KANUNI ZA KUSOMA BIBILIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 162

  • @bathshebanyaboke7192
    @bathshebanyaboke7192 Год назад +1

    Amen Amen Amen umenena nami mtumishi barikiwa Sana sana kama Kuna kitu nahitaji MUNGU akufanyie n akupe maisha marefu ili uzidi kuponya nafsi za wengi ndilo ombi langu kwa Jina la YESU

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 2 года назад +1

    Bwana YESU na akuzidishie kuishi, amin, unanibariki Sana na umetumiwa na Mungu kunibadirisha sana yaani ubada zenu zinanigusa sana, nami huku huwa nafanya kama niko hapo nikiamini kiroho tupo pamoja, amuna KUBWA kwa utukufu wa MUNGU

  • @desirengenerwasobanuka9015
    @desirengenerwasobanuka9015 2 года назад

    Asante sana mutumishi, leo umenifundisha kitu kikubwa sana katika kusoma neno la Mungu. Ubarikiwe Bwana YESU akuzidishie ufahamu zaidi. I am Desire from Germany 🇩🇪🇩🇪 🇩🇪 🇩🇪.

  • @brendahwekesa8892
    @brendahwekesa8892 2 года назад +6

    Barikiwa sana Apostle , Mafunzo yako yanajenga ,yana bariki na kubadilisha maisha yangu.I was going into Depression ,mwili ikaisha but kwa sasa imeisha,na naona mwili wangu unarudi tangu nianze kufuata mafunzo yako ,Na nina imani mungu anenda kutenda Mengi juu ya maisha yangu.Amen 🙏

  • @fayjeff3651
    @fayjeff3651 Месяц назад

    Amen! Umenitoa mahali mtumishi wa Mungu.Barikiwa sana.

  • @eunicemarugu3595
    @eunicemarugu3595 2 года назад

    Twambie apostle maana uvivu umezidi sikuhizi kuchukua bible ni shida Asante na Mungu atuponye barikiwa sana apostle Mungu akutunze na familia yako

  • @monicajackson106
    @monicajackson106 2 года назад

    Barikiwa Sana mtumishi wa mungu nimejifunza kitu na nimetoka mahali na kwenda viwango vingine

  • @safisimkoko1932
    @safisimkoko1932 2 года назад +3

    Eemwenyezi MUNGU nisaididaima nisomapo nenolako nilielewenakulishika nalitende kazi maishani mwangu katika jina la YESU kristo AMEN

  • @Estherm309
    @Estherm309 2 года назад +4

    I'm Kenya in Arabian but I love your sermon I gain a lot I say thanks you

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 года назад +1

    Asnte mchj,
    Kutukumbusha nguvu ya kunena (matunda ya mdomo kwa neno la Mungu)
    *Imenenwa🔥🔥🔥🔥*

  • @rockymatemba6811
    @rockymatemba6811 2 года назад +3

    Asante mtumish wa Mungu,imekuwa

  • @elizabethaloyce3247
    @elizabethaloyce3247 2 года назад

    Ahsante mtumishi wa Mungu umenitoa kichakani barikiwa sana

  • @maryurassa6502
    @maryurassa6502 2 года назад

    Barikiwa mtumishi wa Mungu.nabarikiwa Sana na mafundisho yako

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +2

    Nakushukuru Mungu Kwa ajili ya mtumishi wako apostle dionis mtalemwa unayemtumia Kwa viwango vya juu sana kutufundisha siri za ufalme wako ,mbariki ,mtunze endelea kumpa mafunuo Kwa ajili yetu watoto wako amen

  • @KeturaKihongosi
    @KeturaKihongosi 10 месяцев назад

    Mungu nashukuru.unajua uliponitoa aposto.ubarikiweubarikiwe no

  • @makoye8388
    @makoye8388 2 года назад

    Namshukuru Mungu Sana leo, nimepata maarifa ya neno la Mungu.🙏🙏

  • @majumamasinde1953
    @majumamasinde1953 2 года назад +3

    Wow chief nilikuwa na hio shida nikianza kusoma hata sielewi nashikwa na usingizi. Nashukuru sana kwa mafundisho nitabatilika

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 2 года назад

    Ahsante sana Apostle leo nimesikiliza na nimejifuza somo zuri sana

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 года назад +2

    Amen nawafuatilia kutoka Saudi Arabia be blessed too

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 2 года назад +4

    Yan Mungu nisaidie hakuna kitu napambana nacho kama nisome neno la Mungu na kuelewa na kulitamka.

