Yaani nilichogundua wanawake wanapenda kuzagamuliwa kuliko kitu chochote hlf wana roho mbaya aisee km hao ni ndugu kwann wasiseme tuzagamuwe wote sisi😅
Naomba kuuliza jaman Nini Siri iliyo kwenye like maana watu wanakuwa bize na kuomba like kuliko kujadili move na ubora wake na kutoa maoni wapi kiongozeke na kupunguza mtakuwa mnasaidia kupata mafunzo mazuri kuliko kuombaaa like..... Just ushauri.
Yaan mshikaji anapitia kopi ya maisha yangu duh tunapitia mengi sana
Kama iyi movie umeyipenda nipe like
Aki nyinyi watoto wenyewe wa Donta TV mutaniuwa mbavu zangu 😂😂😂❤❤❤
Vp
Poleni sana
😂😂😂dadangu Kuna nini jamani
Yaani nilichogundua wanawake wanapenda kuzagamuliwa kuliko kitu chochote hlf wana roho mbaya aisee km hao ni ndugu kwann wasiseme tuzagamuwe wote sisi😅
😂😅
Hata ingekua ww mtakobyote hayo yanajirusharsha mbele yako hunge zagamua 😅
Nimalayawakawaida
😂😂😂😂Mungu ana waona nyie wanawake, daaa kula mayai kuku na kifaranga chake 😂😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
😂😂😂😂
Sawa Gozi, tafari nataka hii episode ya mwisho hii ya penzi la mama mkwe. From Kenya 🇰🇪. Napenda movie yenu zaidi
Naomba kuuliza jaman Nini Siri iliyo kwenye like maana watu wanakuwa bize na kuomba like kuliko kujadili move na ubora wake na kutoa maoni wapi kiongozeke na kupunguza mtakuwa mnasaidia kupata mafunzo mazuri kuliko kuombaaa like..... Just ushauri.
😮
👍👍
Nimependa hii movie madada hawa ni warembo kabisa
@@JosephBaya-zg9gl❤😂😢
Good idea
Daaah aisee izo chance zinawakuta wao 2 sisi aaaaaaaaaaaj😀😀😀😆
Tina Tina pokea maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kwa umalaya unaweza dadaaa
Siku zote Mimi humpenda sana Huyu Tina maana Tina siku zote hunikumbusha mbali sana🇰🇪 hebu wapenzi basi wakenya likes zao Kama wanafaa
😂😂😂 Nelly baba wote ni wako unaweza kweli 🎉🎉pokea maua 🇰🇪
Hatawabamiza wote
@@DaudMlula-en4xe Aya kazi kwake 🤣
Kwakweli nelii utanivunja mbavu nakucheka mpenzi wako alikua akikuletea miogo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤
Daaa hatal iyo jaman❤❤
Sakamua awao wadada wote mwaaaaaaah alike it 😂😂😂😂😂😂❤❤
Content mpyaa na kali piaaa hongeren endeleen kujitahid bado tunawasaport wanetu
KULA NYAMA NYAMAZA🙌😂
Hamna kazi simple nawakubali wote❤❤❤
Du kitu kizuri sana nime sambaza rinki jamani🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 ivi kweli jamani wanadonta mtatuuwa n kicheko 🎉🎉🎉 duuuh mbavu zangu mm Nelly pole kaka 🤣🤣🤣
Jiwe 1
Ndege wa...3 daaaahh!!!
Hiyo nyota inapatikana wap!!!!! Jaman.......😁😁😁😁
HAKIKA TINA unaweza kaza Buti ni kama dada yake KANUMBA. hongera SANA dada 😋😋😋😋😋
Kelvin huyo jamaa anafanana kwa mbali kama wewe vile,, sema tofauti Yako na yeye ni vocal una sauti ya tofauti sana
Aki nyinyi mnanikoshaga mara zote ❤❤❤❤
😂😂😅😅😀😄 Nelly eti kamisigi mihogo na madafu duu
😂😂😂😂😂😊
Nani kaona kofi alilopigwa tina na Dada ake
NIMEIPENDA hyo hakika wadada nyinyi Hamba chenu mbiguni
Aisee jamaa kala wote raha ilioje noma sana.
Mwamba kainjoi
Nelly kajilia bule familia nzima😂😂😂😂
Ingendelea kidogo lakini ni sawa tu🎉🎉🎉
Nimejichafua uongo sio dhambi ingekua Mimi Nell uuuwi ningetoa shukrani kanisani
😂😂😂
😂😂😂
@@LatiffahHassan latifa naitaji mazungumzo nawew
😂
@@HassanNtakirutimana-tv We Acha
Wooo ingekuwa ni mimi ningewaua
Hivi neli atakua bado anakumbuka kilichomleta mjini 😃😃😃😃
Mmmmmh n atar
Wooo ingekuwa ni mimi nin 19:58 20:09 ❤gewaua
Nelly kula nyama nyamaza😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤tina nakupenda bure wajua kuigiza sana
Lkn pia hiyo ndo sifa yetu bana unaweza kukaza hata 10 aiseee na kila kitu kikawa kiko smart tu❤
mwamba wa wakadugu .... jamaa kacheza movie yang kabisa kabsa😮😮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂weee af hii pati ilikua yamfaa kelvin maana nicomedia kivyake
Mihogo madafu😂😂😂😂😂
Nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂
Vai nakukubali kabisaunakasura karembo na kasauti katam
Mmi mkenya APA wapi like zawakenya
Wambie wakufatie miogo na madafu
Tina hutaki asifiwwe wew unapenda urooo tu2%
Eti Nelly alikuwa amemis mihogo na madafu 😂
Mie 😂😅 nataka like bas
Nimeipenda tabia ya wadada. Wanajua kutunza jamani woooy
😂😂😂😂
Vitoto Aki vinaset vinyambizi vizuri duh😅
tujifunze kitu apa wale wañaoishi kwa mashangazi chungeni sana😅😅😅😅😅😅
Kweli usiondoke bro bado mmoja hapo ndio hajakula bakora mtandike mwanzo ndipo urudi kijijini 😂😂,hizo ndio stareh za mjini.
