenye orodha inakuja. usijali
Kudadadaadeki yaani leo nimepata mbadala wa ZUBERI MSABAHA. Mr. Prince nafurahi kukupata. Nalingi nayekola mingi merci ndeko na ngai
huyu ni SAWA kabsaaa anafaa kuwa mrithi sahihi wa Zuberi Msabaha
Nipo Iringa Tanzania nakupata vizuri naomba tafsiri ya wimbo universite'wa CINDY le Court ft koffi olomide
Kazi nzuri sana anaitwa Gabriel naishi Hull city England mimi ni m tz naomba wimbo wa djino okota utunzi wake King werrason ngiama makanda ingwe
tuna pata ombi lako, lazma tuta ku udumiya. like, share, subscribe ili kazi tu izogeze mbele
Nipo kibaigwa kongwa Dodoma naomba tafsili ya kofii olomide piwawa
Salute you bro God bless your beautiful work… I love Jb Mpiana songs way too much can’t get enough of it.
Tufanyie Dadet sasa… much Love HTown 🇺🇸
Naomba tafsiri ya nyimbo Dizoizo
Asante sana ndugu yangu
Hongera sana
Prince,Mambo Vipi?
Naitwa Emmanuel Nangi,Naomba tafsiri ya wimbo wa Mbilia Bel, unaitwa Ba Gerant ya Mabala
Nafurahi kusikia unavyo tafsiri . Ningependa kupata tafsiri ya wimbo wa VERITE KINUANI .tafadhali
Kombo na ngai Viee Mzee sik'oyo nazo landa vidéo wana donk ná sépéli mpenzá 😃💪
Usiache kucheza mwishoni...tuna enjoy
Mosala nayo ezali monene mpenza,..... Koko Madimba....nzembo kitoko.....Merci mingi ndeko nangai
Tutafsilie feux de l,amour ya JB mpiana
TH JB MPIANA
Kaka umenikosha sana napenda sana bolingo
Upo vizuri
Mc masamaki naomba wimbo wa ferre gola
Hot seben💥🇨🇩🎼
Ahsante sana
vizuri nimekupata kaka
karibu ndugu, tuunge kipindi chetu mkono kisonge mbele
Merci
Roi manitu naomba
Safi sana
Fally ipupa Pepe kalle sarajevo please please
nasikia ombi lako, ila msaada ku share na wandugu wote
Naitwa juma nyimbile
abubakari omari silver
kazi nzuri sana Bro, Tuletee wimbo wa FILANDU ( wa engineer Blaise Bula)
yaaap, karibu sana ndugu, ombi lako tuna lipata, next week tuta ileta. tunakuomba tu ku subscribe na ku share na wandugu wengine ili kazi yetu isonge mbele.
naomba nyimbo werasoni kofi aina
From TANGA region naomba escart ya extra music together with djodjo ngonda ya wenge BCBG imfikie mwanangu wakweli chalii papaa masanja Silvester kashula a man from mabawa
Naitwa Switbert ni mTanzania na kati ya Doha Qatar
NAITWA PAPAA CHINA BISO NA BISO NIPO TZ DSB WEWE PETIT UMENIMALIZA KABISA KWANZA NIMECHELEWA KUKUJUA ASANTE SANA KWA TAFASILI
Nakupata 5/5 mkubwa,Jeanmbeck kabiona.
Daddet ya bcbg wenge musica
Ken kaunda hapa NRB Kenya
Nimekuomba.wimbo wa 48 heures ge coco ya Jean bedell shituka mpiana
tuta ileta next week, msaada waku share na wengine
Your good job
Naitwa skobo nitafslir nyimbo ya werasoni sororabie
Daddet ya wenge prince box
Daddet ya wenge musica
Tupe tafsiri ya Quarante Huit Gecoco(48heures),yake Tshituka Le lder premiere papaa na daida!#papaa prince Bockson Mokonzi ya ndjili🤓🤓🤣💪🇹🇿🇨🇩
ombi ina fika, msaada ku share na wandugu wote ili kazi yetu isonge mbele.
Mzee baba imekaa vizuri sana Mukulu
Asante sanaa, j'aime les chanson de werra
uko vizuri mkuu
UMEKUBALIKA MZEE BABA YAAN ALBUM YA PENTAGONE NI MOTO FIRE SAWA SAWA MKUU.
tuzidi ku rushiya wengine wa ndugu ambao wangipendeleya na wao ku elewa nyimbo za lingala kwa KISWAHILI
Nakubali 🙏🇹🇿
Hebu tulete Danico
You're number one
Tafsiri na nyimbo ya candidat ya mobutu seseko
Djodjo ngonda tayar kwel
Asante sana mkuu
Shukran kaka kwa hii ngoma
Ila bado naomba FALLY "NYOKALESSE" iwe maalum kwa Rafiki yangu CHIED MGWAMI
usiwe na shida, week hii utaipata, ila msaada waku share na wengine ili tupandishe kazi juuu
@@princebockson5299 hii nimeishare kwenye group letu la muziki wa dansi
Hua ananismbua sana nimta fsirie hiyo nyimbo, kwakua ninaelewa lingala kidoogo, sasa kama mtu ulie jitoa ni tukisapoti tuu uletw vitu ufike mbali
Naimba wimbo wa finlandu
M
bisengo
Kaka ntafurahi ukiniletea Mario Mangala ya Fally
Mimi naitwa mbwambo wa tanga naomba tafsiri wimbo wa werrason blandin
Blandine pemba ndo rhumba bora kwa werra son
Hapo sawa mimi naitwa Werrason Sanya Naomba tafsiri ya Werrason "banding"