@@stevenkomanya1442 .duh mtanzania mwenzangu watanzania Tupo milioni 63 na ziada hivi unafikiria hakuna mtanzania anayeweza kuziba nafasi ya uwaziri Mkuu?kweli. Hata kama una chuki binafsi tumia basi hata busara kuelewa komenti yangu. Mimi Sina haja ya kuwa na Wala siwezi kuja kuwa waziri hata wa maji ukiacha huo uwaziri Mkuu. Hata udiwani siuwezi/siutaki.ila wapo watanzania wenye uwezo zaidi ..na sizungumzii siasa hapa..maana siasa ni upofu Ngoma Kila mtu uvutia kwake🙏🏿
Yaani kama tungeweza tusiwape kura kabisa ,maana wanongea kwa kiburi ,hawatujali ,wanajijali wao tu, wanajilimbikia mali ili hali sisi tuanakufa na umaskini ,maisha yamekuwa magumu ili hali wanaishi kama malaika . So sad
Nimefatilia story nzima ya mfanyabiashara huyu Ina umiza kiukwel na inakatisha tamaa nikiendelee kuandika kitu naweza nikatukana nikachukuliwa hatua bure 🤬 maana watu kufatilia haki za mtu wagumu ila kufatilia ujinga wepes na wanajua kutu nyoosha ila mungu yupo Ipo siku
Hivi Mama Samia haoni haya,badala ya wafanyabiashara kutiwa moyo na kuwezeshwa wanadidimizwa,inatakiwa wafanyabiashara wanyanyuliwe hata kama ni kwakusamehewa kodi,hili suala linawachafulia CV viongozi wa nchi
Makonda Makonda Makonda nakuita Mara 3 unaona serkali unayo itetea hata imenzarau Makufuli kweli hivi wataenda kwa wananchi utawaambia nini na Juwa Mungu atawalipa nyinyi nyote mulio sababisha umauti wa Ramadhani
Duuu!!? Muha mwenzangu pole sana mungu anawaona ,yan hii nchi sijui kama inaviongozi ,yani mda wote huo hawakumsikiliza ?mpaka anaamua maamuzi magumu hivo!!?mm namuombea kwa mungu hiyo damu iwe juu yao waliomfanyia ushenzi huo na mungu akawalani
Mimi sasa hivi nafundisha watoto wangu jinsi ya kwenda kuishi inchi za watu... Hii ni dunia yetu sote.. hii inchi ni taabu tupu uwe na hela usiwe na hela.
Baba alikuwa na akili sana huyu Tena sana amepambana sana mpaka akachoka amewapa ushindi TRA wezi wakubwa ili wale vizuri pesa zake Pumzika salama Baba laana uliyowaachia sio ndogo. 😢😢
MH. RAIS SAMIA....MH. WAZIRI MKUU....DA U YA MAREHEMU RAMADHANI IKO MIKONONI MWENU....NA WOTE WALIOHUSIKA KWENYE KASHFA YA KUMDHULUMU WA TRA WAWAJIBISHWE! FAMILIA YAKE ILIPWE HAKI YAKE!
Haki ya kweli iko kwa Mungu hivyo pamoja na kuwa kimantiki una haki muombe Mungu kwani wanaosimamia dhamana wengi wao wanajifanya ni miungu watu, wanasahau kuwa yupo Mungu mkuu anaejua mambo yote yaliyo wazi na yaliyo sirini. Maisha yote tumtumaini Mungu wala tusiwatumaini wanadamu ambao nao wako chini ya hukumu. Kweli na haki huwa havifi vinaishi milele ila magumashi (njia za uongo) vina mwisho na mwisho huo ni mbaya. Mungu tutee tutee tutee.
