Paul Clement Ft Bella Kombo - Mwema (Official Music Video) SKIZA CODE 7638660

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 авг 2020
  • Wimbo huu wote umeandikwa na PAUL CLEMENT na kuimbwa na PAUL CLEMENT akiwa amemhirikisha BELLA KOMBO
    Song written by PAUL CLEMENT
    Song arrangement by ELISHA KORG
    Lead guitar by EMMANUEL GRIPA
    Drums by BARAKA NGOWI
    Bass by SAMUEL MODEST
    Producer: Taz Goemi
    Mixing &Mastering: Taz Goemi
    For Fisher records.
    Video by YOTHAM LYOBHA
    Instagram @minister_paulclement
    Facebook Paul Clement
    MWEMA Lyrics
    Verse 1 (Paul Clement)
    Wema wako si kwa wakati wa furaha tu,
    Wema wako pia wakati
    Hata wa machozi,
    Wema wako haupimiki
    Kwa majira fulani tu,
    Wema wako ni kila wakati na kila nyakati,
    Hata sasa ni Mwema
    Tunapoimba ni Mwema,
    Tunapolia ni Mwema
    Tunapo cheka ni Mwema,
    Tunapopanda ni Mwema
    Tunapovuna ni Mwema,
    CHOURUS
    Wewe ni Mwema
    Umwemaaaa
    Wewe ni Mwema
    Unatupenda,unatupenda
    Wewe ni Mwema.
    Verse 2 (Bella kombo)
    Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu,
    Wema wako ni kama maji
    Yanayomiminika bila kukoma,
    Mtu akinge ama asikinge
    Hayataacha kutoka,
    Hata sasa ni Mwema,
    Tunapoimba ni Mwema,
    Tunapolia ni Mwema
    Tunapo cheka ni Mwema
    CHOURUS
    Wewe ni Mwema
    Umwemaaa
    Wewe ni Mwema,
    Unatupenda,unatupenda
    Wewe ni Mwema.
    Your goodness, is not only in good times
    Your goodness is also seen in times of grief
    Your goodness is not only measured in certain seasons
    Your goodness is in every moment and in every season
    Even now You are good
    As we sing, You are good
    As we cry, You are good
    As we laugh, You are good
    As we sow, You are good
    As we harvest, You are good.
    Chorus
    You are good
    You are good
    You are good
    Your goodness is like the sand, it cannot be counted
    Your goodness is like running water that flows endlessly
    Whether or not somebody fetches, it never ceases to flow
    Even now, You are good
    As we sing, You are good
    As we cry, You are good
    As we laugh, You are good
    As we sow, You are good
    As we harvest, You are good
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @user-lo9yj9cf4k
    @user-lo9yj9cf4k 2 месяца назад +39

    kama 2024 unatazama hii nyimbo kama mimi gonga like hapa👉

  • @sylviakisanga7507
    @sylviakisanga7507 3 года назад +384

    KAMA MUNGU NI MWEMA KWAKO GONGA LIKE HAPA KWA HERUFI KUBWA ZA KUMFOKEA shetani

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 3 года назад +937

    Such powerful words....ni mwema kila wakati

  • @UkhtyAisha-qf9sl
    @UkhtyAisha-qf9sl 7 месяцев назад +22

    Mimi ni Muslim ila nikiskia hii nyimbo naliatu juu nikikumbuka penye mungu amenitoa nimbali😢😭😭😭😭😭😭😭asante mungu

  • @MinisterJesse29
    @MinisterJesse29 3 года назад +108

    Jaman nipende kulike comment zote kwa kusema YESU KRISTO ASIFIWEE

  • @PraiseGodall
    @PraiseGodall 8 месяцев назад +33

    Everyone listening to this worship song will make it in life in Jesus Might Name. Good morning 🌄 Have a nice day

    • @alicekatunge4459
      @alicekatunge4459 6 месяцев назад +3

      Amen and Amen. Thank you...
      You will make it too dear

    • @user-njambifelister
      @user-njambifelister 5 месяцев назад +1

      Amen Amen❤

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 5 месяцев назад

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉
      @@user-njambifelister

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 5 месяцев назад

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you so much. Wishing you health, luck and happiness, may God bless you every day of your life. 🎉
      @@alicekatunge4459

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 3 года назад +26

    Wema wako ni Kama mchanga, siwezi kuhesabu😭😭😭
    Wema wako ni kama maji yanayomiminika bila kukoma😭😭😭
    MTU akinge ama asikinge hayataacha kutoka😭😭

  • @tonyautomated4700
    @tonyautomated4700 3 года назад +30

    Kama unamaliza 2020 na huu mwimbo tukisema yeye ni Mwema, tujuane kwa like.

