Najifunza mengi kutoka wimbo huu !Asante sana papa Cheri J.B kwa wimbo wa education.Ndugu zangu malezi mema ni lazima sana katika maisha pamoja na maendeleo
Chef d'œuvre de jb mpiana le maréchal mukulu grand leader charismatique mokonzi ya ba wenge. Félicitations à toi mr l'analyseur tu as fait du bon boulot pour cette belle chanson éducative, même si je ne comprends pas le swahili.
Asante sana. Umetusaidia sisi ambao tumekuwa tunataka kujua tafsiri ya muziki nyingi za Lingala. Mungu akubariki. Tafadhali tafsiri muziki wa Ferre Gola - Melliure Moment.
safi sana... 😂 kuna kipande umesema *kujidoga*😅😅 nimekumbuka vitu vingi sana kupitia lugha uliyo tumia🙏... jamani kujidoga ni neno linalo manisha mtu kuongea akiwa peke yake njiani au sehem ambayo yuko mwenyewe 😂😂😂
Nimempenda huyu jamaa anavyotafsiri pia natamani kjifunza hii lingara maana huwa napenda sana jb na wanamuziki wote wa kongo wanavyoimba nyimbo za kufundisha jamanni
Prince nakupata nikiwa Tanzania mimi ni mpenzi wa Rhumba za kikongo atari kabisa pia napenda kilingala sema tu sikijui mzee piga kazi tunakupenda sana Prince na utafsili nyimbo werrason esclave ya boringo caferoom by afande Frank Raphael wa Tanzania Bukoba
Hongera sana lakini unapaswa utafsiri neno kwa neno,jifunze kwa marehemu Zuberi Msabaha.Usiache wimbo unafika mbali afu unatoa tafsiri fupi.Pia upo vizuri katika lingala lakini kwenye kiswahili haupo vizuri sana,inapelekea kupotosha baadhi ya maneno
Bado ni mimi yule yule tu kutoka Kenya. Nilikuomba mara nyingi unifanyie tafsira ya wimbo wa JB Mpiana, Omba Lumumba. Bado nasubiri na nitakuomba tena ukisahau
JINA LANGU FADHILI NIPO DSM,LELO TIKA NASENGA NA SWAHILI , naomba wimbo wa NO COMMENT SHANGEN wa WENGE MUSICA BCBG obosani nzembo oyo Ndoki nayebisaki yo
J mpiana real african. Many of african musician today don't sing these kind of music. 👋👏
Tafsiri ya Ferre Golla, Home Acoustic na Ba esclaves ya Koffi, tres bien
Najifunza mengi kutoka wimbo huu !Asante sana papa Cheri J.B kwa wimbo wa education.Ndugu zangu malezi mema ni lazima sana katika maisha pamoja na maendeleo
Hongera kwa kutuletea tafsiro ya lingala kwa kiswahili, ila nami nahitaji sana nipate muendelezo wa kujifunza kiringala, kwa hy nipe utaratibu
Thank you Prince Bocson. Nakutafuta kwenye Simu sikupati
Ahsante sana prince Bokson.sasa bado 48 heures he coco
Naipenda hii nyimbo sanaaa inanifundishaaa
Merci beaucoup, ukipata wasaha shusha "I love you ya JB Mpiana Mukulu"
Chef d'œuvre de jb mpiana le maréchal mukulu grand leader charismatique mokonzi ya ba wenge. Félicitations à toi mr l'analyseur tu as fait du bon boulot pour cette belle chanson éducative, même si je ne comprends pas le swahili.
Asante sana. Umetusaidia sisi ambao tumekuwa tunataka kujua tafsiri ya muziki nyingi za Lingala. Mungu akubariki. Tafadhali tafsiri muziki wa Ferre Gola - Melliure Moment.
Merci prince bockson jina langu ni bernard wa Kigali tunataka utupatiye explication ya nyimbo grâce à toi germain na 48hrs za Jb mpiana merci
karibu sana, usijali nitaikuleteya kabisa, tuzidi tu share na wengine tukomalishe jamaa
Merci mon frère kitoko mingi
safi sana... 😂 kuna kipande umesema *kujidoga*😅😅 nimekumbuka vitu vingi sana kupitia lugha uliyo tumia🙏... jamani kujidoga ni neno linalo manisha mtu kuongea akiwa peke yake njiani au sehem ambayo yuko mwenyewe 😂😂😂
Tutafsiriye wimbo wa JB MPIANA 48HRS
Nakukubali sana Mkuu, bonge LA meseji,naomba no comment sheghen ya JP mpiana
Bien a toi, safi sana bado Liberez by Wenge BCBG
Mwanangu nimekukubali sana
Imekaa vizuri sana kutoka Dar es sala
Kazi nzuri
Asante sana sauti nzuri uthathan umeutunga wewe
Nyimbo tatami saaaaana❤❤❤
nyimbo kali sana
Imekaa safi sana
My favourite, Educazo.waaau
Tre bien
Big up sana Kwa Ngoma hii twende na Kinshasa pia
Thanks!. I was waiting for this translation. I love the song.
Tres bien❤
Felicitation frero. Bonne emission
Courage vraiment ndugu felicitation
Vyema
Please ni tafisrie nyimbo ya elegance by Cindy ft koffi nakufatilia nikiwa Kuwait moninga wa ngai.