Inaumiza xn 😭😭😭😭😭kwa mtu huyu ukimfatilia mkasa wake Mungu anawaona😭😭😭 hata waziri mkuu yuko ni mmoja wa wahusika kumzurumu ukisikiliza vizuri hii stor
Mama Samia,mana samia,mama samia, jmn Makonda,Makondoka, Makonda jmn Wazir mkuu Wazir mkuu jmn Wazir mkuu nyie ndio viongozi wateteze jmn mfuatilieni huyu baba inaumiza sana tunapinga umaskini lkn bado kumbe kuna watu wanahitaji nchi yetu watu wake wabaki kua maskini 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Eeeh mwenyezimungu uwalipe mabaya wale wote waliochangia kumdhulumu huyu jamaa yani damu yake haitaenda bure ni stress na mawazo kuona familia itaadhirika na ilihali alikua na mtaji wake itawagarimu wote walioshiriki na hawana mda mrefu mungu atawaonyesha wakati wa mungu ni sahihi
Kwanini huwezi sikia mfanyabiashara wa Asia yanawakumba haya , jamaa wanajua maafisa wa ushuru wa TRA wananuka Rushwa kwahiyo hutumia huo mwanya , Ndo utakuta wanao ongoza kuwa mijengo ya Maana Ni wao, Rushwa wanaipata wapi? Kwenye makadirio ya kulipa Kodi, lipa hii au hii , kama huchukui Rushwa vita ya Rushwa huwa Ni nyepesi Saaana tena mno
Ukitaka kujua Wanasiasa wana roho kiasi gani na hawana Nia ya dhati ya kumkwamua Mwananchi wa kawaida atoboe, fuatilia sakata la huyu jamaa tokea mwanzo, utaona unafiki ulioko kwenye Maisha ya watu, utamsikia Mwanasiasa tudumishe Kiswahili na shule zetu mitaala iwe ya Kiswahili kuanzia KG hadi class 7 , Sasa Ni Kiongozi gani anaesomesha mtoto shule za mitaala ya Kiswahili, kama kweli wana Nia ya dhati ya kudumisha Kiswahili mbona Karb watoto wao wote wanasoma international au English medium schools, hili Ni dogo tu , ukiona Mwanasiasa analefanya jambo la maendeleo Ni Ku draw attention tu ili aendelee na kuchaguliwa lakini Nia ya dhati au sera za kulimlinda Mzawa ktk uwekezaji hakuna na kama ziko sakata la huyu Mzee lisingefikia hapa
Ivi viongozi wa nchi yetu hamuoni aibu watu mliowakabidhi kazi hawatendi haki kwa wananchi au hao trą mnagawana nao pesa trą imo mikononi mwa majambazi waziri mkuu mungu anakuona ivi kweli ulishindwa kumsaidia huyu baba mpaka amejiua mnawaogopa wafanyakazi mliowaajiri wenyewe kwa ajili ya rushwa hatuna imani na serikali yenu
Ccm kweli mnavaa nguo zenu mnatembelea v8 mnasababisha kifo cha ntunzwe kisa kudai haki yake innalilahi wainnailah rajiun pumzika Kwa aman 🕯️🕯️🕯️😭🕯️ nch hi inagiza totoro
Kweli wa afrika mwafrika mwezao akiaza kupata mafanikio inakuwa shida ila wengine wa ngozi nyeupe ndio halali kwa mafanikio kweli wakoloni wameondoka ila wamebaki wakoloni uchwara
Kitu Tanzania mnatakiwa mjifunze ambacho wazungu wamekifanya kwa muda mrefu, ni kushirikiana kuwa na kundi la wafanya biashara mnafanya pamoja kitu kimoja (corporate company). One man show mara nyingi utakwama tu hamna kingine unatafuta hapa duniani...utachoka manake unashindana na kundi la wafanya biashara wa kihindi na waarabu ambao ni group. Waafrika hata souz africa bado wanafikiria ku run things alone... hiyo haiwezekani milele ndio maana tunajikuta tuna fikia mwisho huu! Ahsanteni Mungu awape ufunguo wa kuona hilo mapema...
hiyo Bunduki haja itumiaa kwa haki ,ilitakiwa amtafute kwanza alie sababisha iyo hasara ,akafuta theni akaenda kwa yule mwingine ana leta nyodo akafuta ,angefuta watu kama watano hivi. ili hata kwenda mbinguni wangekua safari moja saivi kawaacha hapa duniani wanaendelea kutusumbuaa.