  • @kambua
    @kambua 3 года назад +106

    What an AMAZING song!!!

  • @DERICKMARTON
    @DERICKMARTON 3 года назад +257

    AAWWW THIS SONG YAANI UNAweza ukajikuta UNAMFOKEA SHETANI KWA SABABU YA WEMA WA MUNGU AM BLESSED KWA KWELI 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 sema nini au ngoja ntasema baadae😂😂😂😂😂😂😂

    • @naamanswila2770
      @naamanswila2770 3 года назад +2

      USIMFOKEE @DERICK MARTON

    • @danny844
      @danny844 3 года назад +1

      U killed it 🙌🙌

    • @hellenmakoi2936
      @hellenmakoi2936 3 года назад +1

      Gud song

    • @johntezmwao8956
      @johntezmwao8956 3 года назад +1

      Wow wow soo soo powerful. Am forever your fun n this generation needs to hear this kind of stuff.

    • @paschalmachibya7528
      @paschalmachibya7528 3 года назад +8

      🤣🤣🤣🤣 tunamfokea shetani piga keleleeee

  • @asiazakayo7673
    @asiazakayo7673 2 года назад +1

    Wewe ni mwema munguu wanguu ulie hai, unatupendaa

  • @EliyaMwantondo
    @EliyaMwantondo 3 года назад +3

    Sijui ni Mara ya ngapi na ucheza huu wimbo!! Ni wimbo wa wa Ushuhuda wangu...

  • @believemwangosi
    @believemwangosi 3 года назад +168

    nautabiria huu wimbo kufikia 1M views and above🔥🔥

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 3 года назад +13

    Hata sasa Bwana Yesu ni mwema siwezi kuhesabu mambo uliyonitendea tangu Kabla sijazaliwa ... mimba yangu ilipotungwa ulinichagua.... Ninaona wema wako Bwana. I appreciate wema wako baba❤️😍❤️

  • @marytee6922
    @marytee6922 2 года назад +1

    Mungu ni mwema ndio maana tu hai ,Tumshukuru.

  • @isrealchipotasamuel2918
    @isrealchipotasamuel2918 2 года назад +2

    when someone rejects you in your life, you have to understand that often, God is creating space for an upgrade in your situation. And, rejection is a valuable tool if you allow it to reveal sometimes who is supposed to be in your life and who's not supposed to be in your life for the next season that you're in. Rejection can reveal.

  • @winfridapatrickmayengo6182
    @winfridapatrickmayengo6182 3 года назад +128

    Salute to a man who played bass guitar 🙌🙌🙌🙌👍👍thumb up for him. Hii bass ilivyo pigwa nasikiliza rohoni...🤩🤩🤩🤩 Nani ameielewa bass ilivyopigwa

    • @jitujoely2140
      @jitujoely2140 3 года назад +1

      Ameeeen

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад +1

      KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад

      @@jitujoely2140 KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @kheriamos325
      @kheriamos325 3 года назад +2

      Huyu jamaa amecheza bass sana. Sio tu kuufuata wimbo bali na bass lenyewe linaimba na kuabudu

    • @careenwasonga
      @careenwasonga 3 года назад

      Sam bass ni nomaaaa🎸🔥🔥🔥

  • @careenwasonga
    @careenwasonga 3 года назад +132

    Let’s take a moment to acknowledge the bass guitar in this song🙆🏾‍♀️🙆🏾‍♀️ MY GOODNESS 🔥🔥🔥🤩🤩🤩

    • @winfridapatrickmayengo6182
      @winfridapatrickmayengo6182 3 года назад +2

      Yaani...iko powa Sana....jamani...bass unanifanyia naurudia rudia ili nisikilize bass🙌🙌🙌

    • @abigaelekasiba1537
      @abigaelekasiba1537 3 года назад +4

      Its on another level...its the first thing i noted on the song

    • @lydianzale4961
      @lydianzale4961 3 года назад

      Yaani muziki ukavhezwa kwa ustadi. Sauti balanced.. mmm yote utukufu kwa mungu. Blessings