  • @skeeter24emma23
    @skeeter24emma23 2 года назад +3

    Amen Chief, kwa kweli sikuwa na maarifa haya, thank you very much, I am blessed, NEEMA YA MUNGU INI WEZESHE, KWA JINA LA YESU.

  • @gracemaleko4167
    @gracemaleko4167 2 года назад +1

    Asante sana Apostle kwa somo la leo,nimejifunza kitu cha kunisaidia sana,God bless

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 года назад

    Ujumbe wangu.shetani nimekutsmbua.toka ktk maisha yangu.

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 2 года назад +3

    Dakika tatu za mwanzo aki Apostle huyo ni mimi,asante kwa somo hili.

  • @christophorajabir3200
    @christophorajabir3200 2 года назад +3

    Barikiwa mtumishi

  • @robinermsigalla9341
    @robinermsigalla9341 2 года назад +2

    Ubarikiwe Sana mtumishi, Somo ni zuri Sana, tumesoma Sana maandiko lakini hatujayafanyia kazi, tunayaacha badala ya kukiri na kuamini maandiko. Barikiwa

  • @denisekatungukarambika2431
    @denisekatungukarambika2431 2 года назад +3

    Thank U alot Apostle. I'm blessed from DRC Goma

  • @jacknicksrepha1553
    @jacknicksrepha1553 2 года назад +2

    Barikiwa mtumishi nimejifunza jinsi ya kusoma bibilia. Sikuwa najua kabisa

  • @palepale7768
    @palepale7768 2 года назад +1

    Ubarikiwe mtumishi nashukuru roho inapona ila usiku hua nasikia kishindo mapaka yanaangukia darini

  • @joannelson1137
    @joannelson1137 2 года назад

    😪😪😪leo nimejifunza kitu kikubwa sana nisichokuwa najua yani🙌🙌🙌 chief apostle Asante mungu baba kwa kutuletea.

  • @henesysolomon8196
    @henesysolomon8196 2 года назад

    Ameen mtumishi nimepata kitu hapo nimejifunza jinsi ya kuomba mungu azidi kumuinua

  • @threzamtenga8727
    @threzamtenga8727 2 года назад

    nakushukuru apostle hakika umenifungua mno mungu akutunze uzidi kutufundisha.

  • @suzanfusi3877
    @suzanfusi3877 2 года назад

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu kwamafundisho mazuri🔥🔥🔥

  • @SusanMwikali-d8v
    @SusanMwikali-d8v 3 месяца назад

    Barikiwa sana Mtumishi Leo umenifungua macho

  • @zainabuhashim6916
    @zainabuhashim6916 2 года назад +2

    Amen, Dady mahubiri nmeyapenda na nimeyaelewa na nitatok hapa nilipo

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 года назад

    Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana mtumishi nìlikua nikisoma bibilia ila sikua nikinena Eeeh mungu nsaidie niweza kunena si kukariri tu

  • @brendanasenya3663
    @brendanasenya3663 2 года назад +2

    Mafundisho mazuri sana,asante mtume

  • @agnes9462
    @agnes9462 2 года назад

    Am so blessed from saudi Arabia I need more God's grace

  • @gamaliellubondo1206
    @gamaliellubondo1206 2 года назад

    Jambo Mutumishi ,na shuku kwa mafundisho . asante kwa Mungu.

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 года назад +2

    Hii sermon ni ya kwangu be blessed

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 2 года назад

    God bless you much Servant of Holy God , I am blessed with your teachings. Thank you.

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 2 года назад +2

    Asante Sana Apostle nimejifunza jambo..may our living God continue protecting you and bless you for us 🙏

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 года назад +2

    UBARIKIWE SANA MTUMISHI.UKO SAHIHI!!!!!NI 🔥🔥🔥

  • @razalophilemon4822
    @razalophilemon4822 2 года назад +1

    Amina, ubalikiwe kwani sitakufa mapema. Mungu amekuongoza umeokoa maisha yangu naMungu akubaliki Sana

  • @christinamwakitalima4267
    @christinamwakitalima4267 2 года назад +1

    Ameen Asante mtumishi wa Mungu kwa mafunuo haya 🙏🙏🙏

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 2 года назад +2

    Amen powerful teaching pst mungu akubariki saana . Watching from Saudi Arabia

  • @MAUREENKNIGHT-qs8cx
    @MAUREENKNIGHT-qs8cx 4 месяца назад

    God bless you man of God 🙏

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 года назад +2

    Napenda jinsi ya kusoma nilikuwa nakosea Sana umeniludisha kwenye kujitambua Tena