Mwimbo mzuri
Kutoka Kenya, nakushukuru sana kwa kutafsiri wimbo huu ambao uko na mafunzo bab kubwa! Nimejifuna mengi kweli kutok kwa Papa Cheri, JM Mpiana,
Karibu DRC Congo bwana Tom
@@musangwakabwe5394 asante sana kaka. Mungu akitaka, nitakuja DRC kutembelea na kikutana na marafiki pia
@@tomodera asante sana you're welcome
@@musangwakabwe5394 ambia Prince Bokson atutafirie wimbo wa Ali debs wake Kofi Olomide katika album yake ya Ultimatum, 1997
@@tomodera sawa asante
Bon njour papaa prence boskton ozali bien ngai papaa maziku nakati tabora Tanzania
Traduisez pour moi la chanson mille sourires de ADIOS ALEMBA!svp je patiente
Asante nakukubali sana mkubwa
Naitwa goodluck Ndimbo , umenifurahisha saba. Naomba tafsiri ya nyimbo ya tour eiffer ya wengé bcbg Na champion kapangala
Wakunyumba
@@emanuelndembeka6959 yes Wakunyumba, javai
Naikubari kazi yako je ntapataje mfurulizo wa tafri hizi za congo
Good massage
Asanti sana Jb message kitoko
Merci mingi ndeko tafsiri ya ali Deb's, papa na rossy , desime anime by koffi olomide
Belle analyse mon frère, SVP: femmes africaines Sam Mangwana et Dino Vangu
Mambo ivooo
Umenigusa penyewe 💪💪💪💪💪
Thanks alot
Iko poa sana lingara tuendelee kujifuza
Mohammed kanyasi naomba kwa kiswahili
Huyo ni bingwa congo aliyebaki anaye jua kuimba lumba lenye ujumbe mzuri ila jitahidi kutafasili kwa atua
Bro translate ezau by jb mpiana
Hapo ndiyo penyewe
Nimempenda huyu jamaa anavyotafsiri pia natamani kjifunza hii lingara maana huwa napenda sana jb na wanamuziki wote wa kongo wanavyoimba nyimbo za kufundisha jamanni
Kutoka Arushaaa
Papa tukubali kazi yako sana ila lini na mimi ombilangu litakua kwenye meza yko ya kutafsiri!!!! Nyokaless ya Fally kakaa
tayari nyokalese imesha fika youtube
Kaka nashukuru sana
Ila kaka hebu tufafutie extra musica .... Maana toka nimekua mdau wako hujawagusa hawa watu kabsaa......
nimesha fanya Losambo ya extra
Yes yes ongeza nyingine kaka
Une belle analyse
Natamani sana utafsili th
❤❤❤❤❤❤
Oyaa Mzee Upewe Ulinzi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
asa tupigie nyimbo ya ferre gola - marathon
Na tazama kutoka Uganda, naomba translation ya nobles oblige ya Koffi Olomide
Prince bokson naomba wimbo wa Franco attention asida
Jamani nyimbo za koffi olomide Tunaomba tafsiri zake jamani
Superbe👌
Toujour likolo
Hoyeeeeee daaa nimesikia ombilangu ... Am sorry nili comment kabla sijasikiliza mpka mwisho
Naomba tafasri ya wimbo" la rose vert "kwenye albamu ya Th
Respect to you JB
Naitwa hamisi tafasiri banarunda jb
Yaani sina la kusema leo nimefurahi sana
Asante sana
Prince nakupata nikiwa Tanzania mimi ni mpenzi wa Rhumba za kikongo atari kabisa pia napenda kilingala sema tu sikijui mzee piga kazi tunakupenda sana Prince na utafsili nyimbo werrason esclave ya boringo caferoom by afande Frank Raphael wa Tanzania Bukoba
👌👌👌👌🙏🙏🙏
eyokaniiiiiii
Stino mobi
Hongera sana lakini unapaswa utafsiri neno kwa neno,jifunze kwa marehemu Zuberi Msabaha.Usiache wimbo unafika mbali afu unatoa tafsiri fupi.Pia upo vizuri katika lingala lakini kwenye kiswahili haupo vizuri sana,inapelekea kupotosha baadhi ya maneno
Huyu mwamba namkubali
Naomba tafsili ya wimbo misele wa mayaula mayoni
Misingi bora inatokea chini
Bro tuna subiri translate ya Ezau
Kitoko mingi papaa bockson zambe apambola yooo
Bado ni mimi yule yule tu kutoka Kenya. Nilikuomba mara nyingi unifanyie tafsira ya wimbo wa JB Mpiana, Omba Lumumba. Bado nasubiri na nitakuomba tena ukisahau
ndugu vipi? ivi ni zamu yako next week, wewe zidi ku share mimi sita ku angusha.
@@princebockson5299 poa sana ndugu. Nimefurahi sana kwamba next week nitapata tafsiri ya wimbo Omba Lumumba yake JB Mpiana. Barikiwa sana frere!
Tuko pamoja prince
Tunangoja 48 heurs
Unajitahidi lakini unaiacha nyimbo inaenda umbali mrefu tafsiri fupi
Mimi. Naitwa. Khalfani. Ukipenda. UNGA. UNGAROBO. Unatisha. Mtu. Wangu. Hata. Papa. MUCHINA. Anajuwa. Nipo. Tanga
JINA LANGU FADHILI NIPO DSM,LELO TIKA NASENGA NA SWAHILI , naomba wimbo wa NO COMMENT SHANGEN wa WENGE MUSICA BCBG obosani nzembo oyo Ndoki nayebisaki yo
Hio ni french si lingala
Ni leteye 5eme race yake fally ipupa
Na kotosa baboti mwana saliko ima ima
Iko poa sana lingara tuendelee kujifuza
Jamani nyimbo za koffi olomide Tunaomba tafsiri zake jamani