    • @alexintech254
      @alexintech254 3 года назад +2

      Excellence job on that instrument for sure

    • @salomegwimo6278
      @salomegwimo6278 3 года назад

      Alu/l,,/,/ⁿ_10""",g'

  • @OjwangValarie
    @OjwangValarie 2 месяца назад +1

    Tunaposhinda Vita ni Mwema,tunapolia ni mwema Mungu wangu ni Mwema kila wakati🙏🙏🙏🥳🥳👏👏👏💃

  • @gracemwakabuje6263
    @gracemwakabuje6263 3 месяца назад +2

    Hata sasa ni mwema 😢😢😢 tunapolia ni mwema tunapocheka ni mwema😊🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @joycemtuhi4287
    @joycemtuhi4287 2 года назад +23

    Huu wimbo kila nikiusikia lazima nilie ,Mungu ni mwema sana sana ,Paul Tanzania tumebarikiwa waimbaji Yesu awafunike kwa utukufu wake.June 2022

  • @narsanjovu4083
    @narsanjovu4083 3 года назад +3

    Kama unasikiza au kuimba haka kawimbo katamu na kuhisi shetani anakimbia ukiwa unaimba au kusikiliza gonga like nyingii hapa

  • @samwelikayange4834
    @samwelikayange4834 8 месяцев назад +2

    hongera Sana mtumishiii kwa kazi njema ya kumtumikia MUNGU Kwa njia ya uimbaji

  • @margaretharusi8761
    @margaretharusi8761 4 месяца назад

    Mungu amenikumbusha kuwa yeye ni mwema kila siku Na kila nyakati 😊😊

  • @abenegoekonia2986
    @abenegoekonia2986 3 года назад +5

    Daaaaaah!! Kaka shkamooooo...!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 aisee kizuri kisifie unaimbaa kaka

  • @yahyaku17
    @yahyaku17 3 года назад +161

    From Liberia and I'm vibing with the song so much.. Thanks to my flat mate Winnie from Tanzania who has been playing this song every MORNING In our dorm 😭❤❤❤❤❤❤❤❤❤..... aiiiiiiiiiiiiii
    I love it so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lilianlameck5653
    @lilianlameck5653 7 месяцев назад +1

    So, wewe ni mwema, u mwemaa, wewe ni mwemaa Mungu wa barakaa..❤❤

  • @muthonililian145
    @muthonililian145 2 месяца назад +2

    I've never resonated with this song like I'm doing now 3 years later when I'm going through a hard time was questioning God untill I came across this song

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 3 года назад +18

    Kama unaisubili gonga like 😍😍😍

  • @winnermariah
    @winnermariah 3 года назад +14

    WEWE NI MWEMA SANA BABA...🙏🙏🙏🙏
    Nimerudia Rudia Sana Huu Wimbo, Kila ukianza Roho Mtakatifu Ananimbia MUNGU ni Mwema Sana Kwako, Najikuta Machozi yanatoka....ASANTE YESU 🙌🙌🙌🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sephynemwangi5315
    @sephynemwangi5315 3 месяца назад +2

    3 years later❤❤❤ were ni mwema Mungu wangu

  • @gracesaulomisonge6069
    @gracesaulomisonge6069 6 месяцев назад +1

    Mbarikiwe jinsi mlivyomalizia hakika mna vipaji

  • @isrealchipotasamuel2918
    @isrealchipotasamuel2918 2 года назад +9

    I believe the Lord is speaking comfort into disruptions, delays, and painful wait times. He wants you to know that He is with you-in fact, right now, you are in a Divine appointment! You may have experienced loss, but your God specializes in restoration. And He has a harvest for you.
    Someone Seeing This Right Now Who Is Grateful Say Thank You Jesus my prophetic dreams shall come to pass in Jesus name AMEN 🙏🕊️🔥

  • @reeombima
    @reeombima Год назад +5

    This is the song I will sing on my house opening and my daughter graduation and to my both girls first jobs wewe ni mwema kwangu utayatenda yote , umekua mwena na utazidi kua mwema 😢🙏🙏

  • @matwigasafari7661
    @matwigasafari7661 3 года назад +1

    Ais be blessed guys
    Kazi nzuri saaaaana
    👍😳👍

  • @MinisterSilas
    @MinisterSilas 3 года назад +1

    Ayayaa!Huu wimbo hunibariki Sana Paul .Mola akuzidishie 🙏

  • @chipembelesaid
    @chipembelesaid 3 года назад +9

    Kama unaamini Mungu wetu ni mwema katika kila nyakati za maisha yetu dondosha like yako plz..