Waziri mkuu ni mmoja ya walio mhujumu huyu mtu kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa kwenye serikali iliyosema huyu mfanyabiashara alipwe.Inaudhi tena inaumiza sana
KWA HAKIKA HAKUSTAHILI KUJIUA.....ALITAKIWA AMWEKE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU MBELE BILA KUJALI HALI YAKE KIUCHUMI.....NA KWA WALIOMDHULUMU WOTE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HATAWAACHA SALAMA....KUANZIA HAPA DUNIANI MPAKA KESHO BAADA YA KIFO!
Waziri mkuu ajiuzulu.kwa Hili naomba mheshimiwa majaliwa ujiuzulu umeshindwa majukumu yako kwa heshima na taadhima mheshimiwa Majaliwa achia ngazi umeshindwa kazi!
Uongoze wewe apo
@@stevenkomanya1442 .duh mtanzania mwenzangu watanzania Tupo milioni 63 na ziada hivi unafikiria hakuna mtanzania anayeweza kuziba nafasi ya uwaziri Mkuu?kweli.
Hata kama una chuki binafsi tumia basi hata busara kuelewa komenti yangu.
Mimi Sina haja ya kuwa na Wala siwezi kuja kuwa waziri hata wa maji ukiacha huo uwaziri Mkuu.
Hata udiwani siuwezi/siutaki.ila wapo watanzania wenye uwezo zaidi ..na sizungumzii siasa hapa..maana siasa ni upofu Ngoma Kila mtu uvutia kwake🙏🏿
Kabisa
Familia yake utailisha wewe
😅😮😮
We mtangazaji unacheka cheka nini kwa swala serious kama hilo. Haileti picha nzuri. Kuwa serious.
Tunashukuru sana Mungu kwa kuweka muda wa kuishi miaka isiyozodi 120 kwa kila mwanadamu ,kuna baadhi ya watu wako Duniani kama wataishi milele ,
Mwenyezi Mungu tujaalie Mwisho mwema
Umeteseka sana umepambana vya kutosha yoyote aliesababisha mpaka uchukuwe maamuzi magumu Mungu atashughulika nae Pumzika kwa Amani
Ujinga wake
❤
Kuna mtanzania kaandike ni ujinga wa Marehem umekosea labda nawewe umedhulumu
@@heritier5119na hujui unachokisema ndo maana ila siku yakikukuta utajua ni ujinga au vipi msongo wa makwazo ni mbaya sana
Wengi tutapotea mjambazi tamaaaaaaa unyaga nyi
Innalillah wainna ilaihi Rajiun 😢😢😢😢😢kaka Rama.. Allah akbar, mungu akurehem.😊😢
Late rais moi alisema, shinda ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Yaani mwafrika mwenzako anakuangisha mpaka umauti. Pole kwa marafiki na familia
duuh kumbee hiii statement ni kutoka kwa Rais Moi ivi eh?
Our legend Daniel toroitich arap moi.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yaani ukiwa masikini mtihani ukisema ujikwamue kimaisha mtihani yaani dah mungu ndie hakimu wa haki atalipa wote mungu alali wala, asinzii
Selikari ya CCM ni majizi 99%
Chama Cha Maharamia
Yaani kama tungeweza tusiwape kura kabisa ,maana wanongea kwa kiburi ,hawatujali ,wanajijali wao tu, wanajilimbikia mali ili hali sisi tuanakufa na umaskini ,maisha yamekuwa magumu ili hali wanaishi kama malaika . So sad
Inaumiza sana,tulippewa dhamana tutimize wajibu wetu
Mungu atakulipia na hao majambazi
Very Sad! Kwanini tunafanya hivi? Akili timamu kweli hawa watu wetu viongozi wetu?
