Ndugu Mungu hajawahi kuchukizwa na moyo usio na hila katika namna zao za kumpa Yeye sifa na utukufu. Kwa utamaduni wa kiha na tamaduni nyingi kunyonga viuno ni namna ya kucheza kiasili ndugu. Hata Daudi alipomuimbia Mungu katika kumtukuza alicheza kwa utamaduni wake ambao kwetu inaweza shangaza zaidi. (1 Mambo ya Nyakati 13:1-7) Kazi nzuri watoto na mkue katika kumtukuza Mungu na walezi wote hongereni sana.
Hongereni sana watoto wazuri.mnawez kuendesha missa takatifu katka uimbaji.mungu awatangulie
Ongereni sana watoto wazuri nawapata vizuri Nikiwa Apa marekani 🇺🇸
Asante Sana ndugu yetu
Asante Sana ndugu yetu.
Hongereni watoto wazuri mmeimba vizuri sana
Asante sana
Mko vizur Sana
Vizur Sana wtoto,ni Mimi John brasio nawap ongera nipo singida mjini.
Hongereni watoto na wote mliohusika. Kazi nzuri..
Asantee sana Kaka
Hongereni sana watoto wazuri
Asante sana Dada yetu.
Hongera kwa wimbo mzuri. Lakini kucheza kwa kunyonga viuno hakumpi Mungu utukufu, Ni vema kuwa waangalifu na Mambo Kama hayo. Mbarikiwe.
Asante. Tutalifanyia kazi ndugu.
Nyimbo ni pamoja na utamadunisho wa makabila tajiri ya melody mbali mbali na ni moja ya furaha tuliyokuwa nayo,mr Ben
Mung awabariki sans
Ndugu Mungu hajawahi kuchukizwa na moyo usio na hila katika namna zao za kumpa Yeye sifa na utukufu. Kwa utamaduni wa kiha na tamaduni nyingi kunyonga viuno ni namna ya kucheza kiasili ndugu. Hata Daudi alipomuimbia Mungu katika kumtukuza alicheza kwa utamaduni wake ambao kwetu inaweza shangaza zaidi. (1 Mambo ya Nyakati 13:1-7)
Kazi nzuri watoto na mkue katika kumtukuza Mungu na walezi wote hongereni sana.
Nice
hongereni sana Watoto kwa wimbo mzuri
Asantee sana
Asantee sana
❤❤❤❤❤ 3:19
NICE
Safiii kabisa
Asante Sr
hongera sana
Asante sana
Hongeren Sana watt wazuri Mungu aakwatumie kwaajili ya Utukufu wake🤣🙌😘😘
Aminaaa, asante sana
Mungu awabaroki watoto
Aminaaa, asante sana
Niceeeeeeeeeeeee
Superb
Hongeleni watoto wazr
Asantee sana
Hongereni sana
Asantee Baba.
❤️❤️❤️
Nice to hear
Asantee sana
Emma maganga
Hongeren sana
Asantee sana