Bravo mon gars pour les efforts louables et consentis pour nous donner la lumière sur les meilleures chansons surtout en swahili. Encore tu es du bon côté de la bonne musique parce qu'il s'agit de JB Mpiana toujourrrrrrrrrrrrs irremplaçable et dans la qualification totale la thématique et mélancolie dans ses chansons. Toujours
Mi nipo Tanzania naitwa wandwi napenda sana nyimbo zaki kongo kusikiliza nyimbo zakikongo lakini nilikua sielewi wanacho imba umenisaidia sana kaka hongela mungu hakujalie kaka utupe laza heeelengi napenda wasani wazamani nipo mwanza tanzania
Merci Ndeko, traduction nayo eza bien. Mizki yo obetaka na channel awa eza kitoko. Ningependa sana kujiunga na kelasi ya yo ya monoko ya Lingala. Nitafanya namna gani?
Chantal Switzerland ni nyimbo yangu ya kwanza nilitizama wakati niliona TV kwa mara ya kwanza nikiwa mtoto wa 1ere année Primaire. Mara nyingi nililala bila kula kwa sababu ya hiyi nyimbo. Plz niliipenda tangu utotoni bila kuelewa anaimba nini. Naomba tafsiri

Kazi safi Prince Bockson. Naomba unitafsirie Muanetu ya Ndombe Opetum.
Hongera sana boss nimekupata vizuri mno napenda sana lingala
Prince Bokson, safi sana, naomba unipe tafsiri ya wimbo PHYYLY wa DEFAO
Naomba nyimbo mbili za Wenge bcbg,comment shegan,jojo nonda tafsili
Goooooooooooooooooood job Prince Bockson nakuelewa sana bro, niite MTUPOA nipo Yoma Somanda Bariadi Tanzania
Hii ni moja ya nyimo ninazozipenda sana. Kazi nzuri @prince
Umetisha
Kazi nzuri mnoo
Sawa nakupata toka Tanzania 🇹🇿 hebu weka mawasiliano &na mpe salam nyingi sana papa sheriiii & Amida shautor
asante, rushiya hata watu kumi ndugu, najuwa wako wengi wangi tamani ku pata tafsiri za rumba za lingala kwa kiswahili
Good, kazi nzuri
Safi sana mkuu leta vitu vizuri liberation
Am from kenya,nimejua hii channel leo an am very happy.The way you laugh makes me laugh also....good job.Nipe suka na mwana Felix wazekwa
JB mpiana yuko safi ujumbe mzuri
Safi sana! Naomba tafsiri za
1) Titanic - Jb Mpiana & Wenge
2) Respect- Koffi Olomide
3) Tchoutchou - Koffi Olomide
Safi sana, nimeiona nimeenjoii sana
asante, rushiya hata watu kumi ndugu, najuwa wako wengi wangi tamani ku pata tafsiri za rumba za lingala kwa kiswahili
Mambo mazuri Sana, hongera kwa kutujuza
Unanifuraisha sana. Shibe nampendaga sana kwanyimbo Zakehasazarumba.wepandezipi?
Nakupata sana Prince
Nakukubali sna from🇹🇿🇹🇿
Nakupata vilivyo kutoka DARESALAAM Tanzania
So happy to have found this channel, these songs made my childhood. Asante sana, Kilimanjaro Tanzania.
Itakuwa vizuri, ku subscribe kwa iyi Chanel mupya kwa tafsiri zingine ruclips.net/video/whqTHhcFI0A/видео.html
naitwa Rashid bakili. kaz mzur sana mim in mmoja ninae penda sana nyimbo za congo. tafasri ya ndizo izo
Uko sawa jembe.unabamba hatar
safi sana
I am song from Koffi,bibilia interpretation from lingala to Swahili.Chanda from Zambia
Kazi nzuri.... Raha sana
Ila usisahau na ya FERREGOLA POISSON D'VRIL.., usichoke kazi itafika mbali
Nakukubari Sana tuko pamoja
Na uko na sauti ndugu, congrats 👏🎉 KENYA
Papa bana lunda ngoma hii naikubali sana,historia ya wenge utuelezee bwana
Amigo amigo.rafiki Rafiki
Amigo amigo
Rafiki rafiki
Aiseeee sovere premier Prince Bockson wewe ni munomaaaaa
Napenda lingala, naomba kujifunza ndugu
Oza danger ndeko
Mtu wangu Prince naomba tafsiri ya wimbo meilleurs moments wa mzee mzima Ferre gola
Mi nipo Tanzania naitwa wandwi napenda sana nyimbo zaki kongo kusikiliza nyimbo zakikongo lakini nilikua sielewi wanacho imba umenisaidia sana kaka hongela mungu hakujalie kaka utupe laza heeelengi napenda wasani wazamani nipo mwanza tanzania
Natamani kujua lingala sana @PRINCE BOCKSON
Nzur sana kaka prince
Asante sana Bockston kwa kutafsiri
Safi
Asanteee. Kutoka Tanzania.