  • @rehemamalumbi4118
    @rehemamalumbi4118 3 года назад +5

    Wema wako haupimiki kwa majira fulan daaaah huu wimbo sichoki kuusikiliza jmn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evastanley9871
    @evastanley9871 2 года назад +1

    Mtu akinge...amaa asikinge!!! hayata achaaa kutoka!!!!naufrahia wema wa MUNGU....mbarikiwe Paul&Bella kwa wimbo mzuri!!!.

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 2 года назад +1

    Kweli hata Sasa yeye Mungu ni mwema

  • @FavourK
    @FavourK 5 месяцев назад +3

    This song has been ministering to me especially this period am mourning my Dad😭😭😭😭.My Lord is good at all times🙏

  • @agreyshimwela
    @agreyshimwela 3 года назад +18

    Content within this song make me cry " Wema wako pia wakati hata wa machozi" Hata tukiwa kwenye mapambano kiasi gani JINA LAKO YESU litatajwa tuu tena kwa uzuri wala pasipo malalamiko

  • @mudakisilvia5734
    @mudakisilvia5734 Год назад

    Uhimidiwe jehovah,maana unastaili kupewa 🙌 sifa milele.❤❤❤

  • @etherealvee
    @etherealvee 4 месяца назад +1

    I'm from watching Bella's songs from her album and all I can say is that she has grown so much as a singer. Sending lots of love to everyone

  • @emmanuelbundala4017
    @emmanuelbundala4017 3 года назад +49

    Oh YES HUYO NDIYE MUNGU WETU NA HIVYO NDIVYO ALIVYO...Ni MWEMA

    • @latifagiliad7785
      @latifagiliad7785 3 года назад +2

      Amen

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад

      KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад

      @@latifagiliad7785 KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

  • @ayotadhiambo
    @ayotadhiambo Год назад +6

    Whoever knew Bella back from days of 'Bongo Star Search, would have never imagined her total life transformation that she is experiencing right now.... Indeed, anything is possible!

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 2 месяца назад

    Mungu wa Baraka 🙏❤️😌 hapo tu
    Unatupenda , unatupenda , wewe ni mwema.🤝

  • @jamesciliana4536
    @jamesciliana4536 Год назад

    Mungu you mwema nyakati zote. Ninapolia U mwema na ninapocheka U mwema.

  • @carolynegatwiri7076
    @carolynegatwiri7076 3 года назад +148

    Walking down the aisle with this song. I claim my day in jesus name

  • @ER-ll1tb
    @ER-ll1tb 3 года назад +11

    Wema wako, si kwa wakati wa furaha tu
    (Your Goodness, is not only present in times of joy)
    Wema wako, pia wakati hata wa majonzi
    (Your Goodness is also present in times of grief)
    Wema wako, haupimiki, kwa majira fulani tu
    (Your Goodness cannot be measured in time)
    Wema wako, ni kila wakati, na kila nyakati
    (Your Goodness is present at all times, in all seasons)
    Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
    (Even now He is Good; when we sing He is Good)
    Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
    (When we weep, he is Good; when we laugh, He is Good)
    Tunapopanda ni mwema, tunapovuna ni mwema
    (When we plant, He is Good; When we harvest, He is Good)
    Refrain:
    Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema
    (You are Good, You are Good, You are Good)
    Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (Repeat)
    (You are Good, You are Good, You are Good)
    Unatupenda x2 Wewe ni mwema (Repeat)
    (You love us x2 You are Good)
    Wema wako, ni kama mchanga, siwezi kuhesabu
    (Your Goodness is like the soil; I cannot count it)
    Wema wako, ni kama maji, yanayomiminika bila kukoma,
    (Your Goodness is like the water; that flows without ceasing)
    Mtu akinge, ama asikinge, hayataacha kutoka
    (Should someone obstruct it or not, it will not cease)
    Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
    (Even now, He is Good; When we sing He is Good)
    Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
    (When we weep, He is Good; when we laugh, He is Good)
    (Refrain)

  • @eneliakisindakisinda7089
    @eneliakisindakisinda7089 3 года назад +1

    Be blessd watumishi wa Mungu. Wema wa Mungu kwetu hakika Kama mchanga kamwe hatuwezi kuhesabu

