BILA UOGA WAKILI MADELEKA AMKATAA MBOWE ''AMESHAFANYA YOTE KAMA KIONGOZI LAKINI IMEFIKIA MWISHO''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 36

  • @saimonkalihamwe5358
    @saimonkalihamwe5358 2 дня назад +3

    Wakili Madereka hongera KWA ufafanuzi nzuri wa kisomi na wa kizalendo, umenyooka big up kwako

  • @RichardMkamilo-o7z
    @RichardMkamilo-o7z 3 дня назад +5

    Wakili Mungu akubariki na kukulinda sana

  • @amanimushi4052
    @amanimushi4052 День назад +2

    Mtyu makini sana wakili ✊🏾

  • @rogersiddy
    @rogersiddy День назад +3

    Sichoki kukusikiliza kbsaa hata kama ingekuwa siku nzima nitaitafuta wk end moja nitasikiliza tu nielimike zaidi🤝🫡🙏👏👏👏

  • @juliusmalanga7185
    @juliusmalanga7185 День назад +1

    Honestly mweshimiwa mboye ukutakiwa kuchukuwa form mana. You have done your best let's have another chairman we are in the same race conquering ccm

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 День назад +1

    Sahihi kabisa

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 3 дня назад +3

    Safi umeongea vizuri ili Chama kipone Mbowe apumzike

  • @edwardkongo410
    @edwardkongo410 2 дня назад +2

    Huyu mpeni hata kata moja tu tuone yeye atafanya nini, huyu mdomo tu hakuna lolote

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 3 дня назад +4

    Safi wakiri msomi huyu mbowe ni shida aondoke tuuuuuuuuuuu aendeeee

  • @HassanHamis-i9b
    @HassanHamis-i9b 23 часа назад

    Asante msomi uko sawa atoke mseveni wa chadema hatumtaki

  • @hassanally3347
    @hassanally3347 3 дня назад +2

    Nimejifunza kitu muandish mdogo sana kwa mwanasheria anazidiwa

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 дня назад +1

    True master

  • @JeremiahMakeseni
    @JeremiahMakeseni 3 дня назад +2

    Hogera sana wawili madereka Kwa majibu sahihi

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 3 дня назад +2

    Viko hivi kwa hiki anachokifanya mbowe mi namsauri hiviafaye mikutano kanda ya victoria na serengeti mkutano wake ukijaza watu mia mbili basi mwamba labda wakifika mia na amsini basi watakuwa wanaccm

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 2 дня назад +1

    Eshima kwako wakili

  • @HassanHamis-i9b
    @HassanHamis-i9b 23 часа назад

    Asante msomi uko sawa atoke mseveni wa chadema hatumtaki 😅

  • @benderakashindi3834
    @benderakashindi3834 День назад

    In Africa, there is Lissu in tanzania, Malema in South Africa and Traore in Burkinafaso, these three guys if they should be come president all at the same time, Africa should be on fire.
    They all aways say truth and they never lean against stupid things.
    Let us support lisu always because he is a hero. If he wins , CCM ita hacha ujinga. MBOwe= CCM. He is nothing.
    Please fight for democracy in Tanzania.

  • @martinomwakyusa8184
    @martinomwakyusa8184 3 дня назад +1

    Mwandishi kuna kitu kinaendelea kati yake yeye na mbowe

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 2 дня назад

    Mbowe king'ang'anizi pumzika Mzee ulinde heshima yako

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 17 часов назад

    Napendekeza Mh Mbowe ajiuzilu ili ajenge heshima ndani ya chama na nje. Ni miaka mingi ni mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Waachie wengine tuone Radha mpya. Kaa pembeni na wewe upate uzoefu kwa wenzio.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 3 дня назад +1

    Kweli hana jipya

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g День назад

    Daaaaah
    Kama kuna wasomi wanaopaswa kuwasikiliza basi kaka Madereka wewe unafaa kusikilizwa. Na hapa naongezea kusema Freeman MBOWE amekosea sana kugombea kwa mara nyingine.
    Alipaswa astaafu kwa amani.

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 День назад

    Sawa kabisa kamanda wewe unaongea navohitaji kusikia, naamini nchi yetu ikiwa na watu wasomi kama huyu Tanzania tungekuwa mbali sana.

  • @hamisndusu3625
    @hamisndusu3625 2 дня назад +1

    Nyie kelele za nini sasa uchaguz ufike tuone kwenye box la kura

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 2 дня назад

      Boksi la kura ulilowahi kuliona lenye matokeo ya kweli uliliiona wapi ?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 10 часов назад

    Wafanya biashara nao wanasema nini juu ya Mbowe?

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 3 дня назад

    asante wakili madeleka

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 День назад

    Madeleka😂😂

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 3 дня назад

    Tunaitaji wanasiasa kama wakina Mandela ndio tutaitoa ccm

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u 2 дня назад

    We wakili hivi nyie sasa hivi hamuikagi demo ? Na katiba yenu? Sasa hivi hamtupelembi.

  • @Nanga-t6y
    @Nanga-t6y 3 дня назад

    Hii Mbowe haijui democracy ndo nini. Malingo tu. Hata Mo hana Hilo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 дня назад

    Ni kweli kafanya kila kitu amefikia mwisho kwahiyo aachwe tu chama kife wakati kuna watu aliowatengeneza wanaweza kuongezea kitu kwann asiwaamini? Yaani Mbowe ni mbinafsi anahisi akiachia chama atafilisika lkn hataki mtu afanye kumzidi kwamba atamshushia heshima. Kumbe Lissu na Slaa wangeshinda Uraisi Mbowe angetaka cheo cha kujipangia au angesubiria kuteuliwa?

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 3 дня назад +1

    Panya hii cjui kama iko vizur kichwan.. wakili uchwala

    • @w4058
      @w4058 3 дня назад +1

      Heko wakili wetu msomi uko vyema sana endelea kuwaelimisha matozobi wanaoujuwa ukweli wakajifanya hamnazo

    • @AhmadYahyaMtanga
      @AhmadYahyaMtanga 2 дня назад

      Wewe ulipoteza nini acheni siasa za majungu na chuki

  • @dicksonkyando8989
    @dicksonkyando8989 День назад

    Demokrasia ni mfumo ulioshindwa kabisa Afrika. Tuachane nao.