Nampenda sana Nyoshi 😂😂😂 Raha ya wakongo hata kama anaishi mazingira mabovu vipi nenda kaangalie nguo zake,viatu,bakora,Kiko,kofia utanyoosha mikono.Wengine wanajiita Sapee kama sikosei.
Napenda kipindi chenu mnafanya vzr sana .. ila ndugu mtangazaji nafatilia sana vipindi vyako ikifika swala la kukaribiswa kinjwaji au kilaji macho yanakutoka unakuwa muoga kweli kweli si useme umefunga tuh
Wacongo kawaida sana wanapenda sana urembo wame kwa wake wanaume wa kikongo ad wanja chini ya macho wanapaka na lipshine na hawanaga story sana za ushoga ....wapo smart
Bongo bana yaani bado mtu anagonga geti kwa mikono kwani wireless bell bado hazijafika bongo?badilikeni walau kiasi nyumba na geti vinaumbali wa mita kazaa halafu unasikia mtu eti hodiii ngongongongo,sio poa,eti bongo Newyork!!newyork haina hata kengele milangoni.
Nampenda sana Nyoshi 😂😂😂 Raha ya wakongo hata kama anaishi mazingira mabovu vipi nenda kaangalie nguo zake,viatu,bakora,Kiko,kofia utanyoosha mikono.Wengine wanajiita Sapee kama sikosei.
Siyi sapeee ni sapeer ama swagger
Sisi wa Congo ni watu ya sifa mingi sana 😂😂😂👍❤️🇨🇩
Wakongo kwakuvaa namba moja duniani
Daaah ivi kweli nyoshi miaka yote ame kaaa tzbado swahili hajuwi!!!
Njo hivyo.. le Prezidan Nyosho 👍🏾👍🏾👍🏾
Yan huyu Kaka kaibusu jezi ya Simba Yan adi nikatama. Nizame kwenye cm nmpe ela 🤣🤣🤣
Huyu msenge ana sifa sana 🙌😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣uyu mzeee kavulugwa ninoma sana minnamiaka 32 natangaza kama nimezeeka kumbe bado sana nimejiskia laa sana kumchek uyu dingi ataki uzee
Iyo samanii anii sardine uko juu nakumbuka congo kbs
Huyu jamaa nimtu saf sana
Napenda wakongo wapo smart na ongea Yao 😅😅❤🎉
Nyoshi ongera 🇨🇩🇨🇩
Mokonzi @Nyosh.......Danger 💥💥💥💥⚡⚡⚡🔥🔥🔥🔥
uko vizuri minakuombea ukumbuke na sadaka ya wale ambao hawana
Napenda kipindi chenu mnafanya vzr sana .. ila ndugu mtangazaji nafatilia sana vipindi vyako ikifika swala la kukaribiswa kinjwaji au kilaji macho yanakutoka unakuwa muoga kweli kweli si useme umefunga tuh
Duuh aisee jamaa nomaa
Daemond akasome huyukiboko
Fresh
Nyoshi mtu safi sana
Ila wakongo kwnyw kuvaa ni nyoko wapo vzr 😂😂😂😂😂
Ila huyu Nyoshi anaonekana ni mtu wakutoa sana ana imani
kabisa nimependa alivomkumbuka na camera wetu
Km umeckia soda pale maji hpa like yko pls
Msisha simple kbs
Aisee Nyoshi Unaweza Mpaka Unaweza Tena 🙌 Pamba na Viatu Kama Vyote 🤭🔥😎🤠
Good ❤
Yupo yupo lakini hayupo 😂😂
Nyoshi yupo poa sana
Ila mtangazaji ukipewa kitu shukuru.....af ulisahau kuuliza nguo ya bei ndogo n ipi na viatu vya bei ndogo n vip...sijapenda😂😂sijaendamkubwa
😂😂😂😂😂 nyoshi 😂😂😂😂😂
Jamani Nyoshi mkaribishe Ndani Mgeni Mbona Mnakaa nje jamani
Mke wake anaishi nje miaka 18 halafu jamaa ana watoto 14 na mama tofauti
Swahili ya wakongo napenda kuwasikilizaga mm😂
Nyoshi Ana watoto 14 mamae,unasaga valvu sana😂😂😂
Nyoshu El Saadat 'Sauti ya Simba'....🤣🤣🤣, Ila Nyoshi mpk Leo hujui kutamka kiswahili, 🤣🤣🤣
Huyu anazo nguo nyingi na viatu vingi sana sio kama kwa Lukamba kuna vijaketi vitatu tu
Jamaa anaonekana n mtu wa watu alafu hana majifuno
Kwenye Mkorogo hapo
Jamaa kakanyagwa kafuta
Anny samaki wakopo huku Lubumbashi 500fc au 100fc😂
Salehe leo amekutana na moto eti hahaaaaa
VAR -machawa wake wa kikongo wanamfuata ili waonekqna
Hao samaki wa Kongo honey mkongo wa samaki huo wanakulisha hao weka tu weke iyo
Ila nmegundua salehe ni muoga Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂mm pia Kwanza hapo kwny samak
Kwenye Sardine fish eti inatoka congo 😅😅
Congo 🇨🇩 ❤😂
Haki huyu jamaa ni special nampenda sana mambo zake hajitupi 😂
Jamnii nKupnda babangu dahh upo n ujasiri sana. Nyoshii
Na hayo mapoda je ni ya wapi halafu nyoshi miaka yote hiyo uliyoishi tanzania kiswahili hujui tu mpk leo
😂😂😂kwa hio na yy kumbe mkorogo anautumia 😅😅😅😅
Wacongo kawaida sana wanapenda sana urembo wame kwa wake wanaume wa kikongo ad wanja chini ya macho wanapaka na lipshine na hawanaga story sana za ushoga ....wapo smart
Sema nyoshi Hana roho safi sana
Wacongo ni kama wahaya wanapenda sifa 😂😂😂
Kupenda Sifa ndo Zao 😂😂😂😂
Versace=vechachi 😂
Kipindi kizuri sema mtangazaji ana wenge kinoma. Ujuaji mwingi nyumbani kwa mtu kama kwake vile...
Sasa utaonaje asipokuwa mpekuz Ila apunguze kidogo chumban
Jordan alivyo vaa alafu yeye ana manguo na viatu km vyote nyie
Nyoshi Hana watoto 14 🙄🙄🙄🙄
Mtangazaji ni mnafk sana kha😂
Wakongo wapenda sifa sana
Kumbe kapanga
Muzee ya verchachi
😂
Jamani huyu swalehe ni mmbea kaa
Elle sadath …🙏
Ninyumba yake ao amepanga?? Samahani kwa hiro swari
😂
👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝
Ikulu Dishi limeota kutu na mazingira ya Ikulu yako byeee
Bongo bana yaani bado mtu anagonga geti kwa mikono kwani wireless bell bado hazijafika bongo?badilikeni walau kiasi nyumba na geti vinaumbali wa mita kazaa halafu unasikia mtu eti hodiii ngongongongo,sio poa,eti bongo Newyork!!newyork haina hata kengele milangoni.
😂😂😂😂😂bado
Napendaga sana kiswahili ya hawa wakongo 😂🤣..