Chadema muda huu kunawaka moto Mbowe na Lissu wavutana mashati kiti Cha uwenyeketi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 3 дня назад +15

    Uko vizuri sana endelea kuwaelimisha hao wasio ujua msimamo wa lisu

  • @jojujjokyussa4699
    @jojujjokyussa4699 2 дня назад +1

    Hongereni sana mkuu kwa kuwaelimisha washamba wa siasa.

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 3 дня назад +6

    Tunamtaka Lissu ✅✅✅

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 3 дня назад +5

    Mbowe achia Ngazi vinginevyo utaua Chama. Wamekuchoka sasa huna jipya. Unatabia za Uongo

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 3 дня назад +4

    Lisu wetu Mungu aendelee kukulinda muds wote na wakati wote

  • @Samonhelmane
    @Samonhelmane 3 дня назад +4

    Lisu anatufaa wambie ukweli

  • @piere6250
    @piere6250 3 дня назад +2

    Safi sana wewe ni nani unaongea vizuri sana hivyo

  • @MrMwinyi
    @MrMwinyi 3 дня назад +3

    Safiii.... maelezo yameenda shule, facts baada ya facts

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 дня назад +5

    Mbowe kaua chama chake mwenyewe.mbona miaka yote mbona hakuai kugombea hivi na watu walikuwepo wagombea wengine.na halisema hagombei tena leo vp tena kugeuka kagame na mgabe msevem.mjinga mno mno.

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 2 дня назад +1

    Mkitaka kukiponya hiki chama tuendelee kuwapigia kura mpeni lisu uwenyekiti

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 День назад

    Lisu ni yeyeeee🎉🎉🎉

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 2 дня назад +1

    Tofauuti napo chadema inaenda kupoteza umarufu. Mwambieni mboe apumzike.mbona sasa anashaurigi kungoa ccm madara madarakani wakati mwenyewe ataki kuachia uwenyekiti jamani

  • @EmanuelKalolo
    @EmanuelKalolo 3 дня назад +5

    Lisu ndo anafaa

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 дня назад +3

    Haiingii akilini unasema vizuri,ni upuuzi kweli

  • @VedastusMabina
    @VedastusMabina 3 дня назад +5

    Uko vizuri jamaa

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 дня назад +4

    Mbowe amelikoroga mwenyewe

  • @festomartin6170
    @festomartin6170 3 дня назад +1

    Tutakuwa na Lissu milele,, hiyo nafasi yeyote anaweza kugombea,, acheni upuuzi,,, unahubiri kuondokana na dictatorship hata wewe una practice huo upuuzi

  • @hamisisalum6116
    @hamisisalum6116 3 дня назад +2

    Siyo ukweli, ni kiboko yako wewe na wenzio.
    Mbowe asidharauliwe, ule ni mwamba uliovuka misukosuko iliyowafanya wengine kukimbia nchi lakini yeye alibaki nyakati zote.

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 3 дня назад +1

    Wakati nikiwa mdogo nilikua mjinga nilifikiri nNyrere ndio anafaa kua rais pekee kumbe kuna watu wana mzidi akili na hata Mbowe akiondoka CHADEMA kuna watu wanaweza kua mwenyekiti

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 3 дня назад +3

    😂😂😂😂😂 jiwe juu ya mawe

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 дня назад +3

    Nakuunga mkono 100%.

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 дня назад +1

    Chama hakiedeshwi na akili ya mtu mmoja. It's a collective effort kupitia vikao vya chama. Kama ni kuwa na mkakati mbadala, wajumbe lazima wazungumze katika vikao. Haingii akilini kama Chadema imefika hapo kwa akili ya Mwenyekiti peke yake.

  • @7stianPius
    @7stianPius 3 дня назад +1

    mbowe hana jipya kwa kifupi,kinachotakiwa achie kiti tu,tunataka change

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 3 дня назад +2

    Lisu 🎉🎉

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 дня назад +1

    Lisu ni mtu sahihi

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 3 дня назад +1

    Lisu ni mwenye utulivu knowledge enough
    MUNGU mlinde Lisuuu

  • @SamsonLegembo
    @SamsonLegembo 2 дня назад +1

    Mwingine wa kwao 😂😂😂

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 дня назад +1

    CCM kwa kweli nimewakubali. Duniani kote : Kenya, Msumbiji, Uganda, Georgia, Malawi, Iran, Syria, Libya, Sudan, Somalia, Uturuki, Korea Kusini nk. waje wajifunze CCM namna ya kusambaratisha upinzani "kisayansi". Kuna jamaa mmoja aliwahi nichekesha akasema CCM ikibidi inatumia hata uchawi! CHADEMA mjitafakari, kikulacho ki nguoni mwako! Na vita mnayopigwa ni kuu kwani ndo chama pekee mliobaki na wenye utashi na nguvu kisiasa tegemeo la mwisho la kuwakwamua watanzania wanyomge.