  • @Estherm309
    @Estherm309 2 года назад +1

    Amen Amen Amen baba Mimi APA asante kunifunza kusoma

  • @anyigulilemwaigomole3012
    @anyigulilemwaigomole3012 2 года назад +2

    Asante sana my mentor

  • @jacklinemakobella5223
    @jacklinemakobella5223 Год назад

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu

  • @alicekalemela7435
    @alicekalemela7435 2 года назад

    Asante Sana apostle, umenigusa katika sehemu Fulani, I declare I'm a more than a conquerer, every plans of the wicked against my life ,will not stand neither will it come to pass according to Isaiah 7:7. No weapon fashioned against my marriage , ministry, calling, business, career, marriage, family will Prosper according to Isaiah 54:17 in Jesus mighty name. I PREVAIL in Jesus mighty name amen

  • @stellageorge1813
    @stellageorge1813 2 года назад +1

    Hakika Leo nimepata kitu kipya na kinakwenda kubadilisha maisha yangu Mungu akubariki Sana Mtumishi

  • @kajujumary6284
    @kajujumary6284 2 года назад +1

    Always teaching the real word and giving clarifications you made me understand everything.lwill change from today
    GOD BLESS YOU CHIEF APOSTLE.

  • @kamalaeditha5864
    @kamalaeditha5864 2 года назад

    Asante mtumishi nimepata kitu kikubwa hapa naona nimepona kabisa, katika mambo yote napokea mwaka huu. Katika Jina la Yesu Kristo. Ameen

  • @Rose-xv8ym
    @Rose-xv8ym 2 года назад +1

    Mungu akubali sana kwaneno hili mimi nilikuwa nasoma2 nikimaliza kusoma bibilia hiyo itoka nashukulu sana kumbe ukisoma 2 hapohapo unatakiwa kunena ulicho kisoma Mungu akupe maisha malefu ili tujifunze kwako Ameni 🙏

  • @FloridaKinyunyu
    @FloridaKinyunyu Месяц назад

    Nakuelewa San mungu akubark

  • @lydiabrown2664
    @lydiabrown2664 2 года назад +3

    Every time I listen to your Sermon Apostle I get a New Revelation Glory to Jesus Forever I'm happy 🔥🔥🙌👌🇰🇪

    • @titusmutua5678
      @titusmutua5678 2 года назад

      Wonderful revaluation, thanks man of God

  • @elishapipingo2006
    @elishapipingo2006 2 года назад +3

    Amina Sasa nimeelewa

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi 2 года назад

    Amen some nzuri sana

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 9 месяцев назад

    Mungu anisaidie kuanzia leo i reseev I reeeeesev it

  • @annaolomi
    @annaolomi 7 месяцев назад

    Nkweli baba nikama umeniona mm yesu nisaidie

  • @emmanueljonas84
    @emmanueljonas84 2 года назад +2

    Nimekuelewa sana pastor,ni kama vile Kirusi cha HIV,hakifanyi kazi nje ya mwili wa mwanadamu,kinapata nguvu tuu kikiingia ndani

  • @Jehovarohiband
    @Jehovarohiband Год назад

    Mungu akulinde Mtumishi nakukuinua zaidi

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +2

    Napokea neema Kwa jina la YESU

  • @shadrackymangalachuma8779
    @shadrackymangalachuma8779 2 года назад +1

    God bless you apostle

  • @yohanarobert741
    @yohanarobert741 2 года назад

    Ubalikiwe sana mtumishi wa Bwana wa majeshi

  • @japhetmkumbo5561
    @japhetmkumbo5561 2 года назад

    ASANTE my apostle umenifungua

  • @richardpaul5703
    @richardpaul5703 2 года назад

    umenisaidia sana mtumishi kweli kabisa nilikuwa nikisoma nikitaka kuliishi neno zinakuja taarifa napata msg cm ninapigiwa

  • @clausychedy9324
    @clausychedy9324 2 года назад

    Oooh Yes.....asante Sana Chief for this Powerful revelation.....🙏🙏🙏

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 9 месяцев назад

    Hata iwe usiku eeh asante kwa kunifundisha kunena ahaaaa😢😢😢Aaaaamen duh!! Nimeelewa

