huyo kashajikatia tamaa,anatakiwa aombewe, wataalamu kama wameweza kutengeneza dawa ya kufubaza virusi vya ukimwi watashindwa vp kutengeneza kinga dhidi ya watubwalio kwenye hatari kubwa,.
@@yasinipawa7763 huu ugonjwa umeletwa ili wafanye biashara Africa na ndiyo maana hawataki kuleta dawa ya kutibu wanajua watu wakishapona biashara ya Dawa walizotengeneza inaishia hapo.
Jamani mungu tusaidie
Mungu tu saidie
Mungu asimame na sisi sote
Mungu wangu Awabaliki Wataalamu na wagunduzi tulpoteza nguvu kazi ya taifa
munguu.atusadie
Mungu tushike mkono
Bass haya
Mungu saidia
Take time don't just go for it
Dawa hiyo yakuzuiya ukimwi majina yake nini?
it's good but on the other hand it's will lead to more spread of disease. the thing is to take care and abstain
Faith Lagaka that's true dear thanks
Mungu fugua njia vijana wapone ili Kinga iuzwe mdukani vijana wataishaa
Mungu wasaidie walio asilika wapone
Sana roida wee acha tu
Ya kipo kifaa cha kupima Kuna dokta alinielekezaga paka kupima
Kinaitwaje mama
mungu tusaidie
atomi sifa
Is it a basic need?
Je kama umefanya tendo na mtu mwenye ukimwi alafu baada ya wiki ukapima ukakuta hauna ndo utakuwa hauna kabisa au
Unatakiwa ukae mwezi mmoja mpaka mitatu ndio utapata uhakika kuwa umeathirika au laa kwa wiki moja maambukizi hayawezi kuonekana
Inapatikana wapi jamani
Kuna dawa za kiasili na watu wamepona..
Zahra Munir ipi iyo
Zahra Munir plz tell us one of ma best friend need it urgently
Zahra Munir zipi hizo
Zahra Munir waambie na wengine bac wapone
Zahra Munir ,tusaidie basi mpenzi tupone tulee watoto wetu!
Sasa ndo new spreading , soon AIDS to climax. mtajionea.
Vzur ivo dawa vtasaidie
waaaah!!!! csemi kitu
jamn dawa ya ukimwi hakuna dawa yake ni kufa tu
kufa kupo kwa kila mtu
Daniel Mwale safiiiii naona ajui kama kufa kupo ata usipokuwa na ukimw
huyo kashajikatia tamaa,anatakiwa aombewe, wataalamu kama wameweza kutengeneza dawa ya kufubaza virusi vya ukimwi watashindwa vp kutengeneza kinga dhidi ya watubwalio kwenye hatari kubwa,.
@@yasinipawa7763 huu ugonjwa umeletwa ili wafanye biashara Africa na ndiyo maana hawataki kuleta dawa ya kutibu wanajua watu wakishapona biashara ya Dawa walizotengeneza inaishia hapo.
Hata uspokuwa na ukimwi kufa kupo tusiwazarau wezetu