Somo la kifaransa ni muhimu sana PB. fanya mpango, nasubiri.
Prince Bockson, ndenge nini kaka... Uko bien sana... Naomba Dizoizo ya BCBG kukiswahili
Mwamba nime kukubari sana
Nice period I m in Tanzania
Jeannet mbombole Jb mpiana
Nakupenda sana ila wanaimba portiguese sio espaniche
Naomba tafsire wimbo wa nyboma mwandido lidy
Bockson hata sisi wakongomani wamoja tafsiri zako zinatusaidiya zaidi sisi tunaoishi à l'est du Congo. Courage papa
Asante sana ndugu Gaston, zidi ku partage basi na wengine
Nakubali sana hizi kazi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
Naomba darasa la kifaransa
Haaaaaaaaaaa🤳🤳❤️❤️❤️❤️
Following from Tanzania
Itakuwa vizuri, ku subscribe kwa iyi Chanel mupya kwa tafsiri zingine ruclips.net/video/whqTHhcFI0A/видео.html
Mm naitaji sana niijue hiyo lugha ya lingala
Ni Jesus-Marie Ingabire kutoka Rugombo Burundi. Plz kaka Bockson, naomba tena tafsiri ya Chantal Switzerland kwake Werrason
Naitwa Ally Teta naomba tafsiri ya nyimbo ya Heritier watanabe de luxembourg naipenda sana
good congle Laka
Napenda lingala
Napendezwa sana na kipindi chako
Mm nataka kujitunza lingala
Big up
Mr Bockston ukipata muda naomba utafsiri wimbo wa LE BaRON wa JB Mpiana “”Papa Cheri”
Nasikia butamu sana nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Videos zake tunazionaje hatujawahi kuziona. Original video
Good vibes
Na kuamini sana kaka
Napesi bino mbote mingi bana Kin🇨🇩,, awa na Kati ya Tanzanie🇹🇿
Eza ndege Nini na kati ya tz
@@shylagwadebalima7572 #Toza malamu ndeko,bienvenue🇹🇿🙏🙏
@@suleimanjokoro merci bcp
𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒂𝒌𝒂, 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒉𝒊𝒊
Good jb
Ok
Ya mercibok. For lingala translation!!
🇹🇿 Naitwa Ibrahim nataka kujitunza lingala
Natakujua lingala prence
Amigo ni rafiki wa kiume
Amiga ni rafiki wa kike
Mpenzi sana wa Wenye Musica Bcbg na JP Mpiana
Muda unaenda sana..... Ya heri zamani kila kitu kilikuwa shwari
Or 48 geucoco ya Jb mpiana
Toujour
Hapa umenimaliza hii nyimbo pamoja cavalier solitaire and masuwa ndio napenda zaidi.
good
Hello there mi naomba tafisiri ya liberez yake jb mpiana
Lete kitu DANDY ya king kester emeneya
from Tanzania. Abraham Reginald natamani tu nikutane na wewe uso kwa uso. nipate furaha ya mwisho kabla sijafa.
Tupatie PHILY wa DEFAO
Vreimer vreimer, ya solo nimeipenda sana
Nbockson namba, tafsiri ya wa ferre gola unaitwa Rossignol. Rumba tamu sana hiyoo
usisahu nyimbo ombaa
Or 48 geucoco ya Jb mpiana translation
Or 48 geucco
Jeannet mbombole ya Jb mpiana
Merci Ndeko, traduction nayo eza bien. Mizki yo obetaka na channel awa eza kitoko. Ningependa sana kujiunga na kelasi ya yo ya monoko ya Lingala. Nitafanya namna gani?
Chantal Switzerland ni nyimbo yangu ya kwanza nilitizama wakati niliona TV kwa mara ya kwanza nikiwa mtoto wa 1ere année Primaire. Mara nyingi nililala bila kula kwa sababu ya hiyi nyimbo. Plz niliipenda tangu utotoni bila kuelewa anaimba nini. Naomba tafsiri
Je peux vouloir connaître le lingala. Je suis Nicolas à goma
Naomba wimbo wa lipualipu unaitwa mfueni
Huyo ndio mwanamziki ambaye anajua tukiachana na mambo mengine
Mbote uko vizuri kamanda. Ila ile namba yako ya whatsapp haipatikani
Ndio, siku izi natumiya iyi apa +250791433142, apa uta nipata
Naitwa Antoni Bonifasi naomba tafsiri ya wimbo wa mbilia bel unaitwa frigo
Nataka kujifunza kifansa kaka
Piss Cass wa General Defao
Tufunze na kifaransa
tunapanga kuanza mpango wakufunza kifaransa na lingala, tuta wa ambiya mpango
Mwanza #Tanzania nakupata kama kawa