Duuuuh siamin jmn polen sana wadogo zang Sharifu,karmu,najaty najua maumiv mlionayo kumpoteza baba nawapenda na nawamis sana ni mda sasa tumepotezana
Inalillah wa inaillah Rajuuun ,Haki tutaipata siku ya Hukumu Duniani tuishi kwa Tahadhari tu pumzika salama Mzee wetu .🎉🎉🎉😢😢😢
Nimeumia sana nimeishi nae na nimelea watoto wake wakiwa wanaishi urambo mtaa wa majengo ya tabora Allah akuweke pahal pazur
Poleni sana inauma kweli kweli😩😩
Nimefatilia story nzima ya mfanyabiashara huyu Ina umiza kiukwel na inakatisha tamaa nikiendelee kuandika kitu naweza nikatukana nikachukuliwa hatua bure 🤬 maana watu kufatilia haki za mtu wagumu ila kufatilia ujinga wepes na wanajua kutu nyoosha ila mungu yupo Ipo siku
Hivi Mama Samia haoni haya,badala ya wafanyabiashara kutiwa moyo na kuwezeshwa wanadidimizwa,inatakiwa wafanyabiashara wanyanyuliwe hata kama ni kwakusamehewa kodi,hili suala linawachafulia CV viongozi wa nchi
Pole sana hata hivyo mshukuru Mungu bado una afya njema
Allah anajuwa kwanini yametokea ........na hawo ni wakubwa wa hapahapa duniani tu!!!!!! 😅,,,,,yupo mkubwa wa mbingu atawahukum inauma sana
Makonda Makonda Makonda nakuita Mara 3 unaona serkali unayo itetea hata imenzarau Makufuli kweli hivi wataenda kwa wananchi utawaambia nini na Juwa Mungu atawalipa nyinyi nyote mulio sababisha umauti wa Ramadhani
Tena wataanza kuungua hapahapa duniani
Japo kuwa magazeti mnatangaza kuwa amejipiga risasi; nahisi, ameuliwa! Kujipiga risasi ni kisingizio tu!
Tunaomba uchunguzi wa kina na ufanywe na FBI.
Wote walio husika Kudhulumu haki ya huyu Baba Mungu na awahukumu!
Achana na maswala ya Mungu hapa duniani ni vita alitakiwa kuwa maliza mtandao wote .
Mungu kwanza yeye ndiyo analipa kilamtenda mabaya. Duniani na Allhlah
Kamanimtukamuua huyu baba atakiona chamoto sijuiyeye atakufaje mana hatobaki
Unamtoa Mungu embu acha ujinga wewe@@kaaakwakutuliaa5179
Mungu wetu, atawalipia wanyonge, Mungu tunakuomba, tenda
Yaniiii duuu kunakutu siyo bule lala salama mzee pole kwa familia
Duuu!!? Muha mwenzangu pole sana mungu anawaona ,yan hii nchi sijui kama inaviongozi ,yani mda wote huo hawakumsikiliza ?mpaka anaamua maamuzi magumu hivo!!?mm namuombea kwa mungu hiyo damu iwe juu yao waliomfanyia ushenzi huo na mungu akawalani
Alafu watu waje kuleta mitaji yao nchi hii kufanya biashara;mtasubiri sana nchi ya ajabu sana hii.
Walimvuta wakijua watammaliza na watamdhulumu haki yake ..
Ewe mungu tunahurumie.Kiukweli tunahishi kwaneema zamungu tu.Lakini hii nchi inawatu wenye rohoo zaajabu sana pamoja NAKUWA navyeo VIKUBWA mishahara mikubwa wanauwezo wakukopa wakupata chochote ndani yamadaraka yao,lakini unaweza kuteseka mpka ukakataa TAMAA yakuishi.Upumzike Kwaamani shujaa wetu mfanyabiashara uliekuwa unalipa Kodi mlipa Kodi Mtanzania mwema.
Daah inasikitisha sana...am shocked,
MUNGU ailaze roho yake mahala pema Amina
inaumiza huyu Mz. amejipingania haki yake huwezi amini watanzania tunaoneana
Inasikitisha sana .nchi hii inahitaji raisi mwwnye maamuzi magumu kama hayati Magu.tutamkumbuka daima
Mimi sasa hivi nafundisha watoto wangu jinsi ya kwenda kuishi inchi za watu... Hii ni dunia yetu sote.. hii inchi ni taabu tupu uwe na hela usiwe na hela.
Upo sahihi kabisa ndugu..
