Asante sana Apostle kutufundisha mambo ya kuombea tusiyoyagusia kabisa, kutuhubiria ukweli kuhusu kutii sheria zote za Mungu. Mungu anisaidie kujirekebisha. Roho Mtakatifu aendelee kukupa chakula bora kwa ajili ya roho zetu na maisha yetu ya kila siku. I'm blessed
Injili ya utakaso hii ya motooo inachoma nzuri mno.Mungu bariki Watumishi wako wote.Tupe mwisho mwema tukiondoka ulimwenguni tuwe tumekutumikia Kwa bidii ,vizuri,Kwa UTAJIRI ,Kwa Furaha na utakatifu.Kwa YESU kristo.Amina.
Amen, ubarikiwe kwa hili somo Apostle,kuna Mtumishi alisha sema sitakufa kihuni ndio sasa maelewa kumbe nikuomba Mungu anijulishe siku za kuondoka kwangu 🙏
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU EE MUNGU nisàidie sana nimalize salama ili niweze kuurithi uzima wa milele KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
Mtumishi hubiri tu kuhusu dhambi, usiogope kukimbiwa na waumini bali simama imara kwenye nafasi yako. Mwenyezi Mungu Baba Yetu wa Mbinguni azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi.
Harafu hili kanisa la mtalemwa lina mtumishi mzito mwenye akili maarifa maono mazito mm namfwatiliaga sana namuelewa lakin kuna watu niviziwi.hapo sijui kwann namuomba Mungu awafungue masikio watu viziwi mliopo hapo kanisani.tusipone mtandaoni kwA nguvu aliyonayo mtalemwa poneni wasichana mavazi ni ibada kama hamjui.suruali kwA mtoto wa kike ni vazi la kikahaba acheni nyie watu nyumba ya Sara sio nyumba ya makahaba wamama mliopo hapo ponyeni nafsi za mabinti waliopo hapo mbona wameweka mazoea kuingia na kutoka pa.kuogopa hawaogopi
@Lydia-v4e amina na wasifikili kila.kanisa lina mtumishi kama huyu mtalemwa wengine wanatamani wangekuwa na kama huyo ila wao wameweka mazoea lidunia wamefungua nalo
@janengaga2928 nguo fupi.na za kubana hizo ni.nguo zifaliwazo na mashetani watu japo kuna wanadamu wa kawaida wanaiga.maana wengi wao wanakuwa hawajafundishwa kuwa mavazi ni Ibada ila.asilimia wavaao mavazi ya kikahaba miili.ni kava la.binadamu.ndani ni nyoka hata.toba hawana soma.daniel.2.inaonyesha kuwa siku za mwisho mashetani watachanganya nafsi zao na mbegu za wanadamu ila hawatamshinda binadamu ma'ana ndani ya binadamu kuna loho ya Mungu.na damu ya Yesu inamnenea mema ko saizi.tunaishi.na mashetani.watu
Usiongope kusema atakaye toka kwa kanisa kw kuambiwa ukweli watoke, afathali ubaki na watu 20 ujue wako kwa uaminifu, kuliko uwe na maelfu y watu na kuwe hakuna hata watu 3 watakao ingia lango la mbingu,
MEDIA BADILISHE HIZO HEADLINES ZA RANGI ZA DAMU YA MZEE HAZIVUTII KWA CHANEL TUMIENI BLUE BAHARI NA MAANDISHI YA WHITE ILA HIZO ZA RANGI DAMU YA MZEE HAZIVUTII

Thanku Apostle,,, Am blessed to God be the glory,,, it's done I received in Jesus name Amen,,,,
Amen Amen Amen asante mtumishi kwa kutufundisha mambo ya muhimu ya kuombea ambayo tumeyaweka kando b blessed brother apostle
Injili ya utakaso hii ya motooo inachoma nzuri mno.Mungu bariki Watumishi wako wote.Tupe mwisho mwema tukiondoka ulimwenguni tuwe tumekutumikia Kwa bidii ,vizuri,Kwa UTAJIRI ,Kwa Furaha na utakatifu.Kwa YESU kristo.Amina.
Amen, ubarikiwe kwa hili somo Apostle,kuna Mtumishi alisha sema sitakufa kihuni ndio sasa maelewa kumbe nikuomba Mungu anijulishe siku za kuondoka kwangu 🙏
Nakupenda Sana, uwa nataman kua kama yeye( Mungu anijalie sehemu ya roho yake
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU EE MUNGU nisàidie sana nimalize salama ili niweze kuurithi uzima wa milele KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
Am blessed
Be blessed too man of God with long,wealthy and happy life🎉❤
Asante mtumishi wa Mungu 🙏
Mtumishi hubiri tu kuhusu dhambi, usiogope kukimbiwa na waumini bali simama imara kwenye nafasi yako. Mwenyezi Mungu Baba Yetu wa Mbinguni azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi.
