Safi kwetu yaani nimefurahi mmeitendendea haki Arusha, Dereva kazi nzuri sana, yaani imeichambua Arusha vizuri 😂. Yaani ulivyosema huku chini ni Kaloleni nipamesije nyumbani Ololo kwetu 😂 asanteni jamani i love my Arusha. Big up.❤
I still remember this lovely city, I use to live in Arusha for couple of years, study in Arusha school near clock tower in the year 1980 to 83. Love you Arusha
Nijuavyo mimi, kutoka Capetown Afrika Kusini mpaka Cairo Misri hapo Clock tower Arusha ni katikati. Clock tower Arusha ni halfway ya great Cape to Cairo Road.
Dereva anapoteza sana muda sokoni wakati sio eneo ambalo watazamaji wanapenda zaidi kuona. Kutokana na muda kuwa mfupi, tunaomba next time utembelee maeneo maarafu Arusha kama vile: Burka, Njiro, Muriet, Kwa Mromboo, Themi Hills, Sehemu zote za Starehe, Stand ya Bus (✅), maeneo ya kupumzika na vivutio na kadhalika.
I spent few years in this beautiful city, and was studying in Arusha school which was near to clock tower, I just remember clock tower thats all, it's nearly 42 years back days, there was one Hotel 77, and Hotel Mount Meru and Arusha hotel on one corner of clock tower round about, Metropole cinema. Arusha is still my favourite city.😢😢😢
Clock tower ni center ya Cairo misri na Johannesburg south aftica sio East Africa. Next time tafuta mtu anayejua Arusha vizuri huyo dereva hajui mambo mengi kuhusu arusha
NAFIKILI UWE UNA GOOGLE MITAA YAKO UNAYOTAKA KUPITA KABISAA NA MAENEO KAMA YA MATAJIRI WANAPOISHI, UNAORODHESHA YOTE ALAFU NDUO UNAMUAMBIA SASA DEREVA AKUPITISHE, UKIMALIZA NDIO UNAWEZA KUMWAMBIA AKUPELEKE ANAPOJUA YEYE
Safi kwetu yaani nimefurahi mmeitendendea haki Arusha, Dereva kazi nzuri sana, yaani imeichambua Arusha vizuri 😂. Yaani ulivyosema huku chini ni Kaloleni nipamesije nyumbani Ololo kwetu 😂 asanteni jamani i love my Arusha. Big up.❤
Safi sana dereva tax doto
I still remember this lovely city, I use to live in Arusha for couple of years, study in Arusha school near clock tower in the year 1980 to 83. Love you Arusha
🙏🙏🙏🙏
I want to see Arusha once again with my family, how it's possible
@@NomanKhan-eh7en Yes it is I lived there for four years
Safi sana aise.
Shukrani sana 🙏
Wow! Beautiful city
Yes Brother
Nijuavyo mimi, kutoka Capetown Afrika Kusini mpaka Cairo Misri hapo Clock tower Arusha ni katikati. Clock tower Arusha ni halfway ya great Cape to Cairo Road.
Arusha miundo mbinu Bado sio mizuri Sana viongozi walitakiwa wajenge miundo mbinu mizuri Arusha mji wa kitarii lakini hovyo kabisa
Dereva anapoteza sana muda sokoni wakati sio eneo ambalo watazamaji wanapenda zaidi kuona. Kutokana na muda kuwa mfupi, tunaomba next time utembelee maeneo maarafu Arusha kama vile: Burka, Njiro, Muriet, Kwa Mromboo, Themi Hills, Sehemu zote za Starehe, Stand ya Bus (✅), maeneo ya kupumzika na vivutio na kadhalika.
Asante sana kaka godlove m. nilikuwa nimekukumbuka sana kaka ninaimani u mzima wa afya
Mimi mzima kaka. Mungu yu mwema tunapambana. Natumai u mzima pia kaka
@@godlove20 ndiyo kaka mi pia niko salama sana
Nashukuru sana kaka..Asante sana
@@godlove20 sawa pamoja sana
I spent few years in this beautiful city, and was studying in Arusha school which was near to clock tower, I just remember clock tower thats all, it's nearly 42 years back days, there was one Hotel 77, and Hotel Mount Meru and Arusha hotel on one corner of clock tower round about,
Metropole cinema. Arusha is still my favourite city.😢😢😢
Safi sana
Shukrani sana
Thank you..
Thank you
Hiyo Hospital hapo Mwenge ni Hospital ya Kaloleni sio Levolosi.
Clock tower ni center ya Cairo misri na Johannesburg south aftica sio East Africa. Next time tafuta mtu anayejua Arusha vizuri huyo dereva hajui mambo mengi kuhusu arusha
NAFIKILI UWE UNA GOOGLE MITAA YAKO UNAYOTAKA KUPITA KABISAA NA MAENEO KAMA YA MATAJIRI WANAPOISHI, UNAORODHESHA YOTE ALAFU NDUO UNAMUAMBIA SASA DEREVA AKUPITISHE,
UKIMALIZA NDIO UNAWEZA KUMWAMBIA AKUPELEKE ANAPOJUA YEYE