Wamemdhulum huyu m2 lakini kila alie husika Allah atamhukum hapa hapa duniani na wa2 watashuhudia
sema iyo bunduki hajaitendea haki kabisa ilitakiwa jino kwa jino
Allah awazalil8she wote kamakweri wamemxurumu nafsi yake. Inaumiza sana Ila Munguyupo atawalipa kwani akuna atakae baki
Amin
Amiiin 🙏
Ah wapi
Daa inasikitisha sana!😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Baba alikuwa na akili sana huyu Tena sana amepambana sana mpaka akachoka amewapa ushindi TRA wezi wakubwa ili wale vizuri pesa zake Pumzika salama Baba laana uliyowaachia sio ndogo. 😢😢
Kweli jasho la mtu haliliki wataungua duniani mpaka kwa mwenyezimungu
Allah akurehemu akusamehe iwe umejiuwa au umeuliwa
Daah! Inauma sana 😢😢😢
Makonda makonda unaona Aya madudu ya chama chako kweli waziri mkuu anajua yote Aya mungu anawaona
Huyu majaliwa kwa nini asijiuzulu kwa hichi kilichotokea
MH. RAIS SAMIA....MH. WAZIRI MKUU....DA
U YA MAREHEMU RAMADHANI IKO MIKONONI MWENU....NA WOTE WALIOHUSIKA KWENYE KASHFA YA KUMDHULUMU WA TRA WAWAJIBISHWE! FAMILIA YAKE ILIPWE HAKI YAKE!
Kwakweli inauma sana Mungu akupokee maana kupitia ayo yote akuna anaejua vita uliokua unapigana Mungu ibariki Tanzania.
Mungu na shetani hawapokei mtu aliyejiua
Daaaah inaumiza sanaa
Hamza hamza hamza nimekuita mara 3 tunaitaji watu kama ww mzee asingejiuwa mwenyewe angeenda huko tra awe kama hmza
Lingekuwa jambo jema
Angekufa hata na watu wa tra kama kumi kwakua ana silaha
Haki ya kweli iko kwa Mungu hivyo pamoja na kuwa kimantiki una haki muombe Mungu kwani wanaosimamia dhamana wengi wao wanajifanya ni miungu watu, wanasahau kuwa yupo Mungu mkuu anaejua mambo yote yaliyo wazi na yaliyo sirini.
Maisha yote tumtumaini Mungu wala tusiwatumaini wanadamu ambao nao wako chini ya hukumu.
Kweli na haki huwa havifi vinaishi milele ila magumashi (njia za uongo) vina mwisho na mwisho huo ni mbaya.
Mungu tutee tutee tutee.
Mmmmm inaumaaaaa sanaa
Uko kawaida sana kujipga risasi, tena mungu amekuongaza sana amepgana naww toka 2017 hadi 2024 mungu akuweke mahala salama mzee wangu.
Kwa simulizi yake, ikiwa hakujiua wakati ule, taarifa kuwa kajiua linatia shaka.
Hii nchi ngumu sana hata ufanyeje ni mateso tu
Inaumiza xn 😭😭😭😭😭kwa mtu huyu ukimfatilia mkasa wake Mungu anawaona😭😭😭 hata waziri mkuu yuko ni mmoja wa wahusika kumzurumu ukisikiliza vizuri hii stor
Mama Samia,mana samia,mama samia, jmn Makonda,Makondoka, Makonda jmn Wazir mkuu Wazir mkuu jmn Wazir mkuu nyie ndio viongozi wateteze jmn mfuatilieni huyu baba inaumiza sana tunapinga umaskini lkn bado kumbe kuna watu wanahitaji nchi yetu watu wake wabaki kua maskini 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Alishakufa huyu.amefariki juzi juzi tu inasadikiwa amejipiga risasi😭😭
Eeeh mwenyezimungu uwalipe mabaya wale wote waliochangia kumdhulumu huyu jamaa yani damu yake haitaenda bure ni stress na mawazo kuona familia itaadhirika na ilihali alikua na mtaji wake itawagarimu wote walioshiriki na hawana mda mrefu mungu atawaonyesha wakati wa mungu ni sahihi
Haitoshi
@@smarty1064 Dua tosha hilo yani mwaka huu litajibu kwanza naskia walosababisha kumdhulumu huyo jamaa watu wanasoma albadiri ya dhulma
😮😮
Mungu hatanyamaza kwa hili
Pole kwa familia inauma sana
Nimegundua tanzania kuna mauaji sana Ila ya chini kwa chini 😮 Hujajiua wamekuua mbwaa hao
Kwanini huwezi sikia mfanyabiashara wa Asia yanawakumba haya , jamaa wanajua maafisa wa ushuru wa TRA wananuka Rushwa kwahiyo hutumia huo mwanya , Ndo utakuta wanao ongoza kuwa mijengo ya Maana Ni wao, Rushwa wanaipata wapi? Kwenye makadirio ya kulipa Kodi, lipa hii au hii , kama huchukui Rushwa vita ya Rushwa huwa Ni nyepesi Saaana tena mno
Pole kaka hii selikali hatari
Mtangazaji Uwe na hekima ya kuhoji kulingana na hali ya maudhui ya unachohoji.
