kazi zake hazina mpinzani. Vizuri sana. Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match. Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Zamu yangu kabisa Prince Boston. Nyimbo kati ya zile nilijifunza kutongoza msichana mpenzi wangu wa 2004. Naipenda sana wimbo huu na album mzima wa Kibuisa Mpipa. Nilijifunza mambo mengi na wimbo huu nikiwa kijana mdogo ingawa leo napata maana yake kwa Kiswahili. Ni mimi yule yule ndugu yako kutoka Kenya. Shukrani sana bro!
Hapa uli koseya kaka.ba oyo ba gagné procès epay Na nga Na mabe oyo Na sala bango te.ni hivi:"hawa wali shinda misambo(mahakama)kwa mabaya ambayo Siku wa tendaya.
Naomba mr wimbo wa werrason randez
Mwamba Prince Bockson naomba tafsiri ya wimbo wa Extra musica Success na denide
Haki poa
kazi zake hazina mpinzani.
Vizuri sana.
Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match.
Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Hello prince Bocson. Naomba tafsiri ya wimbo Matabisi wa zipompapompa
Merci papaa Evans launceston Tasmania Australia
Zamu yangu kabisa Prince Boston. Nyimbo kati ya zile nilijifunza kutongoza msichana mpenzi wangu wa 2004. Naipenda sana wimbo huu na album mzima wa Kibuisa Mpipa. Nilijifunza mambo mengi na wimbo huu nikiwa kijana mdogo ingawa leo napata maana yake kwa Kiswahili. Ni mimi yule yule ndugu yako kutoka Kenya. Shukrani sana bro!
karibu sana, tuzidi ku share nawengine île tupate kuzogeza kazi mbele zaidi ndugu
Vrement
Tuletee Madilu Aminata
Masta, osali musala Kitoko. Koba nango kaka.
Filandu
Kazi nzuuri
Kitoko mpe eleeeengi......
Ahhh! kaka umetugusa kweli kweli... aaah Blandine anatutesa sanaaa! Sante sana ahha!
Pongezi kwa kazi nzuri.Kuwa na moyo huo huo.
🔥🔥 shusha burudani.....
karibu ndugu, tuzidi kurushiya rushiya ndugu wote uko, alafu na mimi nizidi kuwapa burudani
Hiyo wimbo naupenda sana Ahsante sana
Asante kaka kwa kutafsiri nyimbo za Congo naomba wimbo wa kofi olomide mic musisi
Very impressive Exellent iam enjoy
Bro, if You can translate Werrason acoustic, you will become the President.
woow rhumba napata toka Brussels
Ni lazima nitakuja Congo kujifunza Kilingala.. many similarties to Kiswahili..! WABANTU..!
Ruambojr, naomba wimbo Koffi Ayina
Mimi naoba wibo wa madilu pesa posishe I imimi ismail Mohamed kutoka tanzania
Tafsiri ya Koffi Olomide - Inch allah[Fofo le Collegien]
Werrason Ngiama, Ferre Gola, Adjani Sesele, JDT Mulopwe, Aimelia Lias, Bebe Ndombe,Sergi Mabiala
Blandine, koffi ayina na chantal swazland ndo rhumba za werra kali
Naitwa juma wright niko dar essalaam tz naomba ile circle court ya ferregola
Unaweza translate Chantal Switzerland by Igwee Le Roi
brother uko wapi tumemiss tafsiri zako za rumba
Emilia Demingongo ni ndungu na Luciana Demingongo
Endeleza kuporomosha mistari,tuko pamoja.
Kaka me naomba vimbo wa FEREE GOLA " POISSON D'AVRIL.... NINAUPENDA SANA SANA HUU WIMBO
Merci
Mkuu tafuta session kwenye tv/radio please utabamba sana upige tu rhumba na kutuelemisha vitu za lingala
Tafsiri ya la vie wenge musica
Nyimbo yangu iyi kaka apa una nifikisha
asante saana, karibu tena, zidi ku share
Tafsiri ya ever sukali wenge musica
Naipata tafsiri ya wimbo Blandine ni kiwa sehemu fulani nikipata msosi wa ukweli pamoja na washikaji wangu.
Kutoka pande za Rock City Mwanza jiji la miamba na samaki aina ya tilapia nakupata live na rhumba kali kabisa la Blandine
karibu ndugu, tuzidi kurushiya rushiya wengine île tuzidi kukomaa. na wape hi ndugu zangu apo Mwanza
@@princebockson5299 zimefika bro
Nice one
BOSS naweza kupata history ya group la EXTRA MUSIC kuanzia mwanzo hadi likivyo kwasasa kwa Roga roga
Recto verse ya jb
naomba Djodjo NGONDA
Naomba tafsiri ya wimbo wa Ali Debs, Kofi Olomide katika album yake ya Ultimatum mwaka wa 1996. Nitashukuru sana kutoka Kenya. Merci papa
Wewe utakuwa koffi sana kama mimi nicheki kwa namba 0625656665 whatusp nina track nyingi
Hapa uli koseya kaka.ba oyo ba gagné procès epay Na nga Na mabe oyo Na sala bango te.ni hivi:"hawa wali shinda misambo(mahakama)kwa mabaya ambayo Siku wa tendaya.
Tafsiri ya wimbo ton regard werrason
Vraiment napesi yo longonya mingi yo oza mobali
Tafsiri ya surprise kapangala
Elengi
Mayala hapa, wimbo wa Extra musica, HORIZON, tupatie tafsr yake,
Naomba tafsili ya wimbo wa (Diego music).
Wa Fabrigasi na Diplis "Werrason".