Daaa aisee nimeusikia huu wimbo leo. Bonge moja la traki. Nilijua tu lazima uwe ni wa zamani. Maana una huu mziki una VIWANGO ambavyo miziki ya sasa haina. Nyimbo kali sana. Nimeisikia leo tarehe 2/11/2022
The Actor anaekataa shule na kutaka kufanya mziki katika huo wimbo ni Mimi My artist Name is DQ we have Group name called Mobb sellaz na hii ndio ilikua kazi ya kwanza kumtoa Estaam then nifate mimi, but life letu la mziki halikutokea kua na muda mrefu tukapotea, but i wish kurekodi one day, life is interest journey you never know where it take you, TI ft rihanna live your life.
Aliyeisikiliza 2024 gonga like yako apa
Daaah 😢 long time miaka imepita mazeee
Huuu unyama koma sio pw🎉🎉🎉 mauwa yake
This chorus from makamua , was a masterpiece. Mad love from Mississippi ❤🔥
Very good song lyrics
hii ngoma inanipaga sana kmbukumbu bora sana za maisha 2024❤
hiz ndo ngoma tumezaliw tunaziskia sio upuuz wa kisasa hiv daa
Who still listening this song 2023 bonge la ngoma linaishi
Narudia tena kusikila leo 01.07.2024 one of the big track in ma life,mnyamwezi alipasuka vibaya sana aiseee.....
Bonge la wimbo... who still listen in 2022.. gonga like twende sawa....
Noma
Daaa aisee nimeusikia huu wimbo leo. Bonge moja la traki. Nilijua tu lazima uwe ni wa zamani. Maana una huu mziki una VIWANGO ambavyo miziki ya sasa haina. Nyimbo kali sana. Nimeisikia leo tarehe 2/11/2022
Asante sana tafadhali share mara nyingi uniunge bro! Asante
@@lucymusibah8065 haha poapoa Lucy
Ngoma inanikumbusha mbali Sana hii2008 uko daah kweli tunakua tunazeeka
Yeah!kabisa mwanangu ule mwaka 2008 vilitoka vyuma vikali sana
The Actor anaekataa shule na kutaka kufanya mziki katika huo wimbo ni Mimi My artist Name is DQ we have Group name called Mobb sellaz na hii ndio ilikua kazi ya kwanza kumtoa Estaam then nifate mimi, but life letu la mziki halikutokea kua na muda mrefu tukapotea, but i wish kurekodi one day, life is interest journey you never know where it take you, TI ft rihanna live your life.
Aisee Pole sana Na Shukran sana kwa Ufafanuzi huo, vipi Estaam kwasasa Yupo Wapi?
@@BongoZaKitambo55 Estaam yupo town ana biashara zake tu.
samahani ikiwa tafsiri hii sio sahihi kwani siwezi kuandika kwa kiswahili. Estaam ni ndugu yangu
Toka kenya aisee
Hatari kamili
mob love makamua on the chorus mzuka sana
Kiburudisho sahihi. Nasikiliza, natafakari, natafaruku. Maisha marefu sana Bongo fleva 🇰🇪🇹🇿.
Estam yupo wap sasa
Ngoma kali leo hii june 2022 gonga like kama unaisikiliza leo
Thank you share
Nlitafuta huu wimbo Allahamdulilah Leo ndo naupata duh!
Naupenda huu wimbo jamani
Ebwana hili goma halichuji kabisa
Ngoma kali sana
da naukumbuka san huu wiimbo
Duh aiseee
Sikiliza wimbo Kwa makini wewe.. hii pumbu sio poa wahenga
Wakati huo ninaimba kupitia biti zenu du kwer maisha ya zamani.
2023 still hot
Dah MAKAMUA ni kwere alooo
Kitambo sana janan😢😢
😢😢 hatari kk
2008
Skiliza hii stori nakumbuka maisha ya zamani..... so sad
African beat kiss fm way back pale dj jeff jelly pale D7
Hot song since then...still tunausikiliza tunaomba mtuwekee boomplay na platform zingine
Makamua ni noma dah
Duuuuuh ninomaaaa sana
Noma sana
Im still listen this song Viva long live my brother
nakumbuka kitamboo sn kwenye myaka ya 2000
Huo ni uongo bhana.
2008 nyimbo hii
may 2022
Hii Storiii !!!
Diamond
Memerlukan lebih ramai orang jadi sebarkan video ini lebih banyak
Ok
Estaam
Estaaam
2023❤❤
PLEASE HII NYIMBO IRUDIWE UPYA
Umesema kweli
Demand ya mziki wangu
Estaam Uko wapi bro.talent kubwa mno
He's in dar es salaam
yupo singida asee uyu jomba
@@lucymusibah8065 no
Makamuuua
Where's Estaam
He's in Dar es Salaam