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 2 дня назад +1

    Mbowe akubali apumzije tu kwa amani anakula pesa za chama halaf anasema amechangia mkutano kamati mkuu

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 дня назад +1

    Kila habari na media yake. Huyu asemae kunawaka moto Mimi Niko jirani sjaona moto

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 3 дня назад +3

    Lisu

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 2 дня назад +1

    Bilaivo tupeni wanachi wakawaida kupiga kura kama mboe ambuli sifuri

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 дня назад +1

    Shetani alikuwa malaika mkuu mbinguni alifikia mahali kujiona hakuna malaika mwingine anayeweza kushika wadhifa wake sio Hilo tu pia alifikia kutamani kushika wadhifa wa Mungu akafukuzwa hivyo mbowe apumzike lisu ashike nafasi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +3

    Tunamtaka lisu bana

  • @ElizabethSimon-y6x
    @ElizabethSimon-y6x 2 часа назад

    xana lisu xema ukweli. Toka Cha dema it aze kwa nn hambadilixhi mngombea m/ykit tumechoka na mbowe

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +2

    Maandamano mwaka mzima ni lazima mpk tume iwe huru. Mafisi mezoea kuiba kura

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 дня назад +3

    Haliwaita watu het wamemwomba watu walikutana wap wakuombe mbowe kwa lipi.

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 3 дня назад +1

    Unaongea kwa vile una mdomo wa kuongea. Unaongea kama nani cdm? Umechangia nini cdm. Una perepeche mingi sana. Acha kura za wanachama zizungumze si maneno na mtizamo wako. Lisu ana haki kugombea Mbowe ana haki kugombea. Ni swala democrasia. Aliye fokewa ni nani? Huo ni uchochezi.

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 3 дня назад +1

    Tunamtaka Lisuu

  • @huyu1993
    @huyu1993 3 дня назад +1

    Naona mmeshiba amani na ndio maana mnang"ang"ania mwenyekiti mpya ila siku kikiwaka mtakuja kujuta

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 3 дня назад +1

    Kwani mbowe anatofauti gani na akina kagame, mseven, ata akina mugabe , gaddafi, assad na wengine wengi tu.
    Ni kifo tu kitawaondoa madarakani

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 3 дня назад +1

    Lisu hapana arudishe familia yake

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 дня назад

    Lisu hawezi kuongoza watu kwa tabia zake atavuruga nchi na chama. Alikuwa mgonjwa hospitali, makamu miaka 5, mbea sana. Utaona Lisu akichaguliwa chadema ni by by. Nguvu ya kuongoza Hana ni makele ya Bure kabisa. Mtaona ninayo waambia.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 дня назад +1

    Tunataka lissu

  • @Georgemselyamwaluko
    @Georgemselyamwaluko 3 дня назад +2

    Lisu anatosha

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 дня назад +2

    Maamuzi ya chama ni baada ya kamati kuu kuketi,siyo Mbowe pekee,yeyote ataeshika nafasi maanake atashirikiana na kamati ya chama siyo binafsi.

    • @josephmuna2015
      @josephmuna2015 3 дня назад +2

      Endapo Kila jambo ni kamati kuu, kwa nini basi cheo Cha mwenyekiti ni agenda kubwa sasa. Kwa nini rais wa nchi lazima awe mwenyekiti wa chama, naomba nisaidie nielewe.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +1

    Mafisiemu mditudanganye eti. Kikinuka mpite kule

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 дня назад +1

    Kila mtu ana haki ya kugombea

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 3 дня назад +1

    Sawa kabisa

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 3 дня назад +4

    Sawa kamanda usiache kutoa elimu Kwa wajinga wanaosema eti Mbowe Bado wanamhitaji hivi leo hii unamhitaji Mbowe Kwa lipi atakuwa na jipya Gani?

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 дня назад +1

    Anayeongea nani? Lini? Wapi? Na kwenye jukwaa gani?