Ktk jambo hilo kicheko kitatokea wapi??!!
Laaa inauma sana
Wamemuua hii nchi jaman ishakuwa haina aman hatjazoea hv
🤔wanasema kajiua 😢waongo, wamemuua huyu 😢
Pole sana kaka
Ukitaka kujua Wanasiasa wana roho kiasi gani na hawana Nia ya dhati ya kumkwamua Mwananchi wa kawaida atoboe, fuatilia sakata la huyu jamaa tokea mwanzo, utaona unafiki ulioko kwenye Maisha ya watu, utamsikia Mwanasiasa tudumishe Kiswahili na shule zetu mitaala iwe ya Kiswahili kuanzia KG hadi class 7 , Sasa Ni Kiongozi gani anaesomesha mtoto shule za mitaala ya Kiswahili, kama kweli wana Nia ya dhati ya kudumisha Kiswahili mbona Karb watoto wao wote wanasoma international au English medium schools, hili Ni dogo tu , ukiona Mwanasiasa analefanya jambo la maendeleo Ni Ku draw attention tu ili aendelee na kuchaguliwa lakini Nia ya dhati au sera za kulimlinda Mzawa ktk uwekezaji hakuna na kama ziko sakata la huyu Mzee lisingefikia hapa
Hii nchi ngumu we acha tu 😢😢😢😢😢😢
Pole mungu akuondoleer adhabu ya kaburii
Mungu apokei mtu anaejiua
Ivi viongozi wa nchi yetu hamuoni aibu watu mliowakabidhi kazi hawatendi haki kwa wananchi au hao trą mnagawana nao pesa trą imo mikononi mwa majambazi waziri mkuu mungu anakuona ivi kweli ulishindwa kumsaidia huyu baba mpaka amejiua mnawaogopa wafanyakazi mliowaajiri wenyewe kwa ajili ya rushwa hatuna imani na serikali yenu
Jmn imeniuma kupita kiasi, miaka yote Hii hakuna solution. Dada pia mkewe waliadhirika. Hakika ni wangapi wanapitia Haya🙏🏾
Viongozi au majambazi na wauwaji
@@reginas1832 viongozi ndio majambawazi wakubwa wateuliwa wsuwani yaani ni team
Kumbe jamaa alikuja kujiua?!, very painful!.Hakika damu yake ni juu ya wote walioshindwa kutatua hili jambo lake!.