Awa Wanamake wanamtesa kaka wa watu
Neil hongera 🎉sasa watoto wako utawalea kweli
Yaan jamaa bwege sana uyo kama mm hapo nawatafuna woote hao 😅😅😅babek
Sema mwanaume hatongozeki na mwanamke akijirahisi anakosa thamani kabisa.
Aky bc tuh.waah sio kweli mtatua jamen😅😅😅😅
Love yuko wapi nampenda sana na nelly❤
Jaman huyu Tina hua nampenda tu sana ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂haki nyinyi dada zangu mwachekesha
Huyu nely ajitambui kama ni mm narudisha spira kwa kipa nachapa wote
Mimi apo congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nawapenda sana
Kuigiza ni kazi kubwa sana,,,hapo hakosi mmoja hapo
Halafu we Victoria huo ujuzi wako wa kulala vizuri hivyo na Nelly unanichanganya
Hapo ukienua kanga unailoweka tuh ...unakuta kunakucha🤣🤣🤣🤣
Dah hiii kali 😅😅😅😅mbna mwamjaribu mtoto wa watu 😂🎉❤❤
Wanahitaj maombi hawa 😂😂😂😂😂
wanavyo lala na kangaa huo mlalo wana jitikisaaa uwii
Aliyerudia rudia kuhakiki kifuniko kama mimi Gonga like 😂😂
Nime furahi sana kunipa company yako 😂😂😂😂😂😂
Ghai... 😂😂😂😂. ... Umeweza broooo.... 😂😂😂😂..much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
Nani asingekubali ushwish wowote kutoka kwa hawa wanawake nipe like❤😂😂😮😢
Shikilia hapo 😅 elewa kauli historia kubwa
Dota tv mpo mbele sana jamani big up guys
Mbona mimi hawajitokezi wakunichukua sina pa kishi hapa mjini😂😂😂😂
The good Dance now time to live on stage 😂
Kusema kweli hizi love story hua watu wanakulana kweli sio mtani 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂bro nakupa ongera kwa kazi nzuri ya kuwatandika bakora wote watatu,kazi umeifanya.
Namiss nyokoooo😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nelly ametudinya sisi wote aki
Wow napenda sana kazi zenu❤❤❤🎉🎉🎉
Jaman na mimi nahitaji kama hivi wadada wenye mageto mpo wapi nije kukaa na mimi alafu muwe wawili au watatu😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jameni mahaba hayo hapo
Nelly kwa upole @ apana sister...sistaaaa😂😂
Niletee hawa wanawake wote bore nile sawa nawahudumia wote na watakua satisfied bila shaka
Popo kanyia mbingu😂😂😂😂😂
Kwa kweli kazinyea😂😂😂😂 da sofi bwana😂😂😂😅
Yan ingekuwa ni mm nisnge weza lazma niwachape wte😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sio movi hiyi .nifunz bola from buj
❤❤❤muka noga sana
Halafu mnamaksudi nyie sa mwalalaje hivo😂😂😂😂😂😂😂😂
Wallah mnanikumbusha maisha ya geto shule
Nelly na leo umetulia aki maua kwako baba ❤❤❤
Kimbe uwa nae mpole❤❤❤❤❤❤❤
Dah hii ni kali ya mwaka unaweza ukawaxa uyu jamaa anachezea fadhili lakini duh hii aifumiliki
Nely anazingua anapewwa na 3 mbuzi mafia kwa mza supu
nelly alikuwa amemis mihogo n madafu kwl😂😂😂
Nelly hao wote ni wako 😅😅😅😅😅
Aises ila Tina nampenda
Duuh kuigiza kazi san😂😂 wengn kjizuia ni ngum😂😂😂
Tina mwenzang haaaaah chukua hayooo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Naomba kuliza swali hivi huyu mwanaume NI mzima kweli
Sema mwamba alikula vzr sana 😅😅😅😅😅
kev mnazingua tieni bwana part nyigine
Nelly kafuma dodo kweny hii movie
Nakuita kama dada ako njoo nikwambie
Awo sio imesha kua tamu asha waanz mapenz hatar anatofautian navitu vingine
😂😂😂jmn kijana wawatu wanamlazimisha kwa nguvu😂😂
Aiseee iyo movie imetulia sana😢😂
Jamaa katafuna woteeee na wote wametaka wao wenyewee hahahaha hat mie ningewatafuna...