  • @esterchananji2657
    @esterchananji2657 3 года назад +1

    Nyimbo inakuchukua taratibu kbsa unajikuta umezama mahali unazungumza lugha nyingne tu

  • @davieabdala7266
    @davieabdala7266 3 года назад +4

    Hakika Mungu wetu ni mwema... Bro Paul Mungu akuinue zaidi

  • @edwardmaglan5738
    @edwardmaglan5738 3 года назад

    Hakika Mungu ni mwema kila wakati, na yeye ni Mungu wa Baraka. Mungu azidi kuwainua watumishi

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 2 года назад +1

    Ngoja niseme ukweli Paul Clements
    Una kipaji halisi kutoka kwa Mungu.
    Unajua sana
    Huwa unanibariki sana na nyimbo zako
    Mungu azidi kukuinua

  • @rebeccanyeleshi7876
    @rebeccanyeleshi7876 3 года назад +57

    The song of my testimony is finally out 🗣🗣🗣🗣

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад +1

      KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @matridakingunza4716
      @matridakingunza4716 3 года назад +1

      Good performance inatetemesha Sana akilini Hadi machozi ya furaha

  • @niwaelymziray8646
    @niwaelymziray8646 3 года назад +20

    Here continuing with university exams(UE),then paap hearing #MWEMA released..😊
    What a hope..✊,I bless yo name papaa living in a very honored place,for wewe ni Mwema😌

    • @JosephMalipula
      @JosephMalipula 3 года назад +1

      😂😂🙌🏽

    • @annahilaly150
      @annahilaly150 3 года назад +1

      Nakupenda poul nimebarikiwa sanaaaa nimeuka mahali Mungu azidiiiii kukutumia your the best

  • @rosebusera1029
    @rosebusera1029 3 года назад +1

    kweli wewe ni mena haya wakati huu wa machozi

  • @VivianKarani-rb2jv
    @VivianKarani-rb2jv 3 месяца назад +1

    At this time of mourning our brother chira briañ in Kenya we really need God ...but when I personally listen to this song..I get energized and know that God is on our side and he has a reason for everything and everything happens with a purpose....so friends help me pray for our country Kenya 😢😢😢this yr we have experienced alot of tragic losses 😓💔💔

  • @ministerwilliegitatah3372
    @ministerwilliegitatah3372 3 года назад +18

    Huu Wimbo una upako Wake Tofauti.... Ministering to me heavily 😭😭😭Anabaki kuwa Mwema kila Wakati....The Dual is Amazing....Baada ya Juu wimbo fanyeni nyimbo nyingine nyingi na Huyu Dada....Anasauti Tofauti...You guys are just Amazing🔥🔥🔥🔥Paul Clement you remain my Mentor...Neema ikutoshe

  • @mosesnoah7705
    @mosesnoah7705 3 года назад +9

    For me sijaona kama wewe hapa tz brother Paul yaan ninapozisikilza nyimbo zako nabarikiwa mno God bless you

    • @michaelmasanja5168
      @michaelmasanja5168 3 года назад

      Haupo sahihi, Mungu amejisazia Watumishi wengii.. Usiseme sijaona kama wewe hapa Tanzania.. Ni vizuri ungempa Mungu utukufu kwa ajili ya kipawa na karama kubwa ndani ya brother Paul Clement.. Maana yote ni kwa ajili ya utukufu wake.. So utukufu anapewa Mungu sio mtu..
      Soma ISAYA 42:8, na ISAYA 43:7...
      Mungu akubariki sana

  • @nyongesastephen1261
    @nyongesastephen1261 7 месяцев назад +1

    Hata sasa ni mwema

  • @sylviasein8248
    @sylviasein8248 2 года назад +1

    Mungu wa baraka....wewe ni mwema

  • @violamenge
    @violamenge 3 года назад +39

    When I found this song my heart was so hopeless,but this song really encourages me that it doesn't matter what's going on in everything we glorify God and that he truly does love and care for us. Indeed he's a good,good God and we give him glory and honor

  • @philtarimo
    @philtarimo 3 года назад +23

    “The steadfast love of the Lord never ceases; his mercies never come to an end; they are new every morning; great is your faithfulness.” 🙏🏽🙏🏽

  • @alinelubula6744
    @alinelubula6744 Год назад

    Uyu wimbo unanipaka Amani saaaana MUNGU Akuinuwee zaidi

  • @adelinenashukuru2300
    @adelinenashukuru2300 8 месяцев назад

    Kila wakati nahisi nimekata tamaa hua naenda kuona kwenye RUclips yako nione chenye Mngu amekupaa kwakuni fariji so thank you so much for what you’re doing man of God your spirit inside you = my spirit Doctor 🙏🙏

  • @eliadaniel9570
    @eliadaniel9570 3 года назад +43

    Bro paul this Song ni Kubwa Sana, this is you sasa km vile umenifanyia Amani...

    • @edwap599
      @edwap599 3 года назад

      bro unajua nakubal kazi zako

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад

      KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад

      @@edwap599 KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

  • @karengacheri9716
    @karengacheri9716 3 года назад +5

    February beat...the beat and the courage to break in between....haswa hapo ninapoimba ni mwema😭😭....this song reminds me of His Love never changes and make me contemplate on His pure thoughtful words towards my life...I gang up to vote this song hundred times......aint just a fun but I pray to God to keep you...it's the music we need ...life Music

  • @lydiaamunga7007
    @lydiaamunga7007 3 года назад +1

    Hata sasa ni mwema!🙏🏽

  • @jorammbuthia4592
    @jorammbuthia4592 2 месяца назад

    Wema na fadhili zake Mungu wetu ni za milele. Jina lake lihimidiwe milele yote kwa kuwa wema wake wanishangaza.

  • @kezzwambua
    @kezzwambua 3 года назад +5

    Oh my!!!this song🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Mungu ni mwema

  • @jaclinemoshi9851
    @jaclinemoshi9851 3 года назад +5

    Im so blessed with this annointed song....Everyday i must listen it ,and my day become so blessed
    gonga like kwa anaye listen now.

  • @EsaieKisembo
    @EsaieKisembo 7 дней назад

    Kweli Hata sasa wewe ni mwema, n'a wema wako hauna nyakati

  • @zippykerry8536
    @zippykerry8536 2 года назад +1

    Am here with my sick mum gone through all hospitals with no change buh believing my God is greatest healer hata qwa magonjwa yeye ni mwema💪💪🙏🙏

  • @shadrackmwangangi8462
    @shadrackmwangangi8462 3 года назад +4

    Wema wako ni wa kila wakati... Haupimiki kwa majira fulani.... So powerful. On Repeat 🔂 mode.

  • @merrygeorge2086
    @merrygeorge2086 2 года назад +4

    Natamani huu wimbo usikilizwe zaidi na watu wengi. Mungu wetu wa Mbinguni ni Mwema wakati wote hata nyakati za huzuni Yatupasa kumshukur na kuendelea. Kumngoja na sio kukata tamaa. Magumu yana sababu njema pia. Hongera kwa waimbaji, wimbo bora kwangu kwa muda wote

  • @m.biangwamalenso3291
    @m.biangwamalenso3291 3 года назад +2

    Just lost my mama Mdogo breast cancer ♋️🤦🏾‍♀️🤦🏾‍♀️🥺🥺🥺🥺 hata sasa ni mwema 😢😢😢😢😭😭🤭🤧 GOD gives and takes away glory be to GOD please remember my family in prayer every here 🙏🏾 mwema bwana YESU

  • @yoursshee8387
    @yoursshee8387 2 года назад +2

    Wewe ni Mwema is such a blessing.Nduta Waweru via Abudu brought me here.

  • @gracenjoroge2668
    @gracenjoroge2668 10 месяцев назад +5

    I am just getting to know this song three years later, and my oh my, what a pleasure. I cant stop listening to it. It touches my soul in a special way and links my heart gratefulness to God my maker. His Goodness is always present and constant no matter what! Much Love!

  • @manpierre571
    @manpierre571 3 года назад +6

    Mmh Kaka umebarikiwa kwaajili ya kizazi hiki
    #I remind u this,,!

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 3 года назад

    Hata sasa nimwema tunapolia nimwema tunapocheka nimwema hakika wimbo huu umenivushaaa sana.

  • @newtongabriel8529
    @newtongabriel8529 2 года назад

    Hakika wema wa Mungu ni kila wakati, kila nikitafakari wema wa Mungu nashindwa kabisa kuelewa maana mawazo ya Mungu Kwetu ni WEMA tosha, Ubarikiwe sana mpaka ushangae

  • @siamacha3749
    @siamacha3749 3 года назад +3

    Unatupenda .....wewe ni mwema!!😻🙏

  • @asnathvahaye2082
    @asnathvahaye2082 3 года назад +3

    Huu wimbo unanibariki saana.Mbarikiwe watu wa Mungu

  • @nancywamuyu4571
    @nancywamuyu4571 3 года назад

    Twamshukuru Yesu Kristo kwa ukuu wake. Ama kweli yote yamekwisha Calvary

  • @donnahcyldion4609
    @donnahcyldion4609 3 года назад

    Wewe ni mwema kabsa, maana hutuachi kwenye milima wala kwenye mabonde... Hakika wema wako hauesabiki💪🏽💪🏽

  • @Gsimon923
    @Gsimon923 3 года назад +4

    Wow woow! On my play list.,narudia huu tuu sijui mara ya ngapi hii🙌🙌
    Kwangu ni wimbo wa majira sahihi.,
    Am Blessed 🙏

  • @selinaodinga1108
    @selinaodinga1108 3 года назад +19

    The true gospel artists singing true gospel songs and worship remaining in East Africa... please never change🙏🙏 like our own Kenyan gospel artists Bahati wa kina Willy Paul who are confused they don't know if its gospel songs they sing or not. Remain humble and stay true to your worship songs

  • @nyanjilaneke4931
    @nyanjilaneke4931 3 года назад +1

    Sichoki aisee kuangalia wimbo huu yesu mwema aswaaa

  • @habellerchristine4879
    @habellerchristine4879 3 месяца назад +1

    Listening to this song after I received the best news of my life. Kweli ni mwema❤

  • @lauraaliceanyangoagwena673
    @lauraaliceanyangoagwena673 3 года назад +15

    paul clement you are really gifted by our Good God. yes yeye ni mwema. wimbo huu umekuwa ukicheza on repeat mode. just dancing as i smile at the goodness of the Lord.

  • @Blessing_Hurdley
    @Blessing_Hurdley 3 года назад +42

    Rejection is a wake-up call-it's an alarm clock that God uses to wake up your calling. Rejected for a Purpose will help you understand that the people who neglected, refused, or dismissed you might have done you the biggest favor of your life. Go my brother, this song is ministering to my situations.

    • @druthjohn7622
      @druthjohn7622 2 года назад +1

      This comment just spoke to me..
      .thanks

    • @mariahnicholaus1135
      @mariahnicholaus1135 2 года назад +1

      Wow, the story of my life now at my office.

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 6 месяцев назад

      Going through it but i know ni mwema always

  • @rehemajingu1604
    @rehemajingu1604 2 года назад

    Wimbo huu umenifariji siku ya leo..maana adui alitaka kuniondolea amani ya Kristo..lkn ashukuriwe Mungu kwa Wema wake🙏🙏

  • @rosemakao6854
    @rosemakao6854 3 года назад +1

    Hakika ni mwema

  • @cherutoa.tuiyott3883
    @cherutoa.tuiyott3883 3 года назад +80

    MOG Paul Clement, this is a powerful song especially the in current season because many have despaired. It is a reminder that we need to praise God in every situation because He loves us, 1 Thessalonians 5:18. As you have encouraged us in the Lord, may He encourage you, your families, and bless you, in the Mighty Name of Jesus! asante sana

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 3 года назад +1

      KARIBU KUANGALIA
      #jinalayesu
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ruclips.net/video/v6LNPXwi9DQ/видео.html
      MUNGU AKUBARIKI

    • @johntubunamegabe4903
      @johntubunamegabe4903 2 года назад

      🏉🏉🏓🎱🎾 buen

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 3 года назад +7

    Kenyans mnipee likes hapa za Paul na Bella

  • @raphaelkabuka8950
    @raphaelkabuka8950 3 года назад

    Ebwana we Jah!! Wee!! Aisee nilikuwa naupitaga tu leo nikasema nisikilize nilichokutana nacho.. dah!! Kwel nimwema...

  • @user-ov8kr2bc6c
    @user-ov8kr2bc6c 3 года назад

    Sichoki kusikiliza hii nyimbo inanipa uponyaji sana ubarikiwe paul clement na bella Mungu wa baraka🙏🙏sana

  • @emmanuelngolo1028
    @emmanuelngolo1028 3 года назад +27

    Kaka Paul...I can't hold this.....