Niliposikia Natafutwa ... Part 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 31

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 4 года назад +2

    Haki yako i karibu mungu atoe majibu ju ya kilio hiki nimefuatia sana maneno yako yamejaa haki tupu inatosha !!!!

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 4 года назад

    MUNGU wetu ni mwaminifu saana. Yeye ndio JIBU; husiwe na wasiwasi Askofu. Atatenda HAKI tu. Tuendelee kuomba. MUNGU anasikia na anajibu maombi yetu🤲🙏

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Wewe ndio ulikuwa unataka kuleta balaa Tanzania kwenye radio yako Kwa neema fm

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Pesa zilikutia kiburi na ulipokusanya mke na watoto wako kampala na kukimbilia marekani tulikuwa tunakufuatilia sana

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 4 года назад +1

    Kwa mazungumzo haya kama ni kweli then mchungaji Mutashi anatakiwa ajipime kama anatakiwa kuendelea na utumishi, hi ni mbaya sana kwa mchungaji kumzingizia mchungaji mwenzake.
    Wakuu wangeutafuta ukweli ili haki ya huyu mtu ipatikane, hi habari ya kutaka hadi nyumba yake izurumiwe haijakaa sawa but again wachungaji including mzee Mutashi, tujue kwamba kuna mbingu pia zinatazama hili jambo, jambo kama hili halileti utukufu kwa Mungu hata kidogo, linadhalilisha kazi yake

  • @jofreymusa4974
    @jofreymusa4974 4 года назад +1

    Mungu yu pamoja nawe m2mishi

  • @smarty1064
    @smarty1064 4 года назад +1

    Haya mambo ya dini kuna watu wana fikra fupi sana, mbona kitimoto wanachinja wenyewe wakristo na wajua wap wakanunue kwann hakuna utata? hata hizo nyama za kawaida wapewe nafasi na bucha zao watu watajua hii imechinjwa kwa namna hii na ile imechinjwa kwa namna ile wote wakaishi vizuri tu!

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Wewe ndio ulikuwa kinara ukawa unaitukana mpaka serikali

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Kula pizza tu ugali na sato utazisikia tu

  • @thomaskiponda9704
    @thomaskiponda9704 3 года назад

    Kuchinja nini mtumishi?

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 3 года назад

    Ohhjj

  • @kennedyjohn6788
    @kennedyjohn6788 4 года назад

    Nadhani kwahapo dola inatakiwa itende haki na mali ilizoshikilia iziachilie zikiwemo nyumba maswala yakuchinja nimatakwa yawananchi wenyewe

  • @edmundykusena9728
    @edmundykusena9728 4 года назад +1

    Duh! Yaan hii serikali hii mmh sijuitufanyeje maana watu

  • @shadrackkavoi4514
    @shadrackkavoi4514 4 года назад +2

    Bado nafuatilia !!

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Kaa huko huko

  • @doreenkissia1087
    @doreenkissia1087 4 года назад

    Tunafatilia baba askofu.

  • @shadrackbudodi43
    @shadrackbudodi43 4 года назад

    Tuna zidi kupata ufafanuzi wa ukweli uliojificha kwa muda mrefu nilitamani sana kuujua ninge furahi sana mawakili wenye kupenda haki wafungue mashita juu ya Mutashi mbivu zijitenge

    • @msafiramos6905
      @msafiramos6905 4 года назад

      Fungua wewe na uyo mpemba we kama akili zinakutosha tangu aanze kuongea huo ugoro wake anaemsemea mwenyew hana muda nae kaz kujicholesha tu ama kweli usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake Mutash baba piga kazi ya Mungu mpaka kieleweke na mbinguni tunaendaaaa

    • @samsonrichard4670
      @samsonrichard4670 4 года назад +1

      Msafiri unaandika upuuzi

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 4 года назад

      @@msafiramos6905
      Kwa ushahidi huo anaoutoa askofu bado uwe mbishi basi huenda unaongozwa na chuki badala ya facts

    • @ciciandjojo7701
      @ciciandjojo7701 4 года назад

      Mungu ni jibu. Anaona, anasikia na kujibu

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 года назад +3

    Tanzania hakuna haki.... October 28 tukampigie kura lisu tunataka mabadiliko kuna watanzania wengi sana wamekimbia nchi yao wako nje kwa sababu ya uonevu mbalimbali.... Munishi pia alisema amekimbia tanzania ni kwasababu alisema CCM imechoka basi ikawa shida serikali ya CCM imeumiza wengi sana

    • @msafiramos6905
      @msafiramos6905 4 года назад

      We ni mpumbavu mfate sasa aliko wenzio wanaitamani Tanzania we Unaongea ugoro pamoja na uyu braza unaejiita asikofu mpemba

    • @katelembasha1526
      @katelembasha1526 4 года назад

      Tunamwaminia sana rais magufuli bila shaka hili atafatilia na ukwel utabainika tu.rais magufuli ni MTU wa watu, tafadhali mhe, rais msahidie huyu askofu

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 года назад

      @@msafiramos6905 mpumbavu ni ww uliyekuja ku reply comment ya mpumbavu

    • @msafiramos6905
      @msafiramos6905 4 года назад

      @@zuleyvendor6577 mnatafta kiki kwan Raisi ndo anakubaliana na huo ujinga wenu na mpemba bora mmfunge midomo yenu

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 года назад +1

      @@msafiramos6905 mm sijamtaja rais ndugu nimesema CCM imechoka itoke madarakani ni mchaka mchaka tu this year

  • @allybihay9924
    @allybihay9924 3 года назад

    Sasa kukaa kwako huko marekani unatamani kurejea nyumbani
    Lakini unaogopa
    Kwanini ukimbie kama ulikuwa huna tatizo a cha unafiki