Mungu atakuinua baba
Kashajiua tayari, ni marehemu. INAUMA SANA😭
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAHI RAAJIUN
HUYU MZEE TAYARI AMESHAFARIKI TAARIFA KUTOKA URAMBO TABORA
Ccm kweli mnavaa nguo zenu mnatembelea v8 mnasababisha kifo cha ntunzwe kisa kudai haki yake innalilahi wainnailah rajiun pumzika Kwa aman 🕯️🕯️🕯️😭🕯️ nch hi inagiza totoro
Kweli wa afrika mwafrika mwezao akiaza kupata mafanikio inakuwa shida ila wengine wa ngozi nyeupe ndio halali kwa mafanikio kweli wakoloni wameondoka ila wamebaki wakoloni uchwara
Inna lillah wa Inna ilayhi raajiun 😭 m kumbe ulijiua mzee wangu!!! Kwaniniiii!!!!!? Imeniuma Sana kwakweli
Kuna kazi ukikosa laana, ni neema tu. Lkn ni lazima
Ndiyo maana hawataki kuleta katiba mpya wanaogopa kushitakiwa
Kitu Tanzania mnatakiwa mjifunze ambacho wazungu wamekifanya kwa muda mrefu, ni kushirikiana kuwa na kundi la wafanya biashara mnafanya pamoja kitu kimoja (corporate company). One man show mara nyingi utakwama tu hamna kingine unatafuta hapa duniani...utachoka manake unashindana na kundi la wafanya biashara wa kihindi na waarabu ambao ni group. Waafrika hata souz africa bado wanafikiria ku run things alone... hiyo haiwezekani milele ndio maana tunajikuta tuna fikia mwisho huu! Ahsanteni Mungu awape ufunguo wa kuona hilo mapema...
Ukiwa mfanya biashara lazima utafute rafiki mkubwa awe polisi na tra
Duuh huyu kauwawa maana mpk kahama jiji kwa usalama wake. Mmh mungu amrehemu huyu baba jamani.
hiyo Bunduki haja itumiaa kwa haki ,ilitakiwa amtafute kwanza alie sababisha iyo hasara ,akafuta theni akaenda kwa yule mwingine ana leta nyodo akafuta ,angefuta watu kama watano hivi. ili hata kwenda mbinguni wangekua safari moja saivi kawaacha hapa duniani wanaendelea kutusumbuaa.
❤❤❤
Mungu akutie nguvu hii ni dhuruma ya wazi
pale TRA angeendq kufanya kama hamza
Una mawazo kama yangu yaani.
Mungu muhukumu wa haki yupo!
TRA ni majambazi, mzee ungeondoka ata na watano tu!.
Nch yetu ni yatima tutapata Rais 2025 ..na wote wanaojiona ni wanyonyaji watanyea debe juani
Waziri mkuu ni mmoja ya walio mhujumu huyu mtu kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa kwenye serikali iliyosema huyu mfanyabiashara alipwe.Inaudhi tena inaumiza sana
Mwandishi wa habali badilisha hio logo ya mailing mbona imechakaa sana inatia aibu😂😂😂😂
KWA HAKIKA HAKUSTAHILI KUJIUA.....ALITAKIWA AMWEKE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU MBELE BILA KUJALI HALI YAKE KIUCHUMI.....NA KWA WALIOMDHULUMU WOTE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HATAWAACHA SALAMA....KUANZIA HAPA DUNIANI MPAKA KESHO BAADA YA KIFO!
Mhe: Rais tunaomba haki ya huyu mtu itendeke hata kama amefariki familia yake ilipwe hizo pesa,
Kabisa
Yaani nyie mliomdhulum huyu baba mungu atahukum mmechangia sana hili laleo
Ni Bora kumtumainia Mungu kuliko wanadamu
Da Mungu atunusuru.
Father hukupata elimu vzr ya skuli lkn uko vzr sana kuliko hao watendaji wa serikali uko brain sana
Laaah Eee Mungu.
Aibu kubwaaaaa Tanzania siyo nchi ya wafanya biashara ila ya wizi ukiwa mwizi utaishi vizuri saaaana
Huyu walimuua, hakujiuwa wanavyosema! Maono Yangu tu!
Hii CCM mnatawala kwa Damu za Wazalendo wa Nchi hii ya Tanzania
😊😊.
Mbn hao police na TRA hawasumbui biashara za akina Moh, Bakhresa na Gsm?
Hvi kweli mliosababisha yoote yaliyomsibu huyu baba mnaami ni kweli mmeumbwa na Mwenyez Mungu
Hawana hofu ya Mungu hawa
Pole ndugu jamani
ccm n serikali yake ndo tatizo la kwanza katika hii nchi
EE MWENYE ENZI MUNGU 😢😢😢😢RIP MPENDWA WETU
Haki ipo kwa mungu
❤🎉