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 2 года назад

    Inaniingia hiii mzee nashukuru mimi ndo naigwa duh nanunua biblia inabaki pambo ndani nampa mtu nanunua tena inabaki tuuu busy kusoma vitu visivyo na maaana asante baba 😭😭😭😭😭

  • @estinakadinde9344
    @estinakadinde9344 2 года назад +4

    Yaani itabidi tuanze kulipa ada maana sio kwa mafunuo haya

  • @lydiaamazimbi8450
    @lydiaamazimbi8450 2 года назад +1

    Amen,, thnks for this revelation apostle 🙏🙏

  • @BarakaNgobito
    @BarakaNgobito Год назад

    Ningekuwa nasali hapa ningekuwa kiloho Sanaa maana unafundisha kwel kweli mungu akubaliki baba

  • @yohanarobert741
    @yohanarobert741 2 года назад

    Ubalikiwe sana mtumishi

  • @EbenezerAM
    @EbenezerAM 2 года назад

    Asante kwa neno zuri mtumishi wa MUNGU. Mungu amesema nami na kunifundisha
    Nlikua kwenye maombi wiki mbil zilizo pita na nkapata msukumo wa kufanya hivi ulivyo fundisha nkawa nkisoma neno na usiku wa sasita naipokea sikj na kuisemea kulingana na neno la Mungu lilivyo andikwa na nalifanya kua langu na ninatembea nayo kwa siku hiyo nzima nikaona baraka kwenye kazi yangu ya udereva tax (uber&bolt)
    Lakini sasa siku ya ijumaa ya tareh 18 Feb nkafanya kosa nkasoma neno nkaomba lkn nilipo ingia kazini nkakaa na madeleva wenzangu nkanena tofauti kwamba siku sio nzur abilia hamna na kilicho nikuta nlimaliza siku hiyo kwa hasala paka mtaji wa mafuta ukakatika, lakin leo tareh19 Feb nimeona ujumbe huu nimeona nlipokosea jana. Asante kwa neno zuri sito rudia kosa.
    Ubarikiwe.

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 2 года назад +2

    Thank you jesus to teach me 🙏🙏🙏

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 года назад +3

    Thank you Apostle Mtalemwa
    for your teaching, I receive
    every word. Hallelujah 🕊

  • @getrudehenry3634
    @getrudehenry3634 2 года назад +3

    Ni kweli kabisa

  • @RehemaMwambene-f2r
    @RehemaMwambene-f2r 6 месяцев назад

    Amina nimejifunza kwako asante

  • @idatonymassawe
    @idatonymassawe 2 года назад +2

    Blessed much i get revelarion indeed

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +2

    Teach son of Major 1 ,,,,

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 2 года назад +2

    Powerful Baba

  • @Jastus100
    @Jastus100 2 года назад +4

    Somo lina nguvu sana

  • @clairemuchai623
    @clairemuchai623 Год назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @stanleysome3544
    @stanleysome3544 2 года назад

    Amen! Amen! Amen!

  • @sharonwandera4603
    @sharonwandera4603 2 года назад +1

    Thank you so much for this revelation...I've got the key to success though saying the written words into my tongue through prayer immediately after reading...God bless you more.

  • @piusmichael8493
    @piusmichael8493 2 года назад

    Thank you for ur teachings man of God

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 2 года назад +2

    Thank you Apostle 🙏

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 2 месяца назад

    Nimekuelews sana mtumishi

  • @elishajackson4551
    @elishajackson4551 2 года назад

    Asante Sana mtumishi wa MUNGU

  • @pastorkennypauls9486
    @pastorkennypauls9486 2 года назад

    Thank you Verified Bible Teacher, I'm learning sir

  • @FowlerNgwira
    @FowlerNgwira Год назад

    Hapo baba umenisaidia ni Mimi mwanao ktk malawi

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 года назад

    Amen 🙏

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 года назад

    Asante baba 🙏🙏

  • @lazarodoma6666
    @lazarodoma6666 2 года назад

    Nimeamini kweli Mungu hulituma neno ili tupate kupona jamani🙏🙏

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 2 года назад

    Nakupendaga bure baba

  • @Samyugee
    @Samyugee 2 года назад

    Amina 🙏

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 года назад

    Haleluyaaaaa ameeennn nashukuru sana!!!!