This deep asante sana Apostle 🙏
This is real the man of God
He is a real, great and wonderful man of GOD with highest IQ (wisdom)
Amina mtumishi Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kupata ufahamu..
sije kua unatuaga kimpango mtumishi bado twakusubili uje mombasa kenya😢😢😢😢
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Eeee Mwenyezi Mungu unijulishe mwisho wangu
Amen I receive and believe in Jesus Christ Mighty Name Amen Amen Amen Amen
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana.
Amen in JESUS NAME
Nimeaza kukuamin Mungu akubarik sana
Ubarikiwe sanaaa mtu wa Mungu
Harafu hili kanisa la mtalemwa lina mtumishi mzito mwenye akili maarifa maono mazito mm namfwatiliaga sana namuelewa lakin kuna watu niviziwi.hapo sijui kwann namuomba Mungu awafungue masikio watu viziwi mliopo hapo kanisani.tusipone mtandaoni kwA nguvu aliyonayo mtalemwa poneni wasichana mavazi ni ibada kama hamjui.suruali kwA mtoto wa kike ni vazi la kikahaba acheni nyie watu nyumba ya Sara sio nyumba ya makahaba wamama mliopo hapo ponyeni nafsi za mabinti waliopo hapo mbona wameweka mazoea kuingia na kutoka pa.kuogopa hawaogopi
Nguo fupi , na za kubana ,mabega nje ni machukizo Kwa MUNGU.
Kweli kabisa watu wa jinsi hiyo hawatauona ufalme wa mbinguni na mwenye kusikia asijue na akabadilike
@Lydia-v4e amina na wasifikili kila.kanisa lina mtumishi kama huyu mtalemwa wengine wanatamani wangekuwa na kama huyo ila wao wameweka mazoea lidunia wamefungua nalo
@janengaga2928 nguo fupi.na za kubana hizo ni.nguo zifaliwazo na mashetani watu japo kuna wanadamu wa kawaida wanaiga.maana wengi wao wanakuwa hawajafundishwa kuwa mavazi ni Ibada ila.asilimia wavaao mavazi ya kikahaba miili.ni kava la.binadamu.ndani ni nyoka hata.toba hawana soma.daniel.2.inaonyesha kuwa siku za mwisho mashetani watachanganya nafsi zao na mbegu za wanadamu ila hawatamshinda binadamu ma'ana ndani ya binadamu kuna loho ya Mungu.na damu ya Yesu inamnenea mema ko saizi.tunaishi.na mashetani.watu
Baba mtelemwa mimi naku penda tu sana🙆❤️❤️🇨🇩💪💪
Mingu akubarki mtumishiwamu ngu kwmafundisho
❤❤❤❤❤Amina sana übarikiwe mnooo
Amen 🙏 Mungu anipe uelewa wa kuelewa siku ya kuondoka hapa Duniani
I receive all in Jesus Name
Thanks Lord
Ameeen ♥️
Naifunga mauti, premature death haitakuja kabla sijaachia watotot wa watoto wangu uridhi.Mungu niepushe,nilinde na unifiche. Kenya 🇰🇪 is represented
Yes amen barikiwa sana.
Sihami Roman Catholic, Sala ya kuomba kifo chema.
Soma kutoka 20:3-6 zingatia ili utakaswe.
Sitakufaaa mpaka nitakapotimiza kusudi la MUNGU katika maisha yangu
Asante kwa mahubiri mazuri sana
Amen sana
Amen 🙏
Amen
❤❤
Usibebeleze waamini wahumirie waache dhambi usiwafiche dhambi
Ameeen
Leo mm wakwanza
I receive
Najiunga nawe kwenye maimbi
Usiongope kusema atakaye toka kwa kanisa kw kuambiwa ukweli watoke, afathali ubaki na watu 20 ujue wako kwa uaminifu, kuliko uwe na maelfu y watu na kuwe hakuna hata watu 3 watakao ingia lango la mbingu,
Naombeni mnisaidie namba yake
Somo la baraka sana hili,barikiwa mtumishi wa Mungu, more grace to you!
🙏
N imekuelewa sana mchungaji ila madhaifu ya binadamu hali ni ngumu na hata kugomba Kuna neema ya Munhgu
Huyu ni blessed apostle ambaye ni zawadi kubwa sana kwa watanzania
Baba wewe una mungu Na mungu akulide Sana sana❤❤
MEDIA BADILISHE HIZO HEADLINES ZA RANGI ZA DAMU YA MZEE HAZIVUTII KWA CHANEL TUMIENI BLUE BAHARI NA MAANDISHI YA WHITE ILA HIZO ZA RANGI DAMU YA MZEE HAZIVUTII
Apostolic teaching your to much papaaa
❤
Amen
❤❤
❤
❤❤❤❤