  • @MalekanMtambo
    @MalekanMtambo 3 дня назад +1

    10:13

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 3 дня назад +1

    Wewe ni mjinga

  • @salummakadi311
    @salummakadi311 3 дня назад

    Tumechoka na upuuzi wa chadema mtaendelea kulumbana bila kupata muafaka kwa sababu vichwa na akili zenu zipo Kama za nyumbu MNAJUA WAZI KUWA LISU MAMLUKI TENA ANAURAIA WA NCHI MBILI MKIMPA UENYEKITI BASI MJUE MTAPIGANA NA DUGU ZENU NA KUTOANA DAMU NA MAUAJI NI LAZIMA

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 3 дня назад +3

    HUYO TUNDULISSU WAKO ANA DEGE DEGE HAFAI KUWA KIONGOZI MKUU CHADEMA ZIRO HIKMA WALA BUSARA ATAKIUWA CHAMA AKATAFUTE CHAMA CHAKE

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 3 дня назад +1

      Imekuuma mwamba kakugonga kwwnye mshono, mara hii mpaka kieleweke. Akingangania lichama linamfia. Nyangau

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 2 дня назад

    Huwa siku zote huitaji watu wenye kusema ukweli kama wewe

  • @KadhiMrisho-sb2uc
    @KadhiMrisho-sb2uc 3 дня назад

    fuateni chama cha ccm kuachiana madaraka

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 дня назад +1

    Mtanange bado unaendelea

  • @tonnyojambo1731
    @tonnyojambo1731 3 дня назад +1

    Kiboko yako wewe tu

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 3 дня назад +1

    Hii

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 3 дня назад

    Elimu makini

    • @gdafa766
      @gdafa766 2 дня назад +1

      Tim mbowe msijibu lolote

  • @songeza
    @songeza День назад

    Tatzo lenu Chadema akili zenu moja ukisema wajinga we ndio mjinga namba Moja na mwisho yeye ndiye atawajiri kweli we hamna kichwani. Shida wahuni we ni muhuni namba moja we ni mfuasi wa Lissu hicho kituwangekaa kikao Wala msingeanza malubano bayana kama hayo nakuwaita watu wajinga Tena wewe ni mjinga na usidhani akipata Lissu we atakupa cheong'oo

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 3 дня назад +3

    Bola aje mwabukusi agombee kuliko lissu

  • @Mkopi-TZ
    @Mkopi-TZ 3 дня назад +1

    Hakuna serikali duniani inaweza kuwapatia vijana wote walomaliza kusoma ajira
    Serikali inaweka mazingira mazuri ya uchumi ili vijana wajiajiri kwa uwezo wao
    Inaonesha CHADEMA hawajamuelewa MBOWE
    Lissu will run CHADEMA to the ground
    WATCH!!!

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 3 дня назад

      Miaka 20 😂 anambwela mbwela tu hebu apishe na wengine

    • @masijamajogoro7231
      @masijamajogoro7231 3 дня назад

      Hujui ukisemacho. Kanye ulale

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дня назад

      KUNYA NI AFYA KAMA HUJUI, WASIO KUNYA LAZIMA AKAMWONE DAKTARI. Ongea mambo ya maana!!!

    • @Mkopi-TZ
      @Mkopi-TZ 3 дня назад

      Acha ushoga!!
      Shujaa wa online

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 3 дня назад +2

    Lisu ataleta machafuko nayeye atasepa ilipo familia yake ubeligiji,lisu anauraia wa nchi mbili,halafu anatafuta kulipa kisasi baada ya kupigwa risasi

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila 3 дня назад +1

    Kwani lazima useme maneno hayo ya shombo upumbavu na ujinga ,upiuzi ,maneno hayo yakikurudia utasema sio ustaaeabu kuku ww

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 3 дня назад +1

    Lisu ataleta maandamano mwaka mzima maana yeye sio kiongozi bali anajiita mwana harakati

    • @Mkopi-TZ
      @Mkopi-TZ 3 дня назад

      Good luck with that!!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +3

    Tunamtaka lisu bana

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 3 дня назад +2

    Lisu

  • @masijamajogoro7231
    @masijamajogoro7231 3 дня назад

    Lisu

  • @AbuubakariKanuti
    @AbuubakariKanuti 3 дня назад

    Lisu

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 2 дня назад

      Mbowe kasema ataachia kiti akifikisha miaka 65 so sera yake ni kufikisha miaka 65 kama watangulizi wake very low thinking capacity