Daaaah! Unajua sana hakika huwa natamani sana siku Moja uje uimbe nyimbo ya Gospel aise unajua sana kaka, pia Sauti Yako kaka imetulia sana, kweli wanaojua ndo hawaonekani ila wasiojua ndo wanabebwa😭😭😭😭
kaka nakukubali sana endelea kupambana unapepelrusha vizuri baendera ya Kanda ya ziwa, mungu akusaidie ufanikiwe najua mziki unachangamoto kubwa ila komaa usife moyo
Congratulations. Freddy good song
Duuuuuuh nyimboo tamuu xnaa jaman nimerudiaa xnaa sichokiii duuuuh malaika wanguu😂❤❤❤❤❤
Unaweza na unaweza Tena 👍👍👍💪
Hii ep ni motoo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Umetisha sana kaka
Nyimbo imeweza WalAi
kiongoz nakupa maua yako👏🤝
Nakubali kaka hujawahi kukosea!
❤❤❤❤Kazi safi bro
Congularion nice job keep on we expect more goods
Big up 🤛 Kaka umetulia.
🎉🎉🎉
Kubali❤
Sina swali tena kwako ,wewe ni 🔥🔥🔥🔥umenifunga🤐🤐🥱
nice hit.......acha tungoje video
🎉🎉🎉🎉
❤malaika Kaz nzr umenikumbusha naandik malaika mwaka 2014
Love the song dear ❤❤❤❤
Every time you made hit bro congz ✅🙏🏻
Ongera dogo kaza xana unaweza
Courage weyenjo number one
hongera Sana Mwamba sisi Kama mashabiki Zako tunataka vitu Vizuri Kama Ivi Nipe NAMBA nikupe soda Mapema 🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🎉💯💯💯💯
Weee ni hatar mkuu
Kali sana❤❤❤❤
Good work 🎉
Many many thanks
❤❤❤❤❤ penzi zitoooooooooo
🎉🎉🎉🎉
Kilo 150kg 😂😂😂❤
Kaka umenikonga moyo san
❤❤ JMN wee kak angu unanikumbush meng jmn malaika wanguu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
My Fav Song❤
🎉🎉🌷
Keep going kijana mdogo 🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Daaaah! Unajua sana hakika huwa natamani sana siku Moja uje uimbe nyimbo ya Gospel aise unajua sana kaka, pia Sauti Yako kaka imetulia sana, kweli wanaojua ndo hawaonekani ila wasiojua ndo wanabebwa😭😭😭😭
Sauti nzuri
Unaweza kaka kutoa ngoma Kali usikate Tama sir good akulinde popote uendapo
Kuimba unajua bro mungu akuweke sana
🎉🎉🎉🎉
at first I thought it was rayvanny. ii Ngoma iko best I'm waiting for another one
Nice one bro
Kutoka na kazi nzurii ya uhu wimbow ntakuzadia vazi maalum Fredy music una hatarii.
Rafiki pamban sana.unaweza. san
Thanks 👍
pga ngoma na bushi tz.itatoka sana
Unajua kaka kuimba
Huyu ndo mrithi wa raivany 🎉🎉🎉🎉🎉
Ooye nimekuwa shabiki ako mpya nipe pongezi😂❤
Sawa kashakupokea hd👍
Thanks brother
🙏🙏🙏🙏kàribu
👍👍
Nakubari fredy nakuona mbali sana one day siku siyo nyingi naamin
❤❤❤very nice and impressive song
Naomben like jmn na mm
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good music much love from Nairobi #dothyartist
Very nice work 💪
Thank you 🙌
@@fredymusictz🎉🎉🎉🎉
👏👏👏👏good job
Oy unatisha brother katika nyimbo zako zote hujawahi niangusha sir God akutangulieeeee🙏🙏🎶🎶
Kazi nzuri 🎉
Kazi safi bro
Naomba like zangu maana wakwanza Leo 😂😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ila huyu Pacho Boy Mbona Mwizii Hivi😢Umetisha Sana Kakaa..Yaani Unyama Sanaa🎉🎉❤
Kazi nzuri kak
Ipo vizuri❤❤❤
Safi
How do I like this a million times akh🎉
Fire fire
Mimi kama Fantastic boy Tz unajua sn kuimba mshikaj wangu
Kijana anajua sana ni 🔥🔥🔥mpelekeni mjini ame qualifyi vigezo
Fundi nakubali kazi yako blood
Na nlijua pacho boy haezi imba ivi ...kumbe ni kuimbiwa
Bro I need your collabo
Ndo mm nashangaa bana, nn ilihappen na huyu @pacho boy
Huu mziki ni moto sana❤❤❤
Hatari kaka continues to fight
Niko Kenya lakini kw hii nyimbo nakubali
Good music 💐🌺🌸🏵️🌻
Unyama
Perfect
🎉🎉🎉🎉
nzur
❤❤❤❤❤
Ni moto malaikaaa ❤💪🤝nic saaaana bro
😢Big up 👆🏿 bro
kaka nakukubali sana endelea kupambana unapepelrusha vizuri baendera ya Kanda ya ziwa, mungu akusaidie ufanikiwe najua mziki unachangamoto kubwa ila komaa usife moyo
nice song
🎉🎉❤🎉❤🎉❤
Kazi nzuri ndugu
🎉🎉🎉🎉
Na vile me hujua hii song n ya pacho boy leo ndo nmejua ukweli wacha nmtafute keshw
😂🤣
Ndio nmeambiwa saiz bna anyway big up brw nmependa kazi yako sana am from kenya bt nmependa kazi yako si unipe number nikue nakusupprt ukiachilia hit
0622020587
Navile ubwa ingine inaringia hii song huku nai hati tunathought ni yake😢
😂🤣
😂🤣
Pacho🤣🤣
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉❤
Hongera sana kaka maana nimeisikiliza zaidi ya mara tatu
Malaika Fredy Music,,,❤
𝑵𝒈𝒐𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒇𝒊 𝒅𝒐𝒈𝒐
Malaika
🔥🔥🔥🌹
Fredy unajua uandish na uimbaj
Mambo vip
💯% kazi Iko powa
Mtu aniambie ule wimbo wa rayvany uko na beat ka za huu wimbo "
Kwel malaikaa
Mzuri sana
C'est MONSEIGNEUR NSOSO tozolandayo nazangate na clip
🎉
Killed
Safii sana
💪💪👍✋
Kumbe hii song niyako kaka na kuna jamaa ameitumia Sana mtandaoni akisema niyake❤
Sema tu pacho
@@mitelpclassic6691 yes🤣🤣🤣 fala huyo jamaa
@@DevibantoTz mjinga yee sana slide kwangu broh watch kazi zangu pia
Hatar
Pacho boy mwizi kumbe
Nlikuwa natafuta hii comment ni ukweli brother 😊
@SheivanToti😂😂😂😂😂-zh9cn
🔥🔥🔥🔥
Nice Song'🎉