Zuchu alivyopagawisha Mkutano Mkuu CCM 2020
HTML-код
- Опубликовано: 17 ноя 2024
- Tazama namna ambavyo msanii wa kizazi kipya #BongoFleva Zuchu alivyowapagawisha wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM, Dodoma.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
Namuona mbali sana zuchu inshallah
Mm hua sicomentii zuchu ila hii nyimbo imenifanya ni coment nzuri sana mashallah
Kama umegundua Zuchu kapandanisha mistari gonga like
Mashaallah zuchu iyondio nyimbo bola kuliko Zote
Umeeza mdada kazi nzuri jamani kila la kher tz maguu baba lao akuna mshindani kweli
Wimbo mzuri Sana , ahsante ss ZUCHU, 💚💚💚💛💛💛💚💚💛🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kweli zuchu anajua kuleta furaha God bless zuchu
Mashallahu nikeli pdna babab makufuli
Hongera sana zuchu wimbo unagusa Sana
Nampa ongera sana zuchu
Zuchu nailed it 🇰🇪🇿🇲🇰🇪
Zuchu♥️♥️♥️nakupenda hadi sijielew
Asante kwakupeperusha bendera yetu ccm oyeee
Zuchu ni 🔥🔥🔥🔥jamani
I love this good work makufuli,am Kenyan citizen,
Magufuli not makufuli... Ala
Vizuri sana endelea ivo
Zuhura uko vzr sana
hii ndio nyimbo bora ya kampeni kwa ccm
Kwamar yakwanz zuch anapafom ametish 🔥🔥🔥🔥
Kabisa namie nitakuja kuangalia Tanzania ya sasa
Zuchu kalili nyimbo vzr week ijayo utatsha
Vizuri sana umeimba vizuri kwa mkutano
Dgeodu
Huyu mtoto ni balaa👏👏👏👏
Ata kama mi ni mrundi naipenda Tanzania
huyu mwanadada ako sawa kimziki... kutoka kenya but nimeikubali
Nyimbo bora imetoka wasafi na ndo hii sasa kulaaleki magu kura yangu chukua bila hata ela dingilaiii
Magufuli juuuu zaidi baba
I salute you Queen zuchu
Zuchu asee unatisha asee una sauti nzuri kinyama
Vizuri zuchu endelea pema
Sauti yako mama mmmmh acha kabsa
Like it zuchu just improve my ccter
Uko. Raba. Bitni. Sana.
Zuchu alikosa confidence akawa anaimba mbele nyuma nyuma mbele
this President of ours has another 5yrs to do what he was called by God to do for the nation of Tanzania. May our God cover HIM with His wisdom, Love, patience and security. May He grant him health and guidance in the Mighty Name of our Lord Jesus Christ i pray and believe, Amin!
Unaweza zuchu
Hongera sana mdogo angu uko vizur
Nimekukubaliiii😍😍😍😍😍😍
Kali
Imeweza hio nyimbo too👍
Rip baba 😭
Nakupenda jamni mpka naumwa💋😍😍😍😍😍😍
Imiweza bizuchu
Nomaaa Sanaa zuchu
Nampendaaaaa chuchuuuuuuu
Hongera zuchu
Mtoto mzuri naamini ataenda mbali
Iyo zuxh umetixha noma
Safi Sana wajumbe
Ccm lazima tushinde lazima
Huyu binti ana kipaji kama ataendelea na mtindo huo utakuwa ni trade mark yake Afrika, ananikumbusha Lucky Dube na Alpha Blondie.
Bonge la ngoma
Tatizo la WASANII wa bongo fleva hawajawahi kutoa nyimbo ya kusifia au kupongeza aidha VIONGOZI au shughuli yoyote ya kijamiii ikanoga masikioni.
Alie wahi kufanya nyimbo ikanoga na bado inanoga ni dada VICK KAMATA ... WANAWAKE NA MAENDELEO ☑️ ... What a creation and composition, inanoga masikioni na ni TAAAAMMM UNOOO.
LKN HAWA WA SASA HIVI WANAPIGA PIGA MAKELELE TU ...
AFADHALI MKONGWE BOB HAISA NIMEMUELEWA NA GOMA LAKE LA KITAMADUNI FLAN NA BONGO FLEVA NDANI YAKE.
👍👍👍👍❤❤❤❤😘😘😘😘
kajambe uko ulale
Amna hizo kaskize nyumbani ukiwa na familia yako. Kampeni nyimbo ni kusherekea na mizuka tu. Upo?? ✌❤❤ Ccm🇹🇿👊
@@fajmendez1156 JAMBA KWANZA WW MTAALAMU TUSKIE
@@aaa64sa13 sasa nyimbo za machoko wenzio utafananisha na ya PIN LA BOB HAISA.
Kama mumeona but Kama lakamande mulinda benk
I love you ❤️ Tanzania
Magufuli juuuu
CCM ACHENI KABISA KUWATUMIA WASANII KUJITANGAZA. WATANZANIA WOTE NI WALIPA KODI BILA KUJALI VYAMA LEO MNAWASEMA WAPINZANI HUO NI UPUUZI WA CCM. ACHENI KUGAWA WATANZANIA NA MANYIMBO YASIO NA MAANA. HIZI NYIMBO ZA UCHONGANISHI.
Much respect to her wonderful amazing lyrics
Niiiiiniiii msimbaz like zenuuu
Nyumbu mmoja alisikika akifanisha mambo ya kawaida na ya kiufundi ya KOMANDO jideee.
Zuchu uko juu sana Hongera!
Hataree
Zuchu ukojuu sanatu
Penda sana zuchu
Maulana
Jmn kuna mtoto huku ananiuliza eti anko huu ndio wimbo wa taifa mpya!??
Hhhh
Hahaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safi
Zuchu 💪💪❣️❣️❣️
King kiba big up
Niceeeeee🥰🥰🥰🥰
Poa poa sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Michez
Nani zaidi kati zuchu na mpoto maoni yenu wadau
Big up dada zuchu...
Waooooo uko vizuri
Nic
Jamani Ccm chama dume ni hatar
Uko poa.wimbo
Zuchuuuu kama zuchu
zuchu umetisha
Nice zuchu
Campen makambako
Lala
🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Ccm hai hai
Hiv huyo wa nyuma khadija kopa...
ZUCHU KATISHA KULIKO WOTE
Mamboni ,.motoooo
Juwaliteremke mama
Hi.hi.hi
Utaelewa mzee vumilia ushughulikiwe
Kwajima
❤❤❤
Good San zuchu
Naona Arusha kwetu
Kelele Tu Zuchu
Selma Selma imba wew tukuskie
Wivu utakuua
IPO poaa
Ametishaa
Aiaiai
😭
Haulazimishwi uelewe
Singeli
Elizabeth
💚💚